SURA MPYA STESHENI YA SGR DAR ES SALAAM, MABASI YA MWENDOKASI HADI NDANI

Пікірлер: 61

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni42583 жыл бұрын

    Rest In Peace Paradise Mh Magufuli 🇹🇿💔the Son of Africa nita kukumbuka daima 😭💔🇹🇿

  • @brownm6293
    @brownm62933 жыл бұрын

    The government need to make the properties around and along that fantastic building and bridge be a hub of high rise building that matches with the beauty of the station. Do not allow those run down buildings and old factories with rusted roof steel the show. When travelers and visitors enter or leave the station, they need to remain with good memories of fantastic! and job well done!

  • @brownm6293

    @brownm6293

    3 жыл бұрын

    The only way is for the government to declare the area around the station and bridge special zone and compensate the existing owners. Ingage local and international strategic developers to Draw up proposals and the winning proposal will go to the market either by selling individual plots to qualified entities or if the interest is hot to accommodate everyone then through auction. I assure you knowing the properties prices in the heart of Dar, expect windfall of interested conglomerates who are ready to pay premium. The multiplier effect of that to Dar city, preparations of the land, supply of services to site ie electricity, water, materials, labour etc. Will be for years to come. All this will happen if the government or authority in charge can think out of the box and take initiative. Mind you all these is like the government first made an initial investment but will continually receive royalties in different forms infinitely. Please Tanzania, you have mega projects going around and craft around them never ending circle of activities for the private sector.

  • @mohamedsaid2882

    @mohamedsaid2882

    3 жыл бұрын

    True that brother true that 👌🏽

  • @KS-iw7qv

    @KS-iw7qv

    3 жыл бұрын

    Wazo zuri saana.... lazima pote hapo pasafishwe na pawe na majengo ya kisiasa yenye muonekano sawa na Eneo husika

  • @mohamedsaid2882

    @mohamedsaid2882

    3 жыл бұрын

    @@KS-iw7qv ndio kaka mabati ya kutu yanafnya jiji letu luinekane kama upo bunjubura jiji letu ni kubwa na linafaa lionekane Kama hvy

  • @myself4128

    @myself4128

    3 жыл бұрын

    Waste of public funds for Entertaining visitors really? Ru even serious talking about investing in beautiful building just to please Passerby?Get a life instead of Advicing those funds to be directed to Public sectors like Hospitals our mothers stilldelivering babies in corridors with no Medications and even shortage of Trained Nurses&doctors,People dying in hospitals due to poor medical care and your fantasizing some beautiful Buildings??R we gonna Eat those nice Tall storey high rise?whats more important Than Saving lives huh?

  • @mohabatkhanmalak1161
    @mohabatkhanmalak11612 жыл бұрын

    I like the 'Tanzanite' design, it is so much at home. Looking forward to the complition of this wonderful project.

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu28113 жыл бұрын

    Mr Engineer is very straight to the points. I like it

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu10683 жыл бұрын

    Great job.

  • @jamesjulius5057
    @jamesjulius50573 жыл бұрын

    R.i.p magufuri

  • @abuuyasir4684
    @abuuyasir46843 жыл бұрын

    Kila mwezi asilimia zinapungua mmmmmh mnatuhadaa

  • @papaamasauti5964
    @papaamasauti59643 жыл бұрын

    Acha kazi iendelee

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel46713 жыл бұрын

    Safi sana

  • @aishajuma7813
    @aishajuma78133 жыл бұрын

    Kazi niendelee

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany59023 жыл бұрын

    Kazi iendelee

  • @kamanahamisi2042
    @kamanahamisi20423 жыл бұрын

    Safi sana my classmate thadei paul

  • @frankd1156
    @frankd11563 жыл бұрын

    Wanajenga parking miaka...mradi huu utamakizika baada ya 100yrs.Magufuli was Raisi ambaye alijali efficient use of time.Hawa story tu hakuna kitu

