KIVUMBI DODOMA: WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11, YUPO aliyekuwa MKURUGENZI wa JIJI

Ойын-сауық

Пікірлер: 101

  • @ombeniibawa4481
    @ombeniibawa44819 ай бұрын

    Safi sana PM, Nakukumbusha tu Mh.Waziri mkuu na huku kata ya mnadani mtaa wa NDACHI kuna changamoto kubwa sana ya ugawaji wa viwanja,uporaji, dhulma,double allocation, ufisadi ,wizi, hujma,nk. Tunakuomba Mh.Waziri mkuu tembelea huku, hata Lukuvi alishafika, 😢🙏🙌

  • @abelsabibi8836
    @abelsabibi88369 ай бұрын

    I wish you become the top leader of this great nation,you truly deserve it Mr.Majaliwa K. M,pls accept me

  • @hajjiomary2383

    @hajjiomary2383

    9 ай бұрын

    Kadari brother Allah amekadiria vitu vyote alivyoumba miaka elf 50.kabla ya cc kuja duniani cc tunapitia tu ye anajua kila k2.anachotaka kuwa kinakuwa asichota akiwi

  • @masungaStanslaus

    @masungaStanslaus

    9 ай бұрын

    P

  • @MrA24G

    @MrA24G

    9 ай бұрын

    Pm you re very serious.Natamani ningefanya kazi nawe.

  • @rehemamkude6766
    @rehemamkude67669 ай бұрын

    Asante sn Mkuu, tunaimani sn na Serikali yetu.

  • @ellymaz2187
    @ellymaz21879 ай бұрын

    Uje Mahomanyika kata ya Nzuguni ujionee wananchi walivyodhulumiwa. Unapewa kiwanja uwani kwa mtu na unaambiwa kwenye nyumba yako amepewa mtu mwingine. Njoo, njooo, njoo uone. Nimekuita mara tatu.

  • @sujmasukuzi5671
    @sujmasukuzi56719 ай бұрын

    Ngole uko wapi sasa............!acha uuungu mtu.....haki za watu.....zitaendelea kukuganda........hadi mbinguni mkuu

  • @danielmbalwa9307

    @danielmbalwa9307

    9 ай бұрын

    Polee sana nduguu inaonekanaa alikukwazaa sanaaa

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa96579 ай бұрын

    Sasa kazi inaendelea. Kazi nzuri sana ya usimamizi wa rasilimali zetu. Asante Waziri Mkuu.

  • @dollyjohn6811
    @dollyjohn68119 ай бұрын

    Tunakushukuru sana waziri mkuu kwa hatua uliyoichukua ili I we fundisho kwa wengine

  • @safiaothman5175
    @safiaothman51759 ай бұрын

    Shukraan Mh.Waziri Mkuu. Wapo wengine wanatakiwa wafukuzwe kazi katika Halmashauri ya Jiji,wamezua migogoro mingi.

  • @klauslusajo774
    @klauslusajo7749 ай бұрын

    Piteni na halmashauri za wilaya, wale watu wanajikuta miungu watu kweli

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv51449 ай бұрын

    Ni sahihi kabisa, Mh waziri mkuu umefanya vema sana. Kuna kijana alikuja kunilalamikia kuwa anafuatilia hati yake tokea 2021 hadi sasa na kila akienda kufuatilia anaambiwa fail lake limepotea tena ni mtu mwenye kipato cha chini anajishughulisha na biashara ndogo ndogo lakini still hata hicho kidogo chake wamekula na haki yake hajaipata. Niliumia sana kwa sababu aliniongea kwa hisia kubwa sana na machungu ndani yake,ukiona mwanaume anatoa machozi basi fahamu kaumizwa sana. Kijana huyu alitoa machozi kwa uchungu. Ivo nakushukuru sana Mh waziri mkuu mungu akubariki sana.

