UKWELI WA ARAFA NDIO HUU SHEIKH SULEIMAN JUMA

#kasfat tv#

Пікірлер: 49

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228Ай бұрын

    tutawajua sana na uongo wenu

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908Ай бұрын

    Sasaivi kuna mtume mpya anaitwa simu na tv

  • @FadhilaHamad-fr3sb
    @FadhilaHamad-fr3sbАй бұрын

    Mashallah

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1yАй бұрын

    Shkh samahan lkn umekosea mana hujazungumza kielim ila umeongeoa kiutashi t twambie kauli za wanachuon wanasemaje kuhusu kufunga arafa na so utafsir Kwa akili Yako shkh

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634Ай бұрын

    Ukweli unakuja kila jambo litakuwa bayaani ( wazi)

  • @mrishosekiondo8870
    @mrishosekiondo887028 күн бұрын

    Tatizo lenu America ishawanunua Kama vile Saudia ilivo nunuliwa miaka 20 ijayo saudia watajaa mayahudi

  • @HemedSerious
    @HemedSeriousАй бұрын

    Ayo tunayajua Mzee, povu jingi Huna Cha maana ata kimoja Cha maana😊

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086Ай бұрын

    Huu ni upotishaji wa mtu ambaye anajiona anajua!

  • @YussufIssa-eg3ir
    @YussufIssa-eg3irАй бұрын

    Hhi uyu bwana asema abajali akiswali?

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908Ай бұрын

    Tunaomba fatwa kuhusu watu wa marekani mchana wa SAUDIA Arafa wao marekani ni usiku wamelala inamaana wafunge usiku?

  • @allymtito8117

    @allymtito8117

    Ай бұрын

    Wafunge wakiamka mchana wawo

  • @ahmadikasogota

    @ahmadikasogota

    Ай бұрын

    Kwan wewe marekan umewauzaliza wamesemaj😂😂 Maan naon unawasemea marekani wew nchi yako inatofautian na makkah masaa mangap😅😅😅

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5lАй бұрын

    NJAA WANATAFUTA CHEO BAKWATA

  • @darajanida
    @darajanidaАй бұрын

    kuwalazimisha watu wafuwate saudia tu msimamo huwo haopu kishiria

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498Ай бұрын

    Dah! huyu mzee arudi tena MADRASA naona hatakikusema ukweli kuwa TV ndio zinazowangoza kwasasa asingizia MITUME NA MASWAHBA alfu hajiulizi kwanini sauti inakatakata acha kupotosha uma

  • @warshysaid8564

    @warshysaid8564

    Ай бұрын

    Ww unafunga kwa kufuata nn kma c hizo cmu na TV na radio

  • @FundiHussein
    @FundiHusseinАй бұрын

    Unatumia nguvu nyingi kiposha ila elimu huna.kwani mlikuwa mwa wasiliana vip Kaba ya simu na tv

  • @HashimSalim-qj7zn

    @HashimSalim-qj7zn

    Ай бұрын

    Sijui nani hana elimu kati ya wewe na yeye maana io hoja yako haina mashiko

  • @kisomekiguwa3706

    @kisomekiguwa3706

    Ай бұрын

    Huyu jamaa kachanganikiwa kama unauliza kabla yasimu walikua wanawasilianaje, kwan ktk tanzania kabla ya sim kutoka dar mpaka dodoma walikua wanawasilianaje? wakataa utandawaz mbona taarifa za mwezi kutoka kwa mufti unazipata kwa njia ya mtandao simu au redio au tv acha kukataa mtandao halafu watumia mtandao huko ni kuchanganyikiwa.

  • @HemedSerious

    @HemedSerious

    Ай бұрын

    Uyu ana matatzo ya ubongo, au ana ubongo wa jongoo

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Ай бұрын

    ​@@kisomekiguwa3706 KISHA SEMA KUWA ABUU JEHELI FIRAUNI MWENZAO MAWAHABI ALIKUWA MCHAMUNGU SIO MCHEZO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. AKIPIGA SWALA TANO, FUNGA RAMADHAN YOTE, AKITUFU ALKAABA YAANI MCHAMUNGU WAO MAWAHABI NI ABUU JEHEL NDIO MAANA SUFI WAKIFANYA KARAMA KAMA ALIVYOFANYA MIUJIZA MTUME SAW HUA JIBU LAO NI LILE LILE LA BABA YAO ABUU JEHEL KUWA NI UCHAWI TU SUFI. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MWENZAO ALIMUITA MCHAWI MTUME SAW.

