Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane | Mwanza Tanzania

Subscribe ili kuendelea kupata video zaidi za vivutio vilivyopo #Tanzania.
Katika video ya leo nimetembelea jiji la #Mwanza na nikapata nafasi ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha SaaNane ambayo ni hifadhi ndogo zaidi nchini Tanzania. Hifadhi hii inafikika kirahisi kwa kutumia boti kutoka Mwanza na kukatiza katika Ziwa #Victoria na ni mwendo wa dakika 5 tu.
Kuna shughuli nyingi unaweza kuzifanya ukiwa hapa kama kukwea miamba, kutazama wanyama na ndege lakini pia kutazama mandhari nzuri ya Ziwa Victoria.
Naamini utafurahia video hii na kushare na marafiki.
Asante kwa kuangalia.
Connect:
Blog: www.dailylifetalk.com/
Instagram: / janeshussa
Twitter: / shussajane
Music: KZread Library

Пікірлер: 24

  • @sarunisironka298
    @sarunisironka298 Жыл бұрын

    I'm maasai culture I like to visit kisiwa Cha saananane

  • @salumusseleman3010
    @salumusseleman30103 жыл бұрын

    Safi sana

  • @millynext
    @millynext4 жыл бұрын

    A very good place

  • @kingsleylamartv5066
    @kingsleylamartv50663 жыл бұрын

    Stunning , i like it

  • @alphacksaddaris8895
    @alphacksaddaris88953 жыл бұрын

    Madly & insanely in Love with Mwanza💘💘💘

  • @JaneShussa

    @JaneShussa

    3 жыл бұрын

    Mwanza is such a beauty 😍

  • @mohamedwaziri6517
    @mohamedwaziri65175 жыл бұрын

    Nice

  • @samsonhuburya4358
    @samsonhuburya43585 жыл бұрын

    Good

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity45034 жыл бұрын

    💗💖💝👍👍👍I love mwanza

  • @JaneShussa

    @JaneShussa

    4 жыл бұрын

    It is really beautiful... By the way, a new Mwanza video coming soon... 🙂

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    4 жыл бұрын

    @@JaneShussa 👍👍👋👋💖💖

  • @ahmedijumaselemani7710
    @ahmedijumaselemani7710 Жыл бұрын

    Kiendeleze kipaji chako.

  • @jasiminjasimin7694
    @jasiminjasimin7694 Жыл бұрын

    Bei mtuambie

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir44905 жыл бұрын

    Sasa kwani lazma useme uongo kwenye kichea cha habari?? Nilikua nasubiri kuona maajabu naona kuna maelezo tu hakuna cha ajabu

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    4 жыл бұрын

    Zamani kulikua na wanyama wengi sana hata tembo na simba na chui+twiga

  • @joshuamalongo8074
    @joshuamalongo80744 жыл бұрын

    Gharama ni shingapi kutembelea kisiwa cha saa nane kwa watanzania

  • @JaneShussa

    @JaneShussa

    4 жыл бұрын

    Ni shilingi 5000 tu kiingilio na 5000 kulipia boat la kukupeleka. Kutoka ofisi zilipo na kisiwani ni dakika 5 tu.

  • @rehemafungo5042

    @rehemafungo5042

    2 жыл бұрын

    Na je kuna lodge?

  • @rehemafungo5042

    @rehemafungo5042

    2 жыл бұрын

    Ni miez gani ya kuja?

  • @leonardselubwa2635
    @leonardselubwa2635 Жыл бұрын

    Gharama zikoje?

  • @JaneShussa

    @JaneShussa

    Жыл бұрын

    Nakumbuka ilikuwa 5000 ya boat na 2000 ya entrance

  • @ahmedijumaselemani7710
    @ahmedijumaselemani7710 Жыл бұрын

    Uwezo wako wa kutangaza ni mkubwa

  • @JaneShussa

    @JaneShussa

    Жыл бұрын

    Asante, Ahmed.

  • @ahmedijumaselemani7710

    @ahmedijumaselemani7710

    Жыл бұрын

    @@JaneShussa karib sana

Келесі