  • @habibabarker1644
    @habibabarker16444 ай бұрын

    Asante saana iendelee mpaka kieleweke isiishie njiani

  • @misanamaige490
    @misanamaige4909 ай бұрын

    Wewe ni kiongozi hodari. Bwana akulinde na kukutumia katika kuwatetea wanyonge.

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko82519 ай бұрын

    Mweshimiwa wzr Mkuu Ofisi yako kitengo cha maafa Nzuguni B jiji la dodoma pale wananchi wametapeliwa Aridhi

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila19289 ай бұрын

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu mhe Majaliwa uishi milele Mungu kakutumia ulete majibu ya machozi yetu dhuluma imezidi Dodoma barikiwa sana sana kiongozi wetu mzuri Mungu akutunze

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo11209 ай бұрын

    Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele mkuu wetu Mungu ibariki nchi yetu

  • @kavulatikivurunzi
    @kavulatikivurunzi9 ай бұрын

    Kasim narudia tena wew upovizuri namama yupo vizuri ilatu apewe ushauri uzuri nimsikivu

  • @user-lf3oe8vq1e
    @user-lf3oe8vq1e9 ай бұрын

    Hongera sana Waziri Mkuu pia Wakuu wa Mikoa watenge siku Moja kila wiki ya kuwasikiliza Wazee matatizo yao na kujuwa changamoto za kila eneo,pia na SS tunaelekea huko

  • @salummichael87
    @salummichael879 ай бұрын

    Mungu kaja uonezi no ushetani Waziri Mungu.akuongoze wanyonge hawana pa kukimbilia Uta barikiwa Kwa maombi ya wanyonge.

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi9 ай бұрын

    Hao wafukuzwe kazi na kupelekwa mahakamani hii nchi mmezidi kubebana

  • @IbrahimWaziri-to3fl
    @IbrahimWaziri-to3fl9 ай бұрын

    Ngole oyeeeeeee!!!!!!!!!!

  • @user-xe8gu6oz5v

    @user-xe8gu6oz5v

    9 ай бұрын

    😂 nakuunga mkono fala kanijibu vibaya

  • @SimonKitaly
    @SimonKitaly9 ай бұрын

    Mungu akubariki sana..unalindwa na nguvu za Mungu maana mamlaka uliyonayo ni Mungu amekupa

  • @frankmwakibingafm5266
    @frankmwakibingafm52669 ай бұрын

    Waziri mkuu uko vzr Sana nafasi yako unaitumia sawasawa hongera sana

  • @itmasterofficial
    @itmasterofficial9 ай бұрын

    Hahhaaa, time will tell . God bless Tanzania, God bless PM Majaliwa. Yeah tell them it's not easy to steal and eat the government money. Naiona damu ya uzarendo kwa Majaliwa. Safi safiiiiiiiii Hayo majitu mafisadi ndio yanafanya tunazomewa tukivaa kijani. Sema babaaaaaa

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi6329 ай бұрын

    Asante mtumishi mwema

  • @sujmasukuzi5671
    @sujmasukuzi56719 ай бұрын

    Hati ni tatizo kupata kwa Wakati....mimi madai mwaka wa tatu unaenda wa nne....huenda ikafika 200...dawa ni kuangalia anaekwa

  • @user-so1ci1mv6x
    @user-so1ci1mv6x9 ай бұрын

    Safi sana mh waziri mkuu, Mimi mwananchi wako naomba wale wote wanao husika kudhurumu wananchi wafukuzwe kazi na wafikishwe Mahakamani na wasionewe huruma

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y8 ай бұрын

    Wanatufanyia hayohayo njoo kasulu baba

  • @user-xc1td8cv7n
    @user-xc1td8cv7n9 ай бұрын

    Kwakweli Mungu akujalie na kukuongoza kwa kutuweka Salama maana Hiyo wizara inayomatatizo makubwa sana.

