MCH. HANANJA ATOA SOMO KUHUSU SABATO YA JUMAMOSI AUNGANA NA USTADHI DANIEL KUMPA SOMO MCH. NDACHA

MAMBO YA SABATO NA JUDAISM HAPA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AMETUELEZA KWA KIREFU UMUHIMU WA SABATO NA JINSI ILIVYO NGUMU AFRICA KUWA MSABATO

Пікірлер: 508

  • @davidndyamukama3148
    @davidndyamukama314816 күн бұрын

    Yesu alienda hekaluni na kwenye masinagogi kwa ajili ya kufuata watu ili awafundishe. Hakuna sehemu Yesu alifundisha kushika sabato.

  • @zakayomwalongo9330

    @zakayomwalongo9330

    15 күн бұрын

    soma vizur biblia yako ndugu yangu Yesu alizitunza sabato

  • @WAVELENGTH-tp1tm

    @WAVELENGTH-tp1tm

    8 күн бұрын

    Vivyo hivyo hakutufunza tufanye usagaji, je kwa nini tuukemee ikiwa Yesu hakunena lolote kuhusu ushoga?

  • @davidthomas2985

    @davidthomas2985

    8 сағат бұрын

    Marko 2:27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

  • @serongawangwejr4916
    @serongawangwejr491610 күн бұрын

    Mchungaji Hananja anajibu kijanja janja. Harejei maandiko!!!

  • @petercharles7959
    @petercharles79594 күн бұрын

    Asanteeeee sana

  • @isacklyanga5835
    @isacklyanga583516 күн бұрын

    Nzee huyu hajui Biblia,dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu

  • @timothykiptoo8166
    @timothykiptoo816611 күн бұрын

    Boiling pot of wisdom.listening from Kenya.

  • @sabatomafwele1495
    @sabatomafwele149524 күн бұрын

    Yes mwenyewe alipumzika siku ya Sabato, mitume hata baada ya ufufuo waliendelea kutunza Sabato wewe Nani alikuruhusu kubadili. Mathayo 5:17 Yesu alisema alitabadilishwa

  • @sospeterlaurent4428

    @sospeterlaurent4428

    22 күн бұрын

    Hujaelewa wapi mbona kasema ushahidi wa maandiko

  • @charlesmpambwe5055

    @charlesmpambwe5055

    15 күн бұрын

    Yesu aliuawa na washika Sabato... Sabato aliikuta na alienda kuwafuata huko ili kuwafundisha kweli na hakupumzika siku hiyo alufanyakazi kama kawaida ndio maana akaoneka siyo mtu wa Mungu kwa sababu hakuishika sabato...wakamuua...

  • @charlesmpambwe5055

    @charlesmpambwe5055

    15 күн бұрын

    Soma Mathayo 12:1-2,5,10-12,21. Marko 1:21; 2:23,24; 3:2.... Injili zote ukizisoma kwa mtizamo wa kutaka kujifunza kwa msaada wa Roho Mtakatifu utaelewa... Pumzika siku yoyote utakatifu tu Katika Kristo Yesu ndo utakaokuokoa usiende katika ziwa la moto...

  • @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    5 күн бұрын

    Mathayo 12 Wakiwa katika mashamba ya nafaka, wanafunzi walianza kukwanyua masuke: sheria ya Mungu iliruhusu, Kumbukumbu la Torati 23:25. Huu ulikuwa uandalizi mwembamba kwa Kristo na wanafunzi wake; lakini waliridhika nayo. Mafarisayo hawakugombana nao kwa sababu ya kuchukua nafaka ya mtu mwingine, bali kwa kufanya hivyo siku ya sabato. Kristo alikuja kuwaweka huru wafuasi wake, si tu kutokana na upotovu wa Mafarisayo, bali kutoka kwa kanuni zao zisizo za kimaandiko, na kuhalalisha walichofanya. aliye mkubwa zaidi hatatimizwa matamanio yao, lakini walio duni watafikiriwa mahitaji yao. Kazi hizo ni halali katika siku ya sabato ambayo ni ya lazima, na mapumziko ya sabato ni kupotoka, si kuzuia ibada ya sabato. mahitaji ya afya na chakula yanapaswa kufanywa; lakini watumishi wanapowekwa nyumbani, na familia kuwa eneo la haraka na kuchanganyikiwa katika siku ya Bwana, kuandaa karamu kwa ajili ya wageni, au kwa ajili ya anasa, kesi ni tofauti sana. mambo kama haya, na mengine mengi ya kawaida miongoni mwa maprofesa, yanapaswa kulaumiwa. Kupumzika siku ya sabato kuliwekwa kwa ajili ya wema wa mwanadamu, Kumbukumbu la Torati 5:14. Hakuna sheria lazima ieleweke ili kupingana na mwisho wake yenyewe. na kama vile Kristo ni Bwana wa sabato, inafaa siku hiyo na kazi yake inapaswa kuwekwa wakfu kwake.

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa512213 күн бұрын

    Ni ngumu sana kutetea uongo, Mungu anataka utii kwa hiyo tunfuata Mungu au maagizo ya binadamu

  • @SimionMtaki
    @SimionMtaki5 күн бұрын

    Mzee wangu hapa umezingua Penye ukwel hujitenga 😂 ukwel nao sema unapindisha IKUMBUKE SIKU YA SABATO UITAKASE 🙏

  • @OscarFrancis-mx7iy

    @OscarFrancis-mx7iy

    8 сағат бұрын

    @@SimionMtaki Hiyo ni torati ya musa ndugu...amri kumi zilizo andikwa kwa ajili ya wana wa izraeli walikuwa watukutu sio wasikivu mbele za mungu...amri kuu ya Mungu ni Upendo

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk28 күн бұрын

    Naomba muweke mdahalo na mwalimu Ndacha sio unajificha kwa kichaka

  • @zaidiissa3714

    @zaidiissa3714

    28 күн бұрын

    Huyo ndacha mwenyewe chizi Yani wakristo wote wamechanganyikiwa waisilamu wanaabudu kilasiku acheni kudanyanyana mbona mnaipenda uwongo sana kwani hamtuoni tukianda msikitini kilasiku yanikilakitu kweni niubishitu kitu mnakiona pia lakini bado tumtabusha yesu anasema yeye nimwana wa a damu nyinyi mnasema hapana wewe nimwana wa mungu kazi mnayo

  • @user-mw3oq4vz6k

    @user-mw3oq4vz6k

    27 күн бұрын

    Ndacha ndio unae mwamin sana kwamba yeye ndio anajua kula k2 acha izo ww

  • @petromachanga5538

    @petromachanga5538

    27 күн бұрын

    Ndasha chiZi

  • @Wamisangi

    @Wamisangi

    27 күн бұрын

    Ndacha anaijua kuran kwa msaada wa majini wema.

