CHECHE za SUGU BUNGENI Leo, Avuruga BUNGE, MAWAZIRI 3 WAMTULIZA - "Msimtaje MAGUFULI Hapa"

CHECHE za SUGU BUNGENI Leo, Avuruga BUNGE, MAWAZIRI 3 WAMTULIZA - "Msimtaje MAGUFULI Hapa"
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'SUGU', ameitaka serikali kutoa fursa za ajira kwa wahitimu wengi kwani sekta ya afya inakabiliwa na ukosefu wa wataalamu wa afya licha ya kujenga vituo vingi vya afya nchini..
#BUNGENIDODOMA
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
kzread.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzread.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzread.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
kzread.info?list...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 109

  • @gervasmoses9175
    @gervasmoses91754 жыл бұрын

    God bless u sugu ,sijutii kukupa kula yang na mwaka huu 2020 lazima nikupe

  • @gililwise
    @gililwise4 жыл бұрын

    Roho wa Mungu i juu yako sugu sema mwanangu kama hawatakusikia Mungu atakuinua kwa kuwatetea waja wake.

  • @winiemusa1882
    @winiemusa18824 жыл бұрын

    Babaangu alikua mwalim mkuu alitaka kufa hana damu tukauziwa dam hospital ya selikal Lita mbili elufu 80 kuna bima hapo a see sugu safi sana

  • @allymhinga2703
    @allymhinga27034 жыл бұрын

    Tungepata wabunge wanaochaguliwa na wananchi kama sugu nchi hii ingepiga hatua sana, leo hii waziri Ummy aliamua kufuata maoni ya muheshimiwa sugu kweli sugu uko vizur sana

  • @jafarilutavi2904
    @jafarilutavi29044 жыл бұрын

    Hii nchi imejaa uongo na na ulaghai wa hali ya juu yaan waziri na naibu waziri wake wanathubutu kudanganya wazi tena bungeni wakati kuna wagonjwa huku wanahangaika na ndugu wanakuwa omba omba kwasababu ya wao kushindwa kufidia gharama zinazozidi za matibabu. Ifahamike kama taasisi haiwezi kubeba mzigo mkubwa wa gharama za matibabu la sivyo wakibase kwenye kulipia hizo gharama hospitali zote zitafungwa. Ndugu mawaziri tuache uongo.

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka44664 жыл бұрын

    Point on Point Safi Sanaa Mhe. Sugu

  • @saidimacho6517
    @saidimacho65174 жыл бұрын

    Mie naona hii ni agenda mahususi pindi mpinzani anaposema ukweli basi Hawa mjamaa uleta Taarifa muda wake wishe HII NI MIPANGO YA CHAMA MCC

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon98234 жыл бұрын

    Mimi ni ccm damudamu lkn Ummy sioni kabisa utendaji wako wa kazi. Kila siku zimepelekwa bilioni bilioni bilioni, lkn hufanyi ufuatiliaji kama mawaziri wengine, kutwa unang'ang'ana na misafara ya mkuu tu, una shida gani? Kwenye vituo vya Afya, zahanati na Hospital kuna kazii kubwa na nyingi mno mnazozuazua kuandaa marejeta yenye kuhitajika kujazwa mambo kitita bila kuzingatia mteja au mgonjwa ataangaliwa vipi kwa undani juu ya afya yake. Mtumishi huishia kuinamia rejesta kuijaza tu muda mwingi. Na hao wenye kuunda hizo rejesta ukiwafuatilia au ukimwambia akafanye yeye kwa vitendo hawezi thubutu hata kidogo. Lakini kwa hilo ni nani alione? Mpo kukimbia kimbia tu na kusifia fedha kwenda mahospitalini. Ukiangalia zinafanya kazi hizo pesa ipasavyo? Rais anafanya kazi kubwa sana sana, lkn ninyi watendaji mnamtia DOA . Ningekuwa Mimi ndio Rais wewe mama ningelikutoa na kumpa Dr. Mmoja huko wizarani anaitwa Lothi naamini hii wizara ingebadilika haraka zaidi kulingana na kasi ya Dr. Burudoza Magufuli. Ummy hufanyi kazi kelele tu.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    4 жыл бұрын

    Ukitaka kumuombea kazi mtu huna haja ya kuponda wengine.

