"Sasa wewe njoo na tai na Cheti cha Degree halafu nikupe hela zangu'' kISHIMBA vs MWIGULU

KISHIMBA AMCHANA MWIGULU, ATOA TAHADHARI, "WAONDOE HUO UOGA, WANAOGOPA NINI?"
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA Ngasa Online Tv
⚫️ Email: ngasamedia@gmail.com / WhatsApp 0716909567 / Call 0716909567
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: / playlist
list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb
⚫️ BUNGENI DODOMA: / watch
v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B
⚫️ SIASA : • Video
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma
ngasamedia@gmail.com
WhatsApp: +255 716909567
Call us : +255 716909567
thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.
#sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv

Пікірлер: 62

  • @masungajp1
    @masungajp1 Жыл бұрын

    This man is super GENIUS. Lazima tutumie vichwa hivi kabla havijaondoka duniani.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Жыл бұрын

    Vyeti na hio PHD nyingi ukigonga ndani zinatoa MWANGWI YAANI ZIKO TUPU ,😂😂😂😂

  • @yadidehaule6399
    @yadidehaule6399 Жыл бұрын

    Huyu Mbunge awe anaongezewa Muda akiwa anatoa hoja.

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Жыл бұрын

    Kumbe huyu ndio kishimba wa kakahama 🙌❤️

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Жыл бұрын

    Mwigulu anafanya nini bungeni empty box kabisaaa😢

  • @hamzamfyagidzi6344
    @hamzamfyagidzi6344 Жыл бұрын

    Kishimba safi sana Akili nyingi

  • @jacksonzeno1447
    @jacksonzeno1447 Жыл бұрын

    Kua na Elimu sio kua na hela. Hao wenye vyeti hawawezi ku raise hela.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Жыл бұрын

    Huyu jamaa Safi sana. Akili kubwa!

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 Жыл бұрын

    Ni kwanini Rais haoni kama mwigulu ni shida jamani?

  • @user-ek3zk4bx5j

    @user-ek3zk4bx5j

    Жыл бұрын

    Wanajuana

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 Жыл бұрын

    Kishimba mpina ndio wenye akili sio Hawa wengine wanajiona Wana akili kumbe mabogas tuu

  • @damianmachira7535
    @damianmachira7535 Жыл бұрын

    Safi sana KISHIMBA, IPO cku wataandika kitabu kwa mawazo fresh cyo kukariri pie ya 22 chini ya Saba..

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Жыл бұрын

    Mtangaika sana bila mama kumtumbua mwiguru hatutakuwa salaama wizara ya fedha ni kubwa anatakiwa mtu mwenye Elimu kubwa na maono yule jamaa vyeti tu vya kununua kutoka udsm hpo wanahonga mwalimu pale akili ndogo inatakiwa mtu makini kuongoza wizara ya fedha

  • @user-uy2dk2yv2c

    @user-uy2dk2yv2c

    Жыл бұрын

    Bro wasomi wengi Ni majizi tena majambazi wakubwa

  • @aishaalbalushaishabalush8291

    @aishaalbalushaishabalush8291

    Жыл бұрын

    tatizo watanzania hamna uelewa mwigulu hawezi kufanya kitu bila rais kwahiyo huyo mama enu ndio anamtuma afanye hivo ndio maana unaona hawatumbui makamba na mwigulu wabaya kupitia nguvu yavrais nasio wao hata akiwatoa hao akaleta wengine halafu yeye ndio ana wamrisha wafanye hayo hakuna kitakacho badilika

  • @aishaalbalushaishabalush8291

    @aishaalbalushaishabalush8291

    Жыл бұрын

    @@user-uy2dk2yv2c kabsa ndugu

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 Жыл бұрын

    Royal brother!! I salute you!!

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Жыл бұрын

    Me sijui vigezo binavyo mpa mtu uwaziri au naibu waziri..nashindwa kuamini huyu jamaa anakosaje huo uwaziriii...yaani akili nyingi hivi bado hamtaki kuzitumiaa..

