Serikali ya Tanzania Kuiuzia Zambia Tani 650,000 za Mahindi

Tanzania na Zambia zimeingia makubaliano ya mauziano ya tani 650,000 za mahindi meupe yenye thamani ya shilingi bilioni 650, kufuatia hali ya ukame iliyoikumbuka Zambia kupelekea wananchi takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula.
Mkataba wa makubaliano hayo umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dkt. Andrew Komba kwa upande wa Tanzania pamoja na Mratibu wa Maafa kitaifa nchini Zambia Dk Gabriel Pollen, katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 7

  • @danielliyoko7214
    @danielliyoko72147 күн бұрын

    Kaz Nzur, Bashe.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk7 күн бұрын

    🇹🇿🇹🇿❣️

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo40417 күн бұрын

    Good deal

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist7 күн бұрын

    TANZANIA LEADERSHIP IS NOT STRATEGIC LEADERSHIP INSTEAD IS THE SYSTEM FOR PEOPLE IN THE SYSTEM TO TAKE ADVANTAGE OVER IT CITIZEN

  • @saidbakar-qo6ri

    @saidbakar-qo6ri

    4 күн бұрын

    Huu utumbo ondoa kajifunze tena pumbavu

  • @BarakerZeonlist

    @BarakerZeonlist

    4 күн бұрын

    PUMBAVU ANACHUKIZWA NA POSITIVE FEEDBACK

  • @BarakerZeonlist

    @BarakerZeonlist

    4 күн бұрын

    @@saidbakar-qo6ri MPUMBAVU NI WEWE

Келесі