Millard Ayo

Millard Ayo

Millard Ayo ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM KZread (@millardayo) na kwenye millardayo.com

Пікірлер

  • @AffectionateGolfCart-cw8jz
    @AffectionateGolfCart-cw8jz2 минут бұрын

    Mshahar wa dhmbi ni umauti

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu85462 минут бұрын

    Mmeamza kugombania vyeo!!! Mmekwisha yani nyinyi ni waroho wamadaraka hatuwezi kuwapa nchi pumbavu sana nyinyi

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t3 минут бұрын

    😂😂😂❤

  • @annarosegodfreymuro1194
    @annarosegodfreymuro11944 минут бұрын

    Mwanamke mwenzangu ukiona ndoa yako haina amani mwachie Mungu, chagua wanao, hakikisha wanapata elimu na malezi bora, jipende, jithamini, jipe raha, naamini utakuwa na amani sana ktk haya maisha. Mwanaume akikengeuka ni Mungu tu peke yake anaweza akambadirisha, hata upige kelele unajiumiza, hakikisha unapambana na kulea wanao mengine mwachie Mungu. Inasikitisha kuwaacha watoto yatima na kupoteza mwelekeo hasa ktk dunia hii ya sasa, Mungu tusaidie wanawake

  • @YasiniRashidi-vq6ny
    @YasiniRashidi-vq6ny5 минут бұрын

    C ulikubali na ukatoa pongenz au umelamba asar

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum76857 минут бұрын

    Makonda hawezi kuamua pekeake anawanasheria wake wamepitia wameona kweli

  • @user-ps4oc3nt3u
    @user-ps4oc3nt3u9 минут бұрын

    Dj unavaibu kaz nzur wewe na vijana wako

  • @karimjuma4019
    @karimjuma401910 минут бұрын

    Mgawie keki ya Taifa nayokulaga na yy aonje

  • @iamminahsalim5008
    @iamminahsalim500810 минут бұрын

    Ninacho mkubali mwakinyo utofauti wake na mabondia wengne mwili wake ni Wa kawaida Sana ila mwamba ana ngumi zito zikikupata mara mbili mfululizo mara ya tatu uwendelei jaribuni kufatilia vizur utajua tafaut yake na mabondia wengne kiukweli nikiachana na ushabik mwamba anajua 7:38

  • @SalumuHerman
    @SalumuHerman14 минут бұрын

    Hongela makonda mungu atakujalia utakua mkubwa zaidi ya hapo uliposasa

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt16 минут бұрын

    Mpeni timu TU hakuna lolote wazili la nyoko jiizi hilo

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt17 минут бұрын

    Mpeni timu TU hakuna lolote wazili la nyoko jiizi hilo

  • @alibinali_
    @alibinali_17 минут бұрын

    Dubai,Qatar, Saudi hayo magari ni Taxi kesha ata police car ni magari ya kifahari

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt18 минут бұрын

    Mwiguru pesa anapeleka yanga na ihefu kahakibu Mpira wa Tanzania taperi hili baba baadara likae huko linanunua timu muongo huyo

  • @user-uc8ei8kn3l
    @user-uc8ei8kn3l18 минут бұрын

    Mtoto wa kiume anatoa machozi dah

  • @mozejcs9160
    @mozejcs916022 минут бұрын

    Mtu wa ovyo kabisa! Lipiga dili

  • @ngatatv1365
    @ngatatv136525 минут бұрын

    Ni sawa kutoa shida zetu lakini kulia basi naombeni tupunguze😢

  • @mugapro
    @mugapro25 минут бұрын

    Hakuna urafiki hapa, rafiki akitoboa na wewe unatoboa, hao walikuwa wanajuana tu

  • @rashidally7621
    @rashidally762126 минут бұрын

    Hiking co chama cha maendeleo umeona hata serekali hawajaipata wanaaza kuhujumiana wao kwa wao

  • @EstherPius-cz3bu
    @EstherPius-cz3bu29 минут бұрын

    Itoshe kusema tu kuwa nawapenda ❤❤❤

  • @chemstry409
    @chemstry40930 минут бұрын

    Nyie si ndio kila siku mnasema mnataka Democrats sasa kikwapi??

