No video

ASKOFU

#mwamposa #kakobe #diamondKatika ibada ya tarehe 2 /2/2020Askofu kakobe akemea vikali kwa baadhi ya mitume na manabii kutumia maji na mafuta aongea jana katika ibada

Пікірлер: 1 200

  • @gracejulius23
    @gracejulius233 жыл бұрын

    Watu tumepona kupitia madhabahu hiyo ya mwamposa ambayo wewe unaona ni uganga Ila tumepona kupitia jina la Yesu kristo aliyehi wa madhabahu ya inuka uangaze au sema SHINE AND ARISE

  • @meryngugi7392

    @meryngugi7392

    3 жыл бұрын

    Amen

  • @husseingabo5497

    @husseingabo5497

    2 жыл бұрын

    Kwan mtu ukienda Kwa mganga ndio hauponi. Huyo mwamposa mganga kama waganga wengine wa kienyeji sema kajificha kwenye mwanvuli wa din

  • @ZuhuraMwanafuno

    @ZuhuraMwanafuno

    Ай бұрын

    Mganga mlimpa nyie tunguli mwacheni mwamposa wawatu

  • @barakabiz8076
    @barakabiz80763 жыл бұрын

    Mtoto ambae mungu alimpa upako wa kuokoa watu duniani na mm nikiwa moja wapo kuokolewa mtume. mwamposa ama borodosa ni Powe ⚡⚡⚡⚡

  • @jasminsaid4142

    @jasminsaid4142

    2 жыл бұрын

    Mwamposa alibarikiwa Toka tumboni kwa mama yake

  • @immaculatejohn9906

    @immaculatejohn9906

    2 жыл бұрын

    Acha ujinga

  • @jenipherhenry209

    @jenipherhenry209

    2 жыл бұрын

    But unatakiwa kujua tulipewa buree tunatoa buree but watumish wa Leo n after money

  • @lucasmabula8340

    @lucasmabula8340

    2 жыл бұрын

    MATHAYO 7:21-23 kaisome na uielewe usifkiri kila mtumishi anayeponya katumwa na MUNGU, kama ni hivyo basi hata waganga wa kienyeji nao wametumwa na MUNGU. Tujifunzeni NENO mpendwa ili tuijue kweli nayo ituweke huru YOHANA 8:31-32 Tusiwe watu wa kufuata ishara, maajabu na uponyaji hivyo hata ibilisi hufanya

  • @diwenagoodiani8087

    @diwenagoodiani8087

    Жыл бұрын

    @@jasminsaid4142 una uhakika jihadharini na manabii was uongo

  • @user-wr5ce6lu8q
    @user-wr5ce6lu8q9 күн бұрын

    Muslim is the best❤❤❤ Hawa wanahangaika wao Kwa wao Allah awafanyie wepesi watoke walipo

  • @ellyjoel9689
    @ellyjoel9689 Жыл бұрын

    Ubarikiwe Mtumishi kwa ujumbe mzito aliye na sikio ayasikie hayo ambayo Roho ayambia makanisa

  • @nathaliamhule2081
    @nathaliamhule20812 жыл бұрын

    Tumwachie Mungu mwenyewe ,maana hii vita ni ya Mungu SI mwanadam yoyote

  • @edwindaniel5832
    @edwindaniel58322 жыл бұрын

    Unavyo mfaahamu mungu kakobe ni kwa kadri mungu alivyo kujalia kumjua mungu Hana mwisho ufaamu wako ndio una mwisho mugu hufanya apendavyo sio wewe ufaamuvyo usimsengenye mtumishi na kama wewe ni mwema ulisha wai kumwita uka fanya nae mazungumzo toa Kwanza kibanzi jichoni kwako ndio uone boriti jichoni kwa mwenzio

  • @neemaemmanuel3048

    @neemaemmanuel3048

    2 жыл бұрын

    Facts 💯

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso24242 жыл бұрын

    Ubarikiwe lakini tunamshuru Mungu watu wanaponywa anapolitaja jina la Yesu tumtie. moyo anaponya roho za watu.wa Mungu tumuombee. mtumishi Mwamposa anafanya kazi ya Mungu imeandikwa usihukumu usije.ukahukumiwa Amen

  • @davidmwambona2973

    @davidmwambona2973

    2 жыл бұрын

    ameen balikiwa

  • @johnmushi9766
    @johnmushi97663 жыл бұрын

    Mi kweli mckilizaji tyuu c mwongelei mtu kwa ubaya wala mtumishi wa Mungu🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @anganilekajigilikajigili2641

    @anganilekajigilikajigili2641

    3 жыл бұрын

    Uko upande gani kukemea ama kuacha ubovu unaendelea maana Mungu ukimfwata kiroho na kweli njia zake ziko wazi😀😆

  • @christinaamosisakiluamosis2835

    @christinaamosisakiluamosis2835

    Жыл бұрын

    Mungu nisaidie nifundishe kunyamaza nisinene neno lolote baya juu ya watumishi wa Mungu maana neno linasema usihikumu usije kuhukumiwa sina mamlaka ya kuwanenea watumishi vibaya Mungu ndiye anawajua wa lio wake

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin9413 жыл бұрын

    We mwenyewe mwizi kama mwamposa Sema mwamposa kakupokonya waumini ladhima ikuume

  • @anithakalumuna9965

    @anithakalumuna9965

    3 жыл бұрын

    Alikiibia nini? Anaongea ukweli

  • @aidanmbilinyi8184

    @aidanmbilinyi8184

    3 жыл бұрын

    Hao wote n wamoja story zao tunazo na shuhuda watu wamezitoa

  • @hoseaseif6602

    @hoseaseif6602

    3 жыл бұрын

    Usione kibanzi katikajicho lamwenzko nawakati wewe unaboriti toa boriti yako Kwanza

  • @chifukimwelitvimam723

    @chifukimwelitvimam723

    3 жыл бұрын

    Unacho kisema unauhakikaa ?

  • @prophetmlokozi4633

    @prophetmlokozi4633

    3 жыл бұрын

    😅

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa9353 жыл бұрын

    Mtaumbuana sana. Hivi mnaoneana wivu kwa kuzidiana Mbinu upigaji, balaa lingine Wafrika hujifanya wenye dini kuliko walioleta Dini hususani Wanawake

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj25 күн бұрын

    Mzee nyamaza Jaman Mbona mnamtangulia Mungu kwenye kaz yake Hivi mmekuaje ninyi Watumishi wa MUNGU Watu wanachojua wanapona mwachen Mungu ajitwalie utukufu wake

  • @barakanestory3521
    @barakanestory35212 жыл бұрын

    Mwamposa ni mtumishi wabwana,nakatumwa na Mungu kweli, mwambie Mungu atakuonyesha.mwamposa na huyo unaye mtaja tofauti, mwamposa ni Moto.

  • @neemakigala3578

    @neemakigala3578

    2 жыл бұрын

    Hallelujah

  • @brendagunder1662
    @brendagunder16623 жыл бұрын

    Imeandikwa usimseme Mtumishi wa mungu vibaya...kila mtu na ufunuo wako nb dini safi niileinayompendeza Mungu😇

  • @khamismwalimu2681

    @khamismwalimu2681

    3 жыл бұрын

    Hawa wote waongo wakubwa wanawaibia wenziwao

  • @livingstoneberege3348

    @livingstoneberege3348

    2 жыл бұрын

    Imeandikwa kitabu gani? Je tuliache Karisa la BWANA YESU litumbukie shimoni //KWA TAARIFA YAKO ILE SIYO INJILI YA BWANA YESU //KATIKA KITABU CHA WA GALATIA PAULO ANASEMA NI INJILI YA NAMNA NYINGINE KISHA AKASEMA NA WALAANIWE (WAGALATIA 1:8-9

  • @claudiadismas4487

    @claudiadismas4487

    2 жыл бұрын

    Nae kakobe anahistoria yake,alisemwa vibaya ila amesahau na kusema wengine

  • @helenmpali7137

    @helenmpali7137

    Жыл бұрын

    Sasa hii ya mwamposa inampendeza Mungu kweli??

