WATOKWA NA JASHO WAKITAFUTA UKRISTO KWENYE BIBLIA😭😭

‪@StraightPathDawah‬ ni dawah popote wakati wowote. Please subscribe...

Пікірлер: 96

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk3 ай бұрын

    Maa shaa Allah kazi iendelee kwa nguvu za Allah Allah awahifadhi masheikh wetu,awape kheri za dunia na akhera.

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Sheikh una kazi ngumu Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu

  • @husseindzombo6492
    @husseindzombo64923 ай бұрын

    Surah *_Al-Im'ran_***: Ayah ***_19_* *Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.*

  • @fgg8794
    @fgg87943 ай бұрын

    Mashaallah Allah akujaalie kila lakheri sheikh

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Fanyeni kazi maana wengi hata hawajui maana ya mungu ni nani

  • @user-rf7wx7og6t
    @user-rf7wx7og6t3 ай бұрын

    Mashalla ❤

  • @Adm9464
    @Adm94643 ай бұрын

    Different day . Same story with Wakristo. Always going to the library. Maandiko hawa jui.

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu57783 ай бұрын

    Mashallah 💞

  • @firdausjabir1436
    @firdausjabir14363 ай бұрын

    dini ya haqqi mbele ya m.mungu ni uislam Allah akulipe jannat binkagua na siku hizi bora

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor78473 ай бұрын

    Masha Allah 💖💖💖

  • @princematumbo
    @princematumbo3 ай бұрын

    Sheikh Ramadhan jamaa kama hawa don't argue with them,kuelewa kwao ni shida,we are not talking about government.

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo58633 ай бұрын

    Allah yakulipe

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Mashallah sheikh Ramadhan ukweli wameupata but ni ushindani ndio wengine wasijue ukweli mabruk

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Hawajajua kumshirikisha mungu ni nini

  • @saeedisa9798
    @saeedisa97983 ай бұрын

    Jamaa hana hoja. Kama kuna under age katika bibilia si ange thibitisha. Ana kimbilia man made law.

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h3 ай бұрын

    ALLAH hu AKBAR ❤❤❤❤❤❤

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss84853 ай бұрын

    Eti mwenye-ezi-mungu ni Muhammad au ni yesu khaaa😂😂😂......daagh Allah atujaalie tufe tukiwa waislam 🤲🤲🤲

  • @user-hy5zd5rn6r

    @user-hy5zd5rn6r

    3 ай бұрын

    Ile siku utajua ulimkataa Yesu kama mwokozi wako itakua umechelewa

  • @hanifahkhamiss8485

    @hanifahkhamiss8485

    3 ай бұрын

    @@user-hy5zd5rn6r kwn mm nimemkataa yesu🤣🤣yesu ni mtume km alivyo Muhammad na tunampenda na kumuamin na kuafuata yote aliokuja nayo....ila sio kumuabudu wala kumuita mungu au muokovu uokovu wako ni nafsi yako na matendo yeko tu.......

  • @user-rc7oi2hp8l

    @user-rc7oi2hp8l

    3 ай бұрын

    Yesu n Mtume wa Mungu kw Wana waisaraeli na ni mwana wa marium.mtu wa Palestine Jerusalem

  • @hanifahkhamiss8485

    @hanifahkhamiss8485

    3 ай бұрын

    @@user-rc7oi2hp8l kwaio

  • @user-hy5zd5rn6r

    @user-hy5zd5rn6r

    3 ай бұрын

    @@user-rc7oi2hp8l Wapi inasema Yesu ni mpalestina? Mbona waislam mko na Uongo? Yesu ni myahudi kutoka Israel