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 Жыл бұрын

    Manful!!!✊✌️

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын

    Mh kishimba upo sahihi utafikili kuna viongozi wanajitoa akili. Vitu vya kawaida sana hata hao wazungu wana nguvu sababu ya akiba ya dhahabu.

  • @erickkimaro9190
    @erickkimaro919016 күн бұрын

    Sijui kwanini hakupewa wizara ya fedha.

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 Жыл бұрын

    Kuna siku tutamwelewa tu!

  • @user-rg7tx2cc1l
    @user-rg7tx2cc1l Жыл бұрын

    ❤❤❤

  • @matindesamson7648
    @matindesamson7648 Жыл бұрын

    Kishimba your smart.wafundishe hao. Wanajua ila ni wahuni

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg8 ай бұрын

    Safi kaka ❤❤❤

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Жыл бұрын

    Mbunge mwenye bongo inayochambua mambo kisawasawa

  • @piusthomas624
    @piusthomas624 Жыл бұрын

    Wazir wa fedha anazingua

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Жыл бұрын

    Kishimba katika ubora wake.

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson49087 ай бұрын

    Hili bunge la mazuzu kazi kupiga makofi miaka yote kishimba anasema hakuna hatua ...

  • @edsonjrtz7676
    @edsonjrtz7676 Жыл бұрын

    Tatizo wasomi yy anamiliki vyeti tu na kuhusu kutafta ela hmn imani yangu tokeapo mtu ambae hana elimu kubwa ndie anae weza kutafuta na kubarance mm matajili wengi naona ambao hawaja soma

  • @bozbun3994
    @bozbun39949 ай бұрын

    Huyu ndo alitakiwa kuwa waziri ..ila Cha ajabu uwaziri wanapewa vilaza

  • @godfreymwendawila
    @godfreymwendawila Жыл бұрын

    Mi najua wabunge sahihi hawazidi kumi hapo bungeni wengine wote ni wezi tu

  • @ramadhanimtetu3656

    @ramadhanimtetu3656

    Жыл бұрын

    Mzee kishimba Kibera -; Kuna baadhi ya mambo anabidi awakubali tu wavaa tai Kuna tofauti kubwa ktk kuendesha Private Company na Public Company Kampuni za Umma ambazo Sheria za uendeshaji na Umaliki Mitaji zinaruhusu Kuuza hisa hata kwa Aliye Nje ya Company lazima hiyo Mitaji ilindwe Na Wasomi (wanataaluma ) Maana Si Kila Mwenye Mtaji ana Uwezo wa Kuwa Mwendesha Jambo Na Kanuni inasema -; ili Kampuni ifanye vyema kibiashara inahitaji vitu vikuu v 2 Kwanza Sheria Nzuri za uendeshaji Pili Msimamizi Mzuri Mwenye weledi na Kipaji Hapa kwenye Weledi namaanisha pamoja na Taaluma Pia Maana logical Pekee haitatosheleza Kila Eneo wakati wa kutekeleza majukumu

  • @IsayaSosolo-nx8zk

    @IsayaSosolo-nx8zk

    Жыл бұрын

    Siyo wezi Ila uwezo wa kufikiri mdogo! Na watawala wanapenda Sana wabunge vilaza ili waweze kuiburuza Ichi vizuri!

  • @cosmaswilliam3805

    @cosmaswilliam3805

    Жыл бұрын

    Bunge Ni la ajabu sana

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 Жыл бұрын

    Kuna akili za kuzaliwa huyu anazitumiaga vizuri mnoo

  • @matindesamson7648
    @matindesamson7648 Жыл бұрын

    Hao ni wezu mzee

  • @kikotimedia6638
    @kikotimedia6638 Жыл бұрын

    Akili kubwa

  • @MarandaIhonde-qe6df
    @MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын

    Iyo wizara ina shida

  • @user-th9to6yt9y
    @user-th9to6yt9y Жыл бұрын

    Asipate uwaziri atakula kiapo na mdomo ataufunga ili aitetee serikali

  • @zuwenasalim2794

    @zuwenasalim2794

    Жыл бұрын

    Cku akiapa atashindwa atakuwa na kigugumizi

  • @kondewra
    @kondewra Жыл бұрын

    Wape ushauri... Mzee

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 Жыл бұрын

    Mwigula kiukweli hajitambuai mweee

  • @Laajo1994
    @Laajo1994 Жыл бұрын

    sasa mtu ana degree na phd lkn ndio anategemea serikali impe mshahara na asipopewa hana akili ya kuvumbuwa kitu chochote kiufupi degree na phd ujinga tu

