"TAKUKURU MCHUNGUZENI HUYU" - WAZIRI MKUU KWA HASIRA AANIKA MADUDU YA AFISA ARDHI

"TAKUKURU MCHUNGUZENI HUYU" - WAZIRI MKUU KWA HASIRA AANIKA MADUDU YA AFISA ARDHI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 337

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 Жыл бұрын

    @ Mungu akubaliki kwa kazi nzur kama umefrahia mamzi ya waziri mkuu like hapo chin

  • @tonypaul426
    @tonypaul426 Жыл бұрын

    NamkubaL huyu mwamba .....MUNGU akulinde FATHER✊✊

  • @jacksonjamesndyabawe495

    @jacksonjamesndyabawe495

    Жыл бұрын

    Mungu Akupe uraisi WA inchi

  • @HenryCastuli-jz3cx

    @HenryCastuli-jz3cx

    3 ай бұрын

    Anafaa kuwa rais wa tanzania

  • @khalidkhalfan1556
    @khalidkhalfan1556 Жыл бұрын

    Kawaida ya watu wazuli kama awa uwa awadumu wabaya ndio wanadum baba nakuombea dua allah akupe uongozi mkubwa yani mimi nataka uwe Rise. Wa Tanzania

  • @mossyfimbo3577

    @mossyfimbo3577

    Жыл бұрын

    Tuwaombee watu kama hao Mwenyeezimungu Baba awarehemu na azidi kuwatunza

  • @eliasbadyana

    @eliasbadyana

    Жыл бұрын

    Huyu baba ni roho ya JPM.Ila manyang'au hawatomwacha Salama maana wanahofia anaweza kujakuwa rais wahii nchi mwisho wasiku akawafirimba.

  • @awadhally1052

    @awadhally1052

    Жыл бұрын

    Amiin

  • @arafaahmed3567

    @arafaahmed3567

    Жыл бұрын

    Hiyo ndio kazi yao wezi wakubwa has baba njoo Tanga uwone wezi wengi hukuhasa has wa halmashauri wanauza kama vyao

  • @calvinloveambroce842

    @calvinloveambroce842

    Жыл бұрын

    Uje na morogoro jaman kuna shida kubwa ya ardhi

  • @absalomnamoyo7176
    @absalomnamoyo7176 Жыл бұрын

    Safi sana waziri mkuu Mungu akulinde sana

  • @pascalngalawapascalngalawa5714
    @pascalngalawapascalngalawa5714 Жыл бұрын

    Wazir siku zote uko sawa sana kaka kiukweli umekua hazina yetu kaka mungu Azidi kuku weka

  • @munaahmed8499
    @munaahmed849911 ай бұрын

    Mtoto wa Rais Magufuli ndio huyu masha Allaah kwa watu wenye akili tunaeleea na tunaomba dua aje kuwa Rais wetu

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 Жыл бұрын

    Aliekuteua aliona ktu ndan Yako mheshiniw. Ni vile TU katiba lkn ungevaa vizur sana viatu vya hayati mpendwa wetu. Naamin weng wetu tunataman utie Nia

  • @mohamseyf6243

    @mohamseyf6243

    Жыл бұрын

    Mimi hii njemba nilikua naiona 2025 kama raisi,ila mungu ndo mpangaji wa Kila kitu.

  • @witnessmmari9902

    @witnessmmari9902

    10 ай бұрын

    katiba hairuhusu, Lazma agombee mama,

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 Жыл бұрын

    RIP John Magufuli, Majaliwa wewe ndo tegemeo letu katika nchi hii my Allah protect you Insh'Allah

  • @yapukahassan

    @yapukahassan

    10 ай бұрын

    Huyu muongo 2 na nimnafiki

  • @khalidkhalfan1556
    @khalidkhalfan1556 Жыл бұрын

    Nawewe baba allah kama ndio anakupa nafasi hiii nnaimani hii nchi mafanilio yetu yatakuwa Kama Korea China urusi Japani yani itakuwa nchi ya juu japo nchi za kiafrika lakini itakuwa nchi yenye uwezo mkubwa big up baba Allah akupe moyo uwouwo

  • @thomastarimo

    @thomastarimo

    Жыл бұрын

    Mweshimiwa huyo achunguzwe na takukuru kwanza mengine ya fate

  • @arafaahmed3567

    @arafaahmed3567

    Жыл бұрын

    Njooni tanga mheshimiwa waziristan mkuu njooooooo

  • @omarihaji9264

    @omarihaji9264

    9 ай бұрын

    Majaliwa wewe ni muhimu sasa na ktk hii nch

  • @omarihaji9264

    @omarihaji9264

    9 ай бұрын

    W mkuu kashakua na uhakika uchunguzi wann

  • @rajabushabani6962
    @rajabushabani6962 Жыл бұрын

    Nakukubari sana sana Mh: Waziri Mkuu Allah akujaarie na moyo huwo howo Amiina!

