MUNGU WA BIBLIA NI NANI?

Join this channel to access its benefits:
/ @biblianuruyadunia

Пікірлер: 35

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia63062 ай бұрын

    Mwalimu praise God...tunasubiri mijadala..barikiwa..

  • @catherinenyokabi5746
    @catherinenyokabi57462 ай бұрын

    Pastor Ndacha MUNGU akumbariki kwa mafunzo mema ni mejifuza mambo mengi kupitia Biblia nuru ya dunia GOD BLESS this team

  • @user-cf3fe3cu8v
    @user-cf3fe3cu8v2 ай бұрын

    kwa masomo unayo toa mtumishi ni hakika Roho wa MUNGU yu ndani yako, me nakuombe Mungu azidi kukujaza hekima na maarifa.

  • @CharoKazungu-sc7qk
    @CharoKazungu-sc7qk2 ай бұрын

    Mungu akubariki ndugu

  • @mosesmuraguri6588
    @mosesmuraguri65882 ай бұрын

    Mzuri

  • @johngacheru536
    @johngacheru5362 ай бұрын

    Twende Sana mwalimu

  • @kelvinmurithi7255
    @kelvinmurithi72552 ай бұрын

    Mungu akulinde man of god

  • @user-dt5wp5qo4n
    @user-dt5wp5qo4n2 ай бұрын

    Hakika mungu wa bibilia niwaukweli na hakuna mungu mwengine barkiwa ndacha endelea kutufundisha amani ya yesu christo I've nawe na akulinde amina

  • @OmariShuli
    @OmariShuli2 ай бұрын

    Ndacha. Mtoto wa mtu ni mtu, na baba wa mtu ni mtu. ukiwaona utasema nimewaona watu wawili. Mtoto wa Mungu ni Mungu, na babaake Mungu ni Mungu. wakiketi pamoja kwenye kiti Utasema kwenye kiti kuna miungu wawili, Baba na Mtoto wake.

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba91062 ай бұрын

    Amen Barikiwa sana mwalimu Ndacha

  • @Seb_Oti
    @Seb_Oti2 ай бұрын

    Watching from nbi

  • @MidoMidomore
    @MidoMidomore2 ай бұрын

    kupewa mamlaka sio sababu Yesu awe mtoto wa Mungu,kila anachofanya ni kwa idhini ya Mungu

  • @furahag3098
    @furahag30982 ай бұрын

    Amen mwalimu ndacha god bless you

  • @user-bi1xg6og1l
    @user-bi1xg6og1l2 ай бұрын

    Hakika nikweli nani amin wala hakuna shaka ndan yako barikiwa

  • @davidimael5065
    @davidimael50652 ай бұрын

    Amina mtumishi . Naomba utuelekeze pia kwa habari ya Roho mtakatifu. Yule ambaye Kristo alisema atakuja msaidizi katika kitabu cha yohana.

  • @hannahmaina-hb4pj

    @hannahmaina-hb4pj

    2 ай бұрын

    Yeah ata mimi nangoja kusikia about holy spirit

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw2 ай бұрын

    True gospel teaching.

  • @Thruthministry
    @Thruthministry2 ай бұрын

    Mwalimu barikiwaa kwa kila kazi ake MUNGU maana umesaidia wengi sana hivyo tutazidi kusoprt kwa namna yeyote ili kazi ifike kwa wakati

  • @prfjonaslaviss5064
    @prfjonaslaviss50642 ай бұрын

    Mwalimu kuna andiko 22:13 UFUNUO Je hili andiko lina mfanya YESU kuwa Mungu BABA YAANI HUYO MMOJA?