  • @MustafaAli-bs6mb

    @MustafaAli-bs6mb

    4 жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @margarethsolomon9823

    @margarethsolomon9823

    4 жыл бұрын

    @@hajihassan5433 sijamwombea kazi MTU hapo. Maombi hutumwa rasmi, sio kwa kupitia mtandaoni. Tunaangalia utendaji wa watu na ulinganisho.. Na kama anaboronga ni haki kumponda.

  • @judithbenedict4217
    @judithbenedict42174 жыл бұрын

    Ni ukeli mh mbilinyi mbona kwenye bank ya NMB ukifa ukiwa ulichukua mkopo na haujaisha unasamehewa na mkopa unafutwa vipi huko kwenye wizara ya afya wasiige mfano huo??

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula75724 жыл бұрын

    Sugu. NDIO. Mwakilishi. Wa. WANAINCH. HAPO. WENGINE. Wanatetea. Tumbo. Lao. Unawezaje. KUIKATAA. AU. Kubisha. MAUTI. Hazinganganiwi..

  • @rehemashabani7411
    @rehemashabani74113 жыл бұрын

    Mueshi miwa sungu nakupenda sn

  • @ruthpaulo8308
    @ruthpaulo83084 жыл бұрын

    Kwenye sekta ya afya kuna tatizo kubwa wallahi ukiwa unauguza mgonjwa ndio utajua.vifo vingi vinatokea kwa uzembe,wauguzi kuweni na huruma na pia muogopeni Mungu.

  • @jesusfirst8464
    @jesusfirst84644 жыл бұрын

    Chadema ndio chama angalifu kwa raia Tz.

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman4 жыл бұрын

    Hata mie sipokei Taarifa hiyo kwa Kusema walimu wanapata insurence na stahiki vzr. Mnakula wenyewe.. Ktk sector ambayo watu wake hawathaminiwi ni sector ya elimu. Walimu hawana thamani

  • @lucasmourice8347
    @lucasmourice83474 жыл бұрын

    Kwa mara ya kwanza unaongea vizur hakuna kupanic wala kuonge kihuni

  • @brightonngowo5629
    @brightonngowo56294 жыл бұрын

    Apo hakuna chadema Wala ccm alaf watu wadodoma wanajua Hali iliyopo jenero nimbaya sana

  • @blastermkama7579
    @blastermkama75794 жыл бұрын

    Tatizo wabunge w ccm mnaitetea selikali yaani mpo kichama

  • @muddyhassan5130
    @muddyhassan51304 жыл бұрын

    Iyo nikweli aise sie tulimpeleka mtoto mdgo wa miaka minne saa1 usiku muhimbili akafa saa 6 usiku haki mungu shaidi walitaka 450k tukaja toa 2k saa 11 jioni tumezika saa 1: 00 usiku sugu haja kosea

  • @farhatfatma12

    @farhatfatma12

    4 жыл бұрын

    Poleni.

  • @muddyhassan5130

    @muddyhassan5130

    4 жыл бұрын

    Tume muachia mungu atawalipa malipo yao InshaAllah

  • @bunnasib1961
    @bunnasib19614 жыл бұрын

    Yale wamemlia Muda wake alafu eti wanasema Muda umeisha Hawa jamaa bana

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery4 жыл бұрын

    Keep it up Sugu!!!