  • @user-wi8og3sv4j

    @user-wi8og3sv4j

    26 күн бұрын

    @@zaidiissa3714 kasome vizuri bibilia

  • @KOLASCLASSICDESIGNS
    @KOLASCLASSICDESIGNS25 күн бұрын

    JAMANI AMRI ZIPO 10 WATU WAMEKAMATA SABATO TU KUJIFARIJI ILA WANAZINI WAO, WANATAMANI WAKE ZA WATU WAO ILA SABATO AAAAAAH

  • @user-wg6pg9bg8v

    @user-wg6pg9bg8v

    24 күн бұрын

    Asa Kama Kuna mtu kazini japo anatunza sabato ndo wengine tuache amri ya Mungu kisa wanaoshika wanazini?

  • @zakayomwalongo9330

    @zakayomwalongo9330

    15 күн бұрын

    angalia neno la Mungu linasemaje. pia usiangalie waumini wa kisabato angalia kanisa kama mfumo linasisitiza kuazishika amri zote

  • @danielmarwa5122

    @danielmarwa5122

    13 күн бұрын

    Kwa hiyo wanaosali jumamosi wanafundisha kuvunja zingine

  • @MnadaMayonga

    @MnadaMayonga

    8 күн бұрын

    Jamani kwa yeyote aende kwenye biblia kusoma ili kujua kinachosemwa kwenye biblia imekaa vipi. Ushahidi wa kujua ukweli ni biblia tu!

  • @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    5 күн бұрын

    Mimi kwa kweli nimeenda kwenye Biblia kujua na nimekutana na hiki japo kwa udogo hivi ila kamenisaidia kumtii na kumwabudu Mungu Muumbaji. Haka hapa hebu nawe kasome katakusaidia Yohana 14:15-18; Yakobo 4:11,12,17 1Yohana 4:1

  • @ShijaPeter-fj6gk
    @ShijaPeter-fj6gk10 күн бұрын

    Huyu mzee ukimsikiliza kwa making sanaaaa anaujua ukwel kabisa na sabato anaijua lakin anayajibu maswal kijanja sana kama mnaelewa ameulizwa kuhus Constantine ame lukaluka maana ndie ibadil sheria ya mungu na amri ya nne hajibu inavyo takiwa

  • @Mpakauseme

    @Mpakauseme

    21 сағат бұрын

    wabongo wengi hamna akili , mzee amefafanua vizuri sana lakini kwasababu ya ugonjwa wenu wa akili mnashindwa kufahamu kila ufafanuzi

  • @ackimackim1880
    @ackimackim188022 күн бұрын

    UBARIKIWE HANANJA,KWA ELIMU YA JUU,VICHWA MBOVU HAWEZI KUELEWA. Marko2:28.

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Habarii usipokee tuu , hii ifanyee Ni changamoto kwakoo, Nenda kafatilie kwa Kina Kila unachokisikia hizi Ni Nyakati za hatarii usuchukulie normal haya Mambo ukalidhika , sabato haikubadilika ipo pale pale , maana Kama imebadilika Basi Mungu Ni Mwongo, maana yeyee Ndiye aliyesema 1/ Mimi so kigeugeu (Malaki3;6) 2/ Sikuja kutangua (math 5:17) 3/ Kristo Ni Yeye yule Jana ,leo, na hata Milele. 4/Yeye si mtu aseme Uongo (Hes23;19). 5/ Imani yetu kwake haivunji Sheria yake(Rumi3;31). 6/ Sabato Ni ishara Kati ya Mungu na Mwanadamu.(Yer 20;12 ,20, pia (isay58;13) 7/ Sabato limetokana na Neno Saba , sabato Ni siku ya Saba , inamaanisha Pumziko la siku ya Saba , Ni siku iliyobarikiwa na bwana, Kisha Akaamuru Watu wote wanaojiita Israeli ya Kirohoo kuitunza na Wengine wote wanaoitwa Wanadamu wanaojua wameumbwa na Mungu, pia aliitakasa yaani aliiweka wakfu kwaajiri ya Ibada na sio vinginevyo, ushadidi wa hili si Maneno Matupu Bali Mungu mwenyewe anasema haya yotee( Mwz2;2-3, pia kut20;8, isay 58:13). Sabato ikiwa Ni siku Yoyote Ni Uongo Maana kwa mfano sio rahisi kujitengea siku yako Yoyote na kuiita Jumapili watu watakushangaa, Na hiviNdivyo ilivyo hatuwezi kuhiita siku ya Saba Ni siku Yoyote ile Mbingu zinatushangaa Sana jinsi tunavyochanganywa na Mwovu kwenye haya Mambo. Mimi ukinambia nikushaurii, ntamwambia hili tu " wew Ni Mwanadamu na Mimi pia Kama wewe, Sina nnachoweza peke angu Wala wew peke Ako , Ila tu Tuombee , na kujinyenyekeza Mungu Atufundishe kutambua hila za huyu Shetani , BILA kurudi Magotini kwake kwa Unyenyekevu hatuwezi kufanikiwa Mimi Wala wewe Rafiki yangu,, Haya Ni Madogo Aliyopanga kuyafanya Shetani, Makubwa yanakuja ,yesu alishatuonya kwa ajili ya sikuzetu hizi, UKIPATA MDA ndugu soma math24 Yote, kwa tafakari na MAOMBI Mengi , Utagundua Uongo Mkubwa anaoutaka Shetani Ni kutudanganya Imani zetu ziende kando, Mungu ATUSAIDIE mpendwa, very pain nikifikilia anachokifanya Shetani, NI MUNGU TU, BILA YEYE MTIHANI NI MGUMU SANA .

  • @loycealex3475
    @loycealex34757 күн бұрын

    Hata yeye anachokiamini na mapokeo 2 . lakin hujaagizwa na Yesu umeagizwa kostantino

  • @rachelvictor1044
    @rachelvictor10449 күн бұрын

    Hio siku ya ushindi ingekuwa muhimu kuitukuza na kuishangilia basi na mitume wote wangetiana moyo kama unavyosema na kusali siku hio. Mungu akusaidie uione nuru ya kweli maana hata kwa akili ya kibinadamu tu sidhani kama mwanadamu anaruhusiwa kubadili siku ya ibada. Maana hakuna alie kama Mungu.

  • @josykogei7647
    @josykogei764726 күн бұрын

    Ukweli anasema bwana wetu YESU NDIYE BWANA wa sabato

  • @filexbenefits5612

    @filexbenefits5612

    23 күн бұрын

    Andiko?

  • @WAVELENGTH-tp1tm

    @WAVELENGTH-tp1tm

    8 күн бұрын

    kwa hivyo?

  • @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    5 күн бұрын

    Marko 2:27,28 Soma hapo rafiki.

  • @ivanbusumbiro6429
    @ivanbusumbiro642921 күн бұрын

    Mchungaji unasema tunatakiwa tujue jambo moja tu,la kutubu dhambi . kwani dhambi ni nini? Najua dhambi ni uasi wa sheria 10 za Mungu kwenye sheria hizo IPO na sabato .kwanini useme kuiba ni dhambi.