  • @user-bi1xg6og1l
    @user-bi1xg6og1l2 ай бұрын

    Hakika usemalo nikweli nani amini

  • @mosesmuraguri6588
    @mosesmuraguri65882 ай бұрын

    Niko ndani

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c2 ай бұрын

    Fano mdogo tu wakibinadamu. Unapokua namtoto. Mmoja. Unakaanae. Wewe. Mama au baba. Mpo wa12 unapo para safari anaebaki nyumbani. Nimtoto wako.akija mgeni akamkuta mwanao. M anao lazima ampokee huyo mwanao. Namgeni atamwachia maagizo. Kwahiyo. YESU kuitwa mungu syokosa. Kwa maana asiri yake Niya mungu nimtoto wa pekee wa mungu BABA.

  • @salimchimwaga8384

    @salimchimwaga8384

    2 ай бұрын

    Hiyo ni imani ya kishirikina we uliona wapi dereva wa gari wakawa wawili au watatu tena wote wanaendesha gari kwa pamoja ???? Mwenyezimungu ni mmoja tu ndiye aliyemtuma Yesu,wala Yesu sio mwenyezimungu bali ni mtu aliyetumwa na mwenyezimungu kama walivyotumwa wengine akina Musa Ibrahim n.k.

  • @user-hr7ep8zt2r
    @user-hr7ep8zt2r2 ай бұрын

    Ile nikweli nakufwataka nikiwa Congo mjini goma ongerasana kabisa

  • @tuliaalimasi6404
    @tuliaalimasi64042 ай бұрын

    Tupo soteee

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga83842 ай бұрын

    Ati Mungu wa Bibilia ni nani😂😂😂😂 Mungu wa Bibilia ni wapagani waliotengenez hiyo Bibilia.

  • @GilesKhamis

    @GilesKhamis

    2 ай бұрын

    Mpagan ni we unaepinga Biblia,Acha mambo yako ww Baki ulivyo

  • @davidimael5065
    @davidimael50652 ай бұрын

    Swali lingine mwalimu ni hili . Katika 1 yohana 5:7. Biblia inasema kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni , Baba , na Neno , na Roho Mtakatifu na biblia inasema watatu hawa ni umoja. Je hapo fungu lina maana gani .. mtumishi wa Mungu.

  • @programminglanguagestutori9118

    @programminglanguagestutori9118

    2 ай бұрын

    Angalia maana ya jina umoja ni tofauti na mmoja

  • @davidimael5065

    @davidimael5065

    2 ай бұрын

    Anhaa lkn ina maana gani kusema hao ni umoja .? Na roho ni nan kwenye huo muunganiko kwenye hilo fungu

  • @peridamtatifikolo5469

    @peridamtatifikolo5469

    2 ай бұрын

    Aminaaaa

  • @TeshMukiri

    @TeshMukiri

    2 ай бұрын

    Slkiza roho mtakatifu sio mungu Bali ni roho na ambayo kwayo twampokea yesu ndani ya mungu

  • @OmariShuli
    @OmariShuli2 ай бұрын

    Ndacha huja tafautisha kitu hapo. ni mzigo umetoka kichwani ukaushusha mabegani. Kwa hiyo yesu ni mwana wa mungu wa kumzaa? kwa mke yupi? Mama maryam? kwa kumuoa? Bali wewe na hao wa utatu hamna tafauti ki fikra.

  • @user-cf3fe3cu8v

    @user-cf3fe3cu8v

    2 ай бұрын

    Wewe n mwislam kabsa Mungu hazai kwa mke maana yeye so binadamu

  • @OmariShuli

    @OmariShuli

    2 ай бұрын

    ​@@user-cf3fe3cu8vHiyo ni falsafa mpya mnayoileta. mchungaji wenu asema "kwa nini Yesu anaitwa Mungu ilhali yeye ni mwana wa mungu? jibu lake anasema kwa sababu ana asili ya Mungu. wewe una asili ya mtutu, umezaliwa na mtu ndo maana waitwa Mtu. Yesu, kama mnavyo dai ana asili ya mungu, basi atakuwa amezaliwa....! ndio maana aitwa mungu?!. Na kama ni kuzaliwa ki Roho kama mnavyotaka kujitetea sasa, Mbona wakristo wote mwaitwa waoto wa Mungu lkn mbona hamuitwi Miungu?

Келесі