Haiti Taifa Liloshindwa? Visa Vya Ukoloni, Uhaini,Udikteta,Ufisadi Mpaka Ubabe wa Magenge ya Uhalifu

Nchi Haiti yenye idadi ya watu takribani milioni 11 ni moja ya nchi iliyopo katika eneo la Bahari ya Karibiani, kwa hivi sasa inakabiliwa na hali mbaya ya mchafuko yanayosababishwa na makundi ya kihalifu kushikilia maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Takribani asilimia 80 ya maeneo ya mji mkuu wake wa Port u Prince wenye watu milioni 1.2 yanashikiliwa na makundi ya kihalifu huku Serikali ikidhibiti eneo la mji mkuu kwa asilimia 20 tu.
Ni katika kipindi kifupi tangu kuanza kwa mwaka huu Umoja wa Mataifa unakadiria takribani watu 2,500 wamepoteza maisha, na wengine zaidi ya laki tatu wameyakimbia makazi yao tangu magenge hayo ya kihalifu yavamie vituo mbalimbali vya Polisi na kufunga mitaa kushinikiza Serikali ya mpito ya nchi hiyo kuachia madaraka.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 3

  • @MassoudMaghwaly-jo8sh
    @MassoudMaghwaly-jo8sh6 күн бұрын

    Tanzania pakujifunza hapa😢

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio40544 күн бұрын

    TANZANIA TUNATAKA RAIS KAMA MAKONDA SIO IVYO KITANUKA MBELENI 😂😂😂

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd6 күн бұрын

    bado tz viongozi wa tz wana lewa madaraka, vibaya na ayo ndio malipo yake, ipo siku vijana wa tz watatekeleza aya, viongozi tafakarini aya.