  • @joshuakigola6823
    @joshuakigola6823 Жыл бұрын

    He deserves to be a president so kwa kuimbiwa mapambio ni kwa kazi yake

  • @ELEONORARUBANZA
    @ELEONORARUBANZAАй бұрын

    Genius Kasim Majaliwa sema daaaaah juu wana kukazia HUJAWAH ONEA MTUU NA HUTO ONEA MTUU Ishii sanaa jembe

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Жыл бұрын

    Mungu akulinde mkuu uwe na afya njema Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake

  • @HusseinRj
    @HusseinRj Жыл бұрын

    Allah akujaalie afya imara na Maisha marefu

  • @adamsondishon
    @adamsondishon Жыл бұрын

    i wish you to be president 2025 you real deserve

  • @user-hs3er9ed6l
    @user-hs3er9ed6l3 ай бұрын

    Mungu akulinde baba mimi iko nafasi nakuombea kwa MUNGU iko siku nitakukumbusha ikiwa mungu atakuwa ameniweka uko cku za mbele

  • @user-eq9lw9ju1l
    @user-eq9lw9ju1l10 ай бұрын

    Hongera sana mh. Waziri mkuu tunahitaji utumishi uliotukuka na kujali wananchi wanyonge. Utabarikiwa zaidi.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Жыл бұрын

    Hongera sn Waziri Mkuu, Magu alikulea kutumikia wananchi. Big up.

  • @mgungachannel9280
    @mgungachannel9280 Жыл бұрын

    Naomba jamani naitwa Ali Mwamgunga kutoka Kenya. Naomba habar yngu ombi langu limfikie naomba kufika Tanzania au aje kuniona napenda kazi yake pia naipenda Tanzania.

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi20384 ай бұрын

    Kaka uko vizuri 🙏🙏 Mwenyezi Mungu akuongezee umri 🙏🙏 msaidie mama yetu 🙏 gurudumu la maendeleo ya taifa letu 🙏🙏

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 Жыл бұрын

    Safi sana MH.Majaliwa,mungu akubariki sana

  • @waziriramadhani1186
    @waziriramadhani118611 күн бұрын

    Asante kiongozi,mungu Akupe umri mrefu,Tunateseka watu wa hali ya chini

  • @hildapenina815
    @hildapenina815 Жыл бұрын

    Yan majaliw ungekuwa raisi ww da Tanzania tungekuwa uchumi wa Kat da mungu kwa nn akukuchaguwa kuwa raisi wa nchi hii mungu akupe maisha marefu baba

  • @nadirdoody7955
    @nadirdoody79553 ай бұрын

    Amen amen waziri mkuuu amen mungu akulinde amen

  • @user-oj3fq4pi2u
    @user-oj3fq4pi2u10 ай бұрын

    Hongera Waziri Mkuu Majaliwa, ndiye Mkombozi katika Wachache tunawategemea...Uchaguzi ujao hebu Omba nafasi ya Urais tunakihitaji Mzee baba!!!!!

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 Жыл бұрын

    Big up waziri mkuu kipenzi Cha wa Tanzania

  • @user-dx9gf7vx1r
    @user-dx9gf7vx1r4 ай бұрын

    Mhe/ Waziri Mkuu hongera kwa utatuzi wa mgogoro. Mhe peteni mikoani kujionea uhallisia wa watumishi wa Ardhi. Wanajiita watoto wa wakubwa

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 Жыл бұрын

    Menyezimungu akupe umri mrefu wenye baraka mh waziri mkuu,tunakufuatilia kwa umakini Sana, kiukweli wewe umeonesha kuijali hii nchi na wananchi wake,siku moja utaiongoza nchi hii inshaallah

  • @amosmbangala9079

    @amosmbangala9079

    Жыл бұрын

    Tunakuomba uje njombe kunamatatizo mazito nakaimu mkuu wa idara ya aridhi anahujumu aridhi kwamasikini nakuwapa matajili kulipa fidia hewa nyingi

  • @patriciamuganda4498

    @patriciamuganda4498

    10 ай бұрын

    Msimfuatilie tu na nyingi unganeni nae kukemea ufisadi na dhuluma. Jukumu la kudhibiti ufisadi si la Waziri Mkuu tu. Ni la Wananchi wote wa Tanzania. Penye wengine Pana nguvu.

