Maajabu tope linalodhaniwa Volcano, wananchi wafunguka kujawa hofu

Wananchi wanaozunguka Bonde la Nyankara, Kijiji cha Pamila, Kata ya Matendo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wameeleza kushtushwa na tope lililoibuka eneo la Ujiji mkoani humo linalodhaniwa kuwa ni volcano.
Kamati ya ulinzi na usalama ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kali amefika kijijini hapo ambapo wakazi wa eneo hilo wameelezea chanzo cha tope lilivyoanza polepole na hadi kufikia hatua ya kufunika eneo kubwa.
01. Peter Edward
Kaimu Mtendaji Kijiji cha Pamila
Mtaalamu wa Miamba na jiolojia kutoka ofisi ya madini Mkoa Kigoma, alikiri kuwa hiyo ni volcano ya mchanga na maji ambayo ipo tofauti na volcano zilizozoeleka ambazo zinatokana na moto.
02. David Wiliam
Mtaalamu wa miamba na jiolojia Mkoa wa Kigoma
Mkuu wa Wilaya Kigoma, Salum Kalli anasema anatoa tahadhari kwa wananchi kuhakikisha wanakuwa siyo sehemu ya kuzua taharuki katika eneo la kijiji hicho.
03. Salum Kalli
Mkuu wa Wilaya Kigoma.

Пікірлер: 1

  • @emmanuelkorede8841
    @emmanuelkorede88413 күн бұрын

    Subtitle pls