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek5084 жыл бұрын

    Taarifa Mh. Spika, Taarifa tafadhali 😂😂😂😂😂😂😂

  • @godfreythomas3931
    @godfreythomas39314 жыл бұрын

    Sugu leo wamekubal maiti free safi bilawewe tungeteseka

  • @maryamali9229
    @maryamali92294 жыл бұрын

    Songo songo hk hakuna spitali wala kituo cha polisi ,na watu wanauza mambo machafu hatari ,ht kwa wtt spitali nikitu muhimu mimi mwanangu alipelekwa akiwa na umri wa miaka 4 tukaangishwa vibaya sn, usk kucha

  • @florianmakwinya6237
    @florianmakwinya62374 жыл бұрын

    Ummy mwalimu jitathimin ww ndio waziri wa afya..uspanic sana sikiriza kwaumakini msaidie ambaye hanaa..

  • @florianmakwinya6237
    @florianmakwinya62374 жыл бұрын

    Mheshimiwa Joseph mbilinyi upo sahihi sana sisi samaki hatuna sautii tunaomba tu mtusaidie sanaa..mheshimiwa ummy mwalimu na mheshiwa mavinde myasikirize kwa umakini

  • @kingdonald3312
    @kingdonald33124 жыл бұрын

    aisee noma sana

  • @dorcasnzioka95
    @dorcasnzioka954 жыл бұрын

    Uko Sawa kabisa wapashe

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala56144 жыл бұрын

    Mmmh!!! Kwa hili Sugu upo sawa, hata Bima zetu kuna matibabu ambayo hazimudu, na usipokee taarifa za upotoshaji kama hizo

  • @simonimwanamasi6527

    @simonimwanamasi6527

    4 жыл бұрын

    Sugu sugu sugu uko vizuri sana

  • @tinajoe5487
    @tinajoe54874 жыл бұрын

    Swala la hospital msifanyie mzaa swala la hospital majengo yanatosha tunahitaji watenda kazi.

  • @godfreysimfukwe4708
    @godfreysimfukwe47084 жыл бұрын

    Majukum!👍

  • @ezekielsamky6155
    @ezekielsamky61553 жыл бұрын

    Sugu...god bless u 2020🙏🙏🙏

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele5214 жыл бұрын

    Maana halisi ya Upinzani bungeni

  • @saidymohamedy5810
    @saidymohamedy58103 жыл бұрын

    Sio kweli muheshimiw hapotosh bali ndo uhalisia ukienda hospital ya serikari daw unaend kununua maduka ya daw ya praiveti wana share nao hatujui au laa kwahiy muheshimiw alichozungumza ni sahii said mohamed chalinze

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott33254 жыл бұрын

    We omi mnafki ukienda unatibiwa ww labda kw7 niwazili sugu yupo sahihi kiukweli maosptal watu wachini wanapata shida saana aisee.kwanza osptali za selikali kiukweli matibabu hamna kabisa aisee tuache masihala wabunge wanafki acheni kutetea ujinga.

  • @medsonphilemon2700
    @medsonphilemon27004 жыл бұрын

    Sugu utabaki kuwa sugu vzr sana

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma60514 жыл бұрын

    Huyu mama ana dhambi ila mungu anamuona

  • @saidimacho6517
    @saidimacho65174 жыл бұрын

    Unajua tatizo hizi siasa zetu Sugu anaongea sawa Lakini anakwamisha na miongozo

  • @godfreysimfukwe4708
    @godfreysimfukwe47084 жыл бұрын

    👍

  • @fredmbossa
    @fredmbossa3 жыл бұрын

    Bima ya afya yenyewe ukitaka iandikiwe sindano uchomwi,,masharti mengi yani ni vidonge tu,,,

  • @awadhishechambo3426
    @awadhishechambo34264 жыл бұрын

    wewe umi acha uongo mimi mwanangu miaka mitano amerudushwa bombo sina pesa ana henia kazaliwa nayo mpaka nimeomba msaada taasisi ya kiislam ndio walio mtibu mwanangu unaleta siasa hadi kwenye maisha yawatu mungu atawahukum inshallah

  • @lucksonkaleshi539
    @lucksonkaleshi5394 жыл бұрын

    Matibabu ni gharama mno. Hamna upotoshwaji hapo. Wewe waziri wa afya stop talking what you don't know. Sisi ndio tuna jua.