  • @memorataedson7895
    @memorataedson789525 күн бұрын

    pastor asante kwa hekima ya kuelezea mambo magumu kwa namna inayoeleweka zaidi

  • @AbdallahMpwatile
    @AbdallahMpwatile22 күн бұрын

    Nakuelewa sana mzee rich billionaire

  • @BoazJacob-y1t
    @BoazJacob-y1t14 күн бұрын

    Kwenye maana kuhusu sabato, maelezo hayo umechemka pastor Mungu akusaidie uelewe tuu

  • @user-rh4ou2kx6h
    @user-rh4ou2kx6h4 күн бұрын

    Mwanzo 2:1-2 [1]Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote. [2]Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino13027 күн бұрын

    Mch NDACHA ,tatizo la hao wahubiri feki ni shule -- Halafu wapo kwa ajili ya kutafuta kubishana --- " Hatuna muda wa kubishana " unaelewa anachosema Mch Hananja,kipokee kitakusaidia,hukielewi,kiache,endelea na msimamo wako --- Mungu ndiyo mhukumu wa haki.

  • @chillogeorge1383

    @chillogeorge1383

    26 күн бұрын

    Ndugu, sabato ni jumamosi. Hilo halina ubishi, achana na akina hananja na watumishi wote walio tayari kuusujudia utawala wa kirumi. Na ndio utakuta sikuhizi hakuna nabii wala mchungaji anaewekwa gerezani na kuuwawa kama akina Paul na Sila. Ni kwasababu wamekubali kuongea uongo ili kuufurahisha utawala wa kirumi uliokuja kubadli siku ya sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili. Siku ni muhimu mno, na ndio sababu Mungu ameagiza watu waikumbuke hio siku na waitakase. Kwanini? Kwa sababu Mungu alijua utatokea utawala utakaowaondoa watu kwenye sabato ya kweli.

  • @georgesamweli9852

    @georgesamweli9852

    26 күн бұрын

    Mungu atakuhukumu kwa neno lake lililoandikwa yaani Biblia na wala siyo mawazo ya watu.

  • @solomonmugao4733

    @solomonmugao4733

    24 күн бұрын

    Nmchungaji unapenda kutumia maandiko. Lakini umekataa Leo maandiko kabisa. Wasomee mathayi 24 sura nne kuteremka. Tena timotheo Wa pili 4 mstari Wa Kwanza hadi Tano. Lakini Leo umekataa Mada kabisa

  • @ahz6907

    @ahz6907

    23 күн бұрын

    ​@@chillogeorge1383hawa wa zama hizi sio manabii....nabii wa mwisho alikuwa muhammad kwa waislam...na yesu kwa wakristo.

  • @user-ux7kg2bw9l
    @user-ux7kg2bw9l18 күн бұрын

    MAELEZO YAKO YAMENIFANYA NIJUE SIKU YA SABATO NI JUMAMOSI AHSANTE

  • @obedkalinga9704

    @obedkalinga9704

    11 күн бұрын

    Tumia Akili zako Juma mosi maana yake ni siku ya kwanza ya juma itakuwaje ni siku ya sabato?

  • @nelsonshillah6618

    @nelsonshillah6618

    8 күн бұрын

    Wewe ndo hujui chochote hata hiyo jumapili huijui maana usingesherehekea jumapili kama isingekuwa siku ya kwanza​@@obedkalinga9704

  • @nelsonshillah6618

    @nelsonshillah6618

    8 күн бұрын

    Jibu kwa kunukuu maandiko we mzee

  • @WAVELENGTH-tp1tm

    @WAVELENGTH-tp1tm

    8 күн бұрын

    @@obedkalinga9704 🤣

  • @WAVELENGTH-tp1tm

    @WAVELENGTH-tp1tm

    8 күн бұрын

    @@obedkalinga9704 hicho kichwa kina akili ama uji?

  • @lwezaurawilliam4498
    @lwezaurawilliam449826 күн бұрын

    Swala la sabato kwenye Agano jipya ni tofauti na Agano la kale,baada ya Yesu kufufuka,mwanadamu hawezi kumpendaza Mungu kwa kufuata siku,Kila wakati ni ibada WAKOLOSAI 2:18 YOHANA 2:21-22 YEREMIA 31:31-34. WAEBRANIA 10.

  • @pascopaul909

    @pascopaul909

    22 күн бұрын

    nimekuelewa vizuri na umenisaidia sana natamani na wengine Yesu awafumbue akiri za wapate kuyaelewa na maandiko

  • @zakayomwalongo9330

    @zakayomwalongo9330

    15 күн бұрын

    kiini cha ibada kwa Mungu ni siku ya sabato

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Mwanadamu yeyote Ni hekalu la Mungu, Yani Ni nyumba aliyojenga Mungu Mwenyewe, yaani alikuumba, hivyo ndio sababu Yeye hukaa ndani yetu, isipokuwa nyumba inaweza kukaliwa na asiye na Nyumba pia(mvamizi), Ambaye Ni Shetani, Sasa suala la Maamuzi juu ya Mwenye nyumba yapo juu yake mwenyewe, isipokuwa Mungu Amesema yeyote aharibuye nay humwaribu, Hivyo Basi 1/ wew Ni hekalu, Kama Yesu tu alivyokua anajiongelea. 2/ Hilo hekalu la Mungu linamsikiliza Mungu sio vinginevyo, yaani wewe unapaswa usikilize Mungu anataka Nini. PIA, Yer31;31 , inaongelea Agano sio AMRI za Mungu Ambazo zipo tangu kuumbwa Mwanadamu alipewa Kufuata sio Agano tu, sio hivyo tu , yeremia anaongelea Agano la upatanisho wa Dhambi zetu, mfano Tulipaswa kuchinja now hatufanyi hivyo isipokuwa kwa Damu ya Yesu imekua Agano jipya la kutupatanisha na Mungu tunapovunja Amri za Mungu( yaani tunapotenda ndambi, maana "Mshahata wa dhambi Ni Mauti". Hakumaanisha "kitabu Cha Agano jipya yaani New testament Ila Anaongelea Agano yaani convenant" hivi Ni vitu viwili tofauti,, KUMBUKA TU; kitabu Cha Agano jipya na la kale Vyote kwa pamoja vinalengo Moja Vyote Ni Neno la Mungu tu la Milele, Maana Mungu Ni Mmoja na sio Kigeugeu ajigeuke Mwenyewe. Tusiache kuomba lakini tutaelewa tu mpendwaa usikate tamaa ndio safari yetu ilivyo Wala so Tambarare.

  • @ahz6907
    @ahz690723 күн бұрын

    Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote. Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc14 күн бұрын

    Yes! Akili za mwanadamu haziwezi kuchunguza Mungu!

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese27 күн бұрын

    Mungu awabariki

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh27 күн бұрын

    Ubarkiwe mchungaji sana Mungu anasikia kila siku ya mungu

  • @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    5 күн бұрын

    Mwanzo 2:1-3

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus527727 күн бұрын

    Umepoteza wengi baz.

