JINSI YA KUUA WADUDU KWENYE MAHINDI

kilimo cha mahindi kinapatwa changamoto kubwa hasa kushambuliwa na viwavi. Zipo njia kadhaa zitakazo kusaidia kukabiliana na mdudu uyu

Пікірлер: 67

  • @ShedrackTifa
    @ShedrackTifa2 ай бұрын

    Nashukuru kwa elimu Yako ila Nina swali. Hiyo sumu ya select plus Ukipiga mara Moja hurudii Tena, ndo watakuwa wamekufa jumla au utarudia kwa awam nyingine Tena wakijitokeza.

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 ай бұрын

    Tutarudia baada ya wiki 3/4

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda61134 ай бұрын

    Asante

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    4 ай бұрын

    Barikiwa Sana ndugu

  • @RajabuSaid-pb5uj
    @RajabuSaid-pb5uj Жыл бұрын

    Safi sana kaka kwa elimu ako asante kwa kunipa elim

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Barikiwa pia ndugu

  • @ruhumbikabaraka8259
    @ruhumbikabaraka82593 жыл бұрын

    Shukrani

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Barikiwa

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 Жыл бұрын

    Inspiring

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Surely ✍️🙏🏿🤝welcome

  • @danielmwakatumaakimu1050
    @danielmwakatumaakimu105010 ай бұрын

    Tunashukuru kwa ushauri wa kitaalam.kwenye kilimo cha mahindi.

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    10 ай бұрын

    Barikiwa pia

  • @elisanteakyoo-ei3id
    @elisanteakyoo-ei3id Жыл бұрын

    Somo zuri sana

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Pamoja ndugu

  • @karthihb9529
    @karthihb95293 жыл бұрын

    👍

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    100

  • @user-yb4zl6nf8e
    @user-yb4zl6nf8e8 ай бұрын

    Hilo tatizo la huyu mdudu limenipata na kwa kweli lilielekeya kuwa zito kwangu, nikamualika mkulima mwenzangu nae akanipa ushauri nitumie sumu ya wadudu inaitwa "cutter", matokeo yalikuwa mazuri sana. Nawashauri wakulima wanaoweza kuipata sumu hii waitumie. Kipimo chake ni mls 15 hadi 20 kwa mtungi wa Lita 16.

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    8 ай бұрын

    Barikiwa Sana ndugu

  • @wacukajanny5496
    @wacukajanny54963 жыл бұрын

    Mafunfisho poa

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Asante

  • @geraldmhali4674
    @geraldmhali467410 ай бұрын

    good

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    10 ай бұрын

    Welcome

  • @lionceaudoudou8812
    @lionceaudoudou88123 жыл бұрын

    Nice

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Pamoja ndugu

  • @jamiladeus2396
    @jamiladeus23963 жыл бұрын

    Wanaudhi Hawa wadudu

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Sanaaaa ndugu

  • @eyksaz3677
    @eyksaz36773 жыл бұрын

    Tuko pamoja

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jamiladeus2396
    @jamiladeus23963 жыл бұрын

    Wamewahi kunitia hasara

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Pole sana bt si wewe tu hata mimi pia ndyo baada y ufumbuzi nikaona tupeane elimu

  • @wilsonihungu5343
    @wilsonihungu5343 Жыл бұрын

    Sumu inayo ua viwavi.