  • @kelvinmapunda2589
    @kelvinmapunda25892 жыл бұрын

    Mwamposa anatibu kwa kukwambia muamini Mungu utaponywa kwa damu ya yesu tatzo lipo wapi ni maji tu au Kuna mengine?.

  • @lucykapinga369

    @lucykapinga369

    Жыл бұрын

    Kama siyo tatizo chukua mafuta nyumbani kwamko yatamkie hivyo na umuamin MUNGU Anaishi hakika pia yata fanya kazii kikubwa kinachotakiwa watumishii watangaze injiliii kisawa sawa Tuache dhambi tyuvae silaha za MUNGU Tupate kuzishinda hila za Shetani .TUWEZE KUVIOMBEA WENYEWEEEEE AYOMAVITYUU UWAyanatokea waaapii

  • @lucykapinga369

    @lucykapinga369

    Жыл бұрын

    Tukuwe kirohoo zambi tuacheee

  • @MarryMarcel
    @MarryMarcel26 күн бұрын

    Mungu akupe Maish Marefu baba yangu nakukubar mafundisho ykooo

  • @tinajj4881
    @tinajj48812 жыл бұрын

    Haaaaaaaaa utajibeba achanana mwamposa wewe sio level zako hizo 👌👌

  • @danielmchome1506
    @danielmchome15063 жыл бұрын

    Wewe nimtumishi wa Mungu nafikiri hata wewe ulisemwa vibaya ulikatiswa tamaa,Pima unacho kiongea,kwanza usije ukawasema wenzako vibaya,kwa sababu Mtumishi wa Mungu hawezi hubiri neno LA Mungu akaponya kwa jina LA yesu afu tukasema nishetan ,Mungu sio mwanadamu,anatenda kama anavyo ona

  • @nightnessrobert205

    @nightnessrobert205

    Жыл бұрын

    Fy

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын

    Kwa ujumbe huu mimi ni mtoto wa Bishop Amon Lukama Redeemed Gospel church binafsi nimekuelewa sana sana sana sana....huo ndio uongo wa shetani ameuingiza kanisani. Wateule tuamke!

  • @saramungumwemakweliametend5089

    @saramungumwemakweliametend5089

    3 жыл бұрын

    Wewe ndo umesema kiekima Kaka laiki zingine duhu

  • @neemakigala3578

    @neemakigala3578

    2 жыл бұрын

    Kasome wakorinto wa kwanza ukaone jinsi Mungu anavyogawa karama but roho atendae niyuleyuleee...kuwa mtoto wa bishop sio kumjua Mungu...imani na kiyajua maandiko ndio siri ya kupokea nguvu za Mungu....tuwaheshimu watumishi wa Mungu...sio sisi tulowatumaa

  • @richardboaz-mashagospel2346

    @richardboaz-mashagospel2346

    2 жыл бұрын

    @@neemakigala3578 karama ya kuvaa barakoa na kuogopa corona? Maana mwanajeshi huyu anakimbia adui corona akiungana mkono na watu wa dunia kukimbia.....haya nguvu yake ilikua kwenye barakoa? By the way nahisi umeshaambiwa tayari na wale waliomwambia yeye kua barakoa ni deal leo wamebadili msimamo wamemwambia tena najua barakoa sio issue...je ni Mungu alisema naye juu ya barakoa kuvaa au kutovaa? Je Mungu wake anabahatisha kama wanadamu? Hapana kitu hapo, karama ya barakoa sitaielewa bora askofu gwajima alivyosimama na kiukweli aliishinda corona, hofu na mauti kwa jina la aliye juu sio kwa barakoa. Bye

  • @lucasmabula8340

    @lucasmabula8340

    2 жыл бұрын

    @@neemakigala3578 unafikiri kila mtumishi ni mtumishi wa MUNGU kasome kitabu cha MATHAYO 7:21-23 utaona jinsi gani YESU anatoa tahadhari anasema anavyotoa tahadhari, usifikiri kuwa Kila alitajae jina la YESU ni mtumishi wa MUNGU la hasha wengine no mawakala wa shetani

  • @yuventmpiru7738

    @yuventmpiru7738

    Жыл бұрын

    Mtoto wa kuzaa au nawe umeshajisahau kusema mtoto wa Yesu Kristo

  • @safinkeyemba2174
    @safinkeyemba2174 Жыл бұрын

    Asante baba askofu kakobe kwakutufumbua macho naroho lakini Kwa MTUMISHI wamungu mwamposa sio hivo kwani TUNAPOKEA UPONYAJI tukiwa mbali sana nahatumjui nahatujui .maji anatuambia tutumie yanyumbani namafuta yanyumbani ukweli ndio huo

  • @eliasjonas3561

    @eliasjonas3561

    2 ай бұрын

    Hawajui tu ni wivu wao acha tuendelee kupokea tupo nyumbani

  • @rehemadaudi742
    @rehemadaudi7423 жыл бұрын

    Pole kwenu msioongozwa na roho mtasikia mengi,

  • @ibambasymanyama4914

    @ibambasymanyama4914

    3 жыл бұрын

    We unaonaje anaongea ukweli au la?

  • @dibabatv5761

    @dibabatv5761

    3 жыл бұрын

    @@ibambasymanyama4914 yupo sahihi ndyo

  • @chichasam9032
    @chichasam90323 жыл бұрын

    Ushafuliaaa kakobe achaaa wenzio na wao wapige helaaa

  • @lestutaleo7220

    @lestutaleo7220

    3 жыл бұрын

    Atulieee dawa ya mwaposa imwingie, kwa ss habar ya mjin Ni mwaposaaa

  • @sophiapeter4308
    @sophiapeter43083 жыл бұрын

    Hubir Neno la Mungu acha kumponda mwenzako

  • @paulchibona8020

    @paulchibona8020

    3 жыл бұрын

    Amina

  • @frankmosha5854

    @frankmosha5854

    14 күн бұрын

    Acha mzee achape kazi

  • @AdamLuoga
    @AdamLuoga14 күн бұрын

    Ninyi mnao sema mwamposa ni mtumishi wa Mungu imekufa kwenu mwamposa ni nguvu za ziada Toka malango ya kuzimu

  • @schollastickamathanacki6062
    @schollastickamathanacki60622 жыл бұрын

    Yesu lisaidie kanisa lako Mimi naogopa Sana hakika ni nyakat za mwisho watu wengi wameikimbia kweli 😭😭😭wametimukia huko kwenye mafuta

  • @janemagogo5219

    @janemagogo5219

    2 жыл бұрын

    Angalia neno linasemaje kwenye Biblia mengineyo tumwachie yeye Mungu aonaye motor hata viuno.

