ASKOFU KAKOBE - "MAGUFULI Ole Wako, Mimi ni Mbishi Sana"

ASKOFU KAKOBE - "MAGUFULI Ole Wako, Mimi ni Mbishi Sana"
Askofu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Amempongeza Rais Magufuli, kwa kuendelea kuiletea Tanzania maendeleo baada ya kuleta tena ndege mpya ya sita ya Airbus A220-300
Askofu Kakobe ametoa pongeza hizo sambamba na maombi maalum katika hafla ya kuipokea ndege hiyo leo Januari 11, 2018 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere.
Ndege hiyo ambayo tayari inanakshi za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) endapo itakodishwa kwa shirika hilo kama ilivyofanyika kwa ndege nyingine tano itafanya jumla ya ndege za ATCL kufikia 6, ikijumlishwa na ndege yao ya zamani aina ya Bombardier Q300 ambayo sasa ipo katika matengenezo.
#NdegeMpyaAirbus #RaisMagufuli
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitte GlobalHabari Install Global App:
ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio
Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club
goo.gl/mkvuoB

Пікірлер: 32

  • @matthewglory2877
    @matthewglory28775 жыл бұрын

    Nakuelewaga sana Bishop kakobe hasa kwene uchambuzi wa neno la Mungu na kuwianisha na maisha tunayoishi hapa Duniani

  • @mukayamukama3123
    @mukayamukama31235 жыл бұрын

    Amen baba Ask of u were mbinguni njia nyeupe.. Mana umelijua hili..maombi yako

  • @manassehleonard2879
    @manassehleonard28795 жыл бұрын

    Hekima hii ni kubwa sana. Ubarikiwe sana Askofu wangu Kakobe.

  • @mwambauliohai5043

    @mwambauliohai5043

    5 жыл бұрын

    kabisa

  • @user-zi2mm7ft2w
    @user-zi2mm7ft2w9 ай бұрын

    This is the man of the word of God

  • @motonkalipaschal4790
    @motonkalipaschal47905 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana Askofu Kakobe

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles57919 ай бұрын

    Magufuli ,the regend 👏👏👏👏,rest easy 😭😭😭

  • @sylvestersanawa963
    @sylvestersanawa9635 жыл бұрын

    The best evangelist I ever seen

  • @jephterkayila7693
    @jephterkayila76935 жыл бұрын

    Ameeeeeeeeen

  • @eliasbufula6290
    @eliasbufula62905 жыл бұрын

    Kakobe hakika wewe ni mtumishi wa Mungu hongera sana, na pia Hongera kwa rais wetu JPM.

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema69695 жыл бұрын

    Mtumishi Kakobe nimekubali kweli wewe unaubishi wa maana nimekuelewa

  • @matirdakarlo1233

    @matirdakarlo1233

    5 жыл бұрын

    Daniel bugwema pp

  • @hajamijohana6979
    @hajamijohana69795 жыл бұрын

    hich kitendo cha serikal kubenzi din moja upinzan pointi

  • @isayalalika6189
    @isayalalika61895 жыл бұрын

    Duuh!!!! Dunia hii!! Jamani?

  • @maikoandrew58

    @maikoandrew58

    2 жыл бұрын

    Umeona ?

  • @sulelubwaza9335
    @sulelubwaza93355 жыл бұрын

    umekomeshwa na selikali ndo maana umeacha kuropokaropoka

  • @mudhakirudauda7933

    @mudhakirudauda7933

    5 жыл бұрын

    Hati yake ya kusafiria bado imemilikiwa lazma awe mpole!

  • @sabastianraymond8841

    @sabastianraymond8841

    5 жыл бұрын

    sule lubwaza panapostahili sifa ndipo anaposifia LAKIN,Raisi akifanya Ujinga atamkemea tu.

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher47955 жыл бұрын

    Unajikosha tuu wewe kakobe.

  • @nelsonkazaura6954
    @nelsonkazaura69545 жыл бұрын

    Kakobe unasifia ndege, hukusoma gazeti mojawapo la leo, kwamba iko Shule moja hapa Nchini iko hoi kwa Kunguni?

  • @alexanderdustan8872

    @alexanderdustan8872

    5 жыл бұрын

    Kwa hiyo while ikiwa hoi unazuia kuleta ndege?

  • @nelsonkazaura6954

    @nelsonkazaura6954

    5 жыл бұрын

    Alexander Dustan Kama wewe ni Baba ktk familia, ukaenda kununua Smart phone ya Sh.500000/- Ukijua watoto wameshinda na kulala jaa kwa kukosa ugali, basi wewe utaitwa Mwanaume-suruali!

  • @alexanderdustan8872

    @alexanderdustan8872

    5 жыл бұрын

    @@nelsonkazaura6954 lakin kumbuka hiyo samart. Phone inaweza ikawa nyenzo ya kupata hela nyingi sana na hata kumpleleka hyo mtoto kusoma ulaya huku akila bata mwanaume suruali ni yule ambaye hawezi Fanya lolote

  • @alexanderdustan8872

    @alexanderdustan8872

    5 жыл бұрын

    @@nelsonkazaura6954 Kunguni zinatokana na nn? Kwa nn shule iwe na kunguni? Hafu uone zimesababishwa na serkal kununua ndege? C kila kitu kujiona unajua brother kunguni wafanye usafi tu ndo tiba ova

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.97335 жыл бұрын

    Injili mkanganyiko baada ya kulewa vitisho ni dalili kuwa Mungu hana nafasi tena kwa kina kakobe. Mimi namkubali rais kwa haya maendeleo lakini unaponichanganyia injili na siasa chafu hizi nakutazama kwa kicho la mwewe. Juzi uliposimama na kweli ukawaambia uovu wao walikupima mkojo,wamekunyang'anya paspoti na kukwambia siyo raia,je wamekupa nini leo mpk uwaone watakatifu?

  • @sabastianraymond8841

    @sabastianraymond8841

    5 жыл бұрын

    Deus Kira Panapostahili kusifia sifia,Panapostahili kukemea kemea.MUNGU hajipingi.

  • @bonifasiemanueli2708
    @bonifasiemanueli27085 жыл бұрын

    mbona mwanzoni ulimponda,ukasema,hauitaji chai ya ikulu kwamba hiliki ya ikulu ni ile ile,

  • @sabastianraymond8841

    @sabastianraymond8841

    5 жыл бұрын

    Bonifasi Emanueli Magufulu,AMEMKOSHA Kakobe ndiyo sababu ya kwenda,sivinginevyo.

  • @belgieboys9867
    @belgieboys98675 жыл бұрын

    huyu si yule mcongo?

  • @ladislausngoyinde4384

    @ladislausngoyinde4384

    5 жыл бұрын

    Hahaha, unachekesha, kama yy mcongo na ww kwenu wapi? Watu mliokuja tz baada ya nyerere kufarik mna shida sana, ila mtabainika tu cku c nyngi na mtarud kwenu

  • @bickosteven9730

    @bickosteven9730

    5 жыл бұрын

    Akofu umebugi usingeenda wamekufuatilia sana tra na wewe. Leo umeenda kumfagilia umejithalilisha sana