💪💪💪💪💪🌎🕌🕌SAWA SAWA MWINYI ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Rais Hussein Mwinyi mungu akujalie akupe maisha Marefu kwa kweli umeleta maendeleo Zanzibar kwa muda mfupi kama alivyoleta maendeleo hayati Magufuli Tanzania Bara kwa muda mfupi Mwenyezi Mungu akulinde
@user-nm7yp3wm9t6 ай бұрын
Mashallah
@suluhuhamza47846 ай бұрын
tunataka kuona na ile fly over ya kwerekwe, itakuwa vipi ikishamalizika?
@hajiabdalla57726 ай бұрын
Majumba ya Kikwajuni na kilimani michenzani na mji mkongwe kama hamuwezi kuyapaka japo chokaa basi yabomoweni yote yanazidisha uchafu
@nsajirobert6 ай бұрын
Mabus ya dalala au ya masafa marefu?
@hajiabdalla57726 ай бұрын
Usafi Tu muhimu na kukitunza kila mwaka kupaka rangi.na muwache kutupa taka ovyo ovyo mana nyie wazanzibari zarau na wachafu hamujali kutunza kitu kipya.forodhani ile pale utafikiri ya miaka mia toka ikarabatiwa mushaichafuwa yote
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Wenye kusema waache waseme mdomo umeumbwa kusema nani kama Hussein Mwinyi hakuna ccm oyeeeee kazi inaendelea Dada yako huku ansupiga mwingi wenzie wanakomba
Пікірлер: 8