MKANDARASI ANUSURIKA KICHAPO KWA KUMDANGANYA WAZIRI AWESO, WANANCHI WACHARUKA "HUYU TUACHIE SISI".

Пікірлер: 284

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Жыл бұрын

    Wangekuwa mawaziri wote kama huyu,hii nchi ingekuwa mbali Sana, RIP JPM

  • @thomastemu3332

    @thomastemu3332

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Жыл бұрын

    Kwa moyo wa thati kabisa ninaomba huyu Waziri Mungu amlinde ktk Kazi yake hii, Ndio faida ya kuwapa vijana madaraka, Angekuwa ni mzee siamini km angetembea umbali huo, Nammpongeza Sana Sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉.

  • @allychapa155
    @allychapa155 Жыл бұрын

    Allah akujalie kila la heri mh Aweso aki ya mungu umeniliza Leo unafanya kazi kubwa sana pia hongera Millard Ayo mungu akubriki Sana

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 Жыл бұрын

    Nchi hii Ina Aweso na Bashe Hawa jamaa ni watu aiseeee na wanajua majukumu yao

  • @ashelimwamlima602

    @ashelimwamlima602

    3 ай бұрын

    Kuna yule slaa na yuko vzr sana

  • @asantechota8974
    @asantechota8974 Жыл бұрын

    Hawa ndio mawaziri vijana tunaowataka na kazi inafanyika hongera kwa Samia haya ni matunda ya kuwaamini vijana Aweso safi kazi iendeleee

  • @RaymondElisha-pu9dz
    @RaymondElisha-pu9dz2 ай бұрын

    Kwa stairi hiyo waziri nimeipenda chapa kazi kaka mungu yu pamoja nawe

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 Жыл бұрын

    Maoni yangu mh Aweso roho ya utu ya Magufuri inafanya kazi ndani yake.Mungu ambariki

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs Жыл бұрын

    Big up,keep it up Aweso!💪

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Жыл бұрын

    Yupo vizuri sana aweso yupo vizuri sana KAZI mzuri sana mungu aendelee kukusimamia.

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын

    Huu waziri anafaa kabisa Tanzania 🇹🇿 tungepata 100 kama huyu ujanja ujanja usingekuwepo

  • @user-gn7rs8li8e
    @user-gn7rs8li8e9 ай бұрын

    Mungu akupe maisha marefu kwa kuwajali wanyonge

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Жыл бұрын

    Hawa ndio mawaziri watu kazi bhana safi sana Uweso

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Жыл бұрын

    hongera mweshimiwa awesu unanikumbusha mbali sana wewe ni kiongozi sio mwanasiasa.

  • @johnfue2387
    @johnfue2387 Жыл бұрын

    Amefanya Magufurification, anastahili pongezi. Kazi njema sana kwa Waziri Aweso

  • @allymoshi2053
    @allymoshi2053 Жыл бұрын

    Htr wako spidi kama kiongozi wa mbio za mwenge wa 2022 ila kazi nzuri ya ufuatiliaji big up minister

  • @vuaivuai9005
    @vuaivuai9005 Жыл бұрын

    Hongera muheshimiwa waziri huwa ndo ufanyaji kazi

  • @lailalaila8206
    @lailalaila820611 ай бұрын

    Hongera sana my bro huwesu mungu akusimamie kwa kaz zako tungekuwa na mawazir10r nch ingesonga

  • @jeromepetrododomatunawapat3654
    @jeromepetrododomatunawapat36549 ай бұрын

    Hongera mh. Awesome kwakukagua miradi ya maji.

  • @fambemwanga8401
    @fambemwanga8401 Жыл бұрын

    Namshukuru sana mwenyezi mungu kutupa waziri mchapakazi kama aweso..

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 Жыл бұрын

    Safi sana waziri chapa kazi

  • @SongilGook-ei2my
    @SongilGook-ei2my Жыл бұрын

    Na wezi wa fedha za uma wangekuwa wanashughulikiwa hivi daaah yani nchi ingekuwa imenyooka mpk co poa

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 Жыл бұрын

    Mkandarasi anatembea kama Jonas Savimbi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @richardchimba3800

    @richardchimba3800

    Жыл бұрын

    Savimbi

  • @TM.Sullusi

    @TM.Sullusi

    Жыл бұрын

    😄😄

  • @issashekh4726

    @issashekh4726

    Жыл бұрын

    😂

  • @mohamedwwnurumasagcom8171
    @mohamedwwnurumasagcom8171 Жыл бұрын

    Hongera Aweso watanzania tunakuona wewe ni jembe katika kazi

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 Жыл бұрын

    😂😂😂 Mh. umetisha sana. Kutembea umbali wote huo so mchezo!

