"Kwa yanayoendelea hakuna mwenye uhakika wa maisha" - Hussein Bashe

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe leo September 8, 2017 alisimama Bungeni Dodoma kuomba muongozo kwa Spika kumuomba kuunda Kamati ya Ulinzi na Usalama kuchunguza matukio ya uhalifu yaliyowahi kufanyika kwa baadhi ya wananchi akiwemo Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ili kubaini chanzo cha matukio hayo.

Пікірлер: 31

  • @jacgululinemoshii3101
    @jacgululinemoshii31016 жыл бұрын

    Bashe Mungu akulinde uitetee Tanzania bila kujal tofauti za chama

  • @mbarakaathuman1336
    @mbarakaathuman13366 жыл бұрын

    Hebu gombea uraisi Mheshimiwa Husein Bashe ....nahisi kama utatupeleka kule tunapotaka...

  • @venancebasil4656

    @venancebasil4656

    6 жыл бұрын

    Mbaraka Athuman bashe ndo mwana ccm pekee anaetumia akili

  • @samhendawallaa2144
    @samhendawallaa21446 жыл бұрын

    asante husen bashe upo sahihi kabisa

  • @suedykibwana5955
    @suedykibwana59556 жыл бұрын

    Mhhhhhhhh mungu aijalie tanzania yetu

  • @rashidseif6103
    @rashidseif61036 жыл бұрын

    Umaskini na ufukara wa Tanzania unatokana na CCM kulazimisha kutawala.

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga51972 жыл бұрын

    Ndio viongoz hawa haijalishi uchama Bashe Rais wa baadae upo vzr ndio uongoz

  • @britonngale365
    @britonngale3656 жыл бұрын

    nakukubaligi sana bashe Si mnafki

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous66446 жыл бұрын

    Hakuna kitu kibaya Duniani km kua Na roho ya kimaskini Na visasi , aiseee Mungu amuongoze lissu Apone aje kusimamia ukweli Na achukue kesi kimataifa hatutaki mahakama za Tanzania lissu pona peleka kesi ICJ tunakuamini lissu ukipona tu najua una full details za uhakika Na unaweza kuwashtaki Au kuishtaki .

  • @msafirisinkamba8971
    @msafirisinkamba89715 жыл бұрын

    Wengine wanadhan unapokuwa CCM hasa Wabunge eti unatakiwa kukubali kila udhalimu huo ni USHAMBA muigeni Bushe hapo Mtaijenga Nchi yenu ya Tanzania bila ubaguzi wa kishamba.Ahsanteni

  • @simonfundi5472
    @simonfundi54726 жыл бұрын

    Asante sana mh Bashe

  • @yasirhamad9808
    @yasirhamad98086 жыл бұрын

    Tatizo mmelea wenyewe hao wanaosumbua nchi

  • @mbwilotv7816
    @mbwilotv78166 жыл бұрын

    CCM WOTE WANGEKUWA KAMA HUSEIN BASHE, NA MIMI NINGEKUWA CCM

  • @longishoabediningori4618
    @longishoabediningori46186 жыл бұрын

    Hao waliyo kaa ni wabunge wa wapi na wao wanamanisha mambo haya kwao ni ya kawaida hata aibu haina 😵😵

  • @nednation5601
    @nednation56016 жыл бұрын

    Hao vilaza waliokaa sijaelewa..wanaunga mkono mauaji yaendelee...

  • @masaimara3750
    @masaimara37506 жыл бұрын

    inataka kuwa kama paris, watu kadhaa walijeruhiwa tuu, ikawa habari ya dunia wakati, afghanistan, pkistan na iran watu wanakufa ila hamna hata habari kubwa namna hii..

  • @abdirahma393

    @abdirahma393

    6 жыл бұрын

    Rorya Native Your so heartless lady. Tundu lisu kapigwa risasi . It is a big deal because this is Tanzania .hii ni nchi yetu ya Amani Serio

  • @stanhaonga8847

    @stanhaonga8847

    6 жыл бұрын

    Uaa hopeless

  • @samsonlucas3934
    @samsonlucas39346 жыл бұрын

    Yaaani inatatia huruma

  • @othumankaduma6935

    @othumankaduma6935

    6 жыл бұрын

    Samson Lucas bashe nakupenda sana unajua kuongea ukweli hupendi unafiki mungu akupe maisha malefu

  • @hansom32
    @hansom326 жыл бұрын

    Mi ni Mtanzania, naishi Korea ya Kusini, Hivi sasa Tanzania ndipo inaelekea katika ukomavu wa kisiasa, demokrasia unayoiyona marekani ilipatikana baada ya viongozi kadhaa kuwa assassinated , people should sacrifice their blood kwa ajili ya ukomavu wa siasa na democracy, nothing comes that easy, ndio kwanza tuna raisi wa tano toka uhuru, for the better and best of Tanzania we should be able to take the bitter that contains the sweetness of freedom. Tusome historia ya hizo nchi tunazoziona zina siasa huru na democracy. H.Mufuruki.

  • @officialgeraldjackson7723

    @officialgeraldjackson7723

    6 жыл бұрын

    Raymaan Company Limited we need God kaka

  • @hansom32

    @hansom32

    6 жыл бұрын

    Papaa Gerald God needs people to sacrifice themselves for others.

  • @hansom32

    @hansom32

    6 жыл бұрын

    Papaa Gerald The aim of war is peace. Sacrifice is needed, the decrease of racism in America was grounded by the assassination of Dr Martin Luther King, MalcomX and others, the real democracy was grounded by Abraham Lincoln and his assassination, and you pretty know he was a president of the United States of America by then.. Let's take time to think men.

  • @arapharamadhani1165

    @arapharamadhani1165

    5 жыл бұрын

    Chukua fomu,2020

  • @quanthug9517

    @quanthug9517

    2 жыл бұрын

    Habari ndugu,unawafahamu BTS

  • @Tiffany340
    @Tiffany3406 жыл бұрын

    natafakari tu ivi waliokufa kibiti walipiganiwa hivi

  • @linnoinno6895

    @linnoinno6895

    6 жыл бұрын

    Fetry John ajabu sana inawezekana tukio limeanzia kwa Lisu tu

Келесі