"Hela ni Zangu, Nipe Nikafe Potelea Mbali" JPM- Ikulu

"Hela ni Zangu, Nipe Nikafe Potelea Mbali" JPM- Ikulu
"Mishahara mingi ya wafanyakazi serikalini si mizuri, anapofikia mwisho wa utumishi unampa kidogo kidogo haingii akilini si unipe tu yote nikafie mbali" Rais Magufuli Ikulu Dar es salaam
Rais Magufuli leo tarehe 28, Desemba 2018 anakutana na viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) vyama shiriki, watendaji wakuu wa mifuko ya Hifadhi ya jamii (PSSF na NSSF) na mamlaka ya usimamizi wa Hifadhi ya jamii (SSRA) kujadili masuala yahusuyo mafao ya wafanyakazi hususani Kikokotoo.
Mkutanao huo unafanyika Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo Mawaziri na makatibu wakuu wa wizara husika wanashirki.
#RAISMAGUFULI #TUCTA #SSRA #NSSF #PSSF
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

Пікірлер: 294

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu37815 жыл бұрын

    Mashallah mh Rais una hekima sana. minakupenda sana naninakuombea mno. mungu muweza wa yote umalize uongozi wako salama Inshallah. amina

  • @allyfaraji7787

    @allyfaraji7787

    5 жыл бұрын

    Asha

  • @justinmsoffe7313
    @justinmsoffe73135 жыл бұрын

    Asante Raisi wangu. You reviving the amputed parts of the nation. Viva Maghufuli! Mungu akulinde na kukupigania ili wafanyakazi na Tanzania yetu kwa ujumla isonge mbele.

  • @gililwise
    @gililwise5 жыл бұрын

    Jamani natamani niende ikulu nikamshike mkono huyu Rais.nitumie njia gani ?Mungu akubariki sana kwa maamuzi haya hakika roho wa Mungu i juu yako.

  • @halimamiss8878

    @halimamiss8878

    5 жыл бұрын

    Yaani mm pia nayamani nimbusu maana nilikua nawaza kuacha hela zangu huko

  • @edwardmwendamkono9787

    @edwardmwendamkono9787

    5 жыл бұрын

    Nyie ndio wale2

  • @williamchrispian1752

    @williamchrispian1752

    5 жыл бұрын

    hizo ni story kama story nyingine

  • @richardsoka2400

    @richardsoka2400

    5 жыл бұрын

    gilliana lema Mimi ningekuwa Dsm/Tz ningetembea mpaka Ikulu kumpongeza Rais and I would dare say President Magufuli is the reincarnation of Mwl Nyerere!!

  • @michaelseme7730

    @michaelseme7730

    5 жыл бұрын

    Natoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Raising kwa uamuzi huo

  • @hawaafrica803
    @hawaafrica8035 жыл бұрын

    Allah akujaalie Akupe wepes katika kl jambo una imani ya kweli Rais wetu

  • @rajabrukonge580
    @rajabrukonge5805 жыл бұрын

    Asante sana Mh. Rais GPM vizuri sana

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto19795 жыл бұрын

    Mungu akutunze Rais wetu

  • @dearmhando2978
    @dearmhando29788 күн бұрын

    Gonga like kama unaitazama hii 2024😢😢😢 pumzika kwa amani mjomba Magu😢😢

  • @saidkisumo8507
    @saidkisumo85075 жыл бұрын

    kwa kweli mungu katupa rais wa kuikomboa nchi ya ahadi,,,,, anaempenda rais wetu gonga like kama zote

  • @salimamacheche619
    @salimamacheche6195 жыл бұрын

    Dah sina cha kukulipa muheshimiwa maana sisi wafanyakazi Wa kampuni binafsi tulivunjika moyo kabisa asante xana mungu akuongoze kila atua huifanyayo amiina

