WAZEE WA MINYAMA WATINGA DP WORLD KUFUKUNYUA TUSIYOYAJUA, WAWAWEKA KIKAANGONI WAFANYAKAZI WAKE

Ойын-сауық

WAZEE WA MINYAMA WATINGA DP WORLD KUFUKUNYUA TUSIYOYAJUA, WAWAWEKA KIKAANGONI WAFANYAKAZI WAKE
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 50

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын

    Mnajitahd sana kupotosha. Watu/wanannchi hawaoji utendaji wa DP-world au sio kwamba hawataki uwekezaji. Tatzo ni vipengere vilivyopo kwenye mkataba

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын

    Mimi naogopa sana,siamini Ninachokiona, kumbukeni Kuna watoto wenu na ndugu zenu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Жыл бұрын

    Dah! Kutoka kuchekesha kwenye bar za manzese hadi kufafanua mambo nyeti kabisa ya kimikataba ya nchi......mh basi sawa

  • @ilakozasembumende1975

    @ilakozasembumende1975

    Жыл бұрын

    😭😭😭😭 ni huzuni mno mno😭😭😭😭😭

  • @kimeinetwork4599
    @kimeinetwork4599 Жыл бұрын

    Wala rushwa

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 Жыл бұрын

    Taarabu haijawahi kuleta ujumbe zaidi ya burudani na majungu, endeleeni kula upepo yote ni batili

  • @alliymohamedalliy6524

    @alliymohamedalliy6524

    Жыл бұрын

    😂😂😂

  • @fredlusambo2452
    @fredlusambo2452 Жыл бұрын

    MKATABA HATUUTAKI NA NYIEHAPO SEMENI MEEENGI ILA MKATABA HATUUTAKI

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 Жыл бұрын

    Mmekaa kimipasho zaidi na sio professional wise.

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Жыл бұрын

    Asante sana Wasafi kwa kutuelimisha kuhusu DP world tunataka ubora wa kazi kwenye Port yetu Tanzania...👍👍👍

  • @bakarimussa6402

    @bakarimussa6402

    Жыл бұрын

    💗💗💗💗

  • @barikimohammed
    @barikimohammed Жыл бұрын

    Yan mtapanda ndege nyingi sana yan mnaulizwa ckio mnaonyesha meno tatizo ni mkataba waovyo

  • @morganrichard4384
    @morganrichard4384 Жыл бұрын

    Justification za kijinga kabisa kama wapo Nchi nyingi ndio tuingie nao mkataba mbovu? Hao walio kwenye madini wapo nchi chache? selfish minds zinapewa mic inakera sana.

  • @sadanishabani3321
    @sadanishabani3321 Жыл бұрын

    Mmeenda kishabiki make mmeshazoea kila Kitu ni ushabiki,hii ni issue serious mnaleta utani utani

  • @AlexKing-yg2cc

    @AlexKing-yg2cc

    Жыл бұрын

    Halafu wanahoji watu walio na masirahi na DP world. Wanatarajia waiseme vibaya kampuni wanayofanyia kazi?

  • @sadanishabani3321

    @sadanishabani3321

    Жыл бұрын

    @@AlexKing-yg2cc hawa wajinga sana ,kwanza sijui kama hata mkataba wameuelewa hawa ,make ndo kelele zetu ,..issue sio kwamba dp world ,ina container ngapi au meli ngapi?

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Жыл бұрын

    Wasafi punguzeni dili kuweni wazalendo sio kuangalia matumbo yenu nakuwaaminisha watu uongo hii inchi niyetu nasisi hututaki mwalabu aje awekeze nchini kwetu

  • @chamyfx9377
    @chamyfx9377 Жыл бұрын

    Ndo mana waandishi wanaenda wasaf😂😂

  • @josephndunguru6290
    @josephndunguru6290 Жыл бұрын

    Issue. Vipengele vilivyomo kwenye mkatabaaa humoo hatutakii hatutakiiiiiiii,

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂 Ndiyo maana waandishi wanaenda Wasafi. Hivi Wasafi mmeamua kutuletea Comedy kwenye Masuala nyeti? Naomba msituhamishie mjadala

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 Жыл бұрын

    Kama hamna hoja Bora mnyamaze,

  • @gabrielmassawe9233
    @gabrielmassawe9233 Жыл бұрын

    Sound back inasikika kuliko nyie

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Жыл бұрын

    Nyie niwasaliti kwasababu yavijisenti mulivopewa sisi hatukotayali kwalolote wapumbavu nyie

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 Жыл бұрын

    Toeni beat

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 Жыл бұрын

    Wanachi Hamtuelimishi Kurusha Matangazo Tunataka Wabunge Waje Na Mikataba Hio Vijijini Tuijadili Then Wabunge Kama Wa Wakilishi Wa Hoja Zetu Wapeleke Hoja Kwa Mama.