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba42044 күн бұрын

    Pole inaonesha kabisa ujui unaye Mhubiri lakin uko sahihi maanaa unatetea ilan yako maana ulipewa udhamin wa kuwa na kanisa na hao walikupa mashart ukipinga umekwishaaa

  • @AlfaMwahasanga-j1q
    @AlfaMwahasanga-j1q23 күн бұрын

    Lakini wengi wa watumishi leo wanashughuka na kuwatia moyo watu hata kama wanaendelea na dhambi

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w27 күн бұрын

    Amina

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc14 күн бұрын

    Acheni Mungu aitwe Mungu. Waasisi wa Waadventista Wasabato Elen G. White na wenzake walitabiri Yesu kurudi miaka Mingi lakini utabiri wao ulikuwa batili. Kwahiyo tumtafute Mungu maadamu anapatikana. Kama uko kinyume na Mungu nafsi iliyoko ndani Yako itakuhukumu mara moja.

  • @LilianMbangwa
    @LilianMbangwa8 күн бұрын

    Ubarikiwe Baba Mchungaji umejibu yote vema uishi sanaa

  • @SimonGWiliam

    @SimonGWiliam

    4 күн бұрын

    @@LilianMbangwa Awp Ata Wew Umechemka

  • @mkoyitz2448
    @mkoyitz244827 күн бұрын

    Umekwama pole acha kujitetea usijifanye kumsahihisha Mungu

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    26 күн бұрын

    Siku zote ni sawa Warumi 14:5 jibu Hilo hapo usitoke povu Kwa dhehebu lako kwenye ukristo hakuna sabato siku zote ni ibada

  • @aquinomsigwa6998

    @aquinomsigwa6998

    26 күн бұрын

    Acha dhambi

  • @aquinomsigwa6998

    @aquinomsigwa6998

    26 күн бұрын

    Iabudu siku

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    25 күн бұрын

    @@aquinomsigwa6998 hachana na kuabudu siku mfate Yesu uspotee ndiomaana mlimtuumu Bwana Yesu heti amevunja sabato kwaiyo tukisema katika ukristo hakuna wasabato tupo sawa tokeni huko Kwa wapinga kristo

  • @judithminja770

    @judithminja770

    25 күн бұрын

    @@prochesernest5439 kuabudu siku tuu kuacha dhambi Aaaah

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant490222 күн бұрын

    Watu wanazingatia siku lakini ndani yao hawana wokovu ni kubishana tu

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo20315 күн бұрын

    Kuhusu Utatu Mtakatifu bado hujadadafua ipasavyo. Yesu ni Mwana milele yote. Uana wake haukuanzia kwenye umwilisho wake.

  • @JohariLozano
    @JohariLozano27 күн бұрын

    Amekubari kuwa amri ya 4 ni halali kusari jumamosi ubarikiwe hananja Mambo ya kurusha jiwe yameandikwa kitabu gani acha porojo pastor Amri ziko 10 sio 9 hananja .

  • @Wamisangi

    @Wamisangi

    27 күн бұрын

    Porojo ni kufuata dini ilioasisiwa juu ya msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya,dunia. Shetani ni Baba wauongo wote. 1Wakorintho 15:14 Kutoka 12:16:Unabii wa Siku ya kwanza ya juma. Mathayo 18:18. Jinsi unabii wa siku ya kwanza ya juma ulivyofunguliwa katika Agano Jipya. Wasaidie na wenzako kuwaeleza haya msiangamizwe na Helen White kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a.

  • @dicksonkilupa2258

    @dicksonkilupa2258

    25 күн бұрын

    SIKU ZOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU KILA MMOJA AJULIKANE KWA MUNGU ANAYEMWABUDU.

  • @fredlyimo1263
    @fredlyimo126320 күн бұрын

    Tunawahitaji sana wazee km hawa Mungu atujaalie neema hyo ishi sana na hekima nyingi mzee ananja.

  • @user-px7qw3hs2h
    @user-px7qw3hs2h23 күн бұрын

    Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran

  • @joseaugust2805
    @joseaugust280527 күн бұрын

    Hesabu 15:32-36 Mathayo 12:1-21 Wagalatia 2:1-21 Kwasababu ukimpa ndacha maandiko ya Yesu mwenyewe alieponya siku ya sabato atakujibu kwa andiko kuwa Yesu ndo bwana wa sabato ndo maana anamamlaka hayo , na atakuuliza wewe ni Yesu ?, Sasa hayo maandiko hapo juu ukisoma inagisia wanafunzi wa yesu ,. Na yesu alipokuwa ana paa akasema mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ,. Kwahiyo wafuasi wa Yesu ni wanafunzi wa yesu , Wanaotaka maandiko , sijawahi sikia mchungaji ndacha akagusa yaha maandiko , anajua tuu akiyagusa kwa namna moja au nyingine , anajua mtu akijenga hoja kwa kwa haya maandiko mchungaji mdacha hana cha kujibia haya maandiko labda hayakatae kuwa hayapo kwenye biblia

  • @mako331
    @mako33127 күн бұрын

    Mzee huwa nakuamini😂sana ulivyo muwazi ila hili la Sabato naona unamumunya maneno. Kama kuitunza sabato isingekuwa muhimu kutunzwa na watu wote duniani isingewekwa kwenye amri kumi za Mungu. Sasa unawezaje kusema tusitunze amri ya nne ya Sabato halafu useme tushike zingine. Halafu pia unakubali Sabato ya kweli ni jumamosi, jumapili iliwekwa na wanadamu fuata historia na hili ndilo litakuwa jaribu kubwa siku za usoni ukatoliki utashikana na marekani na kulazimisha watu kusali jumapili hapo ndio utaelewa

  • @sylvestercameo6263

    @sylvestercameo6263

    27 күн бұрын

    ​@@mako331 Kuhusisha Ukatoliki na Marekani ni ujinga uliyopitiliza. Marekani ni wapinzani wa Ukatoliki na kuna wakatoliki wachache sana Kanisa la wasabato ndilo lililoanzishwa Marekani na Hellen Guild White 1874, pili Marekani ni chimbuko la makanisa ya kipentekiste baada ya mkutano mkuu wa makanisa mbalimbali uliyojulikana kama assemblies of God mwaka 1960. Kwa hiyo madai yako ya kuhusisha Ukatoliki na Marekani ni uzushi, chuki uzandiki na unafiki!

  • @user-uh3eg5cj2r

    @user-uh3eg5cj2r

    27 күн бұрын

    @@mako331 lkn tukumbuke kuwa mch hananja sio kwamba a najua kila jambo Kuna mambo kibao Hana ufahamu nayo ni vzr akajenga hoja kwa maandiko asitoe falsafa tu ambazo haina maandiko!!!

  • @fredducaunt

    @fredducaunt

    27 күн бұрын

    Marekani sio dini dogo Marekani kuna waislamu Wayahudi na wakristu na wapagani Ongea hoja sio kubwabwaja

  • @AneckAdronico-p2k
    @AneckAdronico-p2k25 күн бұрын

    Somo zuri mch.

