MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul makonda ameagiza kupangiwa kazi nyingine kwa mkuu wa kituo cha Buguruni Englibert Kasikana mara baada ya kutokea vuta nikuvute kwenye mkutano wake uliofanyika leo oktoba 25 katika eneo la buguruni.

Пікірлер: 425

  • @mahamoudmakotaperfumes8788
    @mahamoudmakotaperfumes87885 жыл бұрын

    Paul Makonda hongera sana kwa kusimamia haki.. IQ..100+ (G)

  • @nataemsuya
    @nataemsuya5 жыл бұрын

    Tungekuwa na wanawake wenye uwezo wa kujieleza km huyu mama,basi Tanzania Tungekuwa mbali sana. Mwanamke kujiamini bwana.

  • @lulyehomadale9009

    @lulyehomadale9009

    5 жыл бұрын

    Hawa Madiwa propaganda tu hapo

  • @joviyhajoseph4722

    @joviyhajoseph4722

    5 жыл бұрын

    lulyeho madale z see ß a za zß CCC CCC x

  • @hanspophassan5669

    @hanspophassan5669

    5 жыл бұрын

    Nikweli kabisa

  • @Tango696
    @Tango6965 жыл бұрын

    Mungu akusimamie sana mkuu Wa kituo.nimeumia kwa udhalishaji huo.kila mmoja ana mapungufu Yake.umekamata umepeleka mahakamani ,walitegemea ufanye nini.kwa hili lililokukuta naamin ndio fursa ya kufika mbali ,Mungu atakupandisha mbali

  • @jumamwatanda1478
    @jumamwatanda14785 жыл бұрын

    Dah! Asiyekupenda Mh. Makonda, siyo bure ana chuki zake binafsi. #Chapa kazi Mh. @I'm really appreciating you

  • @yahayamaulana8215
    @yahayamaulana82155 жыл бұрын

    Mw. RC Makonda big up kwa juhudi na busara juu ya majukumu yakazi unazozifanya hongera

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent34485 жыл бұрын

    makonda wanaokuchukia walaniwe na tunamuomba mungu raisi akuache apo apo miaka mingi!!!akuna asosemwa ata raisi wetu anasema piga kazi usiogope!!!usiposemwa jua huna kitu.

  • @saidsuleiman5255

    @saidsuleiman5255

    5 жыл бұрын

    Huyu jamaa namkubali sana

  • @denismasawe2574
    @denismasawe25745 жыл бұрын

    Nakubal mkuu wa mkoa tangu nime kujua Leo ndo umenifurahisha zaidii piga kaziiiii mkuu

  • @kechbowkech9138
    @kechbowkech91385 жыл бұрын

    Daaaa safi sana mkuu wa mkoa Paul Makonda,,,,,kweli unawapigania wananchi. ....umeweza hadi kumtumbua mkuu wa kituo,,, Sadie Sana..... Bora iwage hivyo,,, askar watafanya kazi kwa mujibu wa Sheri's, yamezoea Sana kuvunja Sheri's,,,, wakati sisi wanansheria tunafuata Sheria...

  • @fieldnews1733
    @fieldnews17339 күн бұрын

    Makonda hongera,joo kenya utusaidie

  • @emmymkonyi9309
    @emmymkonyi93095 жыл бұрын

    Big up mama kwa kuwa jasiri na Mkuu wa Mkoa kwa Kukusikiliza

  • @azizauledi4108
    @azizauledi41085 жыл бұрын

    Mnaonea watu kupita kiasi mpaka imefikia liwalo naliwe km kufa kila mtu atakufa safiiii sana mama mungu akulinde

  • @nyerere1259
    @nyerere12595 жыл бұрын

    Afande upo vizuri...... Achana na hao politicians

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent34485 жыл бұрын

    magu ameibadili nchi ss wananchi tunajua thamani ya nchi yetu ,akuna brabra tena nisheria tu,magufuli mungu akubariki uishi miaka mingi sn ,eeh mungu mrinde mtoto wako maguful