  • @ayeshaaljabry
    @ayeshaaljabry Жыл бұрын

    Mabeat mengi sauti ndogo Editor alikuwa kabanwa mavi ?

  • @masoudal-nasry8301
    @masoudal-nasry8301 Жыл бұрын

    Toeni hio beat

  • @GozbertAliseni-vp6kj
    @GozbertAliseni-vp6kj Жыл бұрын

    Nadhani.mjui.waTanzania.wanatakakujuamkatABA.SIO.UFANISI.KULAIYO.RUSHWA.ITAWATOKEAPUANI

  • @berthatz
    @berthatz Жыл бұрын

    Muogopeni. Mungu nyie..Hii issue ni ya kitaifa zaidi acheni upambe.Wala hamshawishi..😏

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd Жыл бұрын

    Nani kati ya hao ni Mataram wa sheria za kimataifa za kibiashara, mbona nguvu nyingi inatumika kuhusu hill swala, who paid for your trip, who paid for your stay, who organized your appointment. Hatuna wasiwasi na uwezo DPW tatizo liko kwenye vifungu via mkataba Tuelewesheni vifungu kwenye mkataba acheni kusifia vitu

  • @ZionTZ09
    @ZionTZ09 Жыл бұрын

    Wasaliti wa nchi, siku moja mtalipa haya mnayofanya....dunia duara.

  • @wisekingtony6370

    @wisekingtony6370

    Жыл бұрын

    Akina Yuda, washapewa chao wamesalit nchi, siku moja itabidi waseme nani alikuwa anawatuma na walipewa kiasi gani

  • @user-ky9hj4co6r
    @user-ky9hj4co6r Жыл бұрын

    Mnataka kufananisha kimiundo mbinu dubai na tz ni tatizo hilo na huo uandishi wa habari mnao peana peana bila hata ya kuwa na professional hiyo ni tatizo kubwa sana mpo kimzaa mzaa tu kwenye mambo serious 😂😂😂😂😂

  • @sabbob574
    @sabbob574 Жыл бұрын

    Waheshimiwa naomba kuuliza... Tutapa faida gani tukiwapa DP world Bandari? Na pili kuna hasara zozote kufanya hivyo.

  • @mashakakalamba3702
    @mashakakalamba3702 Жыл бұрын

    Chawa ovyooo

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 Жыл бұрын

    Mhamie hukohuko msirudi kampeni ni kubwa lakini mmeferi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын

    Nyie muwe na muda wa kusikiliza hao wenyeji wenu sasa nyie ndio waongeaji kazi ipo kweli kweli

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 Жыл бұрын

    Kitenge Kichwa Kikubwa Hakina Akil

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl Жыл бұрын

    Waandishi wa Habari wa ovyo! Sijui hata walisomea wapi uandishi wa Habari na utangazaji!!

  • @hajjiomary2383

    @hajjiomary2383

    Жыл бұрын

    Sijakuelewa kweni wanatangazaji watanzani wote c sawa?

  • @breezonlinetv
    @breezonlinetv Жыл бұрын

    Microphone sasaa

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai78759 ай бұрын

    Swali la Father Charles Kitima mpaka leo Waziri Mbarawa hajalijibu kwamba, kwanini ni sahihi, jina lake, na wadhifa wake ndivyo vinavyoonekana kwenye mkataba? Vipi upande wa pili kuthibitisha ni serekali ya Dubai? Kwanini kauli ya Waziri Mkuu, na waziri Mbarawa zipishane juu ya upatikanaji wa DPworld?

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Жыл бұрын

    AWA jamaa wabongo ndio wanakuja fanya kazi huku

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Жыл бұрын

    Hawa hapa chini ndy wazalendo wa kweli wana uchungu na nchi yao. Mmoja alikwenda DP world kzread.info/dash/bejne/mKSGyql-ddHVqNo.html Mwingine mwana CCM kzread.info/dash/bejne/gaN9yttwcqjYnLQ.html

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Жыл бұрын

    mmetoa boko na nna wa unsubscribe

  • @user-ti6yq7bq1d
    @user-ti6yq7bq1d Жыл бұрын

    Akili zenu sio kwamba ninyingi kujua kila kitu wazee sisitupo pamoja nawatumishi wamungu maana ndowalio baki kuwa watetezi wataifa letu nyie ni wajinga tu njaa ndozinawafanya mseme ivo kwani kuna kitugani mnakijua kuusu iyo sekita au mnaongea tu

  • @Zenny89
    @Zenny89 Жыл бұрын

    Hawa Kama wamepelekwa kufanya propaganda hivi!!! Mbona wanatumia nguvu sana kutuaminisha bandari haijauzwa🤣🤣🤣…Wanafikiri watanzania hawajui kutambua UNAFKI nini🤣🤣

  • @hajjiomary2383

    @hajjiomary2383

    Жыл бұрын

    Acha iuzwe atuna faida nayo

  • @iddywazir9396

    @iddywazir9396

    Жыл бұрын

    babu mpka ww

Келесі