Nani Kutoka ‘Democrats’ Kumkabili Trump? Joe Biden, Kamala Harris au Michelle Obama?

Joto la uchaguzi Mkuu wa Marekani unaotarajia kufanyika Novemba 5 mwaka huu 2024 limezidi kupanda ikiwa ni wiki moja tangu kufanyika mdahalo wa watia nia wawili wa vyama vikubwa vya Democrats na Republicans.
Kufuatia mdahalo huo ulioandaliwa na Kituo cha habari cha CCN, hali ya upepo wa rais wa sasa wa Marekani Joe Biden kushinda uchaguzi ujao imeanza kubadilika kutokana na kufanya vibaya kwenye mdahalo huo ukilinganisha na Donald Trump wa Republican.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер

    Келесі