  • @nawihadj6674

    @nawihadj6674

    5 жыл бұрын

    yeah

  • @juliuskivuyo5384

    @juliuskivuyo5384

    5 жыл бұрын

    Good

  • @kaisarimkuu3685
    @kaisarimkuu36855 жыл бұрын

    Iko siku tunaweza.juta kwa huu ushabiki wa ajabu ambao unadhohofisha morali za makamanda wetu wa ulinzi na usalama. Wisdom is an integral component of good leadership.

  • @bernardchibwana2564
    @bernardchibwana25645 жыл бұрын

    Makonda mungu akupe maisha marefu kazi njema.

  • @faustinemasao5641
    @faustinemasao56415 жыл бұрын

    Mkuu wa mkoa umekosa ethics za uongozi kabisa kuna uchunguzi gani uliofanya hapo. Muige ata kidogo Mh.Mtaka angalau awe lesson plan yako kidogo

  • @soudbwaxtv3804
    @soudbwaxtv38045 жыл бұрын

    Ahsante mh mkuu wa mkoa paul makonda kwa uamuzi ulio ufanya

  • @sampatrick917
    @sampatrick9175 жыл бұрын

    Buguruni ni Sawa kabisa atolewe uyo ocd kuna mambo ya kinyama Sana apo Buguruni

  • @djmarashimartin7707

    @djmarashimartin7707

    5 жыл бұрын

    itakuwa nyinyi Shelia amuijuw makonda anaweza akafanya lolote juu ya ocd yeye makonda yupo kwenye kamati ya ulinz nausalama ya mkoa

  • @hamadshein935
    @hamadshein9355 жыл бұрын

    Salam kw maofsa.mcpo kuwa na umoja.mtasumbuliw n watu ambao.hawajui taratibu za majeshi.

  • @ugaboy4736

    @ugaboy4736

    5 жыл бұрын

    Jamani polis ngum tuulizeni sisi

  • @mariawilbrod9786

    @mariawilbrod9786

    5 жыл бұрын

    Hamad Shein taratibu Za majeshi zipi Hizo tufahamishe Au kuonea wananchi?

  • @fredykephacy9230
    @fredykephacy92305 жыл бұрын

    tetea haki baba nakupenda sana makonda mungu akujalie afya njema

  • @mussasaleh6712
    @mussasaleh67125 жыл бұрын

    Mungu akulinde mkuu wa mkoa wetu

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard74435 жыл бұрын

    Ila kusema kweli polis wanaonea sana. Mi mwenyewe waliwahi kunikamata wakanipa kes ya kuuza gongo yaani aisee😓😓😓😓

  • @priscahongerasanaabel9893

    @priscahongerasanaabel9893

    5 жыл бұрын

    hahahahah jaman kweli

  • @mwanaidimtwiku9983

    @mwanaidimtwiku9983

    5 жыл бұрын

    Mm mwenyewe kaka yangu amekamatwa saa tatu anarud kazini wamempa kes ya ukabaji ukiangalia hana tabia hiyo toka azaliwe, inauma sana na mpk bado yupo chang'ombe

  • @tumpaleluhanga1396
    @tumpaleluhanga13965 жыл бұрын

    Kwa hili, nitatofautiana na Mh. mkuu wangu wa mkoa. Sidhani kama haki imetendeka. Ingawa hatua iliyochukuliwa sio kubwa sana ila nadhani mkuu wa kituo ameabishwa mbele ya wananchi bila sababu. Majibishano ya bimkubwa na mkuu wa kituo hayakuwa na umuhimu wowote. Nadhani mkuu wa mkoa alipaswa achukue taarifa ya mama, pamoja na maelezo mafupi ya polisi halafu akalishughulikie hilo suala baadae. Kwanini polisi waing'ang'anie nyumba ya huyo mama tu bila sababu? Mama angesema huwa wanaomba rushwa tungemuelewa. Pole sana kwa mkuu wa kituo cha Buguruni.