  • @user-gx2do8ls8z

    @user-gx2do8ls8z

    9 ай бұрын

    Wengine mungu awapumzishe tena inatosha hawana faida kwa mungu hata kwa binadamu pia

  • @salem9874
    @salem9874 Жыл бұрын

    Big up Majaliwa

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Жыл бұрын

    Nakuombea kwa mungu akupe uhai mrefu afya njema waziri mkuu wetu ili uje kuwa raisi wetu wa baadae.

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo10 ай бұрын

    HONGERA SANA Mh. WAZIRI. KUPO VIZURI. KAMA SISI WANYALU. NYEUPE NI NYEUP NA NYEUSI NI NYEUSI. MUNGU AKUONGOZE Mh. WAZIRI MKUU. ASANTE.

  • @daud405
    @daud405 Жыл бұрын

    Majaliwa,Allah akulinde... product of mpendwa wetu Magu. ninaimani anaongoza malaika mbiguni

  • @adolfmathew9698

    @adolfmathew9698

    Жыл бұрын

    Jifunze namna Bora na sahihi ya KUFIKIRI. Then uwe na mipaka ya KUFIKIRI

  • @hajjiomary2383

    @hajjiomary2383

    Жыл бұрын

    Akuna mtu anaweza kuongoza malaika brother soma dini yako vizuri

  • @adolfmathew9698

    @adolfmathew9698

    Жыл бұрын

    @@hajjiomary2383 mpe elimu huyo kavuka mipaka kbs

  • @mudighurayra

    @mudighurayra

    Жыл бұрын

    Labda anakula msoto

  • @adolfmathew9698

    @adolfmathew9698

    Жыл бұрын

    @@mudighurayra akili imegoma kufanya kazi labda akaishia kuwaza ivyo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Жыл бұрын

    Allah atulindie kwauwezo wake huyu kiongozi wetu mpendwa. Kipenzi cha wapenda haki wa Tz.. Amyn🤲endeleakutenda haki usifemoyokwa maneno yawatu wabaya Allah atakulipa heri maana cheoni zamana. Kwa Allah zidikutendahaki tunakuombea wazilimkuu. Wetu

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 Жыл бұрын

    Magufuli anaishi ndani ya Majaliwa" siku yako itafika utaturudisha,alipoachia bulldozer, chapa kazi Mkuu

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu8 ай бұрын

    Mzee MAGU alionambali na alikufaamuvyema unastaili mungu akupe maisha marefu na ninakuombea kwa mungu ili sikumoja ujekuwa raisi.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Жыл бұрын

    Mungu akusaidie kaka yangu majaliwa mungu akulinde washuhulikie madhalimu mungu atasima na wewe mungu akulinde ntakuja kukusalimia njumbani kwako ruwangwa napajua usiwaonee aibu mungu tusaidie tanzania

  • @athumanmfangavu7320
    @athumanmfangavu73205 ай бұрын

    Hongera mama Samia na watendaji wako kwani mnakazi kubwa Sana yakuletea maendeleo❤

  • @jamalhamisi5559
    @jamalhamisi55594 ай бұрын

    Alla akulinde muheshimiwa waziri mkuu

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 Жыл бұрын

    Nakupenda sana majaliwa wewe ni zaidi ya alama kubwa ktk TAIFA letu Mungu akulinde

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 Жыл бұрын

    YANI HILI NDO JEMBE(MAN AT WORK), asante Babangu.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Жыл бұрын

    majaliwa kama majaliwa ungekua karibu ningekupa zawadi ya muindi wa kuchoma na maji baridiiii

  • @yordanyona1234

    @yordanyona1234

    Жыл бұрын

    ili awe Raisi maana wengi wala mahindi wengi wamekuwa maraisi

  • @tonypaul426
    @tonypaul426 Жыл бұрын

    2025 tunakuhitaj FATHER✊✊

  • @salimusalim3610

    @salimusalim3610

    Жыл бұрын

    Waziri mkuu anaendana nakasi anayotaka rais samia MUNGU awape nguvu ktk uongozi wao na viongozi wengine

  • @amanijm746
    @amanijm746 Жыл бұрын

    Majaliwa tunamuombea MUNGU amtunze. Ila kwa mfumo wa chama cha mbuzi, atapigwa chini mda sio mrefu. Next round harudi.

