UJENZI WA FLYOVER WAPAMBA MOTO ZANZIBAR

Пікірлер: 41

  • @SuleimanSaleh-js5wh
    @SuleimanSaleh-js5wh2 ай бұрын

    Jekeni unguja Pemba hata njia ya kutoka mkoani mashimo tu mungu anajuwa kilio cha wapemba kwani tunalipa mapato kwa wote

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    2 ай бұрын

    Serikali ya CCM ni ovyo tu

  • @YussufJumaOmar-pe8yg

    @YussufJumaOmar-pe8yg

    2 ай бұрын

    Ni wajinga kwel nyinyi wenyenu hamujeng mnakuja kuja huku

  • @aishamuhammad7785

    @aishamuhammad7785

    2 ай бұрын

    ​@@YussufJumaOmar-pe8ygwajenge kwani wao ndo serikali? Habithul a'mal wewe

  • @YussufJumaOmar-pe8yg

    @YussufJumaOmar-pe8yg

    2 ай бұрын

    Nawew hvy hvy

  • @wadhhasuleiman2621

    @wadhhasuleiman2621

    2 ай бұрын

    Cc bro pemba tusilalamike hao tumeshawakataaa milele hakuna shida

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid19 күн бұрын

    Badala ikajengwa barara ya mkowni kwnza haipitiki mashimo matupu lakini silaumu ss wapemba hatuna haki km wa unguja kwni kinachonishangaza tunalipa makodi lakini barara za pemba mtihani mtupu hata ukisikia kwjengwa nikwjili ya waekezaji sisi wnanchi tunateseka

  • @user-gy5ii3ig1d
    @user-gy5ii3ig1d2 ай бұрын

    Hamna kitu hapo Mwinyi anawafanyia Wazanzibar usanii tu,Zanzibar yanuka njaa shida tupu,vijana ajira hawana yaana maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha😢.

  • @user-dz1gm4dh7e
    @user-dz1gm4dh7e2 ай бұрын

    Flyover wakati daraja jomany tunadanganywa saanaa Kwa tuloona Kwa macho ndo tunajua

  • @TwalibuAlbaamiryShoka

    @TwalibuAlbaamiryShoka

    Ай бұрын

    Kweli hilo ni daraja

  • @salyali7807
    @salyali78072 ай бұрын

    Jamaa wa bara wanapewa kazi .. wazanzibari wanaangukia patupu

  • @Hussein-qq2uy

    @Hussein-qq2uy

    2 ай бұрын

    Duh sijapata kuona nyinyi watu ni wabaguzi mno ,,,mbona wazanzibar hawabaguliwi huku Tanganyika wako huru hivi hamuoni hicho mnachokifanya mtakuja Jutia baadae?kwani nini maana ya muungano?Na kwanini mtu wa bara awe hana haki ya kupata ajira zanzibar ?Nakuhakikishieni muungano ukivunjika nyinyi mtaumia na mtaathirika pakubwa kuliko watanganyika,,

  • @omarhababuu3159

    @omarhababuu3159

    2 ай бұрын

    ​@@Hussein-qq2uyjaribuni muone tanganyika mutakapoangamia. Itakuwa hamuna bandar tena wala bahar yakupita meĺi yamakontena mpaka mutulipe ss wazanzibari ndoturuhusu. Meli zipite bahari yawazanzibari zije tanganyika kushusha mizigo

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    2 ай бұрын

    ​@@Hussein-qq2uyTuathirike kwa kipi 😂😂 wakat ni sisi ndio tunawalisha mumezidi unyonyaji kima nyinyi achaneni na sisi

  • @noorbazaar9063

    @noorbazaar9063

    2 ай бұрын

    Huyo Ndugu Suleiman Cosmas aliwahi kuwa mbunge wa Bububu ni mtu na nusu na muungwana sana ila hizo siasa za hovyo ndizo zilizomtoa kwenye ubunge!

