KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho "SAA NANE"
Wakati tukiisubiria FIESTA 2017 Mwanza September 23, Sept 19, 2017 Reporter wako wa nguvu Millard Ayo alitembelea moja ya visiwa vinavyopatikana Mwanza Tanzania, kinaitwa SAA NANE ambacho pia ni Mbuga ya Wanyama.
Пікірлер: 55
hongera sana Millard kwa kazi nzuri
kazi nzuri kaka Millard
Nimeipenda hii hakika Tanzania imebarikiwa
Mhuuu @Millard ni kiboko big up
Huyu mselaa yuko deep saaana
Miaka miiingii sijafika huko nimekumbuka utoto wangu..lkn siku zile kulikua n wanyama wengi kiboko/ twiga/ Tembo(ndovu) simba..hata kwenye uwanja wa saba saba kulikuwepo banda la simba..mungu ibariki Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kazi Nzuri Millard 👏🏽👏🏽👏🏽
Ase ukisikia millard is the best ni vitu ka iz tunapewa. Lait media zingine wangekua wabunifu ka ivi tungeiona nchi yetu sehem nyingine sio kiutalii tu kwenye nyanja zoote za kijamiii. Millard big u kaka utanijuza we ni kabila gan nikaowe huko mnaakili sana ninyi watu
@jacksonmathayo6510
4 жыл бұрын
Mnyiramba wa singida
kisiwa mwake jmn sijui nami nitafika lini ninavyoogopa maji.jmn nomaa
A mwenzangu Mimi nina ishi Karibu na saa nane nimesha enda sana
So beautifully jamani lol!
Kisiwa kizuri sana Mashallah
Ivi millard waja kunihowa lini haaa 😍😘😂
Beautiful
Muonggeze wanyama
kazi nzuli miladi
huyo jamaa yuko deep sana kwenye utaliii.. yuko njema sana inaonekana ni Msukuma huyo jamaaa.
@hamidmakamejuma3518
6 жыл бұрын
jamaa yupo vizuri na kazi yake
@makiniswingadventures3517
6 жыл бұрын
karibu kaka 0756389949
@makiniswingadventures3517
6 жыл бұрын
karibu kaka 0756389949
@sirialemmy37
6 жыл бұрын
MAMBO TV You have to appreciate the knowledge of others. Hajakariri ila anayo uelewa dhabiti Kwa Kazi yake, habahatishi. Ni furaha kwetu kama nchi na pia ni mkarimu sana on my view! Good job Millard & good job the hoster on the island
@makiniswingadventures3517
6 жыл бұрын
Asante sana kwa maoni yako Siria Lemmy,karibu sana 0756389949
Big Up Chalii ya R-Chuga
I was there back to the days
safi sana Millard nmependa the way umekeep humble
Kazi nzuri
good job
Napaona home Butimba paleeeee!
Hiyo historia ya huyo mzee ya uongo saa nane ni babu yetu wafatilie vizuri
big up dogo
Very nice place
bro hiyokofia inakutoa kinoma noma
yah soon Tsh 8800/ from trhe 26-28oct 2018
safi sana mahali pa kurelax. Internet connection na huduma za umeme zikoje huko kisiwani ? Vyakula aina gani vinauzwa ? Mko na website au FB page ? Wasafiri kutoka nchi za jirani wanalipishwa hela ngapi kuingia na accomodation ?
@makiniswingadventures3517
6 жыл бұрын
gemkachar nitafute kwa +255756389949 nitakupa maelezo yote.Karibu
nmependa xna maelezo yako kaka ayoub, i hav to com there, coz napaskiaga
@makiniswingadventures3517
6 жыл бұрын
Emmah Abelly karibu sana 0756389949
oy millard usisahau sangara mzee
yup , nko MZA but cjawah fka broo, I wish ntapachek
Ni shilling ngapi kutalii Hapo?
Milladi ayo inaonakana wewe nimusukuma maana mwanza unatangaza sana
@hassansalamba1722
5 жыл бұрын
Kushaha Labani Acha jealous utakufa mapema
Je?sokwe hayapo?
Mic San home kwetu
@ommarymzee1161
6 жыл бұрын
sabrina ali mwagarukaaa
@sabrinaali8810
6 жыл бұрын
Ommary Mzee wamisha molha?
@madirishasimon9692
3 жыл бұрын
@@sabrinaali8810 mama angu nakupenda mno ulimhola mayu wane napenda home mwanza
@madirishasimon9692
3 жыл бұрын
@@ommarymzee1161 lete ng'ombe nikupe dada angu
Eti pimbi😂😂😂😂😂😂
@hatimalnaamani876
5 жыл бұрын
Jovina Jovin 😂😂
kazi nzuri kaka Millard
Beautiful
@ommarymzee1161
6 жыл бұрын
tk vlogs ok
kazi nzuri kaka Millard