  • @josemu870
    @josemu8703 ай бұрын

    Barikiweni

  • @user-jj6sd8me9k
    @user-jj6sd8me9k3 ай бұрын

    Shekhe kuna mmoja kAkimbia hapo.mimi nimemuona

  • @abdullrahmanqatar

    @abdullrahmanqatar

    3 ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @jacobkahindi3722

    @jacobkahindi3722

    Ай бұрын

    😂😂​@@abdullrahmanqatar

  • @user-fc6uf6be5u
    @user-fc6uf6be5u3 ай бұрын

    Huyo jamaa anapoteza mda namaswali ya idi

  • @oopsm3574
    @oopsm35743 ай бұрын

    Haamini kama shetani hupo😂😂 hajuwi kama shetani anampoteza😅

  • @amadimagadi7978
    @amadimagadi79783 ай бұрын

    Uyu mwenye mask anapenda siasa hajielewi

  • @elizamukiti9855
    @elizamukiti98557 күн бұрын

    Aki barakoa

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila45723 ай бұрын

    Uyo wa barakoa hajielewi

  • @FauziahNambaka-bn2ln
    @FauziahNambaka-bn2ln2 ай бұрын

    Wakristo wamechanganyikiwa kwa kila kitu

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari24443 ай бұрын

    MashaAllah.

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Kujua mungu yupi maana kuna ng'"ombe mungu na mtu mungu

  • @salimbilali5174
    @salimbilali51743 ай бұрын

    Uyo jamaa hajielew aki anashindana n miaka ungemuuliz uwo wakati wa yesu kulikuw na serikali Kam ya zakayo...hao ndio wanaitwa albalidu la yafhamu Shai'an.

  • @rizikiali328
    @rizikiali3283 ай бұрын

    Wakati huo hakukuwa na mambo ya id

  • @abdinasirmohamed2238
    @abdinasirmohamed22383 ай бұрын

    Stephen ni karau, n anauliza maswali za O.B ambazo hazimake sense😅😂

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila45723 ай бұрын

    Jamaa wa maski nifala kweli hapo mambo ya din anayaweka kwwnye siasa

  • @elizamukiti9855
    @elizamukiti98557 күн бұрын

    We mtu wa barakoa pls acha tu na uende

  • @alyumaraos
    @alyumaraos3 ай бұрын

    Hakuna mt alonikera kama huyu jamaa alozungumza mambo ya.id kaniudhi kapoteza muda mref sana mjinga huyooo.

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu40253 ай бұрын

    Apo sheikh unakibarua awa watu kuelewa ni balaa

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia63063 ай бұрын

    Sasa Muhammad kaoa kitoto miaka 6...inalilahi wainalilahi rajun.

  • @bekamwaba3571

    @bekamwaba3571

    3 ай бұрын

    My one and only assistance to you. Stop your ignorance, learn with your open mind and get it right. It's for your benefit In Shaa Allah.

  • @ngugimundia6306

    @ngugimundia6306

    3 ай бұрын

    @@bekamwaba3571 ukitaka tuanze kuchambua uislam utaumia na kukereka bure hivyo usijaribu kutumia neno ignorance....

  • @kutailass6671

    @kutailass6671

    3 ай бұрын

    ​@@ngugimundia6306U islam hata ukae uchambue miaka yote ya uhai wako hakuna muislamu atakae umia bali aumiae ni wewe usie jielewa

  • @badruseif1318

    @badruseif1318

    3 ай бұрын

    ​​@@ngugimundia6306Kwanza sio kweli Mtume Muhammad hajaoa mtoto wa miaka6 na kama kaoa kweli tupe andiko, pili Adam alioa mtoto siku 1 sasa kinachokushangaza kitu gani ?

  • @user-rc7oi2hp8l

    @user-rc7oi2hp8l

    3 ай бұрын

    Toa ushahidi nasubir andiko ............. Izo n propaganda n kutosoma. Soma ndugu ngu

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia63063 ай бұрын

    Hatuhubiri ukristo tunahubiri kristo....changanya wasio fahamu urongo wenu...

  • @ustadhfarouq7729

    @ustadhfarouq7729

    3 ай бұрын

    So unapoaply Id card ktka DINI unajaza ww ni kristo ama Mkristo? In English is your religion Christ or Christianity stop running away from the truth, ukweli ukifika uwongo lazma utoweke ..Kristo ni mtu sio dini,,,,,,,dini yake ni ukristo yaani Christianity..huezi hubiri jina la mtu bali dini yake.