  • @venancemwamfise7510
    @venancemwamfise75105 жыл бұрын

    Mungu ni mwema

  • @mabrouckmiangi1225
    @mabrouckmiangi12255 жыл бұрын

    Mueshimiwa Rais Mwenyezi Mungu Akubariki sana na Akuzidishie hekma zaidi na nyonyo ya huruma Kwa wanyonge zaidi ya hiyo Amin

  • @ceciliaonyango301
    @ceciliaonyango3015 жыл бұрын

    wawoo unafaa kweli Mungu akubariki

  • @ibrahimumeja8831

    @ibrahimumeja8831

    5 жыл бұрын

    Mungu akulinde.

  • @umawatv6426

    @umawatv6426

    5 жыл бұрын

    Wanaoshabikia kauli hiyo ya Rais kuwa "Nipe pesa zangu nikafe potelea mbali" hawajui maana ya Hifadhi ya Jamii. Nashauri warudi darasani wakasome maana ya "Social Security" duniani kote. Watu tunapaswa kuelewa kwamba hifadhi ya Jamii imegawanyika katika makundi makuu mawili yaani; 1. Mfumo wa Pensheni. 2. Mfumo wa Akiba. Hilo analotaka Rais ni mfumo wa AKIBA. Kwenye Mfumo wa AKIBA wafanyakazi wenyewe waliukataa. Mfano Mfuko wa LAPF kabla ya 2006 ulikuwa mfuko wa AKIBA. GEPF pia ulikuwa mfuko wa AKIBA hadi 2014. Mfuko wa NSSF ulikuwa wa AKIBA hadi mwaka 1997. Mfuko wa PPF ulianza ukiwa wa Pensheni moja kwa moja mwaka 1978. Serikali yenyewe ndiyo iliyolazimika kufuta mifuko ya AKIBA ambayo ilikuwa inampatia CHAKE CHOTE na kwenda kufa mwenyewe. Kwenye Mfumo wa pensheni watu hulipwa pensheni kila mwezi hadi siku ya kifo. Mfumo wa Pensheni ndiyo uliokubalika duniani kote mwaka 1952 kupitia Azimio Na. 102 la SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO). Taifa letu lilisaini mkataba huo na kukubaliana kuwa na Mfumo mzuri wa mafao (Comprehensive Social SECURITY Schemes). Watu wanashabikia kitu ambacho hawaelewi. Wanaoshangilia wote hao hawajastaafu wakaelewa ugumu wa maisha uliopo kwa mtu akishastaafu na akamaliza KIINUA MGONGO chote. Kawaulizeni waliostaafu na kulipwa KIINUA MGONGO kikubwa kabla ya Sheria hii inayopigiwa kelele. Wote wanatamani pensheni iwe kubwa.

  • @emmanuelmwansi8673
    @emmanuelmwansi86735 жыл бұрын

    kweli kabisa mkuu.Godbless more

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel5 жыл бұрын

    Salute Mh.President umesikia kilio cha wanyonge ubarikiwe kwa hili Mungu akuongoze huyaone na mengine.

  • @danielmkunya7578
    @danielmkunya75785 жыл бұрын

    Ameeeen ,Mungu akupe maisha marefu rais Magufuli ,umetutea wanyonge kwa kweli ,maana walikua wanatudhulumu jaman looh ,asante sana mheshimiwa Rais Magufuli

  • @sarunmolel2880
    @sarunmolel28805 жыл бұрын

    hongera baba endelea kufanya hivyo mtetezi wa wanyonge

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya74215 жыл бұрын

    Mungu akubaliki sana rais, tumbua tuu majipu

  • @geraldemmanuel210
    @geraldemmanuel2105 жыл бұрын

    JPM, mimi nakukubali sana tangu zamani ukiwa waziri. yaani sijui nisemeje. ww nimtu wamhimu Sana Uliteuliwa na Mungu Mungu alisikia Maombi yetu sisi Watanzania. 2020 nibora hata uchaguzi usiwepo uendelee kuongoza tu mpaka utakapozeeka. Naona hata SGR inaendelea vizuri.