  • @victorjames3730
    @victorjames37304 жыл бұрын

    Pamoja daima

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar12714 жыл бұрын

    ccm akili hamna

  • @ernestwatson6574
    @ernestwatson65744 жыл бұрын

    Kuna baazi ya marazi hayako kwenye bima au vipimo

  • @mamakite8506
    @mamakite85064 жыл бұрын

    Meo apa mnajificha kwenye kichaka cha rais

  • @yohanamsabila4653
    @yohanamsabila46534 жыл бұрын

    Fact sugu

  • @johnbugenyi3250
    @johnbugenyi32504 жыл бұрын

    Kweli chadema mkovizuri wambie

  • @drankskhally4636

    @drankskhally4636

    4 жыл бұрын

    Sugu unajielewa we ni jembe

  • @MustafaAli-bs6mb
    @MustafaAli-bs6mb4 жыл бұрын

    Hospital bila ela unakufa ukijiona wabunge wa ccm acheni kutete unafiki

  • @yassinndaly4942
    @yassinndaly49422 жыл бұрын

    Sugu upo sahihi

  • @emanuelkigwapi7730
    @emanuelkigwapi77304 жыл бұрын

    Mawazir wanakula za usoo

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo48454 жыл бұрын

  • @catherineraphael9206
    @catherineraphael92064 жыл бұрын

    Vizur

  • @anwaryabed4890
    @anwaryabed48904 жыл бұрын

    We look foward much on rules and regulations but the realities are there.

  • @nellymsigwa7630
    @nellymsigwa76304 жыл бұрын

    Hakika mbunge bora

  • @odranslayo3298
    @odranslayo32984 жыл бұрын

    Mimi baba yangu alitaka kufia hosipitali yaserekali

  • @jamesmwakyelu228
    @jamesmwakyelu2284 жыл бұрын

    dah hilo nalo neno elimu bure lakn matibabu balaa

  • @catherinethobias1052

    @catherinethobias1052

    4 жыл бұрын

    .mjamzito anabeba had groves ya book unaenda nazo tano

  • @ernestphilip256
    @ernestphilip2564 жыл бұрын

    Sugu hapo nimekukubali make kwenye hospitali zingine wakina mama wanapo endakufanyiwa Oparesheni waambiwa atoe sh elfu hamusini he inakuwa yann kama vifaa kwann asiwe anaendavyo?

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack4184 жыл бұрын

    Global hebu unganisheni hii hotuba ya sugu na ile ya madktari Leo ili hao wabunge waone aibuuuuuuuuuuuuuu

  • @jamesmsusi9410
    @jamesmsusi94104 жыл бұрын

    Uyo dakitari wako ni kilaza ameshindwa ata kufungua duka la dawa kwan lazima afanye kazi serekalini acheni upimbi

  • @pascarmwatosya6815
    @pascarmwatosya68153 жыл бұрын

    Huyu ndiyo suguu bwanaaa

  • @eliyatango3624
    @eliyatango36244 жыл бұрын

    Me nafikir unafaa kuwa kuwa rais unavyo vigezo

  • @paulsimon4200
    @paulsimon42004 жыл бұрын

    Kweli kabixa

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji30814 жыл бұрын

    Anapotosha umewah kufiwa na mgojwa alafu maiti ikazuiliwa

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын

    Khs afya bado tatizo huduma zipo juu, hafifu km oceon Road machine za mionzi hazipo ipo moja mbovu watu wanaenda asubuhi mpk usiku tiba ujafanyiwa, kikweli hayo mabilion muyapeleke afya vifaa hakuna na afya ndio kila kitu, kwa hiyo bi Ummy afya ni changa moto huduma bado bado ongezeni juhudi ya utendaji wa kazi na vitendea kazi ukienda muhimbili foleni watu wengi huduma.hafifu afyà bado, wazee wanaambiwa bure ukienda hakuna kulipa tu jamani afya inahutaji umakini tatizo gharama.kubwa mno tunashindwa