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba57623 жыл бұрын

    Sema mpunguze uwongo semeni tu ujenzi mpaka mwakani ndio uta kamilika sisi tunao ishi dar bado sana tunaona wadanganyeni hao wamikoani

  • @johanesbina1302

    @johanesbina1302

    3 жыл бұрын

    Hahahaha 😂😂😂😂 Mzee JPM angekuwepo hiyoo speed zaidi ya 5G

  • @marthahemed7338
    @marthahemed73383 жыл бұрын

    Uko wapi beni

  • @kassimomar7589
    @kassimomar75893 жыл бұрын

    Leo wa mwanzo

  • @leothardngonya2369
    @leothardngonya23693 жыл бұрын

    Tunatoa takwimu ya kitu kinaonekana ,au hufuatilii ? Shogaetu na kidume toka wizi was magari ,kujipeleka kwa Vidume ,watoe takwimu!! Mwenyekiti amepiga mabwege hadi Faru John anamuumbua , Nyambufuu.

  • @jumanurdin5891
    @jumanurdin58913 жыл бұрын

    Tatizo fidia kipande cha pili mladi wa umeme tangu 2020 mpaka sasa bado

  • @machaggechacha3422

    @machaggechacha3422

    2 жыл бұрын

    Kwa nini ????? Walipe watu haki yao!!!! Hivo ndivo wizi na utapeli unavyoanza kwa kuchelewesha malipo. Wazembe nyie wahusika.

  • @starridge3615
    @starridge36152 жыл бұрын

    Mshaaanza jenga bomoa ndio mmemaliza miaka mkipiga hela

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba3523 жыл бұрын

    Hahaha asilimia 92 toka mwezi wa nne daah....

  • @machaggechacha3422

    @machaggechacha3422

    3 жыл бұрын

    Wanatudanganya!!! Malofa hawa majizi. Tangu Magufuli aondoke kazi imezorota. Kiswahili kingi na uongo humo humo na kazi haifanyiki. Vilaza watupu.

  • @kambamazig02024

    @kambamazig02024

    3 жыл бұрын

    Hesabu za kiswahili hizo.

  • @johanesbina1302

    @johanesbina1302

    3 жыл бұрын

    Umeona eeeh

  • @kamanahamisi2042
    @kamanahamisi20423 жыл бұрын

    Engineer

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje86933 жыл бұрын

    hizo asilimia zinashuka kila siku nikiangalia kipindi hiki Roho inauma sana yaani sijui kwa nini......

  • @edwinjohn6000
    @edwinjohn60003 жыл бұрын

    Yuko wapi Ben

  • @mosesnyelo1380

    @mosesnyelo1380

    3 жыл бұрын

    Yupo kwenye kipindi kingine kinaitwa sisi ni wazalendo

  • @triplea3463

    @triplea3463

    3 жыл бұрын

    @@mosesnyelo1380 Kasema kila kitu kina wakati wake Nmenukuu kama alivyomjibu mojawapo humu humu

  • @onaikim4191
    @onaikim41913 жыл бұрын

    Atari

  • @brownm6293
    @brownm62933 жыл бұрын

    The problem with Tanzania is the time it takes to see opportunity and move fast to implement. Either you need a local team of expert very nimble and trusted by the highest office to scan opportunities and select a low hanging fruit and once evaluated and satisfied truly is lowly hanging, it should be passued with the light of speed. Rwanda, Ghana, Ethiopia etc are doing that with great success. The speed matters because neighbouring countries might copy your ideas and if they finished theirs first it makes the late comers irrelevant. Rwanda has copied some of Tanzania's ideas and implement them with tremendous success. Is not bad but it prove that ideas remain ideas till when implemented. ( mchakato ni mchakato till implemented.)