  • @chemstry409
    @chemstry40933 минут бұрын

    Umekaa kwa muda mrefu mbona DJ yupo muda mrefu hawamtoi???😂😂😂

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter259227 минут бұрын

    Correct

  • @chande2k250
    @chande2k25033 минут бұрын

    Msigwa kubali Matokeo kila JAMBO lina Mwanzo na Mwisho Hata manabii nao walipishana inakuwaje ung'ang'anie madaraka KHERI ukubali Matokeo Maisha yaende ucwe kama viongozi wa kiafrica kung'ang'ania Nafac Mpk RAIA wanawachoka KHERI utoke kiheshima kuliko kuwa kama kibaraka wa huongozi

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo285237 минут бұрын

    Msigwa mbona wewe na sugu marafiki mbona mnaanza kukiuwa Chama jamani au tayali mmeshahogwa tayali naumia Sana mmepitia magumu mangapi mmevuka shetani gani anataka kuwavuluga

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri652446 минут бұрын

    Daàaaah ila hii dunia hii

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka541647 минут бұрын

    Hapo kupewa Salio tu hakuna kingine

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu86648 минут бұрын

    Aaaa Mzee wamekuchoks Haooo Achana nao bwanaa maisha sio kwenye siasa Tuu

  • @mtimti3912
    @mtimti391251 минут бұрын

    Neno la Mungu halipiti kamawe: Ufunuo 16:10 Kisha, malaika wa tano akamwaga bakuli lake juu ya makao makuu ya yule mnyama. Giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi zao kwa sababu ya maumivu

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv51 минут бұрын

    😂😂😂😂😂😂 Watasema mwaka huu

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk51 минут бұрын

    Hadi raha

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabangoСағат бұрын

    Hongera sana Rais waheshima team ya SsC, tatizo Limbukeni hajikisi, hao watani wetu wanjadi wameona tumewanyanyua kiwango cha CAF wameanza majigambo! Eti wao ndo wenye wananchi! Kumbe SsC ndo wenye Nchi! Achana nao One day yes! Mungu yu pamoja nasi MO( Biblia,Kitabu cha Isaya 41:10)

  • @SeraphineKamau-db9ty
    @SeraphineKamau-db9tyСағат бұрын

    Jamani aje huku madale tunadai mishahala zaidi ya mwaka.

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620Сағат бұрын

    Hapo utaona wa kristo wengi hawana akili eti anataka kunywa sumu badili ya kushika silaha . pumbafu unalia shika silaha kama hamza usiji kufa kizemze

  • @deboraleonard3441
    @deboraleonard3441Сағат бұрын

    Mshahara wadhambi mauti

  • @deboraleonard3441
    @deboraleonard3441Сағат бұрын

    Acheni unaa angependa ibada asingefanya hayo

  • @rehemaadam4102
    @rehemaadam4102Сағат бұрын

    Mdogo wangu Silaa Mungu akubariki kwa upendo wako mimi nilizurumiwa eneo langu la biashara Mikumi na mama mmoja wa kichaga na nilimshinda kesi Mahakama ya Rufaa Kilosa kwa pesa yake nikanyinwa haki yangu😭

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403Сағат бұрын

    Hongera Sana jerr silaa tunakupenda mno Mungu akutunze

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vmСағат бұрын

    Babu adeti na msichana hamuwahoji ila mama akideti na kijana gumzo maneno mengi acheni wa mama wafurahishwe kinawaumaaaaa

  • @annammary5593
    @annammary5593Сағат бұрын

    Mi natamani hizi taratibu za kanisa kusema hakuna cha kutenganisha ndoa zaidi ya kifo matokeo yake ndo haya... Hawa huenda walishakuwa na migogoro muda mrefu ila kwa sababu ya ndoa ndo matokeo hayo. Watu wameshashindwa ila wanaishi tu kwa sababu ya ndoa. Sheria za ndoa zilegeze mashart

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481Сағат бұрын

    😢😢😢

  • @plustzafromusic4908
    @plustzafromusic4908Сағат бұрын

    Natamani siku moja vido amuoji Millard kuhusu Maisha yake mwanzo wake mpaka hapo alipo fikia, na Millard aongee ukweli kabisa hii interview itakuwa kubwa Sana na itatubaliki wote

  • @uyetomato9514
    @uyetomato9514Сағат бұрын

    kiko wapi

  • @musicheals1545
    @musicheals1545Сағат бұрын

    MAKONDISATION.!!!!!!

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij2 сағат бұрын

    Mungu wetu nimoto ulao dada we tulia Mungu atakusaidia

  • @ZenaChuo
    @ZenaChuo2 сағат бұрын

    Atu kumbe huyu ni mtoto wako mashallah

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi50542 сағат бұрын

    Mwigulu mutu ya dili sn😢

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g2 сағат бұрын

    Mtachongaa viazi !!

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi50542 сағат бұрын

    Najiuliza kwann mwigulu mpk leo bado yupo oficin

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine71082 сағат бұрын

    Mungu awe,ñawe, kaka, Jerry slaa

  • @youngbob9761
    @youngbob97612 сағат бұрын

    Mbona mbali uko zanzibar tu noma