MVUTANO MKALI BUNGENI: DKT. TULIA vs DKT MWIGULU, MUSUKUMA ASULUHISHA

MVUTANO MKALI BUNGENI: DKT. TULIA vs DKT MWIGULU, MUSUKUMA ASULUHISHA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 820

  • @shilatusabuni89
    @shilatusabuni89 Жыл бұрын

    Asante mheshimiwa spika. Taifa hili tunahitaji watu wakweli ili tufike. Dr. Tulia Mungu akutunze mama yangu😍...Msukuma tunakupa PhD nyingine tena😍

  • @thomastarimo

    @thomastarimo

    Жыл бұрын

    Mweshimiwa sipika sisi tunakushukuru kwa pointi

  • @thomastarimo

    @thomastarimo

    Жыл бұрын

    Wewe acha ujinga unatoa ela hizo ela ni zako wewe ela ni zetu za walipa kodi

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 Жыл бұрын

    Tulia unafanya watu wajivunie watoto wa kike

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 Жыл бұрын

    Mh. Tulia wewe ni mlezi na mwenye haki moyoni mwako.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Жыл бұрын

    Big up sana Dr.Tulia Akson, speaker wa bunge la Tanzania. Tungepata pia na wabunge hata 7 wa upinzani ambao ni machachari hakika tungefika mbali sana.

  • @georgemassebu2083

    @georgemassebu2083

    Жыл бұрын

    Upinzani ndo nini we nae! Mlishajiaminisha mtu kua mpinzani ndo anakua mkweli? Humo ndani huwaoni wabunge walio machachali kutetea wananchi? We unawaza upinzani tu, mpinzani ni mTanzania na hao CCM ni waTanzania

  • @malugukushaha6764

    @malugukushaha6764

    Жыл бұрын

    @@georgemassebu2083usifikili kuwa kila mtu anayesema wawepo na wapinzani ukahisi na yeye ni mpinzani. Inabidi uangalie mbali ni kwanini huyu mtu kasema hivyo. Ipo siku utakubaliana nami.

  • @afterfull-time1348

    @afterfull-time1348

    Жыл бұрын

    Muda wote waliokuwemo mlifika wapi au unaleta ushabiki wa kitoto tu hapa

  • @wechemakambo2182

    @wechemakambo2182

    Жыл бұрын

    Ile kulewa mpaka kuvunjika miguu?

  • @ibutilehyila9146

    @ibutilehyila9146

    Жыл бұрын

    Unaona ee!!! big up sana asee!!!!

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 Жыл бұрын

    Hongera sana Mh. Spika kwa kutokukubali uongo wa baadhi ya mawaziri kama walivyozoea business as.....

  • @meryshekoloa961

    @meryshekoloa961

    Жыл бұрын

    Bila kua muongo nchi hii utateseka sana hongera Sana spika

  • @mosesmwita7906
    @mosesmwita7906 Жыл бұрын

    Tulia sio kwa kumnyuka hivyo mwiguru😂😂atakuwa akikuona anatamani kulia😂😂

  • @naturelle1097

    @naturelle1097

    Жыл бұрын

    Acha alie

  • @pidiusdominic3673

    @pidiusdominic3673

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @allykamanga4366

    @allykamanga4366

    Жыл бұрын

    Lazma aanze kumuogopa, maana siku zile alihojiwa hadi tukapata ile trab na trant...leo tena kajaa kwenye 18 tena

  • @rithadonatus8110

    @rithadonatus8110

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣

  • @thomasmagoti9040

    @thomasmagoti9040

    Жыл бұрын

    @@allykamanga4366 haahaha

  • @emmanuelgeorge3262
    @emmanuelgeorge3262 Жыл бұрын

    Dr.Tulia Akson ..big up,so smart

  • @ibutilehyila9146
    @ibutilehyila9146 Жыл бұрын

    Hii ndio raha ya kuwa na Spika Daktari wa Sheria, Big up sana Mama Speaker, Uishi miaka mingi bungeni mama👏👏👏🙌🙌🙌🤝🤝🤝🙏🙏🙏

  • @auntdorah9141

    @auntdorah9141

    Жыл бұрын

    Raha ya kuwa na kiongozi mwanamke( mama🥰) anayejua uchungu wa kubeba ndoo Nakupenda mpk naumwa🥰🥰

  • @godwinshoo5032

    @godwinshoo5032

    Жыл бұрын

    Hongera sana Mheshimiwa spika kwa elimu unayotowa mara kwa mara kwa mawaziri na wabunge wanaojifanya wajuaji!