  • @paulmallya9573
    @paulmallya95732 жыл бұрын

    Kakobe umekosa cha kufanya. Mwache Mwamposa, mbona ilijulikana kuwa ulikuwa unafuga majoka ndani na huzungumzii Hilo. Mwamposa shine and rising Amen

  • @magrethpius8566
    @magrethpius85663 жыл бұрын

    Jamani kwa Mtumishi wa Mungu Mwamposa maji ni bure mafuta ni bure Mwamposa yuko na Mungu kabisa,mm namkubali tena na muelewa sana, kupitia Mwamposa familia yangu imeponywa,tena kupitia TV.Na wewe hubiri habari za Mungu acha uongo wa kusema vitu vya kutunga na kuchafua watumishi wa Mungu

  • @neemathobias9462

    @neemathobias9462

    2 жыл бұрын

    Amen

  • @rechomwaigaga2476

    @rechomwaigaga2476

    2 жыл бұрын

    Amina kubwaa

  • @rahmbanzi620

    @rahmbanzi620

    2 жыл бұрын

    Barikiwa magreth

  • @nancyjohnson6620

    @nancyjohnson6620

    2 жыл бұрын

    Tena Kama amezeeka akae uko atulie🤣🤣🤣

  • @Bitlontravels555

    @Bitlontravels555

    2 жыл бұрын

    Amina. Watumishi waache kuchafuana wafanye walichoitiwa

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael38052 жыл бұрын

    Wivu tu huo ..Kakobe mhubiri Kristo acha kuhubiri watumishi wa Mungu...Yupo atakae wahukumu na kuzichambua kazi zao

  • @tinamzava834
    @tinamzava8343 жыл бұрын

    Mwamposa kuinuliwa kwake na mungu ameponya maisha ya wengi sana muachen mtume

  • @glorybonifasi3704

    @glorybonifasi3704

    3 жыл бұрын

    Hujaoka wewe anaponya watu wapi, Mungu akupe macho ya rohoni sisi tuliokoka tumeona anatumia uchawi

  • @carolinederi5690

    @carolinederi5690

    2 жыл бұрын

    @EPAFRA MWANSASU kwa halali sio njia ya mkato au ulimuona Yesu akitumia mafuta ya upako?

  • @winifridaagidy7733

    @winifridaagidy7733

    2 жыл бұрын

    Msizungumzie mabaya juu ya watumishi wa mungu usitizame kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio wakati wewe unaboliti

  • @carolinederi5690

    @carolinederi5690

    2 жыл бұрын

    @@winifridaagidy7733 Nabii wa uongo awatatoka kuzimu direct wako miongoni mwetu Yesu mwenyewe alisema utawajua kwa matendo...mafuta ya upako ni sign moja yao ya kuwatambua...

  • @MrherbsTz

    @MrherbsTz

    2 жыл бұрын

    @@carolinederi5690 ndio. Alitumia tope kumponya kipofu au hujui biblia

  • @prophethenrywenani169
    @prophethenrywenani1692 жыл бұрын

    Very man of God yafaa tuombe mungu jamani maana siku zamwisho ndio hizo Sasa

  • @teklahyela4576
    @teklahyela45762 жыл бұрын

    Mungu ndo hakimu wa wote Amina

  • @user-mn2hb7xt9k
    @user-mn2hb7xt9k24 күн бұрын

    Roho ya wivu. Huleta anguka hata kama mungu alikupa chako. Kapumzike mzeee

  • @ericbadu3726
    @ericbadu37263 жыл бұрын

    Ndugu, tatizo la kuweka imani katika vitu vingine badala ya Yesu Messia. Yesu alisema tumuabudu Baba katika kweli na Roho. Ukiongozwa na Roho Mtakatifu hakuna binadamu atakaye kudanganya. Kama ni watu kupona, inatokea lakini sio kila mtu anaepona. Yesu ndiye mponyaji na anajua kwanini anaruhusu wengine wapone na wengine wasipone. Yesu mwenyewe hakumponya kila mtu alivyokuwa anafanya kazi yake duniani. Ila aliweka njia ya binadamu wote kupona na hukumu ya moto wa jehanamu kwa kutoa uhai wake. Kikubwa tuikubali hii neema tuliyopewa na tuache haya malumbano ya pembene.

  • @magesantejo3509

    @magesantejo3509

    Жыл бұрын

    Ok

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste28762 жыл бұрын

    Eeh Mungu kupitia madhabahu ya arise and shine naomba Mungu unipe utulivu wa imani simwabudu Mwamposa naliabudu jina la Yesu Kristo

  • @sevefred1456

    @sevefred1456

    2 жыл бұрын

    Amen amen

  • @mariammwamaso3984

    @mariammwamaso3984

    2 жыл бұрын

    Ameen

  • @boniphacemvungi9317

    @boniphacemvungi9317

    2 жыл бұрын

    Jichanganye umepumbazwa

  • @neemakasawanga1259

    @neemakasawanga1259

    Жыл бұрын

    Hauna lolote, miujiza ndo iliyokupeleka.

  • @floraelias8769

    @floraelias8769

    Жыл бұрын

    Umep9tea maana unaab7du anachokiab7du mwam0osa toka hko hrk ww

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda73473 жыл бұрын

    Ona.. ona.. akiona kibanzi kwenye jicho la mwenziwe anasahau kutoa boriti kwenye jicho lake

  • @fabricehavugimana3296

    @fabricehavugimana3296

    3 жыл бұрын

    Uyu nimutumishi wa mungu

  • @mahewamahewa6461

    @mahewamahewa6461

    3 жыл бұрын

    Acha kuropoka

  • @endrualay6797
    @endrualay67972 жыл бұрын

    Kakobe hiyo siyo kazi yako acha magugu na ngano vikuwe pamoja mwenye kazi hiyo anafahamu lakuanya

  • @gracemwakibolwa7910

    @gracemwakibolwa7910

    Жыл бұрын

    Kabisa ndugu sio kazi yake atulie hata yy wanamsema hivyo hivyo.

  • @rehemajuma4301
    @rehemajuma4301 Жыл бұрын

    Ikiwa mwamposa anatumia ushirikina kuponya basi ushirikina wake ni kiboko 💪ndio ninaouhitaji wengine ni feki. Mtume Mwamposa Mungu AKUPE umri mrefu kwa maana huchagui dini Wala kabila.mungu U pamoja nawe✌️

  • @halmaharuna6
    @halmaharuna63 жыл бұрын

    Aaah wee mwamposa noma alfu yeye ajiiti nabii mwaache aponye watu ata mim nimepona kweny madhabao ile maji mafuta saf tunatumia weka na ww maji mafuta mwamposa ❤❤❤mungu akupe umri mrefu mwamposa

  • @emmanuelchipanha6765

    @emmanuelchipanha6765

    3 жыл бұрын

    Bibilia gani imesema mafuta yanaponya??,

  • @pamerakinabo3646

    @pamerakinabo3646

    3 жыл бұрын

    @@emmanuelchipanha6765 kakobe we mbwaa tuu.mbonawewe ulikuwa unanyanganya watumishi wako cheni hereni za dhahabu.na kanisa lako ukifungua macho unakutana na majoka. Huna lolote wewe ndiyo tapeli mkubwa huna uponyaji wowote. Acga wivu mwamposa anaponyaaa na ha na utapeli kama wewe.

