RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mako makuu ya Nchi Jijini Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mako makuu ya Nchi Jijini Dodoma .
Пікірлер: 293
Huyu mzee alikuwa mzuri sana 😭yaani mm ni mkenya mpaka leo huwa naja kuangalia video zake nilipenda sana 😭 Ila Mungu alimpenda zaid 😭 wangapi wanaangalia hii video mwisho wa huu mwaka
@JophasJohn-oh8zu
6 ай бұрын
Ikiwa wewe ni mkenya na unaumia na sisi ndo balaa aisee yaani tumuombee tu mzee wetu aendelee kupumzika kwa amani
Endelea kupumzika mahali pema peponi baba🤲🤲🤲🙏🙏 sijui why nimekukumbuka mzee wangu.
@HagenimanaFidele-ps8no
8 ай бұрын
Jikaze kama mwanaume ndugu yangu namimi pia Mungu mlaze mahari pema RIP
@HagenimanaFidele-ps8no
8 ай бұрын
Jikaze kama mwanaume ndugu yangu namimi pia Mungu mlaze mahari pema RIP
Mheshimiwa RAIS unawezaje kuzijua lugha zote hizo? Wengine hata lugha moja tu mtihani hongera Sana
MUNGU Ninakutukuza sana Kwa ajili ya maisha ya John Joseph Pombe Magufuli, Wewe Unaijua Tanzania 🇹🇿 vizuri na kule mahali Umekusudia kuipeleka....Tanzania iko mikononi mwako MUNGU, TUNAKUTAZAMA.
@kennedylukwembe577
3 жыл бұрын
AMEN.
Akika ww ni zawadi kwa Taifa letu kutoka kwa Mungu,wasiokupenda watafute uraia nchi zingine.Big up Rais Magufili miaka 200' barikiwa sanaa
Waliesikia km munataka parking ijengwe kwenye maji jengeni yenu gonga like hapa,Ongera mtoboa tobo mh Jpm
Mh.JPM... Big machine ...speed 120 ya nchi isonge mbele ...combat ni super ndio wajuwe you're commander..
I from Uganda but mzee ninaomba mumwongezeye kura asante
@jahistheway8868
4 жыл бұрын
Nandika kutoka ujerumani. Mie ni mkenya.lakini ndugu zangu wa Tz,wacheni Rais magufuli aongoze mpaka achoke mwenyewe.Hamtapata Rais kama yeye.Hata kenya twampenda sanaa magufuli.Hata asiwe na mpinzani, hata hayupo.
Kenyan resident,,I like how maghufuli is handling issue ,especially issue facing the local man.BIG UP DR.MAGHUFULi.
@emmanuelreuben5014
4 жыл бұрын
Thank you
@mariambewa8104
3 жыл бұрын
How I wish it was Kenya tungekuwa mbali sana
@yasirmchele5027
Жыл бұрын
Pikpk
@yasirmchele5027
Жыл бұрын
Pikpk
@geofreymashauri566
Жыл бұрын
@@mariambewa8104 iiiiiii
pumzika kwa amani mzee wetu watanzania bado tuna kulilia na bado tunakuombea mungu ailaze roho yako mahali pema peponi tunakukumbuka sana baba😭😭😭🤲🤲
@jworld1480
5 ай бұрын
huyu alikuwa anatatua tatizo ha[po hapo
What a humble, humane,wholesome & down-to-earth president John Pombe Magufuli is.! Hongera Mheshimiwa rais!
@kelvinvitalis2965
Жыл бұрын
R I P my really president I remember you
@geraldabunuasi
Жыл бұрын
TOMASI BUNUASI
RIP mtumishi wa Mungu magufuri roho inauma
Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani, nimekukumbuka mzee wangu.
R. I. P jembe yani nimeshindwa kuona watu wakikutizama umelala bora nisikie kauli zako nikifurahi daima tutazikumbuka na tutawaeleza wajukuu zetu Mungu atupe umri na akulaze mahali pema peponi.
@edennkulikiye2330
2 жыл бұрын
Leo watu wanenda kuzindua filamu marecani
Magu tutamkumbuka Sana, Sana zako hazitakuwa na mfano tena mkuu pumzika KWa amani, wananchi hawa tutakukumbuka baba 😭😭
Hongera mheshimiwa Rais mtetezi wa wanyonge
Rais wangu Rais wetu JPM hongera sana kwa maendeleo ya Tanzania.Kweli umekaa kikazi zaidi kwa ajili ya wanyonge. Umependezea sana na vazi la jeshi.