  • @YaziduIddy

    @YaziduIddy

    Ай бұрын

    ​@@kisomekiguwa3706soma dini kabla ya technology waislam walikuwa wakifunga na kufungua Kwa kuangalia mwezi wao hapo unavyosema daa na Dodoma walikuwa wanawasiliana vipi huo ni ujinga wa akili kwani zamani kulikuwa na nchi daa na Dodoma?baada ya technology kulikuwa na redio tu na hapo ndipo daa na Dodoma zikawa kwenye inchi Moja kiongozi mmoja

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586Ай бұрын

    MAWAHABI HAWANA AKILI

  • @MwinyimvuaOmary

    @MwinyimvuaOmary

    Ай бұрын

    Mwenye AKILI ni wewe Wala usipate shida Ila soma achana na kuwa na AKILI za KUSHIKIWA PENYE qauli ya mtume saw mwanachuoni Hana nafasi ya kuyaangusha maneno ya mtume saw

  • @YaziduIddy
    @YaziduIddyАй бұрын

    Huyo na ni shekh kwali mbona anaongea bila kutafakari kabla ya Tanzania kulikuwa na waislam walikuwa wanafunga arafa

  • @HemedSerious
    @HemedSeriousАй бұрын

    Ufaham Tatizo kubwa😢😢😢😢

  • @nurdiniabdillahi3558
    @nurdiniabdillahi3558Ай бұрын

    Elimu yako 0

  • @AnuaryKISEGE
    @AnuaryKISEGEАй бұрын

    ANA VIDOLE KAMA FIMBO HUYU JAMAA

  • @YussufIssa-eg3ir
    @YussufIssa-eg3irАй бұрын

    Twambiye ni hadthi gani abajahali kaswali swala gani wewe mzushi

  • @muhammadabdul6272
    @muhammadabdul6272Ай бұрын

    Maskini

  • @HemedSerious
    @HemedSeriousАй бұрын

    Uelewa mbovu

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452Ай бұрын

    SASA WEYE MUWAHABI UNAMGOMBA NANI HAPA NA UWAHABIA WAKO?😂😂😂. NAONA MAWAHABI MNATOA POVU KUTETEA UNAFIKI NA UONGO WENU

  • @YussufIssa-eg3ir
    @YussufIssa-eg3irАй бұрын

    Waporja

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaibАй бұрын

    Hata kuongea hujuo😅

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452Ай бұрын

    😂😂😂😂ABUU JAHAL KUMBE MCHAMUNG AKIMUABUDU ALLAH SW, HUYO FIRAUNI WA UMMA HUU KWELI NYIE MAWAHABI MSHACHENGUKA AKILI😂, ALIOKUTOGENI AMEKUFA. YAANI ABUU JAHALI AKIMUABUDU ALLAH NA AKISWALI SWALA TANO NA AKIFUNGA RAMADHAN NA AKIHIJI AU SIO???. AAH ABUU JAHAL KUMBE NI MWALIMU WA MAWAHABI SASA TUNAJUA NA ALIKUWA NA FITNAAAA SIO MCHEZO NA WATOTO WAKE MNARITHI MASHALLAH 😂😂😂. HAO WANAOKUSIKILIZA WEYE HIVI PIA HAWANA AKILI KAMA WEWE AU?😂😂😂

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Ай бұрын

    YAANI ABUU JEHELI AKIFUNGA ARAFA WATU WAKIWA HIJA 😂😂😂😂😂

  • @user-sy1qp5eg1s
    @user-sy1qp5eg1sАй бұрын

    Msitupotezee MB kwa watu wanaohitaji kusoma

  • @mzeemwinyihassan9774
    @mzeemwinyihassan9774Ай бұрын

    Yeye alikuwepo makka Sasa je tuwambie kabla ya mitandao miaka1400 iliyopota jee wao wafunga vipi aau shekhe anakusudia kutuambia walikuwa wamekosea kufuata mweziii tujibuuubhilooo

  • @user-od1et5ii1k
    @user-od1et5ii1kАй бұрын

    Katafute pichori ule huna jipya humpati mtu hapa

  • @user-rq7hr8ee7i
    @user-rq7hr8ee7iАй бұрын

    Wacheni ujinga zero wapi iyihadithi yauwongo kwani

  • @AnuaryKISEGE
    @AnuaryKISEGEАй бұрын

    MIMI WAHABI NDO NAWAKUBALI WANAONGEA VITU VINAINAINGIA AKILINI WENGINE WOTE WASUMBUFU

  • @abdallahsiraji9919

    @abdallahsiraji9919

    Ай бұрын

    Wahabi ndio dini gani?