  • @jmsonlinetvmalya871

    @jmsonlinetvmalya871

    3 жыл бұрын

    Yes mungu anatutendea kupitia mafuta na maji

  • @godfreywilliam9673

    @godfreywilliam9673

    3 жыл бұрын

    @@emmanuelchipanha6765 lejea kwenye biblia

  • @abdullahhaji8779

    @abdullahhaji8779

    3 жыл бұрын

    Ww muislamu au mkristo

  • @doricemtungi277
    @doricemtungi2773 жыл бұрын

    Maji na mafuta yapo kwenye kumbukumbu la torati mbona ukikanyaga unakuwa na miguu ya shaba na leo nimekanyaga kwa mwamposa hatumuachi kamwe man of god mwamposa Asante kwa kutuponya

  • @mwalimunyemba6183

    @mwalimunyemba6183

    3 жыл бұрын

    Oh pole kakobe umekwishs

  • @aidanmbilinyi8184

    @aidanmbilinyi8184

    3 жыл бұрын

    Poleni san wenznu tunpikia samaki na tunkunywa mafuta na samaki endlen kufata miujiza mtajuta sana kakobe tapeli na huyo mwamposa ni wale wale tu

  • @samwelnyankena9873

    @samwelnyankena9873

    3 жыл бұрын

    Mh kazi mnayo karbu sabato achanen na huo ujinga

  • @teresiamwita1788

    @teresiamwita1788

    3 жыл бұрын

    Mmetuibia......Sasa hv Mmezidiana mnapigana madongo nyie mtakuwa kuni

  • @naomibuchanga9047

    @naomibuchanga9047

    2 жыл бұрын

    Yaan mm kwa shda nilizokuwa nazo hanishawishi kakobe bas na iwe hvyo

  • @laurencemwanga6441
    @laurencemwanga6441 Жыл бұрын

    Asante kwa kuona Hill. Watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maiarifa, wanataka miujiza hawana haja na Mungu.

  • @salomeshila3671
    @salomeshila36713 жыл бұрын

    Kakobe umechanganyikiwa kweli acha wenzako wamuhubiri kristo kamq wewe umeshindwa jua kila nabii anaufunuo wake mungu aliempa kwahiyo wewe unaufunuo wako na mwenzako nae kapewa kivyake acha hivyo

  • @rosehaule220

    @rosehaule220

    2 жыл бұрын

    Yy mwenyewe alifanya hayo nyuma je tusadiki.kwamba na yy alikuwa akipelekewa taharifa tuamini.miujiza hipi mmmmh

  • @stevenmkomwa633
    @stevenmkomwa6333 жыл бұрын

    Wewe mwenyewe ndio walewale we mara ya mwisho kufika kwenu kigoma lini na kunakanisa lako kule acha kuzungumzia maisha ya watu hubili mambo ya mungu kwani kwenye biblia maji na mafuta hayaja zungumziwa soma ISAYA 10:27,soma MARKO 6:13 hayo yalikua mawe sio mafuta

  • @constantinohaule2998

    @constantinohaule2998

    2 жыл бұрын

    Ulisahau Samweli alimpaka mafuta Daudi

  • @graceshikulu4139
    @graceshikulu41393 жыл бұрын

    Weweeeeee tulia tupokee miujiza haukujua naww enzi zako walivyokutukana

  • @user-ng6yt2od7l

    @user-ng6yt2od7l

    3 жыл бұрын

    Nyani hajioni

  • @floraamani4196

    @floraamani4196

    3 жыл бұрын

    Hata serikali iliingilia kati kakobe na tra

  • @aysherkitoi6547

    @aysherkitoi6547

    3 жыл бұрын

    Tena huyu alivuka mipaka akawa anafanya watu kma misukule anawavalisha nguo nyekundu na nyeupe huyuuu baba alikuwa anafanya uchawi mpk watu wakaingilia kati ndio kufungwa kanisa alikuwa anawaingiza watu kwenye uchawi live

  • @anganilekajigilikajigili2641

    @anganilekajigilikajigili2641

    3 жыл бұрын

    Utatamani ukimbie ndio ulipotezwa mazima🤣🤣

  • @deputyarchbishoppatriciaki8424
    @deputyarchbishoppatriciaki84242 жыл бұрын

    Ukweli usemwe katika JINA KUU LA YESU. Asante Mtumishi wa MUNGU umeliona hili, unabii wa uongo nimeingia na akapoteza Kanisa la BWANA

  • @rachelmpimbe1331

    @rachelmpimbe1331

    2 жыл бұрын

    Clear Malisa alinitabiria bila hata hao vijana maana sikuaga mtu kwamba naenda hebu acha kusema watu vibaya

  • @rachelmpimbe1331

    @rachelmpimbe1331

    2 жыл бұрын

    Halafu wewe si ndio watu wanakusikiliza kupitia tv hawaruhusiwi kukanyaga madhabahu jamani? Halafu Yesu aliponya hadi kwa matope ninini shida kwenye maji kwani!!

  • @gloryrestorationministrygr6374
    @gloryrestorationministrygr63742 жыл бұрын

    Nani anakumbika saa ya maajabu kwahiyo baada ya saa ya maajabu sasa mzee wetu katulia mwamposa msikilize mzee kakobe alikutangulia kwenye izo izo ishu kwahiuo kakobe akiongea kitu inabidi muelewe. Mimi sasa hivi namwamini kakobe sio yuye wa saa ya maajabu huyu sasa ndo halisi big up baba

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi97833 жыл бұрын

    Watu si wanapenda miujiza , acha waibiwe .

  • @Moon-rp5tm

    @Moon-rp5tm

    3 жыл бұрын

    Aki naenda kusomea uchungaji maana ndo makolo walikoamia

  • @witnessombetu670
    @witnessombetu6703 жыл бұрын

    Ubiri neno na sio watumishi wenzio machafuko ni mengi Kuna kundi kubwa la wenye mahitaji wagonjwa makahaba majambazi tulishe chakula na sio wahubir

  • @cassianaltho1483

    @cassianaltho1483

    3 жыл бұрын

    Kwa hivyo mchungaji anapokosea hapaswi kukosolewa si ndio?

  • @nyahingapeter8835

    @nyahingapeter8835

    3 жыл бұрын

    Kwan hayo so mahubiri

  • @felistawilliam6737
    @felistawilliam67372 жыл бұрын

    Nyiee mponden mwezenu Alafu Mungu anamuinua zaidi na said kila itwapo leo

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda27733 жыл бұрын

    HONGERA BABA NYUMBA YAKO PALE BARABARANI NI NZURI SANA MZEE.YESU ATAONDOKA NA WACHACHE

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l3 жыл бұрын

    Asiye mpenda Mwamposa asage Chupa abwiye mtasema Sana mindonimesha pona ahaaa

  • @husseingabo5497

    @husseingabo5497

    2 жыл бұрын

    Kwan kupona ndio nini Kwan hata Kwa mganga wa kienyeji SI unapona sisi hatuhoji kupona sisi tunahoji njia anazotumia kukuponesha je ni za mungu kweli au laaa?