  • @thomasmakweta3860
    @thomasmakweta3860 Жыл бұрын

    Mungu akujalie waziri

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 Жыл бұрын

    Huyo Mgambo atae jaribu nishika kwenye mkundu Walah ntamgonga ngumi wataniua iyo siku

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Жыл бұрын

    KWANI HAWA JAMAA HUWA WANACHUKULIWA ATUA GANI....!?? MBONA HUWA SIPATI FEEDBACK ZAO

  • @Joseph-tm1ri
    @Joseph-tm1ri13 күн бұрын

    Aweso👍

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima92314 ай бұрын

    safi sana uwesu

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 Жыл бұрын

    Akuuh, 😂😂 mimi sio mkandarasi

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 Жыл бұрын

    Uwesso munguakubariki sana

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin356311 ай бұрын

    Mkandalasi fyekelea mbali. Sukuma ndani

  • @salamanhonya9677
    @salamanhonya967711 ай бұрын

    Hii ndo serikali ya Awamu ya Sita. Mama Samia Nakupenda Sanaa wewe na serikali Yako. !!

  • @revocatusbarnaba1491
    @revocatusbarnaba1491 Жыл бұрын

    Ee bhana maji hamuna.

  • @salamanhonya9677
    @salamanhonya967711 ай бұрын

    Hongera sana waziri Tanzania tunataka viongozi kama wewe. Inafurahisha.

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Жыл бұрын

    Huyo mwamba mda mrefu sijamsikia aissssseeee yupo vizuri mnooooo

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda Жыл бұрын

    Dah watu hawana huruma! Wanamdanganya hadi Aweso! 😂

  • @aishachambo8663

    @aishachambo8663

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @rithadonatus8110

    @rithadonatus8110

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @priscamrekoni3451

    @priscamrekoni3451

    Жыл бұрын

    😹😹😹😹

  • @g.karathaofficial666
    @g.karathaofficial666 Жыл бұрын

    Kuna mtawala na kiongozi.Bali wewe ni kiongozi,Mama angepata majembe kama haya daaah Tanzania 🇹🇿 ingekuwa moto mkubwa ambao hauzimiki. God bless U.

  • @sekishafii3896
    @sekishafii3896 Жыл бұрын

    Safi Sana kijana wetu fanyakazi waone mtunda yako yakuzaliwa tanzania

  • @jambo3751

    @jambo3751

    Жыл бұрын

    Mkandarasi amesahau vituo alivyotengeza 😂😂

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    ​@@jambo3751SIO KASAHAU HAVIJUWI VILIPO 😂😂😂😂😂 TOKA 2020 MIAKA 3 HAJUWI VILIPO 😂😂😂😂

  • @rezegerezege691

    @rezegerezege691

    Жыл бұрын

    @@jambo3751 😂😂😂🤗🤔inakera sana

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 Жыл бұрын

    He hapa tupo na mh waziri tumetoka kuangalia maji, "Heeee bwana maji hamna....... Hahahaaa......

  • @aminamjema-kf7qr
    @aminamjema-kf7qr Жыл бұрын

    Wangefatilia miradi yote na pia kufilusiwa wangejirekebisha na maisha yangebadilika

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt19 күн бұрын

    Safii sana mtoto wa mzee aweso walizaniumelala haahaha

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles57913 ай бұрын

    Tunaitaji viongozi waadilifu kama juma aweso kwa kazi hii,natumai hata baada ya uchaguzi kazi itaendelea hivi hivi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Жыл бұрын

    Safi sana chapeni,wanatusumbua sn.

  • @jonassumari8974
    @jonassumari8974 Жыл бұрын

    Tunaomba na wilaya meru kata ya Nkoaranga kijiji cha Nshup Mweshimiwa waziri ufike kuna mradi kichefuchefu unakera na majibu hatuna miaka mingi

  • @joshmsojo3069
    @joshmsojo3069 Жыл бұрын

    Aweso apewe shamba lake la maua mapema,ni role model wa mawaziri wote,namtabiria kuwa PM ajaye

  • @sein.208
    @sein.208 Жыл бұрын

    Ata huyo anayesema waondoke kwenye kata yake anatakiwa yy pia aondokeeeee ,kwann hakufatilia

  • @aminamjema-kf7qr
    @aminamjema-kf7qr Жыл бұрын

    Big up diwani

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Жыл бұрын

    Jino kwa jino

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 Жыл бұрын

    Mh Aweso umefanya poa. Iyo ndio falsafa ya uwongozi ni dhamana

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Жыл бұрын

    Hapo ndio pale tunaposema wakandarasi wazawa mnatuangusha hamuminiki na mnatuvunja moyo sana. hivi mlisomeshwa kweli kwa fedha za umma? mbona uadilifu wenu ni finyu sana

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig

    @JosephBWAGIZO-fs5ig

    11 ай бұрын

    Wakipewa wageni wanalalamika

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 Жыл бұрын

    Inasikitisha sana bora angekuwa mkweli na kumsumbua waziri jamani

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Жыл бұрын

    Duh angesema tu ukweli jamani hawa ndowanaharibu nchi sio kidogo

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji42425 ай бұрын

    Aweso pambana watanzania wako nyuma yako simamia haki za watanzania,mungu atakulipa

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Жыл бұрын

    Hivi vitu kma hivi anavyofanya aweso avihitaji kwenda arusha kufundishwa na kuaribu ela za walipa kodi ni mtu anazaliwa na ukarimu wa mtu na alivyolelewa na wazazi wke.

