PROF.NYANDA;JE NI SAHIHI KUSIMIKA WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI?

Je ni sahihi Wanawake kusimikwa kuwa wachungaji?

Пікірлер: 8

  • @RizikiMakayaShabani
    @RizikiMakayaShabani2 күн бұрын

    Amina Amina Amina mtumishi

  • @joeljailos9846
    @joeljailos984624 күн бұрын

    Mungu akubariki sana Prof kwa presentation nzuri inaeleweka vizuri mno ..ni swala la mda tu haya mambo yatakuwa dhahili.

  • @IreneLyse
    @IreneLyse28 күн бұрын

    prof.jackson Mungu akubariki ❤ kutoka Burundi

  • @user-le1rc7oc6u
    @user-le1rc7oc6u17 күн бұрын

    Hakuna 😮😮😮😮

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni24 күн бұрын

    Mmmmh mmechanganyikiwa kutosha

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe559829 күн бұрын

    Nimebarikiwa kukuona Nyanda.Nilikuona zamani 1984 chuo Cha ualimu Tabora

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs14 күн бұрын

    Maajabu. Sasa huyu profesa wenu, amesema mungu wa kike "atemi" aliweka wanawake mbele. Mtume Paulo akayakosoa na kuweka haya ya leo katika Biblia. Swali ni je, profesa... uko wapi? Paulo yuko sawa ama "atemi"?