  • @rahmbanzi620
    @rahmbanzi6202 жыл бұрын

    Mungu akubariki kwa mafundisho lakn mafuta ya mwamposa ni mafuta ya kawaida kabisa na maji ya kawaida kabisa Kama hayo ya nyumbn kwako kikubwa ni ile nguvu ya upako iliyoachiliwa ndani ya mafuta na maji alaf Nina swali kwako mbona tumepona ? Mbona tumefunguliwa vifungo vilivo tutesa kwa miaka mingi nyumba zetu zimefunguliwa ndoa zetu zimepona watoto wetu wamefunguliwa ? Usimuhukumu mtu iyo ni kazi yamungu

  • @user-ng6yt2od7l

    @user-ng6yt2od7l

    2 жыл бұрын

    Wambie kina Tomaso walikuwepo yangu zamani hao na hawata Amini kamwe maana ndowalivyo💃💃

  • @zahirinashoo8813

    @zahirinashoo8813

    2 жыл бұрын

    Asiwatishe watu waende wasinunue maji wala mafuta ya pale wachukue ya nyumbani kwao yaachiliwe upako na wataponywa nakufunguliwa

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 Жыл бұрын

    Ukisha jiingiza kwa hao matapeli eti manabii hata ukiiambiwa husikii unaona kama mchungaji wako anakudanganya au padri. Hao watu ni matapeli si haba nikimkumbuka kuna nabii alitokea mwanza akajiita Baba god leo hii hayupo sijui kashafia na wapi. Vya shetani havidumu. Tumjue sana Mungu ili tuwe na Amani 🙏🙏

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny2 жыл бұрын

    Baba yangu kakobe Nakupenda lakini kwa mwamposa hafanyi biashara, bei ya maji ni Ile Ile ya kawaida na viwete wanatembea vipofu wanaona,kifupi tunafunguliwa sana sana

  • @markonjoregwa261

    @markonjoregwa261

    8 ай бұрын

    Nakupa pole

  • @taifaramadhan8684

    @taifaramadhan8684

    28 күн бұрын

    acha uongo ww. Viwete na vipofu bado wapo wengi sana mitaani na mikoani. wale ni vipofu na viwete wa kutengenezwa sio wa ukweli ukweli. yule ni muongo anawatapeli na kuwadanganya watu wajinga wajinga waso jitambua.

  • @taifaramadhan8684

    @taifaramadhan8684

    28 күн бұрын

    ​@@markonjoregwa261kabisa hakika. tena pole haswaaa. tuna haki ya kumshukuru sana mola wetu kua Waislamu alhamdulilah kwa neema hii ya Uislamu.

  • @ynyynyyny

    @ynyynyyny

    26 күн бұрын

    Asiyejua maana haambiwi maana

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l3 жыл бұрын

    Tangu mwaka 208 natembelea magongo nimepona mwaka 2018 sinaulemavu tena Arise and shines kiboko yao Mwamposa Mungu akulinde na akutie nguvu pambana mpaka kieleweke shetani ataisoma namba

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    3 жыл бұрын

    bora hata umeongea, hawa kaz yao ni kukandiana tu, pkea uponyaj tembea, BWANA atukuzwe sanaa

  • @marwamwita7673

    @marwamwita7673

    3 жыл бұрын

    👍 Mwamposa ni MTUME wa Mungu ametusaidia wenge na anahekima sana huwa apendi kuwasema vibaya watumishi wenzake na ametufundisha sisi pia tusiwaseme watumishi wa Mungu vibaya. KAKOBE MUNGU AKUPE HEKIMA NA UPAKO WA KUFICHA.

  • @charlesmakulumo233

    @charlesmakulumo233

    3 жыл бұрын

    Acha utapeli na ww au mwamposa Ni hawala yako?

  • @tymchanneltv1143

    @tymchanneltv1143

    3 жыл бұрын

    Mafuta ndio yenye kufanya kazi ila sio mwamposa, kwasababu mafuta hayapatani na uchawi pamoja na majini na yanatengenezwa na kuuzwa duniani kote. Kama ukilogwa mafuta yanatoa uchawi. Ni utapeli na pesa wanaitafuta na wanailamba. Muislamu akienda kwa mwamposa hakuna tofauti na akienda kwa mganga kote huko Ni Haramu. Na Ni shirki,

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    3 жыл бұрын

    @@tymchanneltv1143 sio kila mafuta, mafuta yanayotoa uchawi na majini ni yalioombewa kwa JINA LA YESU KRISTO, vingine kama hayajaombewa kwa jina la BWANA WA MAJESHI, hayawez kufanya kaz, na ndo maana pia kuna mafuta ya kichawi, mafuta ya kifreemason

  • @estermathias8354
    @estermathias83543 жыл бұрын

    Kwakwel maji hpn.💃💃💃💃yesu anatosha

  • @gracengonde8553

    @gracengonde8553

    3 жыл бұрын

    Huyu sialiweka pesa za watu mpaka Jana zikajaa

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    3 жыл бұрын

    mtakufa kaeni hvohvo, ndo maana mnakung'utwa na nguvu za giza, watu wa giza wenyewe wanatumia maji na mafuta yao ya kichawi, vp kuhusu sisi WANA WA MUNGU(BENEHA ELOHIM), je sisi sinzaidi ya wao, watu wa giza wameyaiga kwetu, lkn sisi watu wa YESU ndo tnajiganya ooh YESU anatosha, ni sawa YESU anatosha, lkn maandiko yanasema imani bila matendo imekufa nafsini mwako, unasemaje unamwamininYESU KRISTO, halaf hyo imani yako huionyesh kwake, unapomwamin YESU anza kuamini na vifaa vyake vitakatifu, maji, mafuta, udongo, chumv, vitambaa, nguo, maandiko yenyewe yameweka waz kuhusu hv vtu, mitume walitumia nguo kuponya watu, wakatumia na mafuta kuwapaka watu baada ya kuwaponya, kwann sisi ndo tunajifany hatutak, KRISTO YESU mwenyewe anasema ROHO WA BWANA yuko juu yangu kwa sabab amenipaka mafuta, sasa sisi ndo tunajifanya hatutak kutumia, ndo maana mnagandamizwa na nguvu za giza kwa sabab ya ubish

  • @boniphacemjanja403
    @boniphacemjanja403 Жыл бұрын

    Kinacho ponya no Imani tu ukienda kwa Imani unapona, kwani hata yesu kipofu alipo mwendea yesu kwaimani alipo mgusa macho take akaona nakamwambia enenda Imani yako imekuponya hivo kinacho tupeleka kwake ni matatizo tulio nayo ili atuombee naana yeye mungu amemtuma kuja kutukomboa Kama alivo tumwa Musa kwa Wana wa isilaeli au nuhu alivo ambiwa kutengeneza Safina

  • @charlesphiliph528
    @charlesphiliph5283 жыл бұрын

    Wacha basi wivu,hubiri injili basi.Muhubiri YESU.Hata YESU aliambiwa anatoa pepo kwa belizebuli.Mwamposa hata bishana na wewe,yeye Ni mbele kwa mbele.Watu Mtwara wanapokea, Zanzibar nk.wanapona kupitia TV.

  • @robinahumphrey9725

    @robinahumphrey9725

    3 жыл бұрын

    Wewe unayemwambia ivyo...unamjua au unamuona kwa picha...??? Nakupa shauli katubu.....acha Baba awapize waache utapeli...waganga wakienyeji wameingia makanisani.

  • @khalfanifarisy119

    @khalfanifarisy119

    3 жыл бұрын

    Matayo 24:4,5 kwanini hamzingatii maonyo ya Yesu? Matayo 24:24 Hakuna Nabii Sasa hivi baada ya Muhammad. Matayo 7:22,23 ngojeni kukataliwa.