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Жыл бұрын

    😂😂😂😂mzee baba,amechoka kudanganywa leo ni mwendo wa jeshi tu😂😂

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Жыл бұрын

    duh ! hii nchi ni shida sana .

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Жыл бұрын

    Ndiyoooo baba aweso 😅 Chaos kazi mwanangu

  • @ashelimwamlima602
    @ashelimwamlima6023 ай бұрын

    MBONA ASKARI NI WACHACHE N NIMSAFARA WA WAZIRI kbsaa

  • @salimumpoma8393
    @salimumpoma83932 ай бұрын

    Mama Samia upooo/ooo

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Жыл бұрын

    That's why rais mama samia anapenda huyu jama Hana uzembe

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani576011 ай бұрын

    Naomba kurud Tanzania uku nilipo nakuona kumelala sana

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Жыл бұрын

    Huyu ndiye mtu pekee anayepiga kazi Kwa bidii awamu hii..Mungu akutangulie

  • @fundiwawilaya8147

    @fundiwawilaya8147

    Жыл бұрын

    wako wawili tu na bashe

  • @rusanzurubigo1103
    @rusanzurubigo1103 Жыл бұрын

    Hakika,hiyo ndio maana halisi ya kuwatumikia WANANCHI,unafanya MAKUBWA lakini hujivuni,Asante sana.

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 Жыл бұрын

    Mmmmm hiyo kali

  • @onesmowilfred7523
    @onesmowilfred7523 Жыл бұрын

    Kampeni ya kumtua mama ndoo kichwani bado haijafanikiwa kama waziri anatakaka kufikia lengo ,kazi aliyoianza isiishie hapo

  • @elishajoshua4892
    @elishajoshua4892 Жыл бұрын

    Watanzania wanaumizwa, hawana tu viongozi wakutosha wa aina hii. Tanzania 🇹🇿 yangu!😣

  • @user-vh3yh2ec8r
    @user-vh3yh2ec8r10 ай бұрын

    Nakuaminia bb❤

  • @neemayamungu9537
    @neemayamungu9537 Жыл бұрын

    Kulikon tenaaa😮😮😮

  • @froma3732
    @froma3732 Жыл бұрын

    Hii miji miakaa 60 toka wapate Uhuru hawana Maji leo miaka 2 ya Uwogozi wa Mzazibar wanatarajia kupata

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s4 ай бұрын

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WANYUMBA ZA WATU DAR

  • @user-mb2dy1cp7v
    @user-mb2dy1cp7v Жыл бұрын

    Waziri Amechafukaa😅😅 vumbi nyong'o nyong'o 😂😂

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Жыл бұрын

    Yaani hadi waziri anadanganywa jamani😂😂😂😂

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Жыл бұрын

    😂😂😂Safi sana magufuli ndo aliiweza inchi na hii mijizi inayojaza matumbo yao Allah tupe maguful nwingine awanyooshe wezi wa mali za uma mbutueni kweli nyau uyo😅😅😅chocho kwa chocho😅😅😅

  • @idrisakassim3533
    @idrisakassim3533 Жыл бұрын

    Ila hii nchi daah watu hawafanyi kazi bila kusimamuwa

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Жыл бұрын

    Safi sana😂😂😂

  • @JohnGyunda
    @JohnGyunda Жыл бұрын

    Jamaangu magesa elieza na vjana wengine wamekutia ndimu

  • @joojombi2341
    @joojombi234111 ай бұрын

    Wesha piga pesa hao makosa wasimamizi hawakua na wazalendo mhandisi nae rushwa tupu mkandarasi alipe tu pesa this is very bad. Wapigaji wengi tu Tzd

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 Жыл бұрын

    Nimeipenda sanahii

  • @jackmabirangacharles9398

    @jackmabirangacharles9398

    Жыл бұрын

    Safi sana Waziri Kwa Majukumu Mazuri kaka

  • @yohanasiminzile2096
    @yohanasiminzile209611 ай бұрын

    Nchi hii raha sana mpaka wanafunzi wadogo wapo kwenye ukaguzi wa mradi uzalendo mkubwa sana wanajifunza, mawaziri wamuige mwenzao Aweso wakifanya hivi wote mama yetu Rais ataongoza kwa raha sana, lakini sasa wengine WANAZINGUA sana HONGERA AWESO

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Жыл бұрын

    Anatakiwa akimaliza mambo ya maji tu mweshimiwa awesu.Apelekwe ktk wizara zile korofi nako akawanyooshe wakae ktk mstari wale wababaifu na watakao fanya kazi kimazoea.