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera93029 ай бұрын

    sasa kassim wa JPM tanayemjua amerudi sijui alipelekwa wapi laki mungu ni mkuu karibu tena KASSIM ORGINAL

  • @user-he8gu4dr1r
    @user-he8gu4dr1r9 ай бұрын

    Jambo nzuri sana tusiishi kimazoea

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y8 ай бұрын

    Njoo na kwetu wazir jembe

  • @IbrahimWaziri-to3fl
    @IbrahimWaziri-to3fl9 ай бұрын

    Kuhusu hati kucheleweshwa hatua zichukuliwe pale ilipochelewa kwa wiki....maana wanadai mfumo.kama ipo tatizo mteja ajulishwe namba sim yake ipo

  • @constantinemushi1652
    @constantinemushi16529 ай бұрын

    Mhe shikilia hapo hapo watu wasidhani Serikali iko likizo.

  • @HildaGeorge-vj2ef
    @HildaGeorge-vj2ef5 ай бұрын

    Na kukubali sana baba mdogo kaza sanaaaaa majaliwa hakika unafaaaa sana kuwa ,,,,,,,,,,,,,,,,,, mmmmmmhh lakini naogopaaaaaa japo nisaidie mashine tatu za kufanyia kaziiiiii

  • @Mnengatv
    @Mnengatv9 ай бұрын

    Safi sana Mr prime minister

  • @athumanikome7982
    @athumanikome79829 ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭wateule ambao niwatendaji wanaigombanisha serikali nawananchi pamoja na chama hetu CCM watendaji wa serekale wanakifitinisha chama hetu nawananchi!!!😭😭😭🙏 kiukweli inaniwuma sana nikotayari kusema madudu ya nayofanywa na watendaji

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem9599 ай бұрын

    IPO CKU TZ ITABAKI NA VIBAKA WATUPU.BUNGE LIKO HAPO HAPO LKN BADO UBABAISHAJI UMEKITHIRI

  • @charlesmwambinga4355

    @charlesmwambinga4355

    9 ай бұрын

    Sio kazi yao....ni kazi ya Serikali.

  • @user-yy2ek3pw8i
    @user-yy2ek3pw8i6 ай бұрын

    Wote sukuma ndani

  • @MartiniBahali-yi2ge
    @MartiniBahali-yi2ge9 ай бұрын

    Viongozi wanapiga hela badala ya kupima eneo la mwananchi na kutoa gharama za upimaji ili kama mtu atalipia eneo lake apewe hati miliki yake wao wanachukua viwanja kwa nguvu

  • @kiboshokibosho-ou6um
    @kiboshokibosho-ou6um8 ай бұрын

    Raisi wetu ajaye

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne74919 ай бұрын

    Hi nchi ina upumbavu mkubwa 😢😢yani watumishi wa serikali wamekuwa kama majambazi😢

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi9639 ай бұрын

    Safii sana

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta41599 ай бұрын

    Ww unafaa kuwa Rais kwa asilimia 90% kabsa sasa nchi ikiwa ya wapigaji nan anatetea

  • @ErnestKashunja-ns8vs
    @ErnestKashunja-ns8vs9 ай бұрын

    Huyu ndie alistahili kuwa Rais wa nchi hii

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71499 ай бұрын

    Vibaka na wezi wa kuku wanafungwa kila siku, na hawa tungeona wakiadhibiwa kama wezi wengine ingekua fundisho badala ya onyo kali lakini hawalipi,hawafungwi zaidi ya kuhamishwa ndio mana wengine wanaendelea kuhujumu nchi.