  • @SaidiBakari-dc6uw

    @SaidiBakari-dc6uw

    3 ай бұрын

    Wacha ushabiki

  • @ngugimundia6306

    @ngugimundia6306

    3 ай бұрын

    @@SaidiBakari-dc6uw ukitaka tutiane chuoni toa mada...nikufunze...kwanza quran haileweki aya ipi wahai upi ulishuka mwanzo...mkubaliane kwanza kabla ya kuingilia wakristo...soma quran 74...hadi ufafanuzi.

  • @ngugimundia6306

    @ngugimundia6306

    3 ай бұрын

    @@ustadhfarouq7729 exactly my religion is christ john 14.6...am the way and the truth...meaning of religion?...way of faith or believe....dini ni njia ya imani...Jesus christ is the way so we believe in him...he is our religion so we become of him so Christian....believers of christ....

  • @kutailass6671

    @kutailass6671

    3 ай бұрын

    ​@@ngugimundia6306mnajifanyaga mwajua maandiko lkn mkiambiwa zibitishen Ukristo ni dini ya Mungu hamtoag

  • @isseamin2017
    @isseamin20173 ай бұрын

    ustadh Ramadan huyu hufai kuongelea muda kadha ungefaa kunyamaza na kuendelea kuhubiri hana hoja he want to waste your time only.

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r3 ай бұрын

    Na shetani naye amefunga? Si Mohamed alimsilimisha shetani?

  • @user-qo8zm1sk8p

    @user-qo8zm1sk8p

    3 ай бұрын

    Kuna wenye wanatii amri

  • @user-hy5zd5rn6r

    @user-hy5zd5rn6r

    3 ай бұрын

    @@user-qo8zm1sk8p kina nani?

  • @user-hy5zd5rn6r

    @user-hy5zd5rn6r

    3 ай бұрын

    @@user-qo8zm1sk8p kina nani?

  • @user-hy5zd5rn6r

    @user-hy5zd5rn6r

    3 ай бұрын

    @@user-qo8zm1sk8p kina nani?

  • @faudhiasaidi3669

    @faudhiasaidi3669

    3 ай бұрын

    Unaandiko linasema shetani amesilimu??

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia63063 ай бұрын

    Tafuta Christian and christ...hili neno ukristo ni lenyu waislam na mpgani...sisi tumjua kristo nasi tu wafuasi wake wakristo.....kristo ndie dini yani njia ya imani ukristo pelekeni msikitini...

  • @hemedbamja3197

    @hemedbamja3197

    3 ай бұрын

    Naomba unisaidie,mnahubiri Kristo kwa maana ya historia yake na maisha yake,au guidelines zake?

  • @ngugimundia6306

    @ngugimundia6306

    3 ай бұрын

    @@hemedbamja3197 sasa wewe hujui quran si maneno ya mwenyezi mungu....quran inaubabaishaji tu soma quran 3.7...tena haieleweki mpangilio wa uongo...quran 74 .aya hii ilikua ya mwanzo kushuka wanazuoni wakabadilisha wakasema aya ya kwanza ni sura ya 96...lakini leo hii saru ya kwanza ni surah tulfatha...uamini lipi? Quran kitabu cha upotovu..tena Muhammad hajui kusoma wala kuandika ndio maana quran inababaisha...saurah 7.157...nabii umi!

  • @jumamsembe1213

    @jumamsembe1213

    3 ай бұрын

    Utajua mandiko tu pole pole ..fuatilia channel..

  • @kutailass6671

    @kutailass6671

    3 ай бұрын

    😂😂😂😂manake kwanza nicheke

  • @user-rc7oi2hp8l

    @user-rc7oi2hp8l

    3 ай бұрын

    Kwa tarifa yko yesu hajui Cristo ni nini hakuogea lugha hiyo wala hajui Christo ilianzaje hakua wakati huo.ilo jina Christo limeitwa wafuasi wa yesu apo Turkey

Келесі