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Жыл бұрын

    ila hapa ningeshauri jambo. kiukweli watu wa maji kwenye wilaya wako huru mno, hawana kamati za manunuzi ( bodi za zabuni), wala wakaguzi wa ndani Nashauri kama ingefaa Mh. Waziri Miradi hii ipitishwe kwenye Baraza la madiwani, Halmashauri zihusishwe kwa kutoa bodi ya zabuni na wakaguzi wa ndani ambao wawe wanatoa ripoti maalumu za kila robo mwaka ambazo zijadiliwe kwenye mabaraza ya madiwani na kisha wizara ichukue hatua stahiki

  • @jacksonndaletian265

    @jacksonndaletian265

    Жыл бұрын

    WA

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 Жыл бұрын

    Uwesooooooo. Safisana

  • @felixsolomon6293
    @felixsolomon6293 Жыл бұрын

    Huyo jamaa anayeongea na simu kanichekesha eti hapa niko na mkuu tunaenda kuangalia maji😅😂😂😂😂

  • @ErnestSaimon
    @ErnestSaimon8 күн бұрын

    Muje bariad upepo tu bili inasoma bili nikkubwa

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle9 ай бұрын

    Hata aibu halina linamdaanganya waziri jamani hili li baba ndevu tu akili hamna

  • @tanzaleo8670
    @tanzaleo8670 Жыл бұрын

    waha wenzangu wamekomaa dah😂

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 Жыл бұрын

    Hahahaaaa,asee huyo mkandaras kwanza nampa hongera kitendo cha kuupeleka umati wote huo wa watu sehem isiyojulikana na anajua kabisa hamna vituo vya maji unahitajika ujasiri ambao sio wa kawaida

  • @samuelmwangu3301

    @samuelmwangu3301

    Жыл бұрын

    Jamaa kachanganyikiwa, 😂alijua waziri hatahairisha ukaguzi

  • @charesslutandula2459

    @charesslutandula2459

    Жыл бұрын

    Huyo mhandisi alidanganya kutokunywa uwesso hadanganyiki akasemamguukwamguu kukagua chezeaUwesso wewe

  • @user-xg8mt1mh7v

    @user-xg8mt1mh7v

    Жыл бұрын

    Alipaniki

  • @bernadetamodest6170

    @bernadetamodest6170

    Жыл бұрын

    Nimecheka hadi machoz yananitoka

  • @bernadetamodest6170

    @bernadetamodest6170

    Жыл бұрын

    Na kweli kanusurika kipigo

  • @williammbuli4583
    @williammbuli4583 Жыл бұрын

    Sijawahi kucoment ilaleo nacoment MH Waziri Aweso MUNGU akutunze nakosa la kuongeaa Kwa uchapakazi wako mzuriii. Tunakuombea heri MUNGU akumbuke alama zako. Ameni!!!

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti237011 ай бұрын

    Watu kama Hawa Mama Kila mtu atampigia kura. Hii nchi ni shamba la bibi.

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 Жыл бұрын

    Haaaaahaaaaa daaaah nimecheka

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Жыл бұрын

    Huyo bonge kama vituo anavifaham mbona hajawaelekeza mwanzo

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Жыл бұрын

    Kwahy sasa maji yapo na watu wamepiga pesa ama

  • @hamisiyusufu1101
    @hamisiyusufu1101 Жыл бұрын

    Waziri nakuomba uende kigoma vijijini Kyle ndo kuna shida ya maji miaka yote..wananchi wanateseka mno mno

  • @georgedaniel4962

    @georgedaniel4962

    Жыл бұрын

    Sio vijijini nenda kigoma mjini ndoo shida zaidi na wanazungukwa na ziwa.

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын

    Iyo inaitwa nyayo kwa nyayo

  • @stellajoseph9334

    @stellajoseph9334

    Жыл бұрын

    😂😂😂 mguu kwa mguu, nyayo kwa nyayo

  • @user-mb2dy1cp7v
    @user-mb2dy1cp7v Жыл бұрын

    Duuuh! AWESSOooo!!😅😅🙌👏👍

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 Жыл бұрын

    Mdogo wangu Aweso kz unayooo.

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias13393 ай бұрын

    Awesu komesha ya wababaishaji😂

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 Жыл бұрын

    *Tanzania yenyewe inahitaji viongozi wa namna hii maana tukiendekeza kubembelezana ubadhirifu wa mali za umma hautaisha*

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 Жыл бұрын

    Uwesooooooo hakika nakukubali

Келесі