MAGONJWA YA MAHARAGE NA TIBA ZAKE

Magonjwa Katika zao la maharage ni changamoto kwa wakulima. Katika kilimo cha maharange Ili upate mavuno mengi ya kupasa kudhibiti magonjwa. Ukungu, unjano na wadudu mbalimbali uwa athari kubwa sana.
#kikimochatangawizi#tangawizi#kilimo
✍️Jifunze zaidi kuhusu kilimo cha maharage. Jinsi ya kupanda,mbolea na mavuno ya zao hili. Bonyeza apa
• Kilimo cha maharage

Пікірлер: 54

  • @AndrewGasper-or4sd
    @AndrewGasper-or4sd3 ай бұрын

    Msaada naomba kujuwa ni wadudu gn Wanao shambulia Jani la harage kwa kukata na kutoboa kama ulivyo onyesha kwenye video hpo

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 ай бұрын

    Jina La mdudu au

  • @davidletee
    @davidletee2 ай бұрын

    Nidawa ipi au Gani hutibu na kuthibiti wadudu wanao tobowa majani ya maharage?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 ай бұрын

    Tembelea duka LA kilimo utapata dawa, waliyo nayo ndugu

  • @asaakaim
    @asaakaim Жыл бұрын

    Mm nahitaji mbegu mzuri ya maharage

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Zipo dukani ndugu

  • @NelsonLunyungu
    @NelsonLunyungu2 ай бұрын

    sijaelewa vizur kwenye myauko ni dawa gan nitumie

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 ай бұрын

    Apo HADI dukani ndugu WATAKUPA dawa waliyonayo

  • @martineopapa7383
    @martineopapa7383 Жыл бұрын

    Bro kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya.mimi ni mkulima wa maharage ya kumwagilia,changamoto ni kuwa nikimwagilia maharage huwa yanaanza kunyauka huku yakionyesha dalili ya kuoza mizizi na shina kwa chini yaani karibu na mizizi,namba msaada wako

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Tupo pamoja ndugu.shida ipo kwenye shamba lilikua Lina wadudu.apo ni dawa upige

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 Жыл бұрын

    Naomba Dawa hiyo jiana lake la dawa

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Dawa ya UGONJWA Gani apo maana magonjwa ni MENGI tumetaja

  • @oriethkimaro333

    @oriethkimaro333

    Жыл бұрын

    Majani kutobolewa pamoja na maharage yanatobolewa yanapo Anza kutoa matunda nipigie Dawa gani?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Zipo NYINGI SANA ndugu Cha KUFANYA tembelea duka la pembe jeo watakupa waliyo na yo ndugu

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo71216 ай бұрын

    Shida kuongea sana

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    6 ай бұрын

    Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️

  • @user-il6ni4ug1b
    @user-il6ni4ug1b6 ай бұрын

    Kwakweli mnamafunzo ambayo yanatusaidia sana sisi wakulima. Ninaomba ushauri, mazingira niliyopo hakuna mbegu za maharage zilizothibitishwa. Nilikuwa ninaomba ushauri KATI YA MBEGU KUUKUU NA MPYA ZIPI NI BORA KWA KUPANDIA?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    6 ай бұрын

    Barikiwa Sana ndugu nahisi tumeshawasiliana

  • @asaakaim
    @asaakaim Жыл бұрын

    Udongo wa tope na mfinyazi maharage yanakubali?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Yes ni mzuri pia ila kumbuka kuweka mbolea

  • @asaakaim

    @asaakaim

    Жыл бұрын

    Mbolea ya kupndia au ya kukuzia?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Aina zote za mbolea

  • @myoungbrother2872
    @myoungbrother28726 ай бұрын

    Nitumie dawa gani kupalilia maharage

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    6 ай бұрын

    Zipo nyingi Sana ndugu apo tembelea duka LA Pembe jeo WATAKUPA waliyonayo

  • @JosephKadeha-gm5ut
    @JosephKadeha-gm5ut Жыл бұрын

    Eka ya maharage hutoa gunia ngapi

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Zaidi ya gunia 10 utegemea na matunzo yako na ubora w shamba na Hali ya hewa pia

  • @JosephKadeha-gm5ut

    @JosephKadeha-gm5ut

    Жыл бұрын

    @@AGALUSTV vp kuhusu dawa nidawa gani ni ya mala kw mala

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Dawa za ukungu, na wadudu kama Kuna barid

  • @asaakaim
    @asaakaim Жыл бұрын

    Maharage yangu mvua nyingi sana majani yanapiga njano

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Piga mbolea ya maji

  • @asaakaim

    @asaakaim

    Жыл бұрын

    Nishapiga marambili buster

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Ishu ipo kwenye udongo mbolea imepotea na Mvua. Ni zao gani kwanza

  • @asaakaim

    @asaakaim

    Жыл бұрын

    Udongo wa mfinyazi

  • @asaakaim

    @asaakaim

    Жыл бұрын

    Maharage

  • @cosmaslisu837
    @cosmaslisu8372 жыл бұрын

    Vp kilimo Cha nyanya

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Unahitaji Kujua nini kwenye kilimo cha Nyanya masomo yapo kwenye Channel hii mengi tu mfano magonjwa ya nyanya n. K video ni Zipo apa kzread.info/head/PL8xez8Eh4s0H7UnL1W2MsOqohuc0owITS

  • @cosmaslisu837

    @cosmaslisu837

    2 жыл бұрын

    @@AGALUSTV sumu za kuua wadudu wanaoshambulia nyanya Kama vile vipepeo

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    OK Zipo nyingi ndugu. Pia Kuna vipila au Raba pia Zipo Kaz ya hivi viraba vinakusanya vipepeo vya karibu na kuviua. Ushauri ndugu Chek Duka la pembe jeo lililokaribu ndugu🙏🏿🙏🏿

  • @cosmaslisu837

    @cosmaslisu837

    2 жыл бұрын

    Vp kuhusu mbegu zinazofanya vizuri za nyanya au tuseme Aina gan za mbegu zinazofanya vizuri?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Mbegu hutegemea na msimu,yaani mvua nyingi au kiangaz, pia eneo lako unalotaka kulima, ni vizur ukajua ivyo kwanza ndugu

  • @Binanceforextradertanzania
    @Binanceforextradertanzania8 ай бұрын

    Tutumieni namba za Whatsapp

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    8 ай бұрын

    Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️ 🤝

  • @Binanceforextradertanzania

    @Binanceforextradertanzania

    7 ай бұрын

    @@AGALUSTV umetuacha tu

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    7 ай бұрын

    Wapi ndugu. Yaani shida ipo wapi ndugu 🙏🏿

  • @davidletee

    @davidletee

    2 ай бұрын

    Nitumie dawa Gani kutibu na kuthibiti wadudu wanao tobowa majani ya maharage namba mniambie jina ladawa