  • @henrychaula1174

    @henrychaula1174

    Жыл бұрын

    Sijajua Mwigulu anashindwa wapi kumwelewa Spika

  • @banzimtizii5020

    @banzimtizii5020

    Жыл бұрын

    Mwigulu kaelewa ila hana jibu la uhakika

  • @edigarfurumericus3745

    @edigarfurumericus3745

    Жыл бұрын

    Huyu jamaa mchumi lakin 🫥 kabisa

  • @jumaseseme1654
    @jumaseseme1654 Жыл бұрын

    dada tulia mungu akulinde nakupenda tu

  • @drKanti865
    @drKanti865 Жыл бұрын

    I see the bright future for this woman...May God bless her

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 Жыл бұрын

    KUNAKITU NINAKIONA HAPA KIZURI SANA NAOMBA ENDELEA HIVYO HIVYO ILI UJE KUWA HAFITHI NZURI KATIKA TAIFA Ila utakuwa MWANAMKE wa 1 MZALENDO mpaka Sasa unakaribia Ila MUNGU akujalie kwa Imani yako mama angu hongera Ila ww NI MZALENDO unakaribia MUNGU akujalie usije ukawa upande wa hao majambazi hongera sana

  • @nelsonludovick3360
    @nelsonludovick3360 Жыл бұрын

    Huyo jamaa hakuna kitu kabisa

  • @williamsenkoro2210

    @williamsenkoro2210

    Жыл бұрын

    Alafu anajifanya mbishi anajua kila kitu ..

  • @personpeter2221

    @personpeter2221

    Жыл бұрын

    Mwakaaa huu ni wake

  • @rithadonatus8110

    @rithadonatus8110

    Жыл бұрын

    Huyu hadi ndanj kwa mkewe ni boya mpumbavu huyu

  • @EmmanuelLupoja

    @EmmanuelLupoja

    Ай бұрын

    Tumtumbue et

  • @RafikimediaTZ
    @RafikimediaTZ Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana Mhe.Spika Tulia Akson. Ninaiman na wewe kwa haki unayointenda katika nafasi yako.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Жыл бұрын

    Mwigulu bwana!!! Hoja IPO wazi,,,,,msukuma anaweza kuwa mbunge no 1 kwa hoja ambazo Ni real

  • @besttrendingcovers1838
    @besttrendingcovers1838 Жыл бұрын

    dr Tulia your the best and you deserve to be in that position

  • @amiria.mustafa9859
    @amiria.mustafa9859 Жыл бұрын

    Yan mwaka huu, kiukwery aisee dah😥😥😥yan hata kwenye maj bado watu wanajing'ata ng'ata eeh mungu weeeeh😥😥😥

  • @mbwanamtessa8607

    @mbwanamtessa8607

    Жыл бұрын

    Tena mbunge na waziri mwenye dhamana kubwa.

  • @josephdidas325
    @josephdidas325 Жыл бұрын

    Yaan huyu jamaa huwa simuelewi Haki ya Mungu asee huyu jamaaa liwekwe jiwe na yeye bora nichague jiwe kuliko huyu jamaa asee

  • @catherinemzurikwao3265

    @catherinemzurikwao3265

    Жыл бұрын

    Hata mimi sijawahi kumwelewa. Ni kilaza kufa mtu 😃😃😃😃

  • @celinamutta5058
    @celinamutta5058 Жыл бұрын

    Asante spika Tulia. Nimekukubali kwa kusimamia hoja. Keep it up💪💪👍

  • @taichi5370
    @taichi5370 Жыл бұрын

    This Lady is future Head of State!!