  • @myself4128

    @myself4128

    3 жыл бұрын

    Pls dont compare Tanzania with a little country like Rwanda with a handful population,Tanzania is one of the Biggest Economies in Africa with imense reserve of Natural resources to Feed both Rwanda&Ghana Till Jesus Comes back,Rwanda can do that Easier as its Just like one of our towns like Mwanza size wise,with one Dictator running the country theway he feels,No freedom of speech just a town full of YES PEOPLE" so to say planting flowers in Towns whilst indegenous are starving,Talking about Ghana its no where near Tanzania wen it comes to Everything except Football mayb,Tanzania is a step ahead of the rest of the bunch,Thats why you Dont See many Tanzanians in those Countries but u see those ghanians&rwandese dying to immigrate to Tanzania alot,Let us move to our pace we have other important Things to do before we please visitors

  • @markomkimbo7532

    @markomkimbo7532

    3 жыл бұрын

    It is true,michakato zaidi ya miaka kumi🙈

  • @samwelydanda7155
    @samwelydanda71553 жыл бұрын

    Naomba kujuwa kituo cha sgr dar es Salaam kilikuwa na majengo mawili mbona naona jengo moja

  • @eliakinshaga3090

    @eliakinshaga3090

    3 жыл бұрын

    Nishauliza hili swali sijapataga jibu

  • @KS-iw7qv

    @KS-iw7qv

    3 жыл бұрын

    Hili suala mbona hamlijibu TRC .????

  • @triplea3463

    @triplea3463

    3 жыл бұрын

    @@KS-iw7qv Hili swali lishajibiwa kama ni mfatiliaji wa hivi vipindi Ni kwamba jengo la pili lilikuwa ni ofisi za TRC headquarters lenyewe linajengwa Dodoma kama mfatiliaji vipindi vya wiki mbili au tatu walilionesha kwenye taarifa zao za habari hata kwenye ripoti za mwezi za Yapi merkezi wanaonesha jengo la TRC Ni kwamba wakati wanafanya design ya huu mradi serikali ilikuwa bado haijaamia Dom baadaye serikali ilivyohamia Dom Chuma aliamrisha wizara na idara pamoja na taasisi zake(TRC) Zihamie Dodoma hivyo badala ya jengo kujenga Dar wakaamua kujenga Dom umbali mchache kutoka Dodoma station (sio pacha kama ilivyokuwa huku) na pia nmesikia hata design wamebadili

  • @makumbele

    @makumbele

    3 жыл бұрын

    @@triplea3463 Asante kwa ufafanuzi, nilikikosa kipindi kilichozungumzia hayo.

  • @kambamazig02024

    @kambamazig02024

    3 жыл бұрын

    Swali zuri, je wali scale down mradi ama vipi?

  • @petershedrack4668
    @petershedrack46683 жыл бұрын

    Mmh Kwan si walisema mwezi wa nane usafiri unaanz bado mwezi mmoja yetu macho

  • @didimhutila8985

    @didimhutila8985

    3 жыл бұрын

    Wapo taratibu sana!si wamemutanguliza jembe letu la hapa kazi tuu.

  • @johanesbina1302

    @johanesbina1302

    3 жыл бұрын

    Bas Tu hapa mpaka mwakani dadeq

  • @aziadubayi7874
    @aziadubayi78743 жыл бұрын

    We don’t want that mama samiay

  • @salumabdallah6680

    @salumabdallah6680

    2 жыл бұрын

    Hama sasa

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama30003 жыл бұрын

    Uwekezaji wa Awamu ya 6!

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi76373 жыл бұрын

    Tunasubiri mwezi wa nane. Au mkurugenzi keisha anza uongo!

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli36503 жыл бұрын

    Mtangazaji upo vzr sana tofauti na aliyepita alikuwa mtu wa misifa sana

  • @neemakilomoni4258

    @neemakilomoni4258

    3 жыл бұрын

    Alikua ana kukera???

  • @kamgomoli3650

    @kamgomoli3650

    3 жыл бұрын

    @@neemakilomoni4258 Sifa zilizidi. Nazani ndo wale praise team wa mwenda zake

  • @beaugosseadam6831

    @beaugosseadam6831

    3 жыл бұрын

    Alikua akisifia kinachoonekana na mwenye maono. Ulitaka akasifie shule ulioijenga?