  • @matorahusseni936
    @matorahusseni9363 жыл бұрын

    Laaillah ilallah Muhammad allasullullah kama unamwamin Allah usiache kulaik

  • @vumiliamwakasyuka2911

    @vumiliamwakasyuka2911

    2 жыл бұрын

    Mko sawa baba.acha tuu

  • @danielmbughi268

    @danielmbughi268

    2 жыл бұрын

    Allah sio mungu wakweli Bora ungemjua yesu mwana wa mungu wa kweli

  • @ZuhuraMwanafuno

    @ZuhuraMwanafuno

    Ай бұрын

    Yesi siyo mungu

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey6 ай бұрын

    Manabii mitume wachungaji mashemasi makuhani tupendane tufanye kazi ya mungu kwa upendo maana mungu wetu ni mmoja, kila kitu kwa mungu kiko wazi ukifanya kazi yako kiukamilifu na kutii amri za mungu utapata kibali

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo60786 ай бұрын

    MCHUNGAJI Kakobe upo sawaa..Mimi naona shetani yupo kazini.tena Ana nguvu.kinachotakiwa MCHUNGAJI Kakobe Ni kuvunja nguvu za shetani nal Mwaposa.kulalamika haitoshi.maana ule umati unaojwenda kwa Mwamposa sio rahisi kuuharibu..fanya maombi ya nguvu,kwa jina la YESU KUVUNJA NA KUHARIBU.tai hufuata mzoga....a.k.a kusiki nikwae

  • @marrypatrick3276
    @marrypatrick32763 жыл бұрын

    Sikuwahi kumwamini huyu mzee Ata siku moja

  • @janethmasawe7863

    @janethmasawe7863

    Жыл бұрын

    Yy mwenyewe Ni tajiri wa kutupa angalia lile jumba lake la kifahari alilonalo tuhubirieni injili malumbano msiyape nafasi zamani yy alijaza kanisa Kama mwamposa kila nabii anakuja kwa wakati wake na atapita na watakuja wengine fahamu pia wapo manabii wengi walikuja na wamepita

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus69863 жыл бұрын

    Umesahau moja,Kuna maombi ya pesa mara laki mbili mpaka ya tsh 1000:Kama unachagua simu au bidhaa.ahnsante pia mwimbaj Pascal casian

  • @glorybonifasi3704

    @glorybonifasi3704

    3 жыл бұрын

    Ni kweli siku za mwisho tuombe sanaa Mungu tuone mm nimeona

  • @sheilamtate7079
    @sheilamtate70792 жыл бұрын

    Ww kakobee jamani muache mtumish mwamposaa usimhukumu ,

  • @halmaharuna6
    @halmaharuna63 жыл бұрын

    Yeye aigize ni kwel kabisaaa mwamposa anaponya

  • @tifababynchimbi8454

    @tifababynchimbi8454

    3 жыл бұрын

    Anayeponya Mungu peke yake

  • @asmahassan1044

    @asmahassan1044

    3 жыл бұрын

    Karibun kwa waislam hakuna makuu leo nabii huyu kesho huyu.😄😄😄😄😄😄

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje38803 жыл бұрын

    Amesahau alikuwa nakusanya pete za watu za ndoa. Ndoa za watu wengi zimevunjika. Mungu hajakutuma uhukumu, we chapa injili utaeleweka

  • @unjushekimweri6787

    @unjushekimweri6787

    3 жыл бұрын

    Kakobe alikiri mbele za watu

  • @amirikoshuma3039

    @amirikoshuma3039

    3 жыл бұрын

    Na mwamposa akiri alihusika kwenye ajali ya kukanyagana kisa mafuta

  • @emmadora7848

    @emmadora7848

    3 жыл бұрын

    Waliodanganywa ndio wajinga

  • @oscarphilip2428

    @oscarphilip2428

    3 жыл бұрын

    Injili ni pamoja na hicho anachokifanya, kuwahubiria watu waijue kweli.

  • @nancymorenje3880

    @nancymorenje3880

    3 жыл бұрын

    @@oscarphilip2428 Nikweli kabisa Oscar, kinacho tusikitisha ni pale Mtumishi wa Mungu unaposimama kwenye Madhabahu na kumsema Mtumishi mwenzie. Kama vile yeye ni kipimo cha haki, wanasahau haki ni ya Mungu. Ukiamini na kuona Mwenzio anakosea mfuate kwa upendo umwambie kile unachokiona hakikosawa kwako na si kwake.

  • @user-lb6tw9tl2v
    @user-lb6tw9tl2v8 ай бұрын

    Kakobe mtumishi wa Mungu kwelikweli kina mwamposa waganga tu

  • @magdalenalumolwa9916
    @magdalenalumolwa9916 Жыл бұрын

    Uko kwenye madhabahu hubili neno la Mungu, acha kumsema mtumishi Mungu ndo muhukumu, ki ukweli mwamposa ni mtumishi wa Mungu

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick79112 жыл бұрын

    Watumishi wa Mungu mpemdane najua ulikuwa wakwanza ila kilamchungaji na namna yake. Freedom of worship

  • @evaristmbuya6220

    @evaristmbuya6220

    2 жыл бұрын

    Acha kutetea matapeli

  • @lilianmugyabuso8908

    @lilianmugyabuso8908

    2 жыл бұрын

    Anasema ukweli mtupu Kakobe

  • @graceifuja4331
    @graceifuja43314 жыл бұрын

    Amen,kkwel ya Mungu iwaweke huru

  • @sarunyanda1741

    @sarunyanda1741

    2 жыл бұрын

    Wivu tu umekujaa mzee

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd6 ай бұрын

    Appreciate you

  • @muriithipaul8559
    @muriithipaul85593 жыл бұрын

    Beans asifiwe,,baba askofu,,naomba niweze kukutana naww,,naitwa Paul kutoka Kenya,, ukiosta ujumbe huu,tafathsli unijibu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba76863 жыл бұрын

    HUIRINI MUNGU MSILAUMIANE AU KUHUKUMIANA. NI MUNGU PEKE YAKE NDO ANAPASHWA KUHUKUMU.NA IMEANDIKA PIA . WE KAMA HIYO MBINU ILIKUPITA , BASI AACHE WENZIO ATAJIRIKE KA MAJI.

  • @godfreymasele8853

    @godfreymasele8853

    3 жыл бұрын

    Ukiuufahamu ukweli utakuweka huru na ukweli ni NENO LA MUNGU. YESU ALISEMA OMBENI LOLOTE KWAJINA LANGU MTAPEWA.

  • @paskalmagiri4466
    @paskalmagiri44663 жыл бұрын

    Mark 6;13 isaya 10;27 Yesu alitumia mate na matope naamani alipona kwenye maji kila kitu kikiombewa kinatumika panua ubongo

  • @gestinabunganiekuya6300

    @gestinabunganiekuya6300

    3 жыл бұрын

    Yesu alifanya hivyo lakini alikuwa akifanya muujiza kupitia maji, alikuwa harudii kufanya muujiza mwingine kupitia maji hayohayo tuombe roho mtakatifu atupe macho ya rohoni tupate kuona shetani ametupiga upofu hatujielewi tulio wengi tunafata miujiza hatutafuti ufalme wa Mungu. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kusema ukweli.

  • @elishakayagwa9371

    @elishakayagwa9371

    3 жыл бұрын

    Acha ujinga, Yesu aliponya watu wangapi wenye tatizo la macho kwa tope? Funguka ww hapo uliyelala

  • @georgesongo3617

    @georgesongo3617

    3 жыл бұрын

    Unaowaita wenzenu Makafiri mnautakatifu gani bhaaaanaaa!

  • @josephbonday8510

    @josephbonday8510

    3 жыл бұрын

    MTATUMIA HADI MAVI Sasa KUPAKA Watu...😂😂

  • @kishingokishingo1840

    @kishingokishingo1840

    3 жыл бұрын

    Na hapo ndio unapokosea hivi kweli imani yako sahihi ? Huyo unaemfananisha na yesu wanaendana ?