@great-african903
2 жыл бұрын
Mungu aisamehe Roho yangu juu ya mh magufuli 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@dignakanje4508
Жыл бұрын
Nashindwa chakuandika nabaki kusismka kwahii sauti jmn.Huyu baba bass tu Mungu ampe pumziko lamilele
Hata mm nataman sana kuwa kiongz mwenye busara Na kuwatendea mema watanzania hakika mungu alikuchakua kuwa kiongz mzur pumzka kwa aman
VIVA JPM... MORE BLESSINGS TO OUR President
Mh Rais anafanya Kazi nzuri basi unayerecord na kupost hizi video muhimu Kwa kumbukumbu za Taifa letu jitahidi ndg kufanya kazi nzuri/professional.Una vifaa vizuri sn..
@tabuabdallah1908
4 жыл бұрын
Poa
You will always and forever be the best 👌 president of all time? 🙏 🕊 RIP forever in our hearts 💕 💞 missing you alot
asante baba rais wetu mpendwa Magufuli kwa kusaidia wananchi wanyonge
I pray to God to grant you eternal life Mr President. It's God will but I do pray that may the will of God be for you to inherit heaven.
Tz your lucky country to have such dab,talented,gifted and understanding president given to u by Allah or God
Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu rais wangu unafanya kazi nzuri sana.
Asante Rais kwa ziara ya mikoani
@abou-prokhabab4129
4 жыл бұрын
Asant san mheshimiwa
I consider Dr J.P.Magufuli as a Unique president Globally. God bless him substantially!!!!!
@januarymiujiza5400
Жыл бұрын
Really
It appears to me that Tanzania has made big strides in terms of democracy & freedoms than say,Kenya. president Magufuli directly interacts with ordinary wananchi. Amazing!
@eastersilayo6841
4 жыл бұрын
Hassan yuusuf
From Kenya, I loved you so much, may your soul rest in peace
@ethanjunior533
Жыл бұрын
Same here From kenya
Mungu akubarik. Akujifadhi akulinde na maadui
kazi nzuri rais wetu mwenyezimungu azid kukuweka
Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya tele Rais wa wanyonge ili lile kusudi Mungu alilokuitia ukapate kulitimiza bila mawaa.... Penda sana Rais wangu Magufuli
You will be missed magufuli mwee amkaaa jmn
good work ,at last we have a president.nakuomba sana kutusaidia yatima na mirasi hadi leo hatuja pewa, tangu 2009 ,
Vazi limekaa vizur kwa sababu ana chapa kazi sanaa
Daaaaa mungu ni mwema mungu akuweke mahali pema peponi ulichofanya hakuna anaeweza kufikia edbiten yako
Uko vizuri mh raisi umeelisha.
Huyu Dume Dume ..nimemuita nini? Huyu Dume a cheki na Kazi, Kazi tu.. Its not easy being in government in TZ like Kenya coz its not a joke there. no nonsense
Mama kwani alivokuwa mkifanyakazi pamoja mzee ulikuwa unajifunza nini? Au ulikuwa ukifurahiya Safari tyu, skuelewi kabisa, R I P MAGUFULI
Pumziko la milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Tunakukumbuka Sana kupita maelezo. Lakini Mungu alikupenda zaidi.
Umma wa Watanzania waliokuchagua,walionachama na wasio na chama wanakukumbuka sana na wanazidi kukuombea Mungu akupumzishe.Mungu akulaze mahali Pema PEPONI AMINA
A Hardworker President.
Mungu ni mwema🙏😥😥😭😭😭😭
I really love this video
A Brave & Public Friend President.
😭😭😭😭😭😭😭😭 Hakika tutakukumbuka daima kila kuitapo Leo hayati doctor John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima saivi hatuna Rais wakutetea nchi hasa wanyonge
Watanzania na watu wema wote watakukumbuka baba Raha ya milele umpee e baana na mwanga was milele umwangazie astarehe kwa kwa Aman amina
Mwamba ulishaenda Huku tukikuhitaji hata Leo tangulia Baba
I like how this president handles problems. May his soul rest in peace
Mwenyezi Mungu amupumuzishe kwa amani
Hongera sana Mheshimiwa raisi kwa kazi nzuri.