  • @eliasbadyana

    @eliasbadyana

    Жыл бұрын

    Cyokupgwa chin tu yanaweza yakamkuta yaliyomkuta jpm.maana huyu akiwa rais wanch anaweza kuzuia watu wasilambe asali.

  • @hamidahamis4537
    @hamidahamis4537 Жыл бұрын

    Hakika Mungu Anamakusudi Kukuleta hapa Duniani waziri wetu Mkuu Mungu akubariki wa zazi wako. Wewe Ni baba wa wanyonge

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 Жыл бұрын

    Nasikiliza hiki kitu namkumbuka magufuli machozi yanataka kunitoka kabisa.

  • @hanifatanzania7258

    @hanifatanzania7258

    Жыл бұрын

    Pole yani katuachia jembe kama yeye

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y9 ай бұрын

    Waziri wetu njoo nakasulu baba utusaidie tunadhurumiwa njoo njoo na mungu., Akubariki sana

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 Жыл бұрын

    Ila nawaza tu ungekuwa mr prezidaa da nimemis hali hii🔥

  • @mohammednassor8167
    @mohammednassor8167 Жыл бұрын

    Ahsante sana mh waziri mkuu kwa kusimamia haki mungu atakuvusha aaameen

  • @bilo1106
    @bilo11069 ай бұрын

    Tanzanian naipenda sana na huwaza wao mwenyezi mungu hawabariki sana..

  • @pasuabozi-df9wy
    @pasuabozi-df9wy Жыл бұрын

    Nakuombea kwa mungu uje kuwa ulaisi wa jamuhuli ya muungano wa tanzania tia nia mzeee inshalhaa

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile396610 ай бұрын

    Waziri mkuu nakupenda sana, huyo ni tapeli, ndio wasiotutakia mema wananchi wa taifa hili.

  • @andersonmutta3807
    @andersonmutta3807 Жыл бұрын

    M/MUNGU akupe afya njema Hon. PM Kassim Imani yangu siku Moja utakuja kuwa top leader kwenye hii nchi.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Жыл бұрын

    BABA majaliwa Mungu akupe umri mrefu

  • @hassanikanjesikiwallekiwal9826
    @hassanikanjesikiwallekiwal9826 Жыл бұрын

    Lailah ilalah.muhamadi.rasulilah.mwenyezi.mungu.akulinde.nakukujakia.maisha.marefu.waziri.wetu

  • @JoshuaMartin-qk3ev
    @JoshuaMartin-qk3ev Жыл бұрын

    Mwaka 2025 ebu jitose kupambania urais, ss ndo tunakuelewa kuliko mwanasiasa yyte

  • @Athumanibandima-kx4qs
    @Athumanibandima-kx4qs4 ай бұрын

    Waziri mku majaliwa mungu akubariki tenda haki mkuu

  • @venturejackson6357
    @venturejackson6357 Жыл бұрын

    Kama mwenyezi mungu ansikia maombi yetu tafadhali 2025 atupatie wewe majaliwa yaan dah 😭😭😭

  • @user-hv7pw6ih5v
    @user-hv7pw6ih5v9 ай бұрын

    Hongera sana Waziri Mkuu wewe na Rais Samia kazeeni uzi wamezidi kunyanyasa wananchi Asante sana Mungu awalinde na hao mabeberu