  • @ramadhanihussein2423

    @ramadhanihussein2423

    4 жыл бұрын

    Sherypha Mwenevalley

  • @ambagreyson9836

    @ambagreyson9836

    4 жыл бұрын

    Sugu cjutii kukupa kula yangu wambie ukweri mapimbi hao wanatutesa sana

  • @kibwanamohammed5836
    @kibwanamohammed58364 жыл бұрын

    Ilo kwelikweli kabisa

  • @yordanyona1234
    @yordanyona12344 жыл бұрын

    Je mnatoa elimu kwa wananchi au ndio wanajua wasomi tu?

  • @ezekielmeshacklukumai1861
    @ezekielmeshacklukumai18613 жыл бұрын

    Kwnn umekosa ubunge jmn na unapoint nzur sana

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala56144 жыл бұрын

    Na jitahidi siku zote uongee kwa busara na ukweli kama hivyo

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo13224 жыл бұрын

    2020 tujuane

  • @issmailtimanyilwa1546
    @issmailtimanyilwa15464 жыл бұрын

    Ummy mwalimu chenga tupu

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji30814 жыл бұрын

    ASA watanzania wapo Dodoma tyuuu?

  • @evelinfranss8715
    @evelinfranss87154 жыл бұрын

    When dd that Social Walfare Table started ⁉️Big liar❌

  • @chrischleopa7738

    @chrischleopa7738

    4 жыл бұрын

    Ridiculous

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo13224 жыл бұрын

    Sugu rais wa mbeya

  • @sumaabdy8328
    @sumaabdy83284 жыл бұрын

    Hahaha

  • @mubaidi536
    @mubaidi5364 жыл бұрын

    Hamna ktu

  • @bodabodamuaminifu287
    @bodabodamuaminifu2874 жыл бұрын

    HAJAPOTOSHA TEMBELEA WILAYANI HAYO UNAYOYASEMA NI UONGO MTUPU SABABU HAUZITEMBELEI HOSPITALI NDANI YA TANZANIA MPAKA RAIS ATEMBEE MWENYEWE. MNAMDANGANYA RAIS NA KUMUHARIBIA JUHUDI ZAKE KWANINI? SI AMEWAWEKA ILI MUMSAIDIE KAZI KUWA WABISHI TU.

  • @judithfelex6547

    @judithfelex6547

    4 жыл бұрын

    Jamani Watanzania tuwe watu wenye kumuogopa Mungu ktk kusema kwetu ujue Mungu anaweza kuruhusu upitie kuumwa kwasababu tu unaona aibu kusema ukweli wakati hata mtoto wa miezi tu maiti zinazuiliwa hapo Muhimbili na ushahidi upo Jirani yangu mtoto aliumwa akalazwa hospital ya mkoa Morogoro badae kapewa rufaa ya Muhimbili baada ya wiki mtoto kafariki wamenyimwa maiti kwasababu wanadaiwa 1,700,000/= wamerudi bila maiti walichangiwa na watu wakapata 300,000/ bado wakakataliwa na hao watu ni watu wanao ulaza mkaa wa makopo tujiulize nilini atapata hiyo hela Mungu anawaona na ipo siku msiyo dhani mtalipia uongo na udanganyifu mnaoufanya kwaajili ya kulinda maslahi yenu.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme84554 жыл бұрын

