'SIJAWAHI ONA MKALI KAMA NGWEA/ALI FREESTYLE WIMBO WA MSELA/NLIDHANIWA MWIZI SABABU YA MUZIKI' - KR
K R ni moja ya wasanii wakongwe kwenye game ambae ameshuhudia mengi na kufanya mengi,hii ni story ya maisha yake kupitia kipindi cha The Classic na Jabir Saleh ..subscibe hi channel kwa more interview.
Пікірлер: 38
Ngwear will always be undefeated.
Kaka jabir mualike na pfunk atupe ladha zaidi
Dah Safi sana KR real hip hop bongo rap we miss u Shibe shibe
Hatatokea kama ngware,Ila p mawenge my best
@richardcastromzena5136
Жыл бұрын
Jifunze mziki
@jamesmtalam-pg6ep
6 ай бұрын
😢😢6yyy😢to 6y😢g😢y😢😢😢😢😢ft@@richardcastromzena5136
Mangweah untouchable
Ngwair the best.....ahahaha balaaaa
Ngwear alikuwa noma sana
wale wa leo 2024🎉😂Beat kidondaa ha ha#R.I.P Albert Bado upo juu hakuna Replacement yko#
KR uko sawa, cow bama ngwea, Zilla, chid benzino, Nikki mbishi na P mawenge kutoka kikosi kazi
Noma sana jabir
duuh hiyo ya ngwair balaa
Interview bora (classic) 🙌🏾
@MackameHassani
7 ай бұрын
Kbs kbs kaka......hii kali mnoooo
Alafu wakazi alijaribu kubisha wakati kumbe yy ajawahi kukaa na ngwer
Dah nachooka xana eti hawa hawa ndo wezi wa madumu
KR mura, hip culture kitambo, lile Ngoma lenu mliua sn
Mbunifu sana
Maamaaaaaaaaaaaaaaaa ICHO KIDONDAAAAAAAA" By KR MULLAH😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Daaaaaaah nimecheka sn leo aiseeeeeee
@tonyi6807
4 ай бұрын
mdundo wa P.funk sio kdg
Dope
Ngwea daah
aka kakitu kanatwangaaaa
CLASSIC INTERVIEW 2022
hata mimi nilikuwa najua anaitwa KR MURA kumbe ni mulla
Kr mtu mbadi
💥💥💥💥💥
Mziki hapo mwanzo ulikuwa mzuri hakuna kujiskia no fitna
Ngwair the Goat
@adissirrapa-ef8lr
8 ай бұрын
Nye noma kaka mupita magumu
😅😅😅😅😅😅kr mullah
Rest peace king zilla
Heshma sn kwako
R.i.p ma cowboy
Ili kr mullah iyo minywele uko kichwani si angeinyoa tu jamani
Oya kuvi...ujue humu kuna minerals
ᴿ.ⁱ.ᵖ ᶜᵒʷᵇᵃᵐᵃ