  • @rahma6189
    @rahma618925 күн бұрын

    Asante kwakutufungua Mungu akubariki

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Samahani, shituka haya Mafundisho hayakufumbui entirely, yanakufanya uwe kipofu kabisa , usiamin kachunguze Nawe pia Kama Ni kweli au laa! , Maana Shetani hutumia watu Wenye hekima wa Dunia hii wanaoaminika kuchafua jina la Bwana , Amri za Mungu Ni za Milele sio za Jana tu, Ni za Leo na kesho pia hata Milele zote

  • @BenardPaul-t4x
    @BenardPaul-t4x26 күн бұрын

    Mungu akubali mch hananja

  • @user-ov6nq2wp6w
    @user-ov6nq2wp6w20 күн бұрын

    Kabra ya kujua neno LA mungu jifunze kujua tabia za mungu la sivo tutanishana bule alisema usifanye sanamu lakin ktk sanduku la agano Kuna Sanam na nyoka wa Shaba aliagiza tule Kila mnyama mwanzo sula ya Tisa lakin badae akakaza. Kilajambo na wakat tujue kwanza tabia ya mungu.

  • @user-tr2mf3hp5s
    @user-tr2mf3hp5s22 күн бұрын

    Nakubali Sana mzee wng

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili318627 күн бұрын

    KWAIYO UMEAMUA KUVUNJA AMRI YA MUNGU? KWA NINI MSIVUNJE AMRI YA 5 YA WAESHIMU BABA NA MAMA ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUONGEZEKA. HACHENI UPOTOSHAJI MZEE

  • @sospeterlaurent4428

    @sospeterlaurent4428

    22 күн бұрын

    Hakuna amli iliyovunjwa ilabiblia imegawanyika ko jitaidi kumuelewa mzee

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk28 күн бұрын

    Mzee Bibilia haitaki kila mtu afute akilizake bali tufuate maandiko fanya mjadala nda ndacha sasa kama ni mapokei inakuwaje wote tunafuta Bibilia na iwe na maapokeo tofauti apo ujua lazima kuna wengine wanatumia maandiko vibaya

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh

    @JeanMuzaliwa-bs6qh

    28 күн бұрын

    kbs kbs umenena

  • @venancenkoronko9250

    @venancenkoronko9250

    27 күн бұрын

    Na utajuej kama unafuata kilicho sahihi?

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh

    @JeanMuzaliwa-bs6qh

    27 күн бұрын

    @@venancenkoronko9250 mm najuwa maana mm na amini biblia pekee yake

  • @MeshackMisungwi-w8q
    @MeshackMisungwi-w8q23 күн бұрын

    Pole sana mzee somo gumu kwako

  • @ScardySangah

    @ScardySangah

    18 күн бұрын

    @@MeshackMisungwi-w8q ni vigum kumuelewa mchungaji Hananja, ila ukimuelewa utauona ukweli wa hiki anachokizungumzia.

  • @RichardMachuki
    @RichardMachuki23 күн бұрын

    Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.

  • @Mchitaman-vs1lc

    @Mchitaman-vs1lc

    18 күн бұрын

    Hajawambia muach sabato ila je mnafat maandiko ya sabato ekewe kitu ndo ujibu

  • @frimatuslupimo2031

    @frimatuslupimo2031

    5 күн бұрын

    Nioneshe andiko Ibrahim akienda kusali jumamosi

  • @charlesmpambwe5055
    @charlesmpambwe505515 күн бұрын

    Mimi nakubali maelezo yake mchungaji!! Ibada ni siku zote katika roho na maisha yetu ya kila siku yanayomcha Mungu. Bwana Yesu alisema hakuja kuitangua torati bali kuikamilisha... Amri kumi za Mungu Yesu alizikamilisha kwa kuzifungamanisha kwenye amri mbili '' Kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, kwa akili yako yote na nguvu zako zote. Ya pili kumpenda jirani yako kama Kristo alivyolipenda Kanisa". Hizo amri mbili zimebeba karibu maagizo yote katika torati... Yesu ndiye aliyekuwa wa kwanza kuiharifu sabato na akasema kabisa amwaniye yeye ndiye Bwana wa sabato na atapata pumziko. Waliojifanya kwamba wanashika sabato ndio waliomuua kwa kuivunja sabato. Hivi bado tu waamini wa sabato hamshituki? Lakini mkimpokea Yesu kumruhusu afanyike Bwana na mwokozi kisha kujazwa Roho Mtakatifu atawafundisha na kuwaweka katika kweli yote hamtang'ang'ania sabato huku uovu mwingine unaendelea... Kushika siku havitatuhudhurisha mbele za Mungu kama ilivyo kwa mambo mengine ya vyakula vinavyoingia tumboni na kutoka nje kama makapi... Kuwa ndani ya Yesu ndiyo raha ya sabato Someni WaEbrania. 4:1-11 utaelewa na Mungu atusaidie sana...

  • @danielmarwa5122

    @danielmarwa5122

    13 күн бұрын

    Rudia kujifunza

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Hilo unalosema liko sawa kwamba ibada Ni Wakati Wote,: Ila ndugu, unachanganya kitu hapa, Swala la kutunza sabato na kufanya Ibada Kila Wakati Ni vitu viwili tofauti, Hivyo Mungu ATUSAIDIE tuelewe haya yafuatayo: La 1/ Sabato Ni siku ya Saba ya Juma na sio siku Yoyote( yaani sio Wakati wowote)hilo tulielewe , labda Kama pia Jumapili inaweza ikawa siku Yoyote Hilo dai lako litakua sawa. 2/Pia Neno upendo halipo bila Amri za Mungu yaani" No law No love". Kama huamini ondoa Sheria za Mungu utashuhudia Unyama wa Ajabu utakaoendelea Duniani. Namaanisha Nini Sasa! Ni kwamba Kama kweli tunaupendo tutatunza Amri za Mungu kabisa, kumbuk ( yh14;15, pia) 3/Upendo si Neno tu, Bali limebeba Sheria Ndani yake. Mfano kwenye Amri10 Tunaona upendo wako kwa Mungu(Amri ya 1-4), pia Upendo wako kwa Wanadamu wenzaka(Amri ya 5-10), Hicho ndicho alichokua anawaambia watu,na sio tunavyomaanisha , Maana tukisema hivyo tutomwona Yesu Sasa Mwongo , huu utakua Mtego wa Shetani. 4/Pia SABATO Ni Amri tu Kati ya zile 10, inapigiwa kelele tu kwa sababu imeachwa kutunzwa na Wengi ,anayevunja sabato Hana tofauti na Mwongo, na mzinzi, na mwizi , kwa sababu wote wamevunja Sheria(Yakobo), yaani wameuacha upendo, yaani Kama wewe unasaidia Wengine lakini Ni Mwizi au Mzinzi au Mwasherati wewe pia hauna upendo vilevile, hivyo Sabato haijabadilika ipo palepale . 5/HIVYO hivyo ndugu, Sabato Ni siku ya kusanyiko takatifu la bwana sio la Wanadamu, na Yeye ameamulu tujumuike Katika pumziko hili na sio kuabudu siku, Anaabudiwa Mungu aliyeagiza Hilo maana siku si kitu Katika wokovu Ila utiifu Ni muhimu, Kwa Mfano, ukiambiwa ufike kwenye interview siku ya alhamis kwa Ajili ya usahili wakazi, je! Utaenda siku hiyo au siku yoyote?, Na je!😅 ukienda siku hiyo utakua umefata siku au Maagizo ya Boss?,, NAAMINI kabisa hautafata siku Ila Maagizo ya Boss maana hata ijumaa nayo inaitwa siku ,Pia maana siku haina Madhara kwako Ila Boss ana Madhara Kwako kwa kutofika katika siku husika, hivyo hutafatima siku Ila Maagizo maana hata siku nyingine Ni siku pia, Hivyo ndivyo Mungu Anachofanya na Ndicho kinachomaanishwa. 6/ Tutegemee Neno, kwa Unyenyekevu na MAOMBI Mengii, Mungu Atatusaidia mim Na wewe , Nakutakia Siku Njema.