  • @shukurudavid4369
    @shukurudavid4369 Жыл бұрын

    Kahama miundo mbinu mibovu sana

  • @volcaremigius6881
    @volcaremigius6881 Жыл бұрын

    Agombee Uraisi kura yangu ameshapata

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Жыл бұрын

    😂👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Жыл бұрын

    This man explains.boder of education and saycologe Different there that it shows how education works but saycologe sense umanbeng born with it always sense action then goes on his brain thinking choose and came with it on resption voice it ather sense goes on choose point sense of right answer This man is big brain has saycologe sense big capacity of netrow thing from.peaple who undermine peaple who are not educate but forgot education is matiriol fomuler but saycologe sense umanbeng born with it but different capacity

  • @mazikumange9130

    @mazikumange9130

    Жыл бұрын

    Is this english too?

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 Жыл бұрын

    Bunge lote mwenye kujielewa ni huyo Mzee tu wengine niwasaka tonge viva kishimba

  • @StartSmall

    @StartSmall

    8 күн бұрын

    😂😂😂

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Жыл бұрын

    Kishimba.akili.kubwa.unafaa.kuwa.waziri.mkuu.shida.ccm.mna.roho.mbaya

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Жыл бұрын

    Kishimba unayosema ukweli mtupu hiyo misomi ndiyo mijizi haswa angalia inavyouza bandari zote mpakhatimayehatimaye3wstatuuza sisi wenyewe tutamkunbuka magufuli daima

  • @user-ek3zk4bx5j
    @user-ek3zk4bx5j Жыл бұрын

    Duu

  • @jonaskabonda741
    @jonaskabonda741 Жыл бұрын

    Kishimba wewe una PhD

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Жыл бұрын

    Huyo ndo kishimba kipaji Cha Tanzania erimu Nini bana wezi kabisa wasomi wetu ndo wameirudisha nyumba nchii yetu erimu kiazi Hawana hojaaa kabisaaa ni vyetu ndo vinawrinda

  • @syliviakente9460

    @syliviakente9460

    Жыл бұрын

    Elimu bwana sio erimu

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 Жыл бұрын

    Na hapo mimi ndipo ninapo pata kigugumizi dhahabu ina chimbwa na watanzania halafu saa hiyo hiyo unasikia mama kaenda kukopa. Na mzungu anaona ajabu sana akienda mitandao mingine anaona hii nchi iliyokuja kukopa kwenye uzaji wa dhahabu ipo kwenye uzaaji wa Almasi ipo kwenye uzaaji wa chuma ipo kwenye uzaaji wa shaba ipo kwenye uzaaji wa tanzanite hayo madini duniani yapo tanzania. Mito ya maji ipo mingi. Maziwa na mabwawa yapo Bahari ya hindi tu nayo. Bandari yetu ikisimamiwa vizuri na jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ. Kibiashara bandari inaweze kusimamia bajeti ya nchi. Siyo wawekezaji wawekezaji matapeli tu wamekuja kunyakua mali za watanzania masiki vile vile hata hao viongozi watakuwa na masilahi yao humo yaani mgao wa bandari wakipewa Wa wekezaji mali ya wengi itaanza kuliwa na wachache.

  • @josephmayenga4615
    @josephmayenga4615 Жыл бұрын

    Wasukuma Mungu ametuteua kuwasaidia wajuaji na PhD zao chukua elimu hizo zitawasaidia

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 Жыл бұрын

    Mwigulu ma tai yeke.

  • @damianmachira7535
    @damianmachira7535 Жыл бұрын

    Safi sana KISHIMBA, IPO cku wataandika kitabu kwa mawazo fresh cyo kukariri pie ya 22 chini ya Saba..

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084Ай бұрын

    ❤❤❤

Келесі