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa55663 жыл бұрын

    Kakobe mie nakupata vema,unayofundisha ni ya kweli,kanisani kwako watu hawavai na kujiremba na vitu vya dunia,ki msingi kwa mtazamo wa nje nalikubali kanisa lako,linafuata mafundisho ya Yesu Kristo,ubarikiwe

  • @salmaignass4979

    @salmaignass4979

    3 жыл бұрын

    Ww mzee nimnafiki

  • @RizenPrime

    @RizenPrime

    Жыл бұрын

    Manabii wauongo wamezidi wananguvu zagiza kama madalali hatatemboni kunamafuta ya sh 115,000/: bado maji sijaona jipya ambao bado hamjatapeliwa kaeni mbali khali mbaya

  • @biggboss8644
    @biggboss864414 күн бұрын

    Hapo ume chemsha mwamposa ni moto

  • @priscamdindile3679
    @priscamdindile36793 жыл бұрын

    Nakukubar sana mtumishi wamungu

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi41783 жыл бұрын

    Ww mwenyewe mpigaji nakujua nje ndani tangia 95 unakuja migo migo kule na ww mwizi tu.

  • @irenejohn2025

    @irenejohn2025

    3 жыл бұрын

    Mungu akushuhudie ulichokiongea ...mna usemlo hulijua ,hakuna mwanadamu anaemjua mwanadamu nje na ndani

  • @abubakarihamissi4178

    @abubakarihamissi4178

    3 жыл бұрын

    @@irenejohn2025 dada kakobe ninamfahamu vzr sana hakuna mchungaji humo ni tapeli na sio yy tu mpaka mashekhe baadhi nao wamekuwa matapeli injili ya kweli inatoka ndani ya moyo wako kwa kusoma maandiko lkn sio ya hawa viongozi wasaka tonge, tafakari juu ya hilo.

  • @rosemarysamwel1882
    @rosemarysamwel18822 жыл бұрын

    Mwamposa is the best for me

  • @mecklinmalawandu186
    @mecklinmalawandu186 Жыл бұрын

    Baba askofu tuna kuheshimu wafundishe waumini wako neno la nungu acha majungu kanisani,tumia kipawa chako ulicho pewa na mungu,sio kuwajaza chuki kondoo wako kwa watumishi wengine wa mungu,fanya yako baba,kama ulivyokuwa unafanya kipindi cha nyuma

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi63943 жыл бұрын

    Mtume wa mwisho ni MOHAMMAD acheni kudanganya watu halafu muogopeni Mwenyezi Mungu aliye wapa pumzi na nguvu ya kudanganya hao watu basi

  • @josephmusagasa5566

    @josephmusagasa5566

    3 жыл бұрын

    Soma Biblia utaelewa

  • @naimaabdallah9491

    @naimaabdallah9491

    3 жыл бұрын

    Muhammad mwenyewe muongo

  • @allyhamisi6394

    @allyhamisi6394

    3 жыл бұрын

    @@naimaabdallah9491 🙏🏾

  • @ernestkipenya4238
    @ernestkipenya42383 жыл бұрын

    Mungu akusamehe bure ewe KAKOBE kumsema vibaya mtumishi mwenzio sio jambo jema hata kidogo. Napenda kukutia moyo ewe mtumishi wa Mungu Bulldozer Mwamposa kuwa hata Yesu alitukanwa na kudharauliwa sembuse wewe'! Tuko nyuma yako piga kazi, Mungu yu pamoja nawe, kwani yeye ndiye anajua alikuleta hapa kwa makusudi gani.

  • @carolinederi5690

    @carolinederi5690

    2 жыл бұрын

    Kwa nini watu awajiulizi wale walio tutanglia kuokoka awatumii mafuta wala maji wala awamiliki magari wala mali kwa nini hawa watumishi wa 20century wapita wazee wao kiinjil kwani theolojia ya bible si moja au nini?....

  • @immaculatejohn9906

    @immaculatejohn9906

    2 жыл бұрын

    @DOMKY INFO yaan hawa watu wamefungwa fahamu cjui wamelogwa dah

  • @verenavedasto7385

    @verenavedasto7385

    Жыл бұрын

    Kumbe wachungaji ampendani mungu akusamehe kabisa soma Bible vizuri utaona mafundisho ya mafuta na maji

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza36583 жыл бұрын

    Ndio akina mwamposa matapeli wa dini wapo wengi 🇹🇿⛪ tuombe mungu!!!

  • @neemafrank1123

    @neemafrank1123

    2 жыл бұрын

    Mwamposa kakutapeli Nini? Una Cha kutapeliwa wewe? Mwenyew umchoka na kukauka kau unalalama unatapeliewa. Acha kuropoka usichokijua

  • @SaraKalinga-i6v
    @SaraKalinga-i6v19 күн бұрын

    Mwachen mtumishi hubili neno

  • @emmanuelgontako5967
    @emmanuelgontako59673 жыл бұрын

    Sema Mtumishi wa Mungu, watu wapone. Tuwaze kuingia mbinguni.

  • @abuuanswaaronlinetv4747

    @abuuanswaaronlinetv4747

    2 жыл бұрын

    Unaumwa sana wewe hakuna karifir lolote litakwenda mbinguni nyoote motoni

  • @abuuanswaaronlinetv4747

    @abuuanswaaronlinetv4747

    2 жыл бұрын

    Nyoote mtatiwa jikoni hamna lolote acheni upumbavu

  • @williamsville3493

    @williamsville3493

    2 жыл бұрын

    @@abuuanswaaronlinetv4747 Hujuwi chochote we mpagani

  • @utukufumponji7966

    @utukufumponji7966

    Жыл бұрын

    Soma neno,yote yanafanyika

  • @lucykullaya1281
    @lucykullaya12813 жыл бұрын

    Paulo mtume wa NYAKATI hizi,,,,,, am so proud you BISHOP

  • @mosesbonamsafi5047

    @mosesbonamsafi5047

    Жыл бұрын

    karibu FGBF

  • @leahsangawe329
    @leahsangawe329 Жыл бұрын

    Mungu awasaidie watumishi mbina mmna tuchamganya ebu hubirini watu waokoke acheni Siasa fundisheni watu neno la Mungu waijue kweli ya Mungu mambo hata yatapita mmnalolakujibu siku yesu akirud? Acheni Mambo hayo wewe Fanya kazi yako Mungu aliyo kuitia Cha Mambo ya watu

  • @monicaisaya6143
    @monicaisaya61433 жыл бұрын

    Mimi namsikiliza Mungu binadamu mtanifanya nitangetange maana kilamtu anakuja na yake Mungu atusamee kweli🙆🙆

  • @faithyhilary1259

    @faithyhilary1259

    3 жыл бұрын

    Mungu azid kutuhudumia

  • @khalfanifarisy119

    @khalfanifarisy119

    3 жыл бұрын

    Mungu yupi? Maana hata Yesu ameitwa Mungu na Paulo au Mama yake Maryamu mwana wa Imran?