  • @auntdorah9141

    @auntdorah9141

    Жыл бұрын

    Kweli ...hili ni jembe

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 Жыл бұрын

    TRAB NA TRAT😎🎼🎶🎵🎧

  • @godwinananias5358

    @godwinananias5358

    Жыл бұрын

    Akuna kitu hapo hyooo msanii tyu

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    Жыл бұрын

    🤣🤣

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    Жыл бұрын

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kumpiga gwala toka siku ile ndio nikatambua kabisaa ya kwamba Magufuli anaona mbali sana 🤣🤣

  • @sebastianzongoro8915

    @sebastianzongoro8915

    Жыл бұрын

    Hapo ndiyo unafahamu kwamba spika ni msomi anasimamia haki hatetei ujinga

  • @annastellalugayana8454

    @annastellalugayana8454

    Жыл бұрын

    Asante madam Kama Jimbo letu la kibamba ni asilimia moja tu ya watu wanaopata maji asilimia 99 hatujui maji ya bomba tunatumia maji chumvi je uko vijijini si ndio kabisa

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 Жыл бұрын

    Huu siyo u daktar wa darasani. Tuna madoctors wengii Tanzania. Huo ni udoctor wa damu. Anajua kutetea haki na ukweli bila kigugumizi. Hongera sana dada Yetu na Spika wa Bunge la 🇹🇿 Nimeupenda msimamo na hoja zake.🙏

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 Жыл бұрын

    Unajua Haya majibu ya serikali lzm ya we yanajitosheleza. Naona Kama Waziri hayuko happy sana kubanwa hivyo.

  • @jacobmsigwa383

    @jacobmsigwa383

    Жыл бұрын

    Mzee wa TRAT na TRAB anazingua

  • @machaggechacha3422

    @machaggechacha3422

    Жыл бұрын

    Shauri yake kubanwa. Ndiyo maana kuwa waziri wa michongo. Mwigulu ni tunda bovu.

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 Жыл бұрын

    Huyu mama kiboko

  • @ladislauslyagula4096
    @ladislauslyagula4096 Жыл бұрын

    Hongera sana mh tulia mana umetusaidia nasisi wananchi kujua/ kupata ufafanuzi zaidi ubalikiwe sana.

  • @johnjumalesso8153

    @johnjumalesso8153

    Жыл бұрын

    Uyo waziri hafai kabisa

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 Жыл бұрын

    Mama yetu Dr. Tulia you have wisdom God bless you mum🇹🇿

  • @williamchongeraj
    @williamchongeraj Жыл бұрын

    Huyu Mwigulu atupishe kazi imemshinda

  • @leokamil6284

    @leokamil6284

    Жыл бұрын

    Nashangaa Raisi sijui kwa nini anambeba mtu hawezi kabisa

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Жыл бұрын

    😂😂😂 Siku akiwa kwenye kiti Docter Tulia Nafurahi sana kulitazama Bunge Maana sio Spika Wamchongo hata kidogo

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 Жыл бұрын

    huyu mwanamke saiz kabadilika aiseee 🤣🤣🤣 ahsant sana 🙏

  • @amoji126

    @amoji126

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @lusticendokole9385
    @lusticendokole9385 Жыл бұрын

    Mwigulu has attended the class in a Parliament Meeting Hall. Congratulations Dr. Tulia Ackson

  • @samwelimasoya5612

    @samwelimasoya5612

    Жыл бұрын

    Huna uwezo kuwa sipka huna huruma

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Жыл бұрын

    Mzee wa trab na trat big up Dr Tulia unatufurahisha

  • @deusdeditswebe8930

    @deusdeditswebe8930

    Жыл бұрын

    TRAB na TRAT...🙄

  • @emmanuelsilasi6395

    @emmanuelsilasi6395

    3 ай бұрын

    Trab na trat imejaa longolongo😂😂😂

  • @abdulabdy6822
    @abdulabdy6822 Жыл бұрын

    You are so smart madam Speaker..all the best

  • @kazembe987

    @kazembe987

    Жыл бұрын

    Punguzeni Saisa nchi mnaitia hasara kubwa

  • @ajuayelubano9595
    @ajuayelubano9595 Жыл бұрын

    tuwe tu wastaarabu jamani kwa suala la waziri wa fedha tumepigwa, naomba kuwasilisha.

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 Жыл бұрын

    Congratulations sana mama yetu Dkt.Tulia, waziri ameshindwa kuelewa swali kabisa kabisa

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 Жыл бұрын

    Kwa kweli mwenyewe nimekuelewa spika toka mwanzo maana haihitaji kwenda shule kuelewa concept hizo mbili ziko sahihi kulingana na kila mmoja anapovutia sema waziri wa fedha kwa hapo kazingua.

