Wanavyuoni Wanasema Nini Kuhusu Arafa-Sheikh Huseein Ismail Aja na Hoja Hizi

usisahau ku subscribe channels hii

Пікірлер: 22

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hyАй бұрын

    Sheikh yuko sawa maana ana soma vitabu vya wanachuon Tena wa saudia Sasa nyie mnahoji na kutukana

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572Ай бұрын

    dozi iendeleee

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570Ай бұрын

    Dah! Ina lillah waina illah rajjiun

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510Ай бұрын

    Kila mtu afuate msimamo wake msiwahangaishe watu.

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572Ай бұрын

    mzee mwenyewe kusoma hawezi 😂

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7geАй бұрын

    Jameni mwezi wa kwanza haunekani na wote ndo maana mtume swa akaapisha mtu ili asihesabu vibaya.sikuyapili ya mwezi huoneka na kila mtu akili tu

  • @yusuphhamisi504
    @yusuphhamisi504Ай бұрын

    Utasikia baadhi ya mashekhe wanakwambia sisi Tanzania tukitangaza mwezi saudia wataukubali?Hivi Tanzania nchi ambayo imesema wazi Haina dini utaifananisha na saudia nchi ya mbora ya mbora wa viumbe na inasimamiwa na dola ya kiislamu

  • @user-su7np6sn7s

    @user-su7np6sn7s

    Ай бұрын

    Mbona bado we unaishi Tanzania nenda Kule ukaishi Saudia Wazazi wako si wamezaliwa Kule Saudia Hata we hapo ulipo si unaishi Saudia Ndomana Tanzania haina Dini Je mwezi ukionekana Palestine Saudia watafunga

  • @yusuphhamisi504

    @yusuphhamisi504

    Ай бұрын

    @@user-su7np6sn7s huu ndo ujinga tunaoukataaa khabari za Palestine zinatokea wapi Acha umimi Palestine katoka Nani? Muhammad?

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Ай бұрын

    ​@@user-su7np6sn7s KWANI MTUME SAW ALIPOSEMA TUSHUHUDIE MWEZI KWA MUISLAMU MMOJA INATOSHA AU KWA NCHI YA SAUDIA INATOSHA?. YAANI UNATAKA KUWAAMINISHA WATU HUO UJINGA WAKO YA KUWA, MWEZI AKIUDHUHUDIA MTU AMBAE SIO MSAUDIA HATA KAMA MUISLAMU BASI USHAHIDI WAKE HAUFAI AU VIPI?!!!. EEEH JAHILIA MURAKAB LA KIWAHABIA WEEEEE😂

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Ай бұрын

    ​@@user-su7np6sn7sushahidi Ni NCHI au muislamu?

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570Ай бұрын

    Wazungu wanatushinda wao ndo wanafata uislam ila ss sasa tunafata yakwao

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570Ай бұрын

    Kla mtu anatoa fatua kwel uislamu ume vamiwa bla kujijua

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7geАй бұрын

    Ukiambiwa mwezi umetoka kubali mtaharibu tarehe nyinyi

  • @yusuphhamisi504
    @yusuphhamisi504Ай бұрын

    Mfano Leo jumapili. Na saudia jumapili. Kizungu Leo Ni TAREHE 16/06/2023 na saudia Ni hivyo hivyo Muda pia Ni tunafanana iweje tupishane kwenye TAREHE ya kiislamu. ?

  • @jumafaki2891

    @jumafaki2891

    Ай бұрын

    wasaudia wenyewe ndio wanotuambia tusiwafuate Sasa tuwalazimishe Kwa Nini na Hali hawataki tuwafuate

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Ай бұрын

    ​@@jumafaki2891kwani jee unataka kuwaambia watu haijawahi kutofautiana tarehe ya kiislamu?.

  • @daymalhomebae9488
    @daymalhomebae9488Ай бұрын

    Tueleweni... Kwa kuwa kimasaa tuko sawa na 'Suudiya' haimaanisha lazima tutakuwa sawa kuuona mwezi... Ulimwengu wa Science na ipo katika Qur'an...

  • @suleimanh1826

    @suleimanh1826

    Ай бұрын

    Lakini nyakati zetu za sala ni tofauti. Hebu jaribu kufuatilia saudia wanasali magharibi saa ngapi na sisi huku tunasali saa ngapi. Ukipata jibu rudi utueleweshe

  • @daymalhomebae9488

    @daymalhomebae9488

    Ай бұрын

    Kama tumepishana basi dakika chache mno radio zetu za kiislamu kila zikitangaza saa zinasema ' sawia na saa za Makkah'

  • @daymalhomebae9488

    @daymalhomebae9488

    Ай бұрын

    @@suleimanh1826 Ndivyo nilivyomaanisha kwamba magharibi yetu na ya Suudiya ni tofauti ikizingatiwa wakati jua linazama na kila mahali na kwa wakati tofauti... Angalia hata Ramadan timetable Malindi na Mombasa wanafungua kivyao.

  • @daymalhomebae9488

    @daymalhomebae9488

    Ай бұрын

    Saa zetu zipo wakati mmoja, japo jua kuzama na mwezi kuonekana zinapishana. Sasa hatukuambiwa tuangalie saa...

Келесі