  • @joojombi2341
    @joojombi23419 ай бұрын

    Wapigaji wengi Tzd kwakweli ni Mikoa yote tu. Namuonea huruma Mheshimiwa Jerry anakazi kubwa Nchi nzima kwakweli

  • @tyinhomacknonsr5258
    @tyinhomacknonsr52589 ай бұрын

    safi sanaaa Waziri

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael79659 ай бұрын

    Kuna tuliolipia viwanja bagamoyo bonde la ukuni bagamoyo hadi leo no refund no land Lukuvi alifuatilia ila hakuna kitu, hadi leo miaka zaidi ya 15 kwa kweli ni ngumu na aibu

  • @dollyjohn6811
    @dollyjohn68119 ай бұрын

    Kazimoto oyeee moto umewaka

  • @AnnaSilversubrimanian-iz7oe

    @AnnaSilversubrimanian-iz7oe

    9 ай бұрын

    Hahahahahhaahhaah yaaani kaaaaah

  • @user-he8gu4dr1r
    @user-he8gu4dr1r9 ай бұрын

    Kama katiba inaruhusu ngombea uraisi

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc9 ай бұрын

    PM oyeeeeeeeeee

  • @raymaakijangwa3347
    @raymaakijangwa33479 ай бұрын

    Jengo la kituo cha mabasi tanga kange lina miaka minne haliishi na lipo bara barani wakati lingekamilika serikali ingepata mapato.

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa9 ай бұрын

    Hivi maoni yetu yanasomwa au hayafiki?

  • @AdamSaid-dw9ue
    @AdamSaid-dw9ue9 ай бұрын

    Lakini tume hadi lini namatokeo ya tume yanatolewaga lini na wapi maana hatupatagi majibu

  • @colletatesha5265
    @colletatesha52659 ай бұрын

    Yani vihela vyetu saa nyingine tumelisha jiji huko hatulipwi unadai mpaka unaskia kukata roho unadaiwa masokoni mpaka mahakamani alaf wakurugenzi na wahasibu wanajilipa mamilioni chapchap hili ntafatilia mkuu ukisahau ntakukumbusha

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki35659 ай бұрын

    MH. ANGALIA NA HILI LA MCHUNGAJI MBARIKIWA KUFUNGWA. (Hata kama kweli hana kibali, anachokifanya kina madhara gani kwamba angekuwa na kibali ndo kusingekuwa na shida?)

  • @mdl6463
    @mdl64639 ай бұрын

    Kwa nini msipime tanzania nzima maana watu wanajenga kiholela tu unanua usafiri wako unapack sheli

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything9 ай бұрын

    👍✌️👊.

  • @tariqbathawab1147
    @tariqbathawab11479 ай бұрын

    HONGERA MHESHIMIWA

  • @mwitarajabu2192
    @mwitarajabu21929 ай бұрын

    Waziri mkuu tunakuomba ulidishe nidhamu kazi wamejisaha sana sana

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh9 ай бұрын

    Hii nchi hata tukifika tumeshachoka maana kila siku waziri amekua akiibua maddudu tu hivi tulikosea wp???

  • @leokamil6284
    @leokamil62849 ай бұрын

    Mbona Dar mmebadili maeneo yaliyotengwa kama Shule ya watoto inageuka kuwa makazi

  • @naldclever
    @naldclever9 ай бұрын

    tum bless huyu baba Upresdent 2025 jaman

  • @joojombi2341
    @joojombi23419 ай бұрын

    Why hatua hamchukui mtawahamisha tu then mnawaacha wafukuzwe kazi na wawekwe black list wasipate kazi popote tena

  • @williamkeita1519
    @williamkeita15199 ай бұрын

    Hizo campuni za upimaji dodoma utapeli mtupu mi nililipa mwaka 2018 kwenye account yao mpaka leo bado wanapima tu Chinangali na wanadai pesa zetu zipo kwenye account

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa9 ай бұрын

    Majji hakuna Dodoma na ucheleweshaji hati

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq9 ай бұрын

    Mgogo kwao ni Dodoma anaambiwa kavamia sijuwi katoka wapi mazengo alikuwa akitoka mvumi kuja bomani Kwa mjerumani hapo Kwa waziri mkuu anafikia makuru Kwa chifu biringi alafu asubuhi anapenda bomani miaka ya 1800 Leo hii makuru hapajapimwa wanambiwa wamevamia wgeni wanapewa maeneo niharali sijuwi je?ataweza mnada mpya maandamano

