HIZI NDIZO NYUMBA WATAKAZO PEWA WANANCHI WA ZANZIBAR KAMA FIDIA YAO

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 24

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj7 ай бұрын

    Inshallah wapeni watu khaki zao maana dhulma mbaya sanaa

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga63386 ай бұрын

    Mashallah

  • @abedomar5183
    @abedomar51837 ай бұрын

    Hongera sana our President Hussein Ali Mwinyi

  • @amoursalum8266
    @amoursalum82667 ай бұрын

    Wamejengewa watu fulani. lkn pia mkuu anasema hataki kusikia mtu kadhulumiwa.. nadhani ni vizuri bs kuepuka dhulma ktk sanduku la kura maana inanzia huko

  • @NoufelSalim

    @NoufelSalim

    Ай бұрын

    Kabisa

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lqАй бұрын

    Mnatoa,nyumba,ardhi,zao,mtaenda,lipa,kwa,mwenyenzi,mungu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud7637 ай бұрын

    Serikali ina pesa kwa nini hamjengi nyumba za horofa karume alikenga maghorofa ili kusev ardhi na tumeona matokeo plz fikirieni hilo

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud7637 ай бұрын

    Hao wote naamini kungejengwa ghorofa kama za michenzani basi majengo 2 yangetosha kwa wote na ardhi nyengine wakapata vizazi vyetu muhim miundo mbinu

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd377718 күн бұрын

    😂😂😂 bora nicheke ansema hataki kuona mtu adhulumiwa, wakatii yeyemweyewe,kadhulumu.dhulma kubwa kuliko ardhi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud7637 ай бұрын

    Washauri wa rais watu wa ardhi mshaurini raisi kujenga maghorofa ili kusev ardhi znz hatuna ardhi ya kutosha kujenga nyumba za chini tu kwa kila mmoja

  • @salimali-rf9er

    @salimali-rf9er

    7 ай бұрын

    Sahihi

  • @ArafaMussah

    @ArafaMussah

    7 ай бұрын

    Uko sahihi wangelipata watu wengi sana

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalimАй бұрын

    Sasa huyu et hatki kuskia mtu kudhulumiwa , ila uongo sheikh dhulma unaipenda , maana km huipendi ungeakataa basi icho kiti cha urais.umedhulumu watu mpk wengine washatangulia mbele ya haki.

  • @amemasudi5735
    @amemasudi57357 ай бұрын

    Zitatolewa Bure au kuna fidia Maalum

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid31747 ай бұрын

    Muheshimiwa Raisi Kuna uharibifu wa mamlaka ya maji Zanzibar ktk ukanda wa pemba tunawadai pesa zetu za fidia kwa uharibifu wa mabomba ya maji ya uvico 19 mpaka Leo hawajatulipa katika shehia ya gombani mwaka unafika tokea uharibifu huo kufanyika kwahivyo muheshimiwa tunakuomba usimamie fidia hio

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed51577 ай бұрын

    Its fine lakin kikubwa kinachotakiwq ni zanzibar yenye mamlaka yake kamili

  • @fahadfaraj6474

    @fahadfaraj6474

    7 ай бұрын

    Watu wapo mkutanoni wewe unafusa nani alinyang'anywa kitu zanzibar, unaleta vitu ambavyo havina mahusiano na kilichopo hapo.

  • @omarmohammed5157

    @omarmohammed5157

    7 ай бұрын

    @@fahadfaraj6474 hhhhhhh sawa mwenye macho haambiwi tizama

  • @fahadfaraj6474

    @fahadfaraj6474

    7 ай бұрын

    @@omarmohammed5157 sasa hapo watu wamepewa nyumba tena nzuri bado tunaleta siasa haya wangetolewa pasi na Kupewa kitu ka ilivo kwengine kila mahala na jambo lake hayo mangine kwenye uchaguzi huko ndo tutayasema si katika hili .

  • @fakihbakari

    @fakihbakari

    7 ай бұрын

    ​@@omarmohammed5157mamlaka kamil ni lazima 👍👍👍

  • @HalimaOthman-tc3io

    @HalimaOthman-tc3io

    7 ай бұрын

    Anazingua

  • @juma2979
    @juma29797 ай бұрын

    Hapo badae utasikia wakubwa wamezipora

  • @MdNasr-jm8pj

    @MdNasr-jm8pj

    7 ай бұрын

    Hatowahi inshallah

  • @nureyna629
    @nureyna6297 ай бұрын

    Wapi hii?

Келесі