  • @bulugusoteli

    @bulugusoteli

    Жыл бұрын

    Wazir wa fedha ni ziro hakuna kitu

  • @nelsabugo3613

    @nelsabugo3613

    Жыл бұрын

    Spika Mungu akulinde

  • @clevisaboytz544
    @clevisaboytz544 Жыл бұрын

    Dr Tulia 🔥

  • @obeidmpombwe9951

    @obeidmpombwe9951

    Жыл бұрын

    Mwigulu ni tatizo sijuwi sijawahi kumwelewa kabisa

  • @amanichuwa6687

    @amanichuwa6687

    Жыл бұрын

    Mama amtoe huyu mtu watu wanamshambulia sana uwezo wake wa kutatua mambo ni mdogo

  • @pitysimon9731
    @pitysimon9731 Жыл бұрын

    ....Trab na trat 😂😂😂😂

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 Жыл бұрын

    Msukuma😂😂😂😍

  • @lordsmenas3267
    @lordsmenas3267 Жыл бұрын

    Du! Nimeamin kweli tulia ni zaidi ya NDUGAI

  • @mbakijonas6792
    @mbakijonas6792 Жыл бұрын

    Tulia huyu mhuuuuuh 😁😁😁😁😁😁😁😁atawanyoosha afu inaonekana anamalengo mapana kuliko hako kausipika

  • @meddydoubledi1675
    @meddydoubledi1675 Жыл бұрын

    Huyu dada tulia anajua xana pia ni anajielewa sana

  • @subirajohn8298
    @subirajohn8298 Жыл бұрын

    Mzimu wa magufuli umemuingia Tulia Acson . Big up mama

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 Жыл бұрын

    mwigulu amezoea kutudanganya😂😂😂😂😂😂😂leo kapatikana,i appreciate you tulia ackson

  • @mikemollel8396
    @mikemollel8396 Жыл бұрын

    dah tunapigwa sana waziri hajui kit

  • @victorkalolo9517
    @victorkalolo9517 Жыл бұрын

    Yan Katka viongoz huyu mweshimiwa sjawaig kukuelewa.🙇🙇🙇🙇

  • @misanjolivigha2396
    @misanjolivigha2396 Жыл бұрын

    MWIGULU UNACHEMKA, WAKATI WENZAKO WANAWATETEA WANANCHI WEWE UNATETEA MASLAHI YAKO BINAFSI UTAFIKIRI KIJIJINI KWENU HAWANA SHIDA KABISA....Yaani kila kitu kwako ni "TRAB & TRAT" tu.

  • @manasentazi5692
    @manasentazi5692 Жыл бұрын

    Mwigulu mpaka umueleze vzr madame spika uwazir uliupataje pataje😎😎😂😂😂

  • @prophetlinustesha6333

    @prophetlinustesha6333

    Жыл бұрын

    😂

  • @gametongwe3539

    @gametongwe3539

    Жыл бұрын

    MAMA YENU HUYO KAMUWEKA KIJANA WAKE

  • @issaissaswaleh5547

    @issaissaswaleh5547

    Жыл бұрын

    Amesoma kweli huyo Mzee, au dhambi za watanzania inamsokota.

  • @amoskatela1282

    @amoskatela1282

    Жыл бұрын

    Spika endelea na mkazo wa namna hiyo ili wawe wanajibu hoja walengwa

  • @makoye8388
    @makoye8388 Жыл бұрын

    Mheshimiwa Tulia Mungu wa mbinguni akutunze🙏

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Жыл бұрын

    Mheshimiwa Raisi mtoe huyu Waziri wa Fedha hafai hata kidogo kwa nini unamngangania nini?anakutia aibu tu kwani msomi ni yeye tu

  • @emmanuelkisusu2465
    @emmanuelkisusu2465 Жыл бұрын

    Waziri bwana😂😂 mama Tulia Ackson ni 🔥🔥🎻🎷🎷🎷🎸

  • @joshuamassawe2474
    @joshuamassawe2474 Жыл бұрын

    I like her. Give this woman the presidency.