  • @ZubeirJuma-up7kb

    @ZubeirJuma-up7kb

    2 ай бұрын

    Kwa nini watanganyika mnangangania muungano mukixkiq uvunjike mnalia maisha ya kwenu hamna pesa halafu muko wengi hamna kazi mmejazana uku tumewachoka kwa ilo na zanzibar kitambo tuu hatutaki muungano​@@OmerSuley-gl7go

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf20572 ай бұрын

    Kweli Zanzibar inahita flyover

  • @RashidAbdallah-oo7cd
    @RashidAbdallah-oo7cd2 ай бұрын

    Mwandishi acha kutumia nebo Zanzibar ktk hili dema Unguja Yaani huko ndo kwenye serekali Huku Pemba ni kama kisiwa cha watoto wa kambu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382Ай бұрын

    YAKIJA MAFUTIKO NA MVUA KUBWA YOTE YATABANGUKA KISHA MLAUMIANE. ZANZIBAR SIO NCHI YA FLYOVER JAMANI!

  • @juma3473
    @juma34732 ай бұрын

  • @official_masud
    @official_masud2 ай бұрын

    Kuweni serious watu tumesoma kila neno tutafsiriwe kama cha3 B

  • @JumaSaad
    @JumaSaad2 ай бұрын

    So good up to you Zanzibar

  • @htx1873
    @htx1873Ай бұрын

    Mbona no wazeee tuuu , VIJANA WAKO WAPI ???? Vibabu bado havitaki kustaaf .. muwape vijana ajira huyo babu mnamuona jinsi alivyo MZEMBE he don’t look strong he seems tired hata kuongea haeleweki yani . Hii nchi inani kera sitaki hata kuisikia

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab43692 ай бұрын

    hamn mpang wwt tang siku izo njo kwaz nguzo ingelikua zina kwend mpk nungw je si mnge jeng mkp kiama

  • @KS-iw7qv

    @KS-iw7qv

    2 ай бұрын

    Setting ndio kazi kubwa kuliko kuendelea kumwaga hiyo zege.... wakimaliza hapo speed itakuwa kubwa.... foundation ni muhimili wakifeli hapo hamna kitu..... wacha tusubiri

  • @MohamedAhmada-ie7ke

    @MohamedAhmada-ie7ke

    2 ай бұрын

    Ukikua utajua

  • @alirajab921
    @alirajab9212 ай бұрын

    sasa mwandishi wa habar hajui kingera yy kaz yak kukamata maic tu du zbc😅

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed40882 ай бұрын

    Ina maliza mwezi wa 10 Au wa 8 Raisi Mwinyi unaziingua viijana wa ki Zanzibar tupo. hatuna Kazi unaenda kuchukuwa watu bara wasio jielewa ,, kwanza sisi Zanzibar sio washamba hatuwezi kushangaa flyover

  • @tanzanite9944

    @tanzanite9944

    2 ай бұрын

    Acha Uchoyo na Ubaguuzi. Cha Zanzibar ni Chako na Bara ni Chako pia. Mbona Wazanzibari wako Bara wanajenga barabara husemi? Kwani Vujana wa Kitanganyika hawapo?

  • @hansclever334

    @hansclever334

    Ай бұрын

    We kweli choko

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd73102 ай бұрын

    Wizi mtu umeme unataka siku mara tatu barabara zote mbovu njaaa imezidi..mgefanya wana nchi wanapata mlo kwanza daraja na njaaa itasaidia nini ?

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z2 ай бұрын

    Flai ova zipite chai maharage

  • @salyali7807
    @salyali78072 ай бұрын

    Upumbavu mtupu... wanajengewa wageni .. wazanzibari wafa njaa ... nonsense

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z2 ай бұрын

    Flai ova mwera bububu kisauni hakuna barabara

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad74352 ай бұрын

    Shida yetu sio ujenzi wa masjabu Bali ni ZNZ HURU YENYE MAMLAKA KAMILI

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad74352 ай бұрын

    Hata mjenge "PEPO" ,bado waznz shida YETU KUBWA ni ZNZ HURU YENYEAMLAKA KAMILI NA KITI CHAKE KIREJESHWE UNO!!!

Келесі