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje53669 ай бұрын

    You remained true alone on oath till today. Tunakuamini na kila la kheri

  • @user-wo2ny4bk4v
    @user-wo2ny4bk4v9 ай бұрын

    Fanya kazi baba tunakuamini

  • @joojombi2341
    @joojombi23419 ай бұрын

    Mbona mmeikatisha hii habari???? Not good enough

  • @user-lf3oe8vq1e
    @user-lf3oe8vq1e9 ай бұрын

    Hongera sana Wazuri Mkuu naomba sana Wazuri Mkuu uwaagize Wakuu wa Mikoa watenge siku Moja ya kuwasikiliza wazee wenye matatizo pia tukumbuke na sisi tunaelekea uzee naomba sana siku Moja tu kila wiki kuwapunguzia matatizo Yao na kujuwa changamoto zao

  • @safiaothman5175
    @safiaothman51759 ай бұрын

    HATI PANDAKIZI NI NYINGI,UCHUNGUZI UFANYWE MALALAMIKO NI MENGI SANA KATIKA HALMASHAUIRI YA JIJI LA DODOMA.

  • @joshuajereman7510
    @joshuajereman75109 ай бұрын

    MUNGU atusaidie uwe japo na wewe katika mbingu

  • @user-uo1dr6xc9g
    @user-uo1dr6xc9g9 ай бұрын

    Baba njoo na igunga

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq9 ай бұрын

    Ngoja tuone ardhi yenyewe wamegawana????? Mnyonge atapata ardhi yake yaani kuludishiwa mafuru ni kiboko wa baharini akiona ardhi anatetemeka abebe mgongoni anatamani mji ungevunjwa wote aanze kuuza viwanja upya ardhi huyu baba ni hatali zaidi mionzi ya nyukria

  • @jacksonsawe2301

    @jacksonsawe2301

    9 ай бұрын

    Mnyama Sana mtu huyu

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi9 ай бұрын

    #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh9 ай бұрын

    Watumishi wa serekali wote ni michongo michongo ya upigaji tu mbona secta binafs husikii kuibiwa ibiwa hivi serekali mnakosea wp

  • @khannasiba8942
    @khannasiba89429 ай бұрын

    Mhe kuna huyu mudy amehusika sana kuuza maeneo na kuleta migogoro ndachi mpk leo wamesababisha haki za watu kupotea

  • @jacksonsawe2301

    @jacksonsawe2301

    9 ай бұрын

    Huyu afungwe harakasana

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole92939 ай бұрын

    Hata msimamishe watu milioni bila kubadili katiba mpya yenye kulinda maadili na uwajibikaji kwa viongozi wakuu wa nchi ni kazi bure. hao watumishi mnawaonea tu, tatizo ni katiba mbovu inayo lea viongozi wakuu walioko ndani ya serikali kuto shitakiwa pindi wanapokosea au kuleta ubadhilifu wa mali za umma. katiba mpya ndio itatengeneza muundo mpya wa usimamiaji rasilimali za nchi kuanzia juu kwa raisi, waziri mkuu, judge mkuu, Spika wa bunge huko ndio kwenye matatizo, muundo ukijengwa huko juu huku chini kote kunakuwa sawa mana tatizo la nchi yetu liko juu katiba kuwakingia kifua viongozi wakuu wa nchi wasishitakiwe hilo ndio tatizo kubwa linalo itafuna nchi yetu. hawa wakurugenzi wa wilaya mnaowasimamisha kazi kila siku mnawaonea tu, tatizo la nchi yetu liko juu huko kwa Rais na serikali yake, bunge, na mahakama hii mihimili ikifanya kazi vizuri bila kuingiliana, nchi hii haitakuwa na ubadhilifu wa rasilimali za nchi tena.( KATIBA MPYA )yenye muundo wa kuleta maadili kwa viongozi wakubwa ndio mwarobaini wa hizo tumbua tumbua zote zinazo endelea kwa wakurugenzi wa wilaya nchini. kwani Mkurugenzi wa wilaya ni mtu mdogo sana hata angetumbuliwa wakati wakubwa huko serikali kuu wanafanya makosa makubwa lakini hawatumbuliwi ni kazi bure

