POMBE NA UKRISTO

Пікірлер: 29

  • @harunizephania6154
    @harunizephania615425 күн бұрын

    Kama unakakuwa mtu safi usinywe pombe

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga28485 ай бұрын

    Umeeleweka vizuri mwalimu.

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi6 ай бұрын

    Waoooo Mwalimu siku fahamu Kama upo humu barkiwa 🎊🎊🎊🎊

  • @blessingbisimwajanesbisimw6966
    @blessingbisimwajanesbisimw69665 ай бұрын

    Ubarikiwe mwalimu,naona mwengi ne hapo Tanzania anajiita mzee WA upako anasema pombe sio zambi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo77023 ай бұрын

    Maanayake kama walioambiwa wasinywe pombe maana yake pombe sio nzuri

  • @user-tn9zj1oy8e
    @user-tn9zj1oy8eАй бұрын

    Mpotoshaji

  • @kalistokyando1670
    @kalistokyando16703 ай бұрын

    Ndugu yangu usipotoshe watu. Utahukumiwa. Usipotoshe watu. Acha!!!

  • @gregorymhanze
    @gregorymhanze4 ай бұрын

    Kuna sehenu ktk bilia inasema ole wao waamkao asubuhi na mapema kufata pombe /mvinyo hiyo imekaaje

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w2 ай бұрын

    Hatari wewe ! Unahatari kubwa bibiria ina makatazo mengi ya unywaji ya pombe !😢

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji654 ай бұрын

    Usipotoshe soma vizuri kwenye mvinyo hakuna utukufu ndomana kila alie pewa utumishi wa mungu aliagizwa asitumie hata mzinzi halaumiwi ila anafundishwa

  • @isayakigava9283

    @isayakigava9283

    3 ай бұрын

    Hajapotosha ila ametoa mtazamo tofauti na wa kwako,unanafasi yakutafakari zaidi kabla hujakataa au kukubaru

  • @roseombay2086
    @roseombay20866 ай бұрын

    Amina

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga28485 ай бұрын

    Rozi Mhando.kaleta agenda.

  • @servantivankibiki768

    @servantivankibiki768

    5 ай бұрын

    Kivipi Rose mwando?

  • @epifaniamilinga2848

    @epifaniamilinga2848

    5 ай бұрын

    @@servantivankibiki768 Ametoa wimbo unaohusu pombe

  • @paulndosa2649
    @paulndosa26494 ай бұрын

    Bora umekiri kuwa huo ni mtazamo wako and you stand to be corrected. Unapokuwa na Roho mtakatifu ndani yako ni udhihirisho wa kuwa unatembea na Yesu. Uko ndani ya Yesu na Yesu yuko ndani yako. Kama pombe inakuondolea Roho mtakatifu maana yake hauna Yesu ndani yako na hutembei naye na hujampokea, hivyo hauko salama kiroho. Biblia inasema wale waliompokea Yesu aliwafanya kuwa wanae. Sasa kama wewe si mwanae mbinguni utapitia mlango upi?

  • @user-oi5bi2ey2v
    @user-oi5bi2ey2v5 ай бұрын

    Tusome wagalatia 5:19-21

  • @jonamnyone8014

    @jonamnyone8014

    4 ай бұрын

    Ulevi na ulafi ni miongoni mwa matendo ya mwili. Hapa Biblia haijazungumzia kunywa pombe wala kula chakula bali ulevi na ulafi. Kunywa pombe si ulevi, vivo hivyo kula chakula si ulafi. Kunywa pombe + kula chakula kupitiliza ndio matendo ya mwili.( Wagalatia 5:19-21)

  • @user-fq3xt6fe4n
    @user-fq3xt6fe4n6 ай бұрын

    Mwalimu mwenzangu umenijibu maswali ambayo nilishindwa kuyapata na watu wote wa dini zote wameshindwa kupata majibu juu ya pombe

  • @ahmadamohamed1907

    @ahmadamohamed1907

    4 ай бұрын

    Uelewa wako ndipo ulipoishia

  • @richardmwandanji65

    @richardmwandanji65

    4 ай бұрын

    Usilewe kwa mvinyo ambamo humor Kuna uchafu vipi kamamtu anasema hiki chakula ni kichafu. Wawezakusema amekupa ule au wewe ndo umeamua ule uchafu

  • @lucaspaulo5371

    @lucaspaulo5371

    3 ай бұрын

    We ndo umefundisha vizuri mno ila walokole hawataki kusikia hivi.

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826Ай бұрын

    Samson km alikatazwa kunywa pombe ni kwasababu alikua mnaziri wamungu kutumia pombe sio zambi atakidogo

  • @NicolausMgosi-sz5qv
    @NicolausMgosi-sz5qvАй бұрын

    Basi kama SI mbaya ukitaka kunywa uwe unaiombea kama unavyoombea chakula kingine kila mtu atabeba frushi lake mwenyewe. Mungu akufunulie maana unataka kuelewa ila wagalatia 5:19-21 imekujibu

  • @hassankimaro3633
    @hassankimaro36333 ай бұрын

    Ndugu zangu kila kilichokatazwa na MUNGU huwa ni kizuri na kitamu Sana hivyo ni hiari yako kuamua kunywa pombe , kufirwa au kufira vyote hivyo vimekatazwa Ila huna haja ya kubishana we endelea aidha kuyafanya hayo au kutii maamrisho ya MUNGU

  • @JohnKapinga-wo1ow
    @JohnKapinga-wo1ow4 ай бұрын

    Wewe ndugu fundisha vizuri pombe ni dhambi

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......88913 ай бұрын

    Pombe na MUNGU haijawahi kutokea, WATU WA MUNGU WAKIWA NA NGUVU YA MUNGU(ROHO MT) HAWARUHUSIWI KUNYWA POMBE, ANYWAYE POMBE YU NA SHETANI, NUHU ALIPOLEWA POMBE HAKUSEMA TENA NA MUNGU(MWA,9:20) MNAOSALI MKIMTAKA MUNGU NA NGUVU ZAKE LAZMA UACHE POMBE, NA WATU WA SHETAN MKIMTAKA SKETANI KUNYWA POMBE. NB..TUMEUMBWA WATU WOTE TUMTUMIKIE MUNGU NA SI SHETAN......MCHUNGAJI AKO NA SHETANI LAZIMA AMSAPOTI JOKA...... POMBE NI MARUFUKU.....

  • @LearntowinLTN

    @LearntowinLTN

    2 ай бұрын

    Uko sahihi ,naomba nikuulize swali kula chakula ni dhambi au kunywa maji ni dhambi?

  • @user-eb3jk4lc4s
    @user-eb3jk4lc4s3 ай бұрын

    Kunywa pompe siyo dhambi. ila kulewa ndiyo dhambi kunatofauti ya kunywa na kulewa hata Yesu alikunywa lakini hakuwa mlevi. matayo 11:18--19.