Jpm mungu akupumzishe Mahalia pema peponi hakika uliwapenda watu wako
Forever in our hearts JPM
@kennethmakunga4211
Жыл бұрын
Hakika. Itakuwa hivyo maisha yote atakayotupa mungu.
By the way mimi ni Mkenya na ninapenda kuangalia video za huyu prezoo Pombe Magufuli.
Balikiwa narais wetu
@mosesmzakwe7774
4 жыл бұрын
HUYO DIWANI NIMEPENDA KWA KUJIELEZA KWAKE. ANAJUWA KUJIELEZA HAKIKA VIONGOZI HAWA TUNAWAKOSA SANA HONGERA DIWANI WETU. WAGOGOOOOOOOOOO OYEEEEEEEEEEEEERR
@chiefmuholo6379
4 жыл бұрын
good Mr president
Kipindi cha magufuli ilikuwa raha sana saivi shida tu mvua hakuna matozo ndio usiseme yaani ni shida
Mungu ailaze roho yako pema peponi, Amia
Pumzika mzee mimi nimekumic mno mungu akusamehe sote tupo gizani atujui tunakoenda magufuri kifo kingekuonea huruma jaman
Eee mungu
Magufuli anafanya vizuri. tumuombee kwa mungu atuongoze salama angalau kwa miaka 10
Rip magu mungu akulaze mahal pem pepon amee
Jamanii watanzania tumefiwa na kiongozi wa kweli
Un président doit mettre l’Intérêt de ces populations. Félicitations son Excellence Dr John
Watanzania ni watulivu aki I can't imagine Kenyans being these calm
Kiukweli haikuwa rahisi kumpata Rais kama huyu na bado hatutampata kwa ukaribu wa kufanana naye pamoja na kuwa binadamu hawafanani. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi Amin 🙏🙏🙏
Safi sana
Mungu wewe wajua sababu,R.I.P beloved President
Tunakuombea mheshimiwa magufuri kwa mambo mazur unayo yafanya kwa watanzania wote mungu akuongoze kwenye majukumu yako
Lala tu lala baba ilikua lazima itimieee
Cheema hakidumu R.I.P Magufuli
Mtumishi wa munqu mh maqufuli munqu ailaze roho yako mahali pema peponi amini
Lala salama mzee wetu
Daah mlituweza asee magufuli mungu akulaze mahali pema pepon
Good
Mungu akulaze pema!!
Mchapa kazi na mpenda maendeleo ya watanzania Kwa ujumla
nampenda sana magufuli
@bjsalum932
4 жыл бұрын
Big up mheshimiwa
@bjsalum932
4 жыл бұрын
Dahh huyu jamaa ni noma
Mh Rais Uko juu mcheshi kwa watu wako na viongozi wachini waote huna ubaguzi mh Rais.
I can't believe it that were not to gether
Kasimu majaliwa ange chukua mikoba yake hiv sasa tungekuwa mbali sana
Rest ln peace Rais wa watanzania,mtetez wa watanzania maskin
Ni kweli Mh. Magufuli tunamkumbuka kwa mazuri mengi mno.
Mabango ndo kila kitu
R.I.p our president ...kwasasa hakuna hta mwenye muda wakusikiliza shida zetu wala malalamiko yetu taabu tunazoziishi kwa sasa Mungu ndio anaejua
Nimejikuta natokwa na machozi tu R.I.P JPM
may Allah bless you and may soul rest in peace present magufuli I love you
Tuli kumiss sana rais
@differentlufyagile2399
4 жыл бұрын
Nice to contribute in education but also we hope you to employ teachers because some schools are having few no of teachers
Baba Kazi yako ya kutukuka uliimalza salama
he was a good leader in africa
Raisi uliyepo na viongozi wengne hamuoni hii?,. Mbona hamfanyi kama huyu.
GOD you left poor Tanzanians alone
Rest in peace Baba.
Mm jamani roho inaniuma jamani
Big up man
Jamani ivi tutakuja kumpata laisi kama huyu ?
upepo WA kisulisuli
I love the speech of this mzee makufhuli
Kila nnapo jarb kumsahau MR PRESIDENT 🇹🇿 NASHINDWA 😢
Mungu kwanza
Mh rais naumia sana kuona wanyonge unawasaidia naomba namimi ccm mwenzako unihurumie
@salesebarutwanayi9587
4 жыл бұрын
Nnk