  • @catherinechifebe5800

    @catherinechifebe5800

    5 жыл бұрын

    Gerald ni Mungu kakufunilia hayo..Asante Mungu kwa zawadi ya Raisi Magfuli...tutamlinda klwa sala

  • @jensenjr4250
    @jensenjr42505 жыл бұрын

    Watanzania vilio vyao sasa vimeanza kusikika Mungu ambariki sana Rais wa wanyonge

  • @clementkunkuta384

    @clementkunkuta384

    5 жыл бұрын

    Mzalendo

  • @leinaamos9559

    @leinaamos9559

    5 жыл бұрын

    alie toa taarifa za awali huyo waziri tunaomba ajiangalie Mara mbili kauli aliyo itoa ilikuwa ya kukatisha mamaa watumishi

  • @umawatv6426

    @umawatv6426

    5 жыл бұрын

    @@leinaamos9559 Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo. Waziri aliongea kwa kuzingatia ripoti za Ukaguzi (Actuarial reports). Lakini naamini wengine wote waliongea bila kurejea ripoti za Ukaguzi wa Mifuko zinazoonesha UHAI au KIFO cha Mifuko. Acha kushabikia jambo ambalo huna utalaam nalo sana.

  • @wawilayakibondo4467
    @wawilayakibondo44675 жыл бұрын

    HONGERA sana mheshimiwa Rais Magufuri wote wanaoshangiria ni wanafiki

  • @hopekoola1719
    @hopekoola17195 жыл бұрын

    pongezii wastaafu mungu anawapigania. pengezi kwa point tupu kwa wastaafu Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Malaika wakuongoze ,wakulinde, wakuzunguke pandezote. Wastaafu CCM Hoyeeeeeee, No pressure ,No Stress Wastaafu Hoyeeeeeeee.Rais unaona mbal.

  • @nickjeluget4325
    @nickjeluget43255 жыл бұрын

    I wish that idea can cross the border to Kenya, Good work Mr president.

  • @princesinko4073
    @princesinko40735 жыл бұрын

    Kwa Kweli huyu Ndio Rais wetu

  • @abdallahmasaga3067
    @abdallahmasaga30675 жыл бұрын

    Nimekuelewa sana Mkuu. da hapo kwenye kupewa kidogo kidogo kwakweli inauma sana. Bora umetuondolea hili. Mwenyezi Mungu akuzidishie maarifa na busara na hekma .

  • @hafidhisemindu607
    @hafidhisemindu6075 жыл бұрын

    saaaaafi sana mpendwa wetu na mungu akuweke na akuepushe na kila la shar...

  • @jastonmwawalo3218

    @jastonmwawalo3218

    5 жыл бұрын

    Fresh Mag

  • @mfalmeabdi5548
    @mfalmeabdi55485 жыл бұрын

    Safi sana mzee mungu akubariki kwa mema yote

  • @damianmakala2913
    @damianmakala29135 жыл бұрын

    Safi sana jpm nipe nikafe na changu aminia mzee wa kazi we ni noma safi mr President

  • @davidngutunyi4117
    @davidngutunyi41175 жыл бұрын

    Mhe.Rais Dk John Pombe Magufuli,wewe ndiye tulikugonja una nia ya dhati kwelikweli,Awamu yako Hakika Tanzania itabadilika .Mimi naendana na kasi yako maana nimeona hata nchi za wenzetu utaifa na uzalendo wa dhati ulileta manufaa.Chapa kazi baba ,Tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na baraka tele.Ahsante sana Mh.Rais

  • @gabrielzayumba9040
    @gabrielzayumba90405 жыл бұрын

    Asante saana baba unaona mbali mungu akupe maisha marefu

  • @selemandenja2951
    @selemandenja29515 жыл бұрын

    Big up ngosha mwana malundii ahsante my presdent

  • @alexbiseko6080

    @alexbiseko6080

    5 жыл бұрын

    Rais wetu hongera sana kwa hilo

  • @umawatv6426

    @umawatv6426

    5 жыл бұрын

    Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo.