  • @kwisa4899

    @kwisa4899

    Жыл бұрын

    Nafasi yake ni kubwa zaidi ya hiyo ya urais

  • @mohamedpius4895

    @mohamedpius4895

    Жыл бұрын

    Hongera spika uongo hauna nafasi

  • @aloycesilwela3485

    @aloycesilwela3485

    Жыл бұрын

    We we we usithubutu kabisa

  • @ramazonejohnson2831
    @ramazonejohnson2831 Жыл бұрын

    KWELI TUNAPIGWA AISE😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 Жыл бұрын

    Shkamoo mh spika nakuombea sana wasije wakakuuwa

  • @abdullherry3072
    @abdullherry3072 Жыл бұрын

    Tulia anaupiga mwingi kuliko mama yenu

  • @amour5535

    @amour5535

    Жыл бұрын

    Huyu akigombea urais nampigia kura

  • @gametongwe3539

    @gametongwe3539

    Жыл бұрын

    SURE 💯

  • @dismassmariki6985
    @dismassmariki6985 Жыл бұрын

    Madame speaker your doing an amazing job na hongera sana kwa kweli.

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 Жыл бұрын

    Yan Dr tulia anaakili Sana Mungu akubariki Sana ! Huyo mwingine anajiita dokta wa hesabu ona sasa udaktar wake sasa zero plus

  • @amiria.mustafa9859
    @amiria.mustafa9859 Жыл бұрын

    Sema waziri, mmh, hv unashindwa kumuelewesha spika wako, hiv asa unatusikilizaje wananch wako, 😥

  • @hhurbert
    @hhurbert Жыл бұрын

    Dr Tulia anaupiga mwingi sana

  • @noberthmsuyah884
    @noberthmsuyah884 Жыл бұрын

    Ndio kabisa tulia spk upo sahihi wabunge wanatakiwa waelezee mpk mwananch wa huku kijijini nielewe

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Жыл бұрын

    Hapo Sawa kila Mhimili ufanye kazi yake...Taarifa kama haipo Sawa kutoka Serikalini lazima isimwe haipo Sawa na hiyo ndo kazi ya Bunge na haki isipopatikana Mahakama Lazima isimamie haki ipatikane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 Жыл бұрын

    Mzee wa Trab na Trap kabananishwa tena😆😆😆

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын

    Huyu mwingulu nasemaga kila siku hakunaga kitu kwenye kichwa chake nakama anajua achokifanya Basi huyu ni mwanasiasa

  • @babujinga5819
    @babujinga5819 Жыл бұрын

    Waziri kachemka huyo ndio waziri huyo..... Mhuu kazi kweli kweli

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын

    Tulia ndio kiongozi tunaowataka sio zungu mpigaji tu na hana faida yeyote bungeni afukuzwe

  • @clintonarnold6291

    @clintonarnold6291

    Жыл бұрын

    Anaubabe wa kjnga kwanza zungu

  • @ludoviclymo2044
    @ludoviclymo2044 Жыл бұрын

    Hatuna waziri wafedha tanzania

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 Жыл бұрын

    Hongera sana Spika wetu. Unasimamia ukweli. Hicho kiti kinakutosha sana. 👏👏👏👏

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 Жыл бұрын

    Safi sana tulia napenda unavowabana huwangalii sura ya mtu sio waziri sio sio nani ukiona vitu haviendi sawa unambana Safi Sana hupendelei nakuelewa sawa doct TULIA ACKSON

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 Жыл бұрын

    Tulia ajengewe Mnara pale Nyerere square pembeni 😊😊😊😊💥💥💥

  • @immapeter640
    @immapeter640 Жыл бұрын

    Mh spika🔥🔥

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 Жыл бұрын

    Hatari Sana hwa Mawaziri

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Жыл бұрын

    Mwigulu awe waziri wa Nchi za mchongo tu kwanza Jeuri sana huyo na kauli zake zakejili kwa raia

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Жыл бұрын

    Kwani lazima kuwa na wabunge wasielewa jamani , Dr tulia leo umenikosha na msukuma

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 Жыл бұрын

    Waziri wa fedha gani anaeshindwa na hesabu ndogo.

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 Жыл бұрын

    Napata mashaka kama wizala ya fedha inamtosha mwigulu kichwa kigum kuelewa safi sana spika tulia nakupenda sana

  • @zaikiumba7861
    @zaikiumba7861 Жыл бұрын

    Hakika ww Ni mpenda haki

  • @jomba6514
    @jomba6514 Жыл бұрын

    Mh mw fanya utafiti upendwi kuliko unavyo fikilia tokea nizaliwe wewe ni 1 kwa kiwango icho