    Hata cku moja hakuna watu wanaotibiwa nje Kwa mafua kweli mi naomba tutatue hizi changamoto kweli tuyaangalie haya Kwa undani kweli tutatue hizi changamoto si kama hazipo kweli zipo ndo anavyosema MH. Maendeleo hayana chama Kwanza tukubali changamoto kweli zpo Bunge mtataue haya c Rais Rais ana Mambo mengi nyingi ni wasaidizi cha msingi kazi yenu mfuatilie haya he yanaukweli? Kweli kama Taifa tunaotaka tusonge mbele Eti Rais ndo apite atatue changamoto za watu wakati mkuu wa mkoa yupo,mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo na mkurugenzi yupo tuna mchosha Rais IV yeye ndo awe suruhisho wakati kuna watu wamepewa mamlaka kama hamuwezi mtoke haijarishi chama gani cc wengine hatuna chama kua chama chochote tunachotaka na ndo hata MH.Rais anataka tupate maendeleo na watu waishi Kwa ustawi Mi naona kama kuna kiongozi anashindwa kutatua changamoto za eneo lake huyo hafai Bora hata ateuliwe mtumishi Tu wa umma ambae profile yk IPO vzr

  • @jamesmsusi9410
    @jamesmsusi94104 жыл бұрын

    Mawaziri achaneni na awo watafuta kiki

  • @mbettatv5950

    @mbettatv5950

    4 жыл бұрын

    Daaaah! Unaishi nchi gani ndgu kubishia na kuleta siasa kwenye ukweli au huhudhuriagi kwenye matibabu

  • @dennisollomy3443
    @dennisollomy34434 жыл бұрын

    Me mkaz wa Dom kati wauwaji hao wanatangaza matibabu bure tunalipa bima af dawa zote tunauziwa nje ya hospital

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon98234 жыл бұрын

    Ummy wewe ungebadilishiwa nafasi kwani wewe hufanyi tafiti. Halafu kwa nini mnaruhusu kusomesha madaktari, wauguzi ilihali hawapati ajira? Sijui Ummy una hirizi!! Maana Sikh zote Mimi sioni ukifanyacho. Taarifa taarifa acha mpewe sindano hasa wewe Ummy mwalimu.sijui wewe ni nurse au daktari au mwalimu!!!! HAKUNA watumishi was kutosha idara ya afya.

  • @sadicktony9725

    @sadicktony9725

    4 жыл бұрын

    Margareth Solomon tarifa ya nini watu wanakufa usilete siasa hapo muache sugu aongee

  • @abburakkaan5694

    @abburakkaan5694

    4 жыл бұрын

    Sugu tatizo nini mbona unahangaika na kuifunga suti. Nitafute ninasuti kalli pcs 12, utazipenda

  • @mariafredrick4580

    @mariafredrick4580

    4 жыл бұрын

    @@abburakkaan5694 angalia vijijini afya si shwali mijini inawezekana watu wanatibiwa bure lakini huku tulipo watu wanakosa matibabu kwa ajili ya kutokuwa na pesa. Nashauri suala hilo liangaliwe kwa makini siyo la kupuuza siyo uongofu.

  • @mariafredrick4580

    @mariafredrick4580

    4 жыл бұрын

    @@abburakkaan5694 angalia vijijini afya si shwali mijini inawezekana watu wanatibiwa bure lakini huku tulipo watu wanakosa matibabu kwa ajili ya kutokuwa na pesa. Nashauri suala hilo liangaliwe kwa makini siyo la kupuuza siyo uongofu.

  • @nurdinimndeme2912
    @nurdinimndeme29124 жыл бұрын

    ujinga sana huu '

  • @njombehcboreshaafya6450
    @njombehcboreshaafya64504 жыл бұрын

    Watalam wapo ni mgomo baridi

  • @dennisollomy3443
    @dennisollomy34434 жыл бұрын

    Ummy muongo na kwa Dodoma asiongee kabisa

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji30814 жыл бұрын

    Hilo zee jinga kweli ASA linazungumzia walimu wana bima na je watanzania wa kawaida

  • @yassinndaly4942
    @yassinndaly49422 жыл бұрын

    Anachosema sugu ni sahihi

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott33254 жыл бұрын

    We omi mnafki ukienda unatibiwa ww labda kw7 niwazili sugu yupo sahihi kiukweli maosptal watu wachini wanapata shida saana aisee.kwanza osptali za selikali kiukweli matibabu hamna kabisa aisee tuache masihala wabunge wanafki acheni kutetea ujinga.

Келесі