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Kama Jina lake imetajwa kwenye video hii

  • @salminijuma5665
    @salminijuma56652 жыл бұрын

    Majani haya yanayoitwa kigugu .je yanambegu dukan ila yaote au

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Hapana ni majani yenyewe tu unapanda

  • @mtishibimwajanga7337
    @mtishibimwajanga7337 Жыл бұрын

    Inatakiwa kupiga kwa awamu ngapi na Bada ya siku ngapi

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Mara 1 tu kw mwez mzima. Na ukipiga Mara 3 basi HADI kuvuna

  • @davislyimo6984
    @davislyimo69842 жыл бұрын

    Haya majani ya kinga jina rasmi ni lipi? (Elephant grass au malale kwa wachagga, au steria kwa wengine, wengine bokoboko) ni lipi?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Ngoja tufuatilie nasi Jina sahihi. Ila tunashukuru kwa USHIRIKIANO wako🙏

  • @petermaniche1009

    @petermaniche1009

    Жыл бұрын

    Mchaichai

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Pamoja ndugu 🙏🏿

  • @gracebenjaminnapokeakatika9565
    @gracebenjaminnapokeakatika95652 жыл бұрын

    Dawa ya kuwaua hao wadudu tunaomba tuelezee

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Kwenye iyo video zimetajwa

  • @jeremiabahati5473
    @jeremiabahati54732 жыл бұрын

    Nyasi zinapatika wapi

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Tafuta tu eneo unalo ishi hasa kama Kuna wafugaji wa ng'ombe kwani upo wapi

  • @hereethswai4351
    @hereethswai43513 жыл бұрын

    Naomba no yako bos

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    0786097274

  • @rehemamulokozi7989
    @rehemamulokozi79892 жыл бұрын

    Kama mahindi yangu hayajaathirika na huyu kiwavi je naweza kuyapiga dawa hii ya Select Plus ili kuyakinga yasishambuliwe na ni pige mara ngapi? Kwa wiki au mwezi?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Hapana usipige🙏🤝 iyo si kinga ni tiba tu kw uliyeathirika

  • @rehemamulokozi7989

    @rehemamulokozi7989

    2 жыл бұрын

    @@AGALUSTV Nashukuru sana.Mungu awabariki kwa masomo na mafundisho mazuri sana

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    2 жыл бұрын

    Amina KUBWA🙏🙏🙏

  • @thisworld6522

    @thisworld6522

    Жыл бұрын

    Naomba kufahamu dawa ambayo ni kinga kabla ya muhindi kuathiriwa?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    NGOJA TUKIPATA TUTAKUJUZA NDUGU✍️🤝🙏🏿

  • @miriammalugu974
    @miriammalugu974 Жыл бұрын

    Please stop rounding so much around the bush and go straight to the point, it becomes boring and costing at the same time unnecessarily.

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    Жыл бұрын

    Thank you for your notes✍️🙏🏿👏

  • @rabanibrahim6576
    @rabanibrahim65763 жыл бұрын

    Jina LA hayo majani plz

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Yametajwa kwenye somo

  • @rabanibrahim6576

    @rabanibrahim6576

    3 жыл бұрын

    Nimeyafahamu

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Pa 1

  • @mlongojane8671
    @mlongojane86713 жыл бұрын

    Naomba ulitaje jina la hizo nyasi za kupanda ili kuzuia uvamizi wa viwavi jeshi. Ama ni nyasi zozote tu?

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Mimi nalijua nyasi izo kwa jina la KIGUGU uwa utumika kama chakula cha ng"ombe cjajua kwa eneo unaloishi zinaitwaje lakini kama hutajielewa zaidi naweza kukupigia picha zaidi nikakutumia 🙏🙏🙏🙏barikiwa ndugu

  • @mlongojane8671

    @mlongojane8671

    3 жыл бұрын

    @@AGALUSTV Nadhani ni Napier grass. Asante sana nitazipanda kwa shamba langu la mahindi

  • @AGALUSTV

    @AGALUSTV

    3 жыл бұрын

    Yes upo sahihi sema sikutaka kutumia ilo jina kwenye hii video

  • @mlongojane8671

    @mlongojane8671

    3 жыл бұрын

    @@AGALUSTV Asante kwa ushauri wako

  • @rehemamulokozi7989

    @rehemamulokozi7989

    2 жыл бұрын

    @@AGALUSTV Hizi NAPIER GRASS Zinapatikana wapi kwa sisi tulio Dar. Naomba msaada please.