  • @vincentcharles4385

    @vincentcharles4385

    9 ай бұрын

    Wachache watakuelewa

  • @habibukitwana1552

    @habibukitwana1552

    9 ай бұрын

    Ulichokiandika ni tofauti kabisa ndugu yangu katiba hata iwe nzuri VP kama uzarendo hakuna itavunjwa tu, Kenya Kwa Africa hii Wana katiba nzuri sana ila Kenya Inanuka rushwa balaaa, Cha msingi ni uzarendo na uwajibikaji ndy unahitajika zaidi japo katiba itasaidia ,lakini kama uzarendo hakuna itavunjwa duniani watu wanacheza ma mihimili

  • @ramadhanmahongole9293

    @ramadhanmahongole9293

    9 ай бұрын

    @@habibukitwana1552uchu na uroho wa madaraka ndio vimepelekea viongozi wa juu kujifanya wana tumbuatumbua wakurugenzi na walimu wanyonge. katiba imewalinda wao wakifanya makosa hawahukumiwi wala kutumbuliwa maofisini mwao kazi Yao ni kuwaonea mbuzi wa kafara ambao ni wakurugenzi wa wilaya na watu wengine wadogo wadogo kama hao. lakini ripoti ya CAG iliyosema viongozi wa juu wameiba mabilioni ya pesa za umma hakuna hata mmoja aliye tumbuliwa au kung'atuka kwenye nafasi zao ndomana hawapendi kuleta katiba mpya itakayo wapunguzia u mungu mtu wao,... nakama katiba haisaidii kuleta mabadiliko mbona serikali ya ccm hawataki kuleta ndo ujue katiba ina mchango mkubwa wa kuleta mabadiliko wanajua wakileta katiba mpya itakayo jilinda na kupunguza madaraka ya Rais ili asiweze kuingilia mihimili mingine nchi itapiga hatua kimaendeleo tatizo lililipo sasa kwenye katiba hii 1977 ni kwamba katiba yenyewe imeshindwa kujilinda imempa mamlaka makubwa Rais kiasi kwamba anaweza hata kuikanyaga katiba yenyewe iliyo mfanya kuwa Rais na bila kuchukukiwa hatua yoyote ya kisheria mana katiba yenyewe inasema Rais hawezi kuhukumiwa

  • @ramadhanmahongole9293

    @ramadhanmahongole9293

    9 ай бұрын

    @@habibukitwana1552 bila shaka na wewe ni mnufaika wa katiba hii ya 1977 iliyo mfanya Rais kuwa Mungu wa nchi mihimili yote Inapiga magoti kwake hilo ndio tatizo la nchi yetu ndomana unashindwa kupiga hatua kubwa kiuchumi ni kwasababu mihimili miwili inaingiliwa haifanyi kazi yake ipasavyo

  • @kamanapomo7029

    @kamanapomo7029

    9 ай бұрын

    ​@@habibukitwana1552kweli kabisa

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole77149 ай бұрын

    Kuna Dada moja anaitwa stella alikuwa akai ofisini waziri mkuu fuatilia na bella yupo vizuri ila muhoga anawaogopa wakubwa mpeni ukurugenzi atende haki

  • @user-lf3oe8vq1e
    @user-lf3oe8vq1e9 ай бұрын

    Hongera sana Waziri Mkuu pia Wakuu wa Mikoa watenge siku Moja kila wiki ya kuwasikiliza Wazee matatizo yao na kujuwa changamoto za kila eneo,pia na SS tunaelekea huko

  • @mhandondahani2656
    @mhandondahani26569 ай бұрын

    Bora waondolewe tu wametusumbua Sana

Келесі