  • @umawatv6426

    @umawatv6426

    5 жыл бұрын

    @@alexbiseko6080 Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo. Waziri aliongea kwa kuzingatia ripoti za Ukaguzi (Actuarial reports). Lakini naamini wengine wote waliongea bila kurejea ripoti za Ukaguzi wa Mifuko zinazoonesha UHAI au KIFO cha Mifuko. Acha kushabikia jambo ambalo huna utalaam nalo sana.

  • @philip788
    @philip7885 жыл бұрын

    That's the President! Uko vizuri Prezidaa na kura tutapiga 2020!

  • @allyflavour8005
    @allyflavour80055 жыл бұрын

    Asante sana mkuuu mungu akubariki haaaa siamini duuu uko vizuri xana

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart26245 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa. Sio huku ulaya unafanya kazi mpaka 63au67.alafu ukistaafu. Wakupa kidongo mpaka ufe. Niunyonyoji kabisa. Wasio kupenda Rais. Ni washawi.

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe70385 жыл бұрын

    MUNGU ALIMLETA RAISI MAGUFULI ILI KUWAKOMBOA WANYONGE ,NA HASA WATANZANIA. MUNGU AKUBARIKI SANA MHESHIMIWA RAISI JOHN MAGUFULI

  • @heusenkibiriti4495

    @heusenkibiriti4495

    5 жыл бұрын

    Eish! Ninyi vijana mmerogwa aisee, wakati waliposema wanalipa asilimia 25 mmeshangiria sana huku mkipongeza kuwa wameona mbali na watawasaidia wastaafu. Baada ya kelele nyingi za wadau pamoja na upinzani leo Jiwe kabadili upepo na kusema walipwe pesa zao wastaafu mnashangilia tena. Nadhani mkapimwe mkojo manina zenu... Wakati Jenista anapitisha hili na kusema fomula mpya itawahusu wote waliostaafu kuanzia mwezi wa Nane mlikuwepo na kupiga nderemo, Jenista ni waziri wa Jiwe. Wametengeneza tatizo na sasa wanakuja kujitangaza kuwa wametatua ninyi mnashangilia usenge tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @gracemasumila7475

    @gracemasumila7475

    5 жыл бұрын

    waooo Mungu akutunze JP wewe upo vzr mzee baba baba la baba

  • @abdulshakuurbotea5678
    @abdulshakuurbotea56785 жыл бұрын

    JAMANI MBONA WASTAFU TUU,NA WANAOACH8SHWA KAZI WAPEWE MAANA MTAANI KUGUM.

  • @josephbonday8510
    @josephbonday85105 жыл бұрын

    Big up MR.President of URT

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob34145 жыл бұрын

    Kabisa mzee baba hapo umenena

  • @salimsaid3292
    @salimsaid32925 жыл бұрын

    Huyu ni kiongoz mwema.. Hatujapata kama hivi tokea afariki mwalim. Ikiwezekana adumu daima

  • @edwardmwendamkono9787

    @edwardmwendamkono9787

    5 жыл бұрын

    Chizi ww

  • @ashapearubart2624

    @ashapearubart2624

    5 жыл бұрын

    Kwakweli kabisa

  • @ashapearubart2624

    @ashapearubart2624

    5 жыл бұрын

    @@edwardmwendamkono9787 wewe dio mjinga hujui. Huna Kazi nn. Jabazi.