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi499 ай бұрын

    Mola akubariki sana

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar56329 ай бұрын

    Asante waziri mkuu kwa maamuzi yako maduri,Jpm alipokutèua alijua unafaa katika nafasi hiyo! tatizo ni pale ulipoungana na mfumo wa ccm iliyopo madarakani na kumsaliti mpendwa wetu jpm! nakumbuka wewe ndiye uliyesimama na kuwadanganya wananchi kwamba jpm ni mzima na anaendelea na majukumu yake ya ndani kumbe ameshakufa! baada ya siku chache mkatangaza kwamba alikuwa anaumwa na amefariki! hayo yote tunayakumbuka! Mgogoro wa Ngorongoro ulisimama Bungeni na kutangaza hakuna tatizo Ngorongoro wakati kuna vurugu kati ya askari na Wananchi na askari akachomwa mshale na kufa! Hivyo endelea kupambana mkuu ila Mungu ndiye atakaeamua kiongozi ajaye! Maana kuna damu inawalilia pamoja na Wananchi wanaodhurumiwa kila siku ardhi zao na haki zao katika Taifa hili! Na serikali ipo na viongozi mpo mnawaza kujinufaisha wenyewe na vizazi nyenu! Kila kona ya Nchi ni dhuruma kwa Wananchi! Wizara ya ardhi imejaa dhuruma Nchi nzima ndiyo inayoongoza kwa migogoro ya ardhi na dhuruma! chunguza kila mkoa, kila wilaya, kila kata, kila kijiji, mtabaini dhuruma hizo!

  • @mwitasteven8759
    @mwitasteven8759 Жыл бұрын

    Duh huyu mtu ni hatari sana. Fikiria mtu kama huyu ndiyo awe kiongozi wa taifa atajimilikisha kila siku kitu huyu ni zaidi ya mbinafsi

  • @enockngande9114
    @enockngande9114 Жыл бұрын

    Jamani tumia mishahara yenu vizuri tamaa zenu zina waponza kuna watu wanatamani hata hizo nafasi hawazipati

  • @jamesmayala5491
    @jamesmayala5491 Жыл бұрын

    The next big thing

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 Жыл бұрын

    Nataman wampe dhamana 2025. Yan atapita bila kupingwa huyu mwamba. Watu wa chini hawana kauli kabisa tokea mzee aondoke. We need this man

  • @blanikamgaya-hh6ie
    @blanikamgaya-hh6ie9 ай бұрын

    Mungu akubaliki majaliwa

  • @magrethmeela154
    @magrethmeela154 Жыл бұрын

    Haya niyakweli MH waziri mkuu wapo wengi. Mwingine ni Mwenyekiti Baraza la Ardhi mkoa mza

  • @RamadhaniShembillu
    @RamadhaniShembillu9 ай бұрын

    WADAUEEEE HUYU NDIE ANAETUFAA KUA RAISI WA TANZANIAN 🇹🇿, EWEMUNGU .TWAKUOMBA UTUPE MTUHUYU AWE RAISI WETUUU. SEMENI ANIIIN

  • @emmanuelmatogolo5869
    @emmanuelmatogolo5869 Жыл бұрын

    Mh. Waziri Mkuu tuna kuomba sana huu mkoa wa Katavi una madudu mengi sana, na ufisadi mkubwa naomba chunguza kila idara hapa katavi

  • @yassinimahawe7785
    @yassinimahawe7785 Жыл бұрын

    Hongera sana wazir mkuu soo President

  • @bakarikombo6279
    @bakarikombo6279 Жыл бұрын

    Waziri mkuu kama huyu tumlinde kwa nguvu zetu zote

  • @sabratally7688
    @sabratally768810 ай бұрын

    Nakuona mbali sana baba mungu akupe neema ya ajabu

  • @wismankamendu6264
    @wismankamendu6264 Жыл бұрын

    Wazili mkuu yukoo vizuri sana

  • @adamufundikira7878
    @adamufundikira7878 Жыл бұрын

    Duh asante Mungu kwa mtu kama majaliwa

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 Жыл бұрын

    Ubarikiwe waziri kwa utumishi

  • @zuberyshabaniiddy
    @zuberyshabaniiddy Жыл бұрын

    Mungu akulinde

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Жыл бұрын

    Waziry 💖💖💖💖👏👏👏huyo tapeli

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 Жыл бұрын

    Harakati ngumu sana Mzee Wacha he sana tena sana Hunter never tired

  • @cosmasathanas1184
    @cosmasathanas1184 Жыл бұрын

    Hongera Sana kwakazizur unayofanya muheshimiwa

  • @maukwemaukwe2075
    @maukwemaukwe20759 ай бұрын

    Mhers hawa wanajua sio bumbu wanatania serikali turudi wakati wa baba wa taifa pesa kapata wapi na huyo mtumishi wa serikali mshahara unajulikana .kama hakuna kufungana watachezia serikali shukurani kwa waziri mkuu mungu akupe afya telee