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Жыл бұрын

    Uyu Dada amesoma kuliko Dr mwigulu daaa mungu akupe maisha marefu MH TULIA akson

  • @Bashirubakarisalala

    @Bashirubakarisalala

    2 ай бұрын

    Sasa mwigulu kasomea wap

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 Жыл бұрын

    Ukweli Spika uko vzr xana big up

  • @mayungasamson336
    @mayungasamson336 Жыл бұрын

    waziri wa fedha hajui kutoa maelezo

  • @eliwandoakituku3713
    @eliwandoakituku3713 Жыл бұрын

    Mbegu yamagufur

  • @balozimedia4891
    @balozimedia4891 Жыл бұрын

    Kaka Mbunge mbona mbishi sana jamani? 😃

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 Жыл бұрын

    Hivi Mama kuweka tahila kama huyu kwenye wizara kubwa kama hii ya fedha aliona nini hivi Kwa hali kama hii tutatoboa kweli?

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Жыл бұрын

    Mwigulu na Makamba hawaaminiwi na wananchi wengi

  • @joeaub2185

    @joeaub2185

    Жыл бұрын

    weka na nape hao watu ni wa mchongo...

  • @waltertesha3312
    @waltertesha3312 Жыл бұрын

    Upinzani ulikua unachangamsha bunge bwana🤣🤣🤣🤣 hili bunge limepoa sana

  • @subirajohn8298
    @subirajohn8298 Жыл бұрын

    Tulia acson endelea na moyo huo mama. Big up toa shule

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb Жыл бұрын

    Kwa hiyo Mwigulu kama takwimu za kitaifa ni 74 percnt then kila kijiji ni asilimia hiyo hiyo.... ??? Ni kwamba kuna vijijini vitakuwa havina maji na kuna ambayo vitakuwa na asilimia zaidi ya 90.....

  • @niyimpumurizamoise2256
    @niyimpumurizamoise2256 Жыл бұрын

    I really love mh msukumu from Burundi. Dr wa mathematics.

  • @rosemary3816
    @rosemary3816 Жыл бұрын

    Big up mama uko vizuri👏👏

  • @kusigwamakoye1300
    @kusigwamakoye1300 Жыл бұрын

    Safi sana Dr Tulia 🙏🙏🙏

  • @lazarombuze9776
    @lazarombuze9776 Жыл бұрын

    YAANI HUYU WAZIRI HAFAI HATA KUWA MWENYEKITI WA MTAA

  • @kishakisha730
    @kishakisha730 Жыл бұрын

    Safi Sanaa Do Rulia umemwuliza swali gumu kwa mwugulu. Ana Cha kujibu.

  • @zenj1986
    @zenj1986 Жыл бұрын

    Asante Spika. Uko sawa kabisa

  • @mh9251
    @mh9251 Жыл бұрын

    Dr. Tulia anaitwa tulia (relax) lakini hawezi kuTulia ikiwa mtu anabisha sehemu ambapo sheria au hoja inaeleweka wazi alafu mtu anaendelea kumpinga.

  • @selemansombe4177
    @selemansombe4177 Жыл бұрын

    Tarime ni 10%

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 Жыл бұрын

    Jaman nasema Tena hapa kwa mwigulu hamna kitu.naona aende tu nyumbn hyo safas wapo weng wanaoiweza

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Жыл бұрын

    Yaani enzi za JPM angekuwa ameshapigwa chini huyu Waziri wa Fedha.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Жыл бұрын

    Spika Dr. Tulia unakuwa wa kupoteza mda. Asilimia ya takwimu za maji kitaifa amwatajia. Tena akasema jimboni kwake kwa anayelalamikia maji aende kwa watu husika kuulizia yeye ana takwimu za kitaifa . Hapo atasema nini zaidi.

  • @iddykivu1336
    @iddykivu1336 Жыл бұрын

    Huyu mwizi huyu Yani Nchi Inaviongozi wa hovyo sana

  • @OloningoKatende
    @OloningoKatende2 ай бұрын

    Asante xana spika mh. Tulia ackson kwa kuendelea kuendexha bunge la jamhur ya muungano ya Tanzania. Kazi iendeleee🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mckifalutv7576
    @mckifalutv7576 Жыл бұрын

    Mwigulu unaferi wapi kaka Iyo hesabu mbona ya STD 7? Ua ulipitiliza la 7? Pule

  • @barakaelkaaya40
    @barakaelkaaya40 Жыл бұрын

    waziri wa fedha anapaniki, wa nishati naye hivyo hivyo ndo awamu ya 5 hawakuwepo.hawa wapigaji ndo maana wanapaniki

Келесі