  • @michaermichaer2677

    @michaermichaer2677

    2 жыл бұрын

    hubil watumishi wako wapone lakn kumwongelea mtumishi mwamposa vibaya acha ww sio masih

  • @fabianbenardngatunga2713

    @fabianbenardngatunga2713

    2 жыл бұрын

    Imeandikwa amtegemeae binadamu amelaniwa

  • @geraldlutamigwa7556
    @geraldlutamigwa75563 жыл бұрын

    Mbona manabii wote mko dar tu? Hamkai vijijin

  • @dillaygundya2345

    @dillaygundya2345

    3 жыл бұрын

    Safi kaka ,umeuliza sawia

  • @shedrackmwaipopo9427

    @shedrackmwaipopo9427

    3 жыл бұрын

    Wamapiga hela mjini

  • @fatumajuma1157

    @fatumajuma1157

    3 жыл бұрын

    Vjijin hali ni mbaya hawatapata hela

  • @rehemafyumagwa8005

    @rehemafyumagwa8005

    3 жыл бұрын

    Hahahaha

  • @habibamanyanda9868

    @habibamanyanda9868

    3 жыл бұрын

    Ndo soko lilipo😁

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma12322 жыл бұрын

    Mbona sasa unasema Siri zenu hakuna watu wanashikwa masikio km wakristo kwl mungu asante sn kutupa neema ya uislam

  • @ibrahimhemedy7134
    @ibrahimhemedy71342 жыл бұрын

    Baba askofu umekwama nyakati tulizonazo Mungu ameona kilio na mateso ya watu wake ameshuka kuwatoa kwenye mateso makuu

  • @StellaRupia

    @StellaRupia

    Жыл бұрын

    Huyu baba amekwama yeye si ndie alikuwa anakusanya cheni za dhahabu akiwaambia ni Mali ya bwana?sasa LEO anaongea nini?mimi nimeombewa na mwamposa nilikuwa mlevi sana na Leo nimeacha pombe kabisa.

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika53792 жыл бұрын

    Dam ya Yesu ya tosha hakuna haja ya mafuta na maji dunia ya Leo kwa mwenye akili atang'amua

  • @neemafrank1123

    @neemafrank1123

    2 жыл бұрын

    Yesu alimponya kipofu kwa kumpaka tope, kila kitu kinavhotumiwa ni sawa Bora tu kibarikiwe kwa jina la YESU.

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi7973 жыл бұрын

    Mmeanza kuongea siri zenu

  • @zumbeshauri8114

    @zumbeshauri8114

    3 жыл бұрын

    Hahahahahaaaa kabisa ndugu yangu alisahau kuwa amewahi kuchukua dhahabu zawatu anawaambia zimeingia majini tupa kwenye chemba ya choo wakati zinaenda chumbani kwake?

  • @lestutaleo7220

    @lestutaleo7220

    3 жыл бұрын

    Anaongea ya mwenzie yake moyon. Acha mbwembwe kakobe

  • @sijaonamsagati6967

    @sijaonamsagati6967

    3 жыл бұрын

    Baba Askofu Zakaria kakobe MUNGU Akubariki Sana nakufahamu, nakupenda Sana nakuombea Endelea kuponya kanisa la Yesu kristo, Wauza njiwa waliofukuzwa na Yesu kristo hekaluni, wamerudi tena

  • @hekimapeter2813

    @hekimapeter2813

    3 жыл бұрын

    Ngoja atoe silazake kumbe anavofanyaga

  • @chayogasperi9783

    @chayogasperi9783

    3 жыл бұрын

    Wamezidiana sadaka , labda kondoo wake wanaendelea kupungua wanaenda kwa Mwamposa .

  • @jamesjohannes287
    @jamesjohannes2873 жыл бұрын

    Hapo kwenye vipofu kuona na viziwi kusikia umepagusia lkn pana maswali mengi sana. Nadhani ungezungumzia injili pekee maada yako ingependeza sana mtumishi wa BWANA

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    3 жыл бұрын

    BWANA alisema yoyote aniaminie mimi, atazifanya kazi nilizozifanya, naam na kubwa kuliko hizi nizifanyazo YOHANA 14:12, maandiko yameweka waz, YESU KRISTO mwenyewe yamesema hvo, ayaa kaz kubisha watumish wanashndwa kufufua au kufanya viwete kutembea, hv kwann mnapenda kumpa lucifer paragraph kubwa kuliko BWANA, inamaana BWANA hawwz kumtumia mtumish wake akafufua wafu na kufanya viwete watembea, heb mtafte ROHO MTAKATIFU akufundshe ww

  • @neemashayo8998
    @neemashayo89982 жыл бұрын

    We mzee hubiri neno la mungu hacha kumsema mwenzio inawezekana na ww huko kwenye kundi Hilo ww ni muongo

  • @lebonndayishimiye1259
    @lebonndayishimiye12594 жыл бұрын

    Chombo,bishop,kamanda wa Yesu, hakika mbingu na inchi vyashuudia kuwa wewe ni Askari wa Mung.Nakumbuka kuna myaka inapita nimekuag naugonjw wakikoo kikali kweli ila nilipo skia umekuja Burundi ndipo nilipo pata uponyaji kweny mkutano wako akika Yesu ni Bwana sijuw nikulipe nini Daddy 😓

  • @maikoandrew58

    @maikoandrew58

    3 жыл бұрын

    Vipofu mko wengi sana, kakobe alikwisha muacha Mungu siku nyingi Sana, wajinga wanazani bado kakobe anamcha Mungu, siku hizi amekuwa muongo muongo, ukimfuatilia vizuri kakobe utagundua kakobe kwasasa yupo kinyume na yale mahubiri yake ya zamani

  • @kishingokishingo1840

    @kishingokishingo1840

    3 жыл бұрын

    Tuliwasubiri i Sana wakati magu amefarik iili mumrejeshe hamkutokea

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын

    Msitaje na kuwasema watu vibaya, sio busara kama wewe unapita mkristo ujue namna baba yako wa mbinguni anataka. Kama imani tofauti Sawa tukana matusi yako, lakini kama unajiita mkristo ACHA MARA MOJA!

  • @sophiajonas3459

    @sophiajonas3459

    3 жыл бұрын

    Acha aseme mnaliwa hela tu

  • @anna11isack71

    @anna11isack71

    2 жыл бұрын

    Upo sahihi ,,kabisa

  • @paulrwechungura4284

    @paulrwechungura4284

    2 жыл бұрын

    Naungana na wewe ,ila waache uhuni, utitiri wa madhehebu ni utafutaje wa hela, kanisa ni moja katoliki la mitume

  • @AnabAbdallah-ii7ou
    @AnabAbdallah-ii7ou3 ай бұрын

    Nampenda sana mtume mwaponsa mpaka ni ingie kabulini

  • @user-sq6wr2nf2t
    @user-sq6wr2nf2t7 ай бұрын

    Mungu ndo anajua yote hayo sis tupo kwenye fumbo

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga28483 жыл бұрын

    Watumishi wa mungu mmefika pabaya.kila siku kusemana.mnamwabisha Kristo.wanawashinda hata wanasiasa.jaribuni kukaa pamoja,mmtukuze mungu

  • @suzanasunday3855

    @suzanasunday3855

    2 жыл бұрын

    Kabisa wanamuaibisha Mungu

  • @davidkasambala2575

    @davidkasambala2575

    2 жыл бұрын

    Uyu kakobe kawaibia sana waumini wake zaabu

  • @jenipherkaramba7250

    @jenipherkaramba7250

    Жыл бұрын

    Mwacheni mwamposa wetu .Mtabaki na utopolo wenu Tu.

  • @petermalanga8959
    @petermalanga89593 жыл бұрын

    Katoliki hoyee ,mmewasema sana sasa mnarudiana wenyewe kw wenyewe. kwel jwe la Kristo imara daima hautatikisika halleluya,

  • @rachelmpimbe1331

    @rachelmpimbe1331

    2 жыл бұрын

    Hoyee gani na pombe zenu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale39192 жыл бұрын

    Pambana na shetan sio kupambana na watu wa Mungu hao unaowasema wapo ila hawalihusu kanisa hizo nyumba hawatamzikia ni ubatili na hao manabii wa namna hii wanakuwa ni mashetan yanajigeuza kuwa manabii ila atapambana nao Mungu mtume paulo anasema hawatasonga sana mtumishi achana nao.hao tuhubiri injili