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba8 күн бұрын

    Ver correct🤝 ananja

  • @Ayyub_Semtawa
    @Ayyub_Semtawa27 күн бұрын

    Naamini majibu yako ndio akili yako ya mwisho kufikiria Ukiulizwa swali jibu kwa kujenga hoja yenye ushahidi wa maandiko

  • @PaulChambala
    @PaulChambala26 күн бұрын

    Mchungaji kumbuka kua ile ni amri af tumia mandiko na si kwamtazamo wako mchungaji af mchungaji kumbuka silaha ya mkristo ni mandiko na Mungu tunamjua kupitia mandiko

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh27 күн бұрын

    Amina sana

  • @PaulChambala

    @PaulChambala

    26 күн бұрын

    We nae acha uxhabiki

  • @laickwilinerd5375
    @laickwilinerd537523 күн бұрын

    Akili yako ndoimeishia hapo omba uongezewe maalifa na mungu

  • @DerickMotondi-cr7fq
    @DerickMotondi-cr7fq12 күн бұрын

    Exactly

  • @daudmasungwa1577
    @daudmasungwa15773 күн бұрын

    Soma wakolosai 2:12__16

  • @TheSabbathcalChurchKibaha
    @TheSabbathcalChurchKibaha11 күн бұрын

    MY WORD, I, YOUR HOLY GOD, LET IT REACH HUMANS EVERYWHERE IN THE WORLD All human beings, the time has reached. There was silence, but now the time has reached, a time to be open. The HOLY GOD who is up in HEAVEN is speaking in the world through his servant for many years. Don’t stay with your questions of every kind. People you are asking, what is happening? We don’t have a place to ask. There is His servant who speaks with him and has all the answers from the King of HEAVEN, the HOLY GOD. Don’t keep silent while disasters are happening in the world. There is His Seer who speaks with Him and will tell us why all these things are happening. Well, there are still many things that will happen, brought by the HOLY GOD. Don’t stay knowing that there is no prophet to ask. There is His Seer who speaks with the living HOLY GOD up in HEAVEN. Let us go and ask what is happening so that the living HOLY GOD up in HEAVEN can answer us. He speaks with the Seer, who has already been prophesied to communicate with the living HOLY GOD in HEAVEN. He has received the Good News of the Kingdom of HEAVEN, he is African who started in 1988. The Good News has arrived in Tanzania; there is a Seer who receives hymns from HEAVEN, sung by the ANGELS in HEAVEN and sung here on earth. He prays for people with various problems and casts out demons. It is necessary for everyone to come and know what the HOLY GOD is saying. location: The Sabbatical Church-Tanzania-Coast Region (Pwani)-Kibaha District -Misugusugu Ward-Vitendo Street. No. Elider’s Name Contacts 1 Adamson Mwandalima +255752092911 2 Aloyce Msilikale +255714404922 3 Peter Missana +255755536419 4 Paul Chibuga +255672562255 5 Benjamini Lawi +255784679613 6 Simeoni Joeli +255628801127 7 Daniel Kashushu +255768803430

  • @georgesamweli9852
    @georgesamweli985226 күн бұрын

    Tofauti kati ya watu wa Mungu na wasio watu wa Mungu inabainishwa na kutii neno la Mungu au kutotii neno la Mungu. Na kutotii neno la Mungu ndio dhambi yenyewe.

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa512213 күн бұрын

    Kwani dhambi maana yake nini, Biblia inasema dhambi ni uasi wa sheria. Hakuna fungu kwenye biblia linalosema kuhusu kurusha jiwe.

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji991915 күн бұрын

    Waislam WANASWALI au WANAABUDU kila Siku na sio Ijumaa tu.... Ijumaa ni Siku kubwa tu ya Ibada..

  • @user-rk6wu2gw1n
    @user-rk6wu2gw1n27 күн бұрын

    This one is a believer of sun worship(shetani)....

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi451314 күн бұрын

    Ukiona Mungu kapumzika ujuwe niwamchongo

  • @mabulageorge7942

    @mabulageorge7942

    9 күн бұрын

    sema hujaelewa alimpumzika vipi?.

  • @mabulageorge7942

    @mabulageorge7942

    9 күн бұрын

    Yeye ndo alisema alipumzika labda kama huamini Biblia ndugu

  • @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    @johncharlesmasaibenjaminsa3511

    5 күн бұрын

    Tusome hapa naona kama kuna jambo Mungu anatwambia hapa, natumai ukipasoma nawe rafiki kuna jambo utasikizishwa na Mungu. Mwanzo 2:1,2 kuna chembo/nyongeza katika Kutoka 31:17

  • @MaryBuzingo
    @MaryBuzingo27 күн бұрын

    Mzee umechemka,hiyo amri inasema mungu alistarehe,aliibariki,Sasa mbona unapingana naye,Rudi kwenye maandikoa.

  • @josykogei7647

    @josykogei7647

    26 күн бұрын

    Usimpinge hananja maandiko Inatuambia yesu NDIYE BWANA wa sabato Sasa kila siku ni siku ya MUNGU

  • @josykogei7647

    @josykogei7647

    26 күн бұрын

    Anasema ROHO ni Moja ila utendaji ni tofauti amen amen

  • @m.m.tvmbebamaono

    @m.m.tvmbebamaono

    26 күн бұрын

    Wasabato wamechemka .

  • @m.m.tvmbebamaono

    @m.m.tvmbebamaono

    26 күн бұрын

    ​@@josykogei7647wasabato wote ni vichwa maji ,

  • @davidndyamukama3148
    @davidndyamukama314816 күн бұрын

    Kasema: Utawala wa kidunia una nafasi katika mambo ya Mungu. Kataja baadhi ya mambo ya ki Mungu.