  • @williamchrispian1752

    @williamchrispian1752

    5 жыл бұрын

    @@ashapearubart2624 ndugu usishabikie bila tafakar jiulize ni nan alie leta hoja ya 25%, katibu hawez jitungia usidanganyike haraka na kukimbiria kupiga vigeregere, tafakali kwanza hao wanaishi kwa kiki ngoja uone dada, wapo watu wamezurumiwa bila huruma mwaka huu huu ila na wao walitanguliza vigeregere mwishoni ni majonz waulize na walima korosho kusini topic yao ni magu c kwa mazuri ila ubaya, cc hatuwez hitaj yey adumu kwa hiz kiki zake

  • @dennishrd9759

    @dennishrd9759

    5 жыл бұрын

    Edward Mwendamkono ww ndio chiz katafute kazi

  • @husnajohn7466
    @husnajohn74665 жыл бұрын

    Ahsante baba na mihela yng kadhaa wanazengua

  • @jamesmarlow4389

    @jamesmarlow4389

    5 жыл бұрын

    Mwakole weto rais mwakole manga wa eta byangene

  • @peterfrank7938
    @peterfrank79385 жыл бұрын

    Huyo uliesema utampangia kz nyengine namuomba mm Mkuu nimpangie kz ya kubeba Zege kisha nimpige kikokoto cha %25

  • @afrikanusmatusa8642
    @afrikanusmatusa86425 жыл бұрын

    Safi kabisa Mr. President. Maana hicho kikotoo kilikuwa kinachochea ufisadi na wizi.

  • @lulushambazuri4861
    @lulushambazuri48615 жыл бұрын

    Nakupenda raisi natamani nikushike mkono wa pongezi,najua ni MUNGUBABA ndani yako

  • @ibrahimmfundo8455
    @ibrahimmfundo84555 жыл бұрын

    Nikisikiaga mtu anamsema uyu Rais wangu uwa natamanigi kulia

  • @josephharri9015

    @josephharri9015

    5 жыл бұрын

    nimeipenda comment yako

  • @buguzangunura8157

    @buguzangunura8157

    5 жыл бұрын

    Ibrahim Mfundo hao wanaompigiia makofi ndio wale wale waliopiga makofi pale bungeini wakati wa kupitisha hako kasheria ka zuruma. CCM acheni unafiq

  • @richardsoka2400

    @richardsoka2400

    5 жыл бұрын

    Buguza Ngunura Ebu kumbuka Mbunge Kingu alisemaje! waliwakebehi wale wote waliokuwa wanasema jamani mnaua wastaafu kabla ya muda wao! Lakini yeye akimaliza ubunge anachukua chake chote! What a shame!

  • @jumasaid1206

    @jumasaid1206

    5 жыл бұрын

    Hapo ndipo utakapoamini kuwa katika dunia hii ,hata ufanye mazuri mengi kupindukia ,huwezi kukubalika/kupendwa na watu wote!!coment yako nimeifikiria kwa kina hatimaye nimeishia kutokwa na machozi!!

  • @husseinkalim7115

    @husseinkalim7115

    5 жыл бұрын

    Hongela san lais magufuli

  • @aldagosb9752
    @aldagosb97525 жыл бұрын

    Asante ubarikiwe mheshimiwa

  • @OmarOmar-tf6ph
    @OmarOmar-tf6ph5 жыл бұрын

    Usilaumu tuu eti kwa kusema sheria haiwezi kupita bungeni bila saini ya raisi mana mwanzoni halikuonekana hilo ila kwa jitihada ya uchapakazi wa rais makini ameligundua muhimu ni kumpatia support mana hata hao marais waliopita hawakujaribu kufanya maamuzi magumu kama yeye,unatakiwa useme hivi,mungu akubariki rais wetu john magufuli kwa uchapakazi wako.

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha11185 жыл бұрын

    Safi sana jpm umefanya vizuri sana mungu akubaliki.

  • @edwardmwendamkono9787

    @edwardmwendamkono9787

    5 жыл бұрын

    Chiz ww

  • @williamchrispian1752

    @williamchrispian1752

    5 жыл бұрын

    kwan ni nan alieleta hoja ya 25% ?, chini ya ccm hamna jipya ni kiki tuu!!.