  • @marymuna5810
    @marymuna5810 Жыл бұрын

    Ewe mwenyezi Mungu mlinde mtu huyu wale masta plani wasimone mfunike kwa utukufu wako wasimwone mwana wa Africa

  • @zlatanibra4791
    @zlatanibra4791 Жыл бұрын

    mungu amueke waziri wetu

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 Жыл бұрын

    Weka ndani huyo

  • @jumanamwasa-iw2zn
    @jumanamwasa-iw2zn9 ай бұрын

    Mungu awe na wwe mkuu wetu ww ndo kiongoz

  • @tumainikilembe1008
    @tumainikilembe1008 Жыл бұрын

    Mungu akubariki waziri mkuu

  • @ip_header
    @ip_header Жыл бұрын

    Mafisadi wapo wengi. Dawa ni kupambana nao mpaka mwisho. Nchi hii inawatu wenye roho za kinyama, wao wanajali matumbo yako kila kukicha. Watendaji wa Ardhi ndio washenzi kupita maelezo.

  • @prophetzakayomkemwa5154
    @prophetzakayomkemwa5154 Жыл бұрын

    Safi Sana waziri mkuu majaliwa unaweza

  • @jumakasentsent4464
    @jumakasentsent4464 Жыл бұрын

    Mwenyezimungu tupe Majaliwa

  • @sadicksanga6034
    @sadicksanga603410 ай бұрын

    Hongera sana waziri mkuu nataman uzunguke mikoa yote mana hayo maroho ya ubinafsi yapo meng sana njoo hata huku iringaa ujionee

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын

    Piga chini tatizo la kuwahamisha kazi kutoka eneo moja kwenda lingine ,piga chini mkuu

  • @dolomentfrance418
    @dolomentfrance418 Жыл бұрын

    Mahufuri katuachia mbegu njema

  • @AnnaKillo-bo7cx
    @AnnaKillo-bo7cx8 ай бұрын

    Huyu baba ni mzuri anafuata nyayo za Magufuli kilichomponza ni kitu kidogo tu. Kujumuika kwenye bandari ila pia ninawasiwasi sidhani kama moyoni mwake ameruhusu bandari zitaifishwe ila kwakuwa hana kauli mwenye kauli ni mama. Sidhani yeye kama yeye amependa

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi9 ай бұрын

    kwa hili.nakupa hongera

  • @skylove5146
    @skylove5146 Жыл бұрын

    Ww ndo ndomzalendo wa kweli

  • @mikejohn7423

    @mikejohn7423

    Жыл бұрын

    Shughulikia na pesa.zinazopigwa na mawaziri na maofisa wakubwa badala.ya kuwafuatilia hawa wadogo na.kuonyesha ukali.

  • @mathiasulaiti5665
    @mathiasulaiti5665 Жыл бұрын

    Dah nimefarijika sana na uongozi wako mzee majaliwa, na ww afisa mipango miji mzee ameongea maneno mazito sana. ni vyema kuomba radhi wananchi na ufanye toba. maana kama kweli wafanya hivyo huo ni ukabaila.,

  • @pascaltatok8462
    @pascaltatok8462 Жыл бұрын

    Huyu ndo kiongozi mwenye uzalendo na nchi hii

  • @merengosimion5999
    @merengosimion5999 Жыл бұрын

    Mungu akubariki mheshimiwa waziri unamoyo wakusaidia wananchi 2025 gombea

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Жыл бұрын

    Kwanini usije kilosa mbonahayo unayosema ndioyametawala

  • @gaspamwamlima6942
    @gaspamwamlima6942 Жыл бұрын

    Nakukubali sana

  • @lightnessreuben9202
    @lightnessreuben9202 Жыл бұрын

    Hongera Sana kiongoz sahihi

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын

    KUNA HAJA YA KUPITIA UPYA CURRICULUMS ZA VYUO VYA ARDHI. Haiwezekani kila wanapokwenda wanatengeneza mgogoro wa ardhi. Watumishi wa ardhi.

Келесі