MAKONGORO AMVUNJA MBAVU RAISI MWINYI adai RAIS MWINYI Mambo yamemnyookea LAKINI YEYE BADO MAUZAUZA
MAKONGORO AMVUNJA MBAVU RAISI MWINYI adai RAIS MWINYI Mambo yamemnyookea LAKINI YEYE BADO MAUZAUZA
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Пікірлер: 36
Huyu jamaa UNAWEZA Mwanzoni usimwelewe haraka POINT ZAKE ukadhani anaropoka Lakini ukiwa MTU MAKINI utagundua kuna angalau kimoja cha MAANA .
@mdigokhan8227
Жыл бұрын
Kabisaaa...Akili mingi sana
@SamsonMadindaa
3 ай бұрын
Lol😊
Ila huyu jamaa Mungu kampa roho nyeupe.. Sidhan kama anakasirikaga aisee... Hii is funny man
Makongoro hoyee Mwalimu Nyerere hoyee!
Mama maria amevishwa miwani ya bodaboda,hii nchi ina vijana wa hovyo sana🤣
@machachehardware5975
Жыл бұрын
🤣🤣🤣😳
@PatrickChendela-qe4sz
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@thomasmartinez786
10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaah ila ww
@muzikimtamumtakatifu897
5 ай бұрын
😂😂😂😂
Nimecheka Tena Yana mauza uza
Anacheka kama mzee wake😊
Mungu azidi kukuinua...
Noma sana
Tanzania Raha sana aman na upendo vidumu
Ndugu Lijenje wapi wenzie wametoka jela na mbowe vibaya ivo ndugu watanzania
rahisi mwinyi apewe tanzania
Mauzauza ooyeeeh, mh! Nina shida nahili neno.
Kuna siku ndani ya nchi hii Burito chiefdom itamleta raisi Tena.
Unanimaliz sana anapocheka na yy hua makongoro😅😅😅😅
Indonesia🇮🇩🇮🇩🇮🇩
@zuhuramuhanga5400
Жыл бұрын
Karibu Yanzania
Baba nakukubali sana
Mtoto wa Simba naye Simba
Mauza uza hoyeee😂😂😂😂
😂😂 mauzauza oyeee
Mauzauza oyeeee
ukwel
Nimecheka kwa sauti 😂😂 Mauza uza Oyeeeeeeee
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Makongolo unavitu ase
@gracemwakibolwa7910
2 жыл бұрын
Kweli Makongolo una vituko nimecheka sana yaani.mwenzio yamemyookea wee mauza uza hahahaa
Mbona kafanana na mboe
X
😂😂