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi345927 күн бұрын

    Waislamu wanaabudu majini na Allah ni Giza sisi ni Nuru ijumaa ni yao sisi haitihusu

  • @user-wi8og3sv4j

    @user-wi8og3sv4j

    27 күн бұрын

    Ni giza kwa lugha gani?

  • @ashrafnuru6402

    @ashrafnuru6402

    27 күн бұрын

    Kafiri ni kafiri tu ndo maaana anaenda chooni na makaratasi,

  • @josephlorri431

    @josephlorri431

    26 күн бұрын

    Hata ukitawaza kwa dawa na kupiga perfume kinyeo chako..bado kitazikwa ardhini.. dini ni imani,usafi wa roho yako ndo muhimu ​@@ashrafnuru6402

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba574727 күн бұрын

    Mchungaji hananja kwa mengine uko sahihi na ndio imani yetu sisi waisilamu na hio iko sawa kabisa

  • @JeremiahMtaki-u5t
    @JeremiahMtaki-u5t14 күн бұрын

    Mungu siyo kigeugeu, malaki 3:6, yesu hakuja kutangua torati mathayo 5:17

  • @sudihammad7387
    @sudihammad73872 күн бұрын

    Poleni wakristo naona mnaunga unga tu yezu hawajui nyie woote maana hakutumwa bari kwa kabila kumi na mbili za wahahudi waliopotea pia sabato iliwagusa wavuvi na walishalaaniwa waligeuzwa manguruwe na nyani hata siku moja hawa awana uwezo wa kujitetea

  • @msemakweli243
    @msemakweli24327 күн бұрын

    Sasa hapo inabidi ujiulize wakati yesu yupo hai amri na sheria alizitii nyinyi shangwe baada ya kufufuka aingii akilini

  • @emmanuelpeter6742
    @emmanuelpeter674226 күн бұрын

    Yesu ni mwana wa Mungu, Yesu anachanzo na ndio Mzaliwa wa kwanza

  • @emmanuelpeter6742

    @emmanuelpeter6742

    26 күн бұрын

    Imeandikwa usimukumu mtu Kwa Siku chakula, mwandamo wa mwezi Wala Sabato

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza100827 күн бұрын

    Mzee Hananja umegusa pabaya. Tafuta masomo mengine. Achana na somo la Sabato

  • @fredlyimo1263

    @fredlyimo1263

    20 күн бұрын

    Acha mtazamo wa kidini

  • @fredlyimo1263

    @fredlyimo1263

    20 күн бұрын

    Mzee yuko sahihi mnaondena kwa udini ndy mnaletaga sana matatizo

  • @KelvinOmbeniMathew
    @KelvinOmbeniMathew20 күн бұрын

    Pole mchungaji kwa kupotosha, k2 kama hukijui acha kujiaibisha sabato inaanzia mwanzo hadi ufunuo we utajificha chaka la wap ,ufunuo 14,12

  • @ibrahimwigina

    @ibrahimwigina

    20 күн бұрын

    @@KelvinOmbeniMathew Kaka, usidokoe dokoe baadhi ya vifungu na kuvisimamia hivyo tu. Hakikisha unasoma Biblia yoyote, soma pia na WAKOLOSAI 2:16

  • @ibrahimwigina

    @ibrahimwigina

    20 күн бұрын

    Ndugu soma Biblia yote. WAKOLOSAI 2:16

  • @lwiticomwalukumba4148

    @lwiticomwalukumba4148

    15 күн бұрын

    amesema sawa sali unapojisikia

  • @mwlfau60
    @mwlfau602 күн бұрын

    Aise, ibada ni amri siyo kushangilia

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala23 күн бұрын

    WASABATO WANAONGOZA KUA NA ROHO MBAYA TANZANIA FANYENI UTAFTI WAO WAMESHIKA SKU TU SIO MENNGINE WANAIJUA AMRI MOJA TU

  • @zakayomwalongo9330

    @zakayomwalongo9330

    15 күн бұрын

    @@VascoKasambala ndugu ukiambiwa ukwrl ambao uko kwenyr biblia kubali kubadilika usimwambie mtu anaekwambia ukwel et ana roho mbaya. acha kufwatilia wachungaji au viongoz wa dini . ni wakati wa kurudi kwenye biblia

  • @danielmarwa5122

    @danielmarwa5122

    13 күн бұрын

    Hayo ni maneno ya chuki ukweli upo pale pale ama tii au usitii Mungu atanyosha mstari

  • @user-gg9xo8lf8w
    @user-gg9xo8lf8w17 күн бұрын

    Hatari, ati anasema wakati mwingine utawala wa dunia una nguvu kuliko utawala wa Mungu. Watu wa Mungu tuwe makinieeee.

  • @davidndyamukama3148

    @davidndyamukama3148

    16 күн бұрын

    Amesema, utawala wa kidunia una nafasi katika mambo ya Mungu

  • @WAVELENGTH-tp1tm

    @WAVELENGTH-tp1tm

    8 күн бұрын

    @@davidndyamukama3148 Sasa tuwe wasagaji kwa kuwa udunia una nafasi katika mambo ya mungu?

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat147414 күн бұрын

    Amri kumi ndo kiooo sabato ni amri ya mwenyezi Mungu siku ya jpli ni siku ya kwanza ya juma hiyo ni Biblia

  • @joseaugust2805
    @joseaugust280527 күн бұрын

    Alafu ukisoma mathayo 5 yote , utagundua Yesu kuna baadhi ya amri alikuwa anaziondoa kistyle yake , Sasa kama torati imesema jino kwa jino , yeye Yesu anakuja kutuambia mtu akikupiga shavu ili mgeusie na shavu lingine akupige maana yake nini kama sio kuondoa hiyo amri ya jino kwa jino ki style , Ndo maana. Ukisoma agano la kale lote na jipya lote , utagundua MUNGU kuna namna aliwachukulia watu wa kale wa agano la kale na kuna namna pia aliwachukulia watu wa agano jipya ,. Ila ukibaki na kukariri maandiko bila kielewa ndo unashikilia nira ngumu ya kale ,. Ndo maana Yesu alisema nira yake ni laini

  • @frankpatroba4821
    @frankpatroba482118 сағат бұрын

    Hapo umezingua kasome tena kuhusu sabato

  • @elishampoki8751
    @elishampoki875127 күн бұрын

    Wasabato wanaikosea sana siku ya sabato waliambiwa na Mungu wapumzike baada ya kufanya kazi siku sita wasabato hawapumziki ila wanakwenda kusali kwenye nyumba za ibada , hapo upumziki umeabudu ,

  • @msemakweli243

    @msemakweli243

    27 күн бұрын

    Kwenda kusali ni kufanya kazi?

  • @DannyJoseph-dr1ep

    @DannyJoseph-dr1ep

    27 күн бұрын

    Mzee unasoma maandiko nusu nusu , sabato ni siku ya kusanyiko takatifu ndio siku ya kufanya ibaada na sio kazi

  • @PaulChambala

    @PaulChambala

    26 күн бұрын

    Miongon mwawatu hawaelewi niwewe ipo iv Mungu alixema tupumzike kwakaz zetu lakin kwakaz ya Mungu tunapiga

  • @DannyJoseph-dr1ep

    @DannyJoseph-dr1ep

    26 күн бұрын

    @@PaulChambala . Mzee tofautisha kati ya kaz zako na kaz ya Mungu ,siku zote huwez kukusanyika kwa ajl ya ibada ,sasa swal kwako ni siku ipi n ya ibada na sio kaz ?

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Samahani, unaweza ukawa hauelewi vizuri hili, unapaswa kufanya Nini siku ya Sabatoo,, Pia haliitwi pumziko tu, Ila Ni Takatifu, ukipata mda soma (isay 58:13)., Mungu Akubariki ndugu

  • @DavidMujimba
    @DavidMujimba26 күн бұрын

    uko sawa mchungaji

  • @isaacwafula7792
    @isaacwafula779227 күн бұрын

    siku sio siku tu Bali kunasiku imebarikiwa kuliko zote na ni jumanozi uwezi jiwekea siku kwani ni yako mungu aeshimiwe na Sheria zifuatwe ,huyu mchungaji tunamtaka Kwa mdhalo 19-16yesu anasema ukitaka kuenda binguni lazima ushike amri,na yakobo 2,10 ukivunja Moja umezivunja zote

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on23 күн бұрын

    Nakuelewa sana

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba22 күн бұрын

    Huyo anachenga za mwili,na anaelimu ya Dunia na huyo Mungu wake tumbo.

  • @AlexMungathia
    @AlexMungathia23 күн бұрын

    Tuewe na imani moja na ubatinzo mmoja ili tuwe na mwili wa yesu

  • @lucasmaganya9628
    @lucasmaganya96285 күн бұрын

    Tuambie andiko linalosema tusali siku ya ushindi

  • @SimionMtaki

    @SimionMtaki

    5 күн бұрын

    Ukwel anao ila anapindisha maandiko 😢

  • @williamgabrielmassawe3654
    @williamgabrielmassawe365428 күн бұрын

    Mchungaji Hananja ni Mgodi unaoishi

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize492627 күн бұрын

    Kwa mara ya kwanza naona mzee wetu anapanic 😂, mzee umenikata leo😢

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele26 күн бұрын

    Hapana umekosea mwanadam hatakiwi kufuata yakwake bali mwanadam afuate alichosema mungu kama mwanadam anafuata cha kwake smpotea na ibade yake ni bure mathayo 15:8_9

  • @nordiccomputers7565
    @nordiccomputers75659 күн бұрын

    Siku jumapili itakapolazimishwa kisheria ndo mtajua si ya Mungu

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa512213 күн бұрын

    Hilo fungu la kurusha jiwe lipo kitabu gani, Na dhambi maana yaje ni uvunjifu wa sheria amri ya nne ni sawa na amri ya sita iweje useme huwezi kwenda jehanamu kwa kutoitii amri ya nne ila ukivunja ya sita dhambi, mzee anajichanganya. Sababu nyingi ukweli upo pale pale

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige14 күн бұрын

    Tufuate Biblia inavyosema,Ni kweli kabisa Sabato haimpeleki mtu mbinguni,lakini Mungu aliweka Sabato kwa ajili Wanadamu,Yesu alipumzika cku ya Sabato,mitume wote,waliingia katika sinagogi cku ya Saba,Hananja anajifaliji tu tu

  • @MbendaHalfan
    @MbendaHalfan26 күн бұрын

    Wakristo wanaabudu masanamu,waislam wanamwabu mwenyezi Mungu mmoja tu na wanamwabudu kila siku siyo siku moja tu,lazima uelewe we katili uliosema waislam wanaabudu majini pumbavuuuu

  • @kambaragemuya8167
    @kambaragemuya816727 күн бұрын

    Ukifuata maandiko, hakuna aliyekuwepo wkt dunia uumbaji, wala kalenda hazikuwepo, kwa hiyo majina ya siku yametungwa hivi karibuni na siku za mwaka zimekuwa established juzijuzi, hivyo siku yoyote inaweza kuwa siku ya saba, huko nyuma kulikuwa hakuna week wala mwezi, ilikuwa majira tu!

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Kweli kabisa , Ila Mungu alikua Na majina ya Siku, soma mwanz 1 Yote utayaona majina ya Siku, Nayo Ni ; siku ya 1. ,2,3,4,5,6na 7, Ila ukitaka Kujua siku ya kwanza Ni ipi KUMBUKA haya Matukio Mawili 1/Yesu alikufa lini.? 2/Yesu alifufuka siku gani? (Luka23;54, pia luka24;1-2), Hapo Itakua rahisi wew kuelewa Siku Kama Biblia inavyosomeka.

  • @PASKALILUANDA

    @PASKALILUANDA

    6 күн бұрын

    Usiache Kumwomba Mungu akusaidie kuelewa..

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc14 күн бұрын

    Nimekuelewa kabisa mchungaji Hananja.

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro653327 күн бұрын

    Wewe potosha wenye hawajui maandiko

  • @denismugisha2

    @denismugisha2

    24 күн бұрын

    Haya twambie wewe unayesoma na kujua neno, mitume walisali sabato ipi na wapi baada ya BWANA kufufuka na kupaa mbinguni

  • @petercharles7959

    @petercharles7959

    4 күн бұрын

    Jaa Roho Mtakatifu Akufundishe mengi

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna81221 күн бұрын

    Neno la Mungu linasema kuwa kile mtakachobadilisha duniani kitabadilishwa na mbinguni.

  • @zakayomwalongo9330

    @zakayomwalongo9330

    15 күн бұрын

    tuache kutafsiri biblia kwa mitazamo yetu wenyewe. yesu alishuka kwetu na akaishi miaka zaidi ya miaka 30 akini amna sehemu Yesu alibatilisha sabato. huo ni mpango ulifanywa na wanadamu wenye dhamiri zao wenyew

  • @erastuskajuna812

    @erastuskajuna812

    13 күн бұрын

    ​@@zakayomwalongo9330Yesu ametupa mamlaka ya kufunga na kufungua na mbingu zikaafiki. Saba to ilirekebishwa kwa amri hiyo. Anayependa kuabudu jumamosi hazuiliwi na anayetaka kuabudu siku yoyote hazuiliwi. Mamlaka ya kufunga na kufungua tulipewa na tukiitumia mbingu zikaafiki. Mungu alisema kesheni na ombeni wakati wowote! Kinachotakiwa ni roho ya kuomba siyo siku ya kuomba

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m27 күн бұрын

    Ubalikiwe mtumishi

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama274617 күн бұрын

    Umuhimu nikujikumbusha kufufuka kwa Yesu sio jumamosi jameni. Mchungaji uko sahihi kabisa

Келесі