  • @rajabuwiliam5854

    @rajabuwiliam5854

    5 ай бұрын

    wewe unajuaje kama mku wa mkoa hana talifa nyingne kumhusu yeye kwani yeye mjinga achukue hatua bila kufatilia et hapo lazma co xhida yakwanza alixhapata talifa nyingii t kumhusu

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    5 ай бұрын

    Nimependa maelezo ya askari

  • @PasichalFrancis

    @PasichalFrancis

    4 ай бұрын

    Ilahuyujamaa .basitu hajuituanachokifanya

  • @RwegoshoraPatt-os2ik

    @RwegoshoraPatt-os2ik

    4 ай бұрын

    Hata mama anamdomo kumbuka hilo pia

  • @shabanikombo6351
    @shabanikombo63515 жыл бұрын

    makonda safi sana Allah akujalie

  • @maelezombwilo9129
    @maelezombwilo91295 жыл бұрын

    shukrani sana mkuu wetu kwa kutenda haki

  • @smwakaglobaltv4010
    @smwakaglobaltv40105 жыл бұрын

    Hongera saaana mama, sina cha kukupa isipo kuwa tu kukushukuru kwa ukakamavu wako.

  • @mpjackson9543
    @mpjackson95435 жыл бұрын

    Haufai hata kidogo, nimesononeka sana Kwani nilitamani siku moja niwe askari but kwa style hii, umechafua jeshi mpumbavu kabisa, haiwezekan Kamanda Siro huyu Bashite ana mamlaka gani yakuingilia mambo ya jeshi, nakwann askamatwe yeye nnani wakufanya hayo, kaiba makontena tumemuacha, au kunakitu nyuma yake, maana sio bule, angekuwa Nape chapu kidogo.

  • @eliphaziamon8794

    @eliphaziamon8794

    5 жыл бұрын

    mp Jackson we nikipofu acha kutapika ko ulitaman uaskal ukanyanyase RAIA ,sio utawala wa magu,subilien msenge mwenzenu ajae mtese watu sio utawala wa baba magu

  • @gabrielresti1710

    @gabrielresti1710

    5 жыл бұрын

    Angalia akili zako vizuri na ujipime kwa maneno yako

  • @yudithshayo4057

    @yudithshayo4057

    5 жыл бұрын

    mp Jackson raisi wako wamkoa huyo ana mamlaka yote kwa Dar

  • @mohamedykabwanga1647

    @mohamedykabwanga1647

    5 жыл бұрын

    Ww huna akiri unasema mkuu wa mkoa anamamlaka gani ...unajielewa kweli www

  • @fransiskahaule3343

    @fransiskahaule3343

    5 жыл бұрын

    Wewe unaongea nini sasa polisi ndio yao hayo..

  • @waziriislam2455
    @waziriislam24555 жыл бұрын

    Makonda uko poa sana mungu AKUONGOZE sana kaka

  • @robsonevarist5803
    @robsonevarist58035 жыл бұрын

    Kiukweli hiii nchii inapoelekea sii pazuriii siasa imekuwa fimboo kwa watendajiii na hata mtuuu afanyee mazrii vp kosa moja la funika mazriii yotee.hakika najuta kuajiliwa mora nipe nguvuu nitafute mtajiii nijiajili.amina

  • @user-jn2qj5wf6c

    @user-jn2qj5wf6c

    5 ай бұрын

    Kama na fisad dawa Yako inachemka

  • @mosesboniphace4733
    @mosesboniphace47335 жыл бұрын

    makonda safi sana hongera kabisa. nashangaa ukiona koment wanaokataa niwalewale wanataka ushahidi gan tena juu yahuyo mama? ukiwa na akili timamu huwezi kuacha kumwamini huyo mama. maaskari wengi wao ndowalivyo bana.

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata42305 жыл бұрын

    Mkonda mh ubarikiwe sana, awo wapo wengi sana nchi hii.

  • @davidngatunga7167
    @davidngatunga71675 жыл бұрын

    Leo makonda umenikuna sana hawa jamaa siyo mungu akubariki sana

  • @omarikessy2339
    @omarikessy23395 жыл бұрын

    Safi sana mheshimiwa Makonda,Sio tu apangiwe kazi nyingine fukuza tu huyo askari ndo wailvyo hao kuonea Maskini

  • @gloriousabraham128
    @gloriousabraham1285 жыл бұрын

    Kwakwel wew kaskana ulituonea sana mungu amejibu maombi Kwakwel

  • @Tango696
    @Tango6965 жыл бұрын

    Mpaka polisi wanakupeleka mahakamani ,unasema wanakuonea,nimeumia sana kwa kauli ya kusema ocd njoo utudanganye,ni udhalilishaji mkubwa sana kwa chombo kikubwa.huyo ocd katoa maelezo ya kisomi na uweledi ila kama kuna insue pembeni Sawa.

  • @michaelmathayo2582

    @michaelmathayo2582

    5 жыл бұрын

    makonda upo sahihi

  • @titosindei6016

    @titosindei6016

    5 жыл бұрын

    watu wanashindwa kutofautisha mamlaka na taaluma unaeza ukawa mkubwa ukawa huna taaluma husika kwahyo hizo ni kiki na misiifa isiyo na sababu

  • @adamsclassic9306

    @adamsclassic9306

    5 жыл бұрын

    sisi ndo tunaishi Buguruni na ndo tunaojua Mapolisi zetu Alichosema Uyo Mama ni kwel Mtupu Mapolisi Wa kituo kdogo hadi kikubwa Wanawatesa sana Wananchi na Kuwapa kesi Ambazo sio na Hao Hao Mapolisi Ushilikiano Hawatoi wao Wanachojua n kupiga Pesa tu

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy58055 жыл бұрын

    Tanzania oyeeeeeeeeee!! Nakupenda nchi yangu.

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka37085 жыл бұрын

    ahsante mkuu makonda,sio huyo ocd tu baba wapo wengii,mwajili jeri muro afanye utafiti akupe repoti ni aibu trAfic ndo usiseme

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan63655 жыл бұрын

    Safi sana mheshimiwa Makonda 👍

  • @ramadhansylvesta1952
    @ramadhansylvesta19525 жыл бұрын

    kwakweli Mkuu wa mkoa ktk hili umekosea sana, kuvichonganisha vyombo vya ulinzi Na wananchi. Nimakosa makubwa

  • @flavian-augustino.pangah
    @flavian-augustino.pangah5 жыл бұрын

    Hongera OCD wa polisi Buguruni kazi yako Mungu anaiona. Achana na political temper za rc

  • @mariawilbrod9786

    @mariawilbrod9786

    5 жыл бұрын

    Flavian Pangah hana cha hongera hapo ni jambo la aibu sehemu ambayo watu ingekuwa Tumaini lao inapotokea tatizo ndo inaonea watu, anasahau miiko ya kazi yake na kuweka tamaa mbele

  • @ahmednoor1412

    @ahmednoor1412

    5 жыл бұрын

    Unasifia ujinga

  • @flavian-augustino.pangah

    @flavian-augustino.pangah

    5 жыл бұрын

    Ahmed noor asante kwa jibu lako

  • @sharifasharifa7680

    @sharifasharifa7680

    5 жыл бұрын

    Polis wanakazi ngumu na raia wengi hawapendi polis wanafurah kutokezea tatiz ila ocd usijal pig kaz kawaida ya raia hat ufany jema gan hawawez kulisem hat viongoz wapime wao mbon wanatajw wanamakos na hawan

  • @xavierycelsus3751
    @xavierycelsus37515 жыл бұрын

    Hongera sana mama.shikamoo,,

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus6388 ай бұрын

    Hiyo ni kweli kabisa,maaskari wanashirikiana Sana na wauza madawa ya kulevya

  • @saleheluvanga9929
    @saleheluvanga99295 ай бұрын

    Wewe ni Magufuli kabisa yaani nakupongeza kabisa Mheshimiwa makonda MUNGU AKURINDE 📖📖📖📖🙏

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima72955 ай бұрын

    Safi sana Askari!!!

  • @kassimkingai564
    @kassimkingai5645 жыл бұрын

    Unajua makonda ww ni msubutu sana jitoe kaka utapata malipo kutoka kwa MUNGU endelea kutetea wanyonge nakumbea heri insha'Allah

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi50975 жыл бұрын

    Mkuu wa mkoa yupo sawa. Ili aweze kulinda mkoa lazima afanyekazi na watu anaowaamini. Si ajenda ya siasa.

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb5 жыл бұрын

    Sio vizuri kumueka polisi kulumbana Na RAIA hadharani kama hivi haipendezi

  • @wazirilugazo6746
    @wazirilugazo67465 жыл бұрын

    Safi saaana kiongozi mkuu Wa mkoa

  • @abdulhamidkagina1409
    @abdulhamidkagina14095 жыл бұрын

    Makonda nakukubali sana hujawahi kukurupuka !! Kweli unafaa kuinyoosha daressalaam

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu52555 жыл бұрын

    mama nimekupenda kwa ujasili wako💪💪💪💪💪

  • @madunaukovizuribabukazabut6763
    @madunaukovizuribabukazabut67635 жыл бұрын

    Hongera mama kwakuongea ukweri

  • @hemedwow8802
    @hemedwow88025 жыл бұрын

    Mtihani sana.

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g3 ай бұрын

    Asant sana Mh Makonda

  • @edwinndege6432
    @edwinndege64325 жыл бұрын

    Mama umetisha sana

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.97335 жыл бұрын

    Japo kituo hiki cha buguruni hakifai kutokana na urasimu uliopo na ht kutumikia matajiri kama 92 hadware na mama wahenga kuwabambika kesi wananchi lkn sijapenda huu utaratibu uliotumika kumdhalilisha ocd

  • @emmanueljsemwaiko1442
    @emmanueljsemwaiko14425 жыл бұрын

    Safi sana mkuu

  • @stukiaally4690
    @stukiaally46905 жыл бұрын

    Blabla kushneiiiiiii huu utawala sio wa kuogopana hongera mama

  • @paulomgan2064
    @paulomgan20645 жыл бұрын

    Ee MUNGU tuludishe kwenye imani ya kuwa na uwoga na kuamini kuwa upo

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela49135 жыл бұрын

    By up mommy 😘😘😘 kujiamin ndo kuweza mekupenda bureee

  • @menikojohn2782
    @menikojohn27824 ай бұрын

    Mama Ambaye Mwanae Ni Mtuhumiwa Wa Kesi Za Bangi Polisi Zaidi Ya Mara Moja Hawezi Kuwapenda Polisi, Na Hiyo Nyumba Itakuwa Ni kijiwe Cha Wavuta Bangi Tu, Ndio Maana Safari Za Polisi Haziishi Kwenye Huo Mji.

  • @cleanbosco70
    @cleanbosco705 жыл бұрын

    Hivi nikuzalilishana kama ni mimi najihuzuru kazi kiukweli makonda unapenda sifa.

  • @samsonmgaya4306
    @samsonmgaya43065 жыл бұрын

    RC hana mamlaka ya kumuwajibisha OCD na niwaambie tu hata OCD asipopangiwa majukumu mengine RC hana cha kumfanya

  • @issahamza6820

    @issahamza6820

    5 жыл бұрын

    Hapa nimeshindwa kuelewa yaan Mkuu wa mkoa amekubali kudanganywa na huyo mama mpaka anamsimamisha kazi OCD. Kwa yeyote asiyewajua wamama wa aina ya huyu mama anaweza akaona anchoongea hapo ni cha maana sana. Lakini ukweli uliopo hapo anaujua yeye mwenyewe. Hapo Makonda naona ameamua maamuzi yasiyo na busara kabisa. Kwanza siyo sahihi kuruhusu huyo mama kujibizana na OCD namna hiyo.

  • @danielmsoma4741

    @danielmsoma4741

    5 жыл бұрын

    naona watu wanadhani police nao wanateuliwa.

  • @martinezsiwale4419

    @martinezsiwale4419

    5 жыл бұрын

    Samson Mgaya na ndio maana kasema nitaongea na wakubwa zako

  • @martinezsiwale4419

    @martinezsiwale4419

    5 жыл бұрын

    Issa ocd alicho feli ni kuto kuwa straight speaking mama kapata point of weakness kashinda angekuwa straight kwamba nimewai shika mtu huy huyu na kesi zao zikaenda ivi lkn mama kamuuliza tu uliwai mshika nani na kitu gani hakuna jawabu ndio ubabaishaji wenyewe

  • @amrimavara2042
    @amrimavara20425 жыл бұрын

    bigup mkuu Wa mkoa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd38865 жыл бұрын

    Makonda hongera sana

  • @godymashana1968
    @godymashana19685 жыл бұрын

    Jamani yangu macho tutawasiliana 2020

  • @idrisasimha9029
    @idrisasimha90295 жыл бұрын

    Big up Mh Makonda

  • @pasiankimario2268
    @pasiankimario22685 жыл бұрын

    safi sana . Apangiwe kazi nyingine .

  • @mshobozikamgisha7496
    @mshobozikamgisha74965 жыл бұрын

    Uko safi mkuu

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz60485 жыл бұрын

    Hapo sawa sasa

  • @dennischarles8524
    @dennischarles85245 жыл бұрын

    Kero ni nyingi sana vituoni tuanze navyo

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын

    Upo sahihi mkuu we Mkoa,polisi wengi maadili hakuna

  • @samsonmgaya4306
    @samsonmgaya43065 жыл бұрын

    OCD safiiii unajibu vizuri sana kwa kujiamini

  • @issahamza6820
    @issahamza68205 жыл бұрын

    Huku ni kusutana sasa kati ya OCD na huyo mama. Sijajua ni sheria ipi inatumika mpaka maamuzi ya kupangiwa kazi nyingine hapo? Yaan huyo mama anaonekana wazi kabisa anatetea maovu. Sijaona kosa la OCD ila Mkuu wa Mkoa umeamua kumuonea huruma huyu mama.

  • @usher_bambi9413
    @usher_bambi94135 жыл бұрын

    Amenisisimua my RC😍😍😍

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego7975 жыл бұрын

    MAMA INSHAALLAH LEO NI SIKU AMBAYO PEPO NI HAKI YAKOOOOOOOO

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile90625 жыл бұрын

    Hapa kazi tu

  • @user-wu8oi7jk7s

    @user-wu8oi7jk7s

    5 ай бұрын

    Jamani kasikana ni mbaya muno MUNGU ni mukubwa nimefulai muno kama munakataa waulizen MAGUFURI TEMINAL alikua anakamata watu na kuwapeleka MAHAKA yajiji na kisha kuto sh 50,000

  • @fabianimbilinyi3787
    @fabianimbilinyi37875 жыл бұрын

    hawa wananchi nyinyi serekari munawaminije hapohapo janmani kumbukeni majungu makonda wewe babaangu wangeamini yote birakuchunguza kweri ungekuwa mtumishi kweri ndugu naumeokoka zichunguze roho zingine amina

  • @maxmbotta5734
    @maxmbotta57345 жыл бұрын

    RC makonda nakukubali sana ila kwa hili umechemka .

  • @janejoseph4600
    @janejoseph46005 жыл бұрын

    Safi sana mama

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent34485 жыл бұрын

    ckilizen watanzania wenzangu jeshi lapolice liache mambo Yale yakizamani yakuonea wanachi na kubambikizia kesi enzi zile akuna tena,makonda uko vizuri sn sn!!!!

  • @nawihadj6674

    @nawihadj6674

    5 жыл бұрын

    yeah bro

  • @pilihassan8085
    @pilihassan80852 ай бұрын

    Mama mzaramo uyoo cyo kwa kujiamin uko

  • @aishadevid5463
    @aishadevid54635 жыл бұрын

    Makonda ww ni mwanasiasa tu na hivyo haupo juu ya majeshi na huna uwezo wa kumpangia kazi askari yeyote

  • @rugijofrey3685
    @rugijofrey36855 жыл бұрын

    Siasa mbaya sana, ukimsikiliza huyo mama anasema nyumba yake haiuzwi Bangi toka 2006 inamaana ina historia yakufanya hivyo kipindi cha nyuma

  • @lodrickshoo3958
    @lodrickshoo39585 жыл бұрын

    safi makonda

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent34485 жыл бұрын

    zamani police alikua anauezo wakumpa kesi yoyote ile anakosana nae au kutompa pesa ASA ivi thubutu kwa utawala Wa magu!!!!!

  • @lawmaina78
    @lawmaina785 жыл бұрын

    Duh mama alikua amejiandaa, yaani anazo taarifa zote.

  • @pastorypastory1366
    @pastorypastory13665 жыл бұрын

    Mh.Mkuu wa Mkoa endelea na spidi hiyo na msaidie mama na Ocd.

  • @evamlay8997
    @evamlay89975 жыл бұрын

    safisana kipenzi changu makonda

  • @flownluvanda5263
    @flownluvanda52635 жыл бұрын

    Makonda we kweli ukovzr Sana baba

  • @barakaenock7581
    @barakaenock75815 жыл бұрын

    Kwa hiri Kaka makonda nimeanza kukukubariiii

  • @azizauledi4108
    @azizauledi41085 жыл бұрын

    Mungu acheni kuwaonea watu km mpo madarakini dhambi

  • @dedememe2725
    @dedememe27255 жыл бұрын

    Kiukweli Buguruni police station kuna shida sana...Nimeupongeza uamuzi wa Makonda

  • @maulidasaa9407
    @maulidasaa94075 ай бұрын

    Ocd hiyo ndo changamoto ya kazi ww unafanya kazi yko lkn raia wajanja wanakurudisha nyuma makonda co kila mlalamikaji ana haki utawavunja nguvu wezako

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka37085 жыл бұрын

    respect noo,,tenda hAki i utaheshimiwa ukkiwa mbAdhilifu noo respect,hakuna haki sana toka polisi kuja wananchi..saafi mkuu makonda... hakii

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji42425 ай бұрын

    Makonda pambana hapo polisi wanakula pesa za madawa yakulevya

  • @user-ch2xi5zm8y
    @user-ch2xi5zm8yАй бұрын

    Waonezi sana

  • @jerryexaud6241
    @jerryexaud62415 жыл бұрын

    Yaan siasa ukiiendekeza ni mbaya sana,

  • @barakaenock7581
    @barakaenock75815 жыл бұрын

    Safi sanaaaaaaa

  • @user-wu8oi7jk7s
    @user-wu8oi7jk7s5 ай бұрын

    Uyo ni muhuni ata apa magufuli alikua teminal anatusumbua sana alikua natukamata anatupeleka mahaka yajiji tunatoa sh 50,000 uyo hafai

  • @jumaedward7110
    @jumaedward71105 жыл бұрын

    ndio maana wazungu wanatudharau sana

Келесі