  • @joshualembile3041

    @joshualembile3041

    5 жыл бұрын

    Eti bhna? Nipe zangu zikafie mbele...

  • @williamchrispian1752

    @williamchrispian1752

    5 жыл бұрын

    @@joshualembile3041 haaah haaah ndo hivyo dunia ina mengi wajanja na mazumbukuku humu humu wapo

  • @mwashamrashid6492

    @mwashamrashid6492

    5 жыл бұрын

    Tinya Anosiatha

  • @allyflavour8005
    @allyflavour80055 жыл бұрын

    Kura zote za nyumba yangu nizako 2020

  • @richard.rkilonzo7538

    @richard.rkilonzo7538

    5 жыл бұрын

    Watanzania acheni kuwa malimbukeni. Huyu huyu ndie alikataa na baada ya upinzani kuongelea haya akawasweka ndanu Esther Matiko. Mishahara na marupurupu na mishahara ya watumishi sio ombi. Angekuwa anasikiliza ushauri mambo mengi yasingeharibika. Mtu ananunua ndege kwa pesa cash wakati watoto hawana madarasa unajenga taifa la aina gani?. Unanunua ndege huku wewe wananchi wako wanaishi kwa mashaka kwa kutekwa nyara. Unategemea mtalii gani apande ndege zako. Tanzania imesababisha hata kwetu Kenya katupati watalii kwa sababu za utekaji nyara na kukataa demokrasia. Kumbuka mtalii anaanzia Kenya, Tanzania amalizie na Mombasa au Zanzibar. Huyu mheshimiwa anajua uchaguzi umekaribia ndio maana amestuka. Siku zote nasema nyie Watanzania ogopeni sana mtu anauma na kupuliza kama panya. Hata akiwepo mtu mwingine bado Tanzania masonga mbele sana kwani mnazo rasilimali nyingi sana. Kama huyu mheshimiwa asingefungia madini na kuharibu utalii Tanzania ingesomga mbele sana. Hivi Mungu hajazuia watu kuchimba madini mtu atafungiaje madini kama mbuzi. Tanzanite kufika Kenya ilikuwa haiji bure. Watu walikuwa wanauzia wafanya biashara wa Kenya. Sawa vitunguu, Nyanya, Machungwa, Maembe Mananasi nayo kazuia ya nini tena. Kila Mtanzania anao uwezo wa kuongoza na kuleta maendeleo. Chagueni watu wenye upendo na wenzao sio watu wakorofi wenye kujenga uadui na uhasama.

  • @anordkagame3435

    @anordkagame3435

    5 жыл бұрын

    nikweli

  • @irenewilliam3844

    @irenewilliam3844

    5 жыл бұрын

    Nyambafu 2w utakufa maskin

  • @sadickmtenge8373
    @sadickmtenge83735 жыл бұрын

    Mungu akubariki sana Rais wetu

  • @richardmyoka7985
    @richardmyoka79855 жыл бұрын

    mungu akutangurie Rais wetu cc tu nyuma yako

  • @abdallahjuma7516
    @abdallahjuma75165 жыл бұрын

    Hongera babu

  • @danieltairo6827
    @danieltairo68275 жыл бұрын

    Mungu akubariki Mheshimiwa Rais kwani unatenda haki kwa wananchi wako ?

  • @dabelmathew2322
    @dabelmathew23225 жыл бұрын

    good kweliiii

  • @wazochatta6818
    @wazochatta68185 жыл бұрын

    Thanks for shouters....

  • @florakweyunga878
    @florakweyunga8785 жыл бұрын

    Mungu akupe nguvu Rais wetu.

  • @maidahassani1377
    @maidahassani13775 жыл бұрын

    Nikisikia vyama upinzan wwakimuongelea vibaