Rais Magufuli aagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara aliyelazimishwa kutoa rushwa

Rais John Magufuli ameagiza watumishi wa TRA waliohusika kudai rushwa na kushikilia mali za mfanyabiashara kwa miaka mitatu wasimamishwe kazi na wapelekwe mahakamani. Pia ameagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara huyo.
#JPMNaWafanyabiashara #AzamTVUpdates #AzamNews

Пікірлер: 62

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo65104 жыл бұрын

    Safi sanaaa mheshimiwa rais wetu hakika mwenyezi Mungu akusimamie vyema mzee wetu uzidi kutetea wanyonge jamani 👏🙏

  • @salminiyussuf989
    @salminiyussuf9895 жыл бұрын

    🤗"Kwa staili!!! hii sina swali Mkuu.Dozi inaingia tar-tibuuu,ikikolea -Watakusoma tuuu."

  • @sjfamily8121
    @sjfamily81215 жыл бұрын

    Am from Kenya but nafuraiya Sana uwongozi wa prezo wenu Allah awaekee JPM

  • @saidbadaud6059
    @saidbadaud60595 жыл бұрын

    Honourable you are a man and a half , God bless you "Safisha"

  • @isayaamigo291
    @isayaamigo2914 жыл бұрын

    Mbona hawajamlipa jamani baba wa watu mpaka mkewe kawa kichaa hii ni haki kweri eee Mungu

  • @huseinmohammed8075
    @huseinmohammed80755 жыл бұрын

    Raisii huyu ndio wa kwanza Tanzania waliopita wangekua kama huyu nafikiri leo Tanzania ingekua juu juu zaidii we Love you mr president

  • @antonypatrickmangori1585
    @antonypatrickmangori15855 жыл бұрын

    Hata Kenya twahitaji kiongozi kama huyu. Anyway,, God Almighty bless you President Magufuli

  • @hasanially9294
    @hasanially92945 жыл бұрын

    Huyu ndie raisi peke atake weza kuifanya incha yangu ifikie japo robo ya maisha ya Dubai inshaallah Allah akuongoze katika haki mzee

  • @harsimogen7777
    @harsimogen77775 жыл бұрын

    Asante hongera mr president

  • @eliahedward7761
    @eliahedward77615 жыл бұрын

    Kwa style hiii mtanyooka2 maana mlizoea pesa chafu

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid70404 жыл бұрын

    Mungu amupe afia ameen thuma ameen baba wa taifa

  • @eliankya3272
    @eliankya32725 жыл бұрын

    Apo namsubiria mnyika na mbowe na zito maoni yao awakawii kusema uyo mfanyabiashara nae kanunuliwa

  • @theophilotheodosy5565

    @theophilotheodosy5565

    5 жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu37814 жыл бұрын

    Haki ya mungu nakupenda Rais wangu kipenzi,yaani mhh weacha tu.Ivi wehujuwi kuna watu tunakupenda mpaka tunachanganyikiwa?Natamani unipe kazi ya kujitolea yoyote ike napenda sana utawala ila sijasoma niliishia LA saba.Unachapa kazi baba.Hongera mno .ubarikiwe ndio maombi yangu kwako

  • @tambokavz
    @tambokavz5 жыл бұрын

    This can never happen in Kenya. Hell No

  • @lisamiller6702
    @lisamiller67025 жыл бұрын

    Hatutaki uchaguzi wa rais 2020 Magufuli anatosha.

  • @RuzoOwzy

    @RuzoOwzy

    5 жыл бұрын

    Ukifanya hivyo, watu wanaweza kuja kutumia vibaya siku za mbele. Tuombee tu kwa anachofanya kiwe kimeImpact change kwenye vichwa vya wengine, ili waamini vitu vinawezekana na wafanye km yy au zaidi yake.

  • @karimmunis8302

    @karimmunis8302

    4 жыл бұрын

    Mpaka leo hola hajalipwa

  • @glorykibona3761
    @glorykibona37614 жыл бұрын

    MUNGU ibaliki Tanzania pia mubariki raisi wetu MAGUFULI

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika49435 жыл бұрын

    Hongera mh. Rais kwa juhudi zako kuwaonesha viongozi wako uelekeo unaoutaka! Sasa mi najiuliza hao ambao bado wanamentality za rushwa rushwa watakuja kuaibika na familia zao zitashindwa kuaminika na serikali ebu waridhike Tu...

  • @catherinechifebe5800

    @catherinechifebe5800

    4 жыл бұрын

    kweli Gwaspika.....psychologically and socially ndio ilivyo

  • @ahmadishaibufataha1481
    @ahmadishaibufataha14814 жыл бұрын

    Mpaka.kufikia leo huyo jamaa.ajalipwa pesa.zake na juzi kaongea wamekosa kumtoa roho na chakula cha sumu

  • @athanasdamas2867
    @athanasdamas28675 жыл бұрын

    Rais wang nakuombea miaka 1000 uishi mana unafanya uzalendo halalii

  • @benjack9133
    @benjack91334 жыл бұрын

    Mheshima heti tunasikia yule mzee bado ajalipwa .....

  • @pemdumi
    @pemdumi5 жыл бұрын

    Good politics!But many people don't have the opportunity for their cases to be heard and known to the President.In the end we need to create fair systems which will accommodate everyone.

  • @dachjunior4766

    @dachjunior4766

    5 жыл бұрын

    Ndg yangu wazo lako ni jema kabisa ... Lakini hiyo FAIR SYSTEM itakuwaje CREATED wakati WENGI WA WANASIASA iwe RULING PARTY ama OPPOSITION PARTIES NI WANAFIKI WAKUBWA?

  • @smarty1064

    @smarty1064

    5 жыл бұрын

    Paul Mdumi, the very issue is not the system itself, just ask yourself if we have the constitution unfortunately we are not to willingly to abide with it then how will that system work? issue here is mentality, public service officers creates loopholes for corruption they tend to bend every law as they know we are not willing to waste time so at the end we will ask for our issues to be solved quickly and at that is their opportunity as the scales weight on their favor! it's mentality

  • @theophilotheodosy5565

    @theophilotheodosy5565

    5 жыл бұрын

    Which system while 90% of the people are corrupt including the so called opposition...!!

  • @pemdumi

    @pemdumi

    5 жыл бұрын

    @@dachjunior4766 Nafikiri tatizo kubwa ni wasaidizi wa kiongozi.Walipaswa wajifunze kile ambacho kiongozi anakitamani kitokee kisha wao watengeneze mpango wa kulifanya hilo litokee.Mikutani hii ilipaswa kuzaa mabadiliko mskubwa ya kisera na sheria za nchi ili kuweza kuaccomodate maono ya kiongozi.Kwa kufanya hivyo mifumo rafiki na ya haki itatengenezwa.Rais hawezi kuitisha mikutano kama hii kila siku ili aweze kuyasikia yanayotokea Kigoma.Lazima mifumo ijikite huko huko Kigoma ili itatue matatizo ya wananchi.Hichi ndicho ninachokimaanisha.

  • @theophilotheodosy5565

    @theophilotheodosy5565

    5 жыл бұрын

    @@dachjunior4766 kweli asee.... At least ukiwa na mmoja anayejitahifi kufanya haki. It's better

  • @violethmtalemwa5190
    @violethmtalemwa51905 жыл бұрын

    Rais wetu uishi miaka mingi tunakuombea kwa mwenyezi MUNGU

  • @mwachamwacha5538
    @mwachamwacha55385 жыл бұрын

    kuna watu waliwajengea wafanyabiashara uadui kabisa na serekali lkn kwa mwendo huu .mh rais tupo pamoja ktk kuijenga Tanzania yetu .

  • @abdulhakimmohamed3066
    @abdulhakimmohamed30665 жыл бұрын

    Kiongozi wetu nakukubali

  • @mosesdouglas7902
    @mosesdouglas79025 жыл бұрын

    Safi sana

  • @julianamasanja8301
    @julianamasanja83013 жыл бұрын

    Hongera sana jembe letu MUNGU azidi kukupigania kazi unayoifanya kwa wananchi wako kila mtu anaiona wenye kukuelewa tunakuelewa wenye roho zao mbaya watabaki na kelele zao za roho mbaya na vinyongo vyao chapa kazi Rais wetu tumbua majipu nchi isonge mbele

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz51925 жыл бұрын

    Punde tutanyooka kwa stail hii

  • @jamalimusam5019

    @jamalimusam5019

    5 жыл бұрын

    Wanyooshe

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv10674 жыл бұрын

    Safi sana raisi umetumia maamuzi ya busara sana mungu akuzidishie kila la kheri

  • @salimabeid4170
    @salimabeid41704 жыл бұрын

    A.A.JEE HUYU MFANYIBIASHARA AMELIPWA KWELI AMA NI SIYASA

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas15474 ай бұрын

    Usinisaulishe.

  • @nikhatkhan8362
    @nikhatkhan83624 жыл бұрын

    Hyo aliyosimama mweusi hata rangi ya lami inaafadhali wezi wakubwa

  • @babanjuru8738
    @babanjuru87384 жыл бұрын

    Ramadhani ajaripwa mpaka leo analalamika

  • @catherinechifebe5800

    @catherinechifebe5800

    4 жыл бұрын

    Atalipwa

  • @josephmponzi4739
    @josephmponzi47394 ай бұрын

    R.I.P Magufuli

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji33355 жыл бұрын

    Magufuli ni rais na sirahisi

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын

    Machozi yamenitoka , Tunashukuru Asante Mungu kwa huyu mja wako🤲, kwakweli tutalia Kila siku na tutamkumbuka kwa mema Yake, MOLA WETU wewe ndio mjuzi

  • @damianmakala2913
    @damianmakala29135 жыл бұрын

    Taratibu si zilifuatwa ? Inakuwaje mpaka inafikia hatua hii ? Nadhan baada ya kupokea taarifa uchunguz wa serikali uwe unafanyika kwanza ili kujua nani anamkosa mfanyabiashara au TRA ndipo maamuz yafanyike

  • @st99ngeni35

    @st99ngeni35

    5 жыл бұрын

    Hujaelewa nini ndg. Uchunguzi ulishanywa ndio maana kamishna amesema hadi wazir mkuu majuzi aliingilia kati ndipo mali ikaachiliwa. Hii ni baada ya miaka mitatu. Hivyo ni wazi kuwa uchunguzi ulifanyika na ikathibitika mfanyabiashara hakuwa na makosa.

  • @issaalfani1030
    @issaalfani10304 ай бұрын

    R.I.P Ramadhan himis ntunze ulionesha namna haki inavyo tafutwa ndugu yangu kabisa kwenu na kwetu ninyumba kadhaa

  • @nikhatkhan8362
    @nikhatkhan83624 жыл бұрын

    TRA wote wezi umewaweka wezi

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza53395 жыл бұрын

    Mungu atupe nini?

  • @cleverboy3812
    @cleverboy38125 жыл бұрын

    Je ni kweli yatatekelezeka ayo yaliyoahidiwa??

  • @adrianmanja7540

    @adrianmanja7540

    5 жыл бұрын

    Fuatilia uta Pata majib

  • @catherinechifebe5800

    @catherinechifebe5800

    4 жыл бұрын

    weeeee

  • @naturelle1097

    @naturelle1097

    2 жыл бұрын

    Hadi leo hajalipwa

  • @iddybukwimba1288
    @iddybukwimba12885 жыл бұрын

    Safi sana

  • @nikhatkhan8362
    @nikhatkhan83624 жыл бұрын

    Hyo aliyosimama mweusi hata rangi ya lami inaafadhali wezi wakubwa

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma9055 жыл бұрын

    Safi sana

  • @pendogesase237

    @pendogesase237

    5 жыл бұрын

    Jamani hawa watu was tra mbona.wamemfanyia huyo MTU madudu sana hii ni aibu

Келесі