DK Rugemeleza afunguka sakata la Bandari Dar es Saaam/ 'Tunazungumzia mali YETU'

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Dk Rugemeleza Nshalla amesema, kufuatia Muswada wa Sheria ya uwekezaji iliyowasilishwa hivi karibuni bungeni ni wazi faida zinazotajwa kuwepo kwenye mkataba wa DP World ni za uongo
Tayari Serikali imewahakikishia wananchi manufaa ya mkataba wa DP World ambapo licha ya matarajio ya ongezeko la mapato kutoka Sh7 trilioni inayopatikana sasa uwekezaji utakaofanywa na Kampuni ya DP World ya Dubai utaongeza mapato kufikia Sh26 trilioni.
Juni 12 ,2023 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akizungumza na viongozi wa dini kuhusu kuhusu mkataba huo wa awali na DP World amesema ufanisi mdogo wa bandari ndio sababu ya Serikali kutafuta uwekezaji.
Kuhusu mabadiliko ya sheria Dk Nshalla aliutaja Muswada unaopendekeza Sheria iliyotungwa mwaka 2017 kwa madhumuni ya kulinda rasilimali za nchi katika miradi ya uboreshaji na uendelezaji wa bandari.
Sheria hizo ni ile Mamlaka ya Nchi na Umiliki wa Rasimali Asilia na Sheria ya Mapitio ya Majadiliano inayohusu Rasilimali na Maliasili za nchi Sura ya 450 zote za mwaka 2017.

Пікірлер: 24

  • @ganomwakisambwe2715
    @ganomwakisambwe2715 Жыл бұрын

    Mungu akubariki sana Dr.

  • @mosaidi2633
    @mosaidi263310 ай бұрын

    Acha uongo dollar 22000 kwa mwezi???😂😂😂

  • @masoudymichael
    @masoudymichael Жыл бұрын

    Hapo ndiyo tunasema mumetumia shule mliyosoma unakuta mtu amesoma mikataba mibovu inasainiwa wezi wanatuibia hela tozo zinaongezeka alafu wasomi wanakaaa tu kimya ongezeni sauti kuhusu swala la mkataba🎉 mpaka watu wakose kula 2025

  • @sylivanuslukiko1346
    @sylivanuslukiko134610 ай бұрын

    Umesema kweli kaka Ila mbona mwanzo hamkusema Ila ongera umetufumua

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Жыл бұрын

    Hi nchi bwana mimi naona wauze kila kitu tupewe ela 8:44

  • @majigeedward955
    @majigeedward95511 ай бұрын

    Wakat wa magu mlikugawapi ninyi wadudu wakati alikua anabiruza watu hovyokabisa na angejua yeye msingelopka chochote

  • @MchungajiEliamtishibi-hy3qk
    @MchungajiEliamtishibi-hy3qk Жыл бұрын

    Hakika kila kitu kinamwisho nahisi sasa basi watu wamechoka

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 Жыл бұрын

    WAGALATIA 3:10 Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria wako chini ya laana; maana imeandikwa Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ayafanye.

  • @user-qn1qw2pk6i
    @user-qn1qw2pk6i Жыл бұрын

    Wakiendelea kuongezeka kujitokeza wanaharakati kama huyu jamaa tutafaham mengi kuhusu viongozi wetu.

  • @birianination7097
    @birianination7097 Жыл бұрын

    Kama anasema serikali imezuia DP world kuhojiwa, mbona anahoji bila shida sasa, tena kuna hadi kesi mahakamani. Sasa nini kimezuiwa

  • @user-lx9oi1zh1d
    @user-lx9oi1zh1d9 ай бұрын

    SIMAMA IMRA UNALINDW NA MUUMBA

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh11 ай бұрын

    q

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 Жыл бұрын

    Mmekua huru sana wacha muanze kutekwaaaaaa

  • @jamesmsalilwa8733

    @jamesmsalilwa8733

    Жыл бұрын

    Watanzania wengi wako gizani, hii pia inategemeana na wengi kuwa na shule ndogo. Dk. Nshala, hapo hana masilahi binafsi, Bali kuwasaidia Watanzania wasiyo jua. Vinginevyo mtaauzwa Hadi vilembwe vyenu vitafanya kazi kwa Waarabu na Wazungu, tunarudi kulee kwenye staili ya utumwa tena. Kumbuka miaka Ile hatukuwa na wasomi, ndiyo maana machifu wetu wakati huo walidanganywa kwa kupewa shanga, vioo, goroli nk.

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 Жыл бұрын

    kama nimekuelewa Mbawala hakujisomesha mwenyewe aliitumia Kodi zetu Ili aje alitumikie Taifa lake Kwa kuzingatia masilahi ya nchi huku akitanguliza uzalendo lakini badala yake hakutumia akili au elimu ambayo Kodi zetu zilitumika kumsomesha alisaidie Taifa

  • @mipangoyongwe33

    @mipangoyongwe33

    Жыл бұрын

    Lazima tupambane kwa hilo

  • @jamesmsalilwa8733
    @jamesmsalilwa8733 Жыл бұрын

    Mwandishi uliyeuliza swali umenunuliwa au uelewa wako hafifu? Huwezi kusema anapiga kelele. Kama hujaenda shule,nenda kasome!

  • @birianination7097

    @birianination7097

    Жыл бұрын

    Sasa mbona anazunguka zunguka, bila kutaja vipengele husika

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 Жыл бұрын

    Rais ni ovyo tu acha tuseme ukweli na maccm yake

  • @bodyaman

    @bodyaman

    Жыл бұрын

    Dogo we unapata wapi jeuri ya kusema Raisi ni wa ovyo? Acha ujinga Raisi ni taasisi kubwa na Raisi ndo Raia no.1 we ni Nani adi mtukane Raisi Kwa kusema ni waovyo???

  • @bodyaman
    @bodyaman Жыл бұрын

    Kitaalam hii inaitwa hotuba ya kujihami

Келесі