Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa ya kulevya, wakiwemo Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Elikael Mbowe, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Askofu Josephat Gwajima na Mbunge Mstaafu wa Kinondoni, Idd Azzan

Пікірлер: 13

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura67183 жыл бұрын

    Hongeren kwa kaz mzr mrio ifanya na bba maguful🙏lkn sasaiv wamerud kwa kaz na kusingizia kes watu leo sabaya leo makonda chuki ya kisasi hii ndio leo hi wanaripiza...lkn mrisaidya sana watto wetu wariasirika sana viongoz wa chadema hawana dimukasia bar ni uchafu wa madawa ya kuleva na ushoga...

  • @jamesshao538

    @jamesshao538

    2 жыл бұрын

    Huyu fala tu hongera ya nini bwegee tu huyu

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 Жыл бұрын

    Congratulations 👏👏👏👏 Kwa kazi ya kupambana na madwa ya kulevya

  • @EsterPaul-uc7ny
    @EsterPaul-uc7nyАй бұрын

    Hongeraa kwakazi unanyoifanyaa mheshimiwaa hakika mungu akupee maishaaa marefu

  • @sarshahemed284
    @sarshahemed2843 жыл бұрын

    Tumepitia mengi sana hii nchiii...pwaa

  • @janewacera7812
    @janewacera78127 жыл бұрын

    Kazi Nzuri

  • @jotitv7513
    @jotitv75133 жыл бұрын

    Hi laaana ya kumchafua Manji inakutafuna

  • @jeremiahpatel7916
    @jeremiahpatel79163 жыл бұрын

    Ulev wa madaraka mshamba

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 Жыл бұрын

    Akili ndogo

  • @barakamwakyolile9263
    @barakamwakyolile9263 Жыл бұрын

    This was not a serious conversation about crimes especially a serious crime like drug trafficking… kwanza unakula na list ilokamilika na inatangazwa na police maana ndo ana wadhifa wa kufanya uchunguzi. Chombo cha dola

  • @gideonemmanyi9593
    @gideonemmanyi95933 күн бұрын

    Nchi iliharibika sana hongera Mama umetuliza nchi

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 Жыл бұрын

    Wew jamaa ulikuaga lijinga sana enzi za Maguful ulikuwa unaonge kwa kibul sana

  • @JusamaJunior-nw3ot

    @JusamaJunior-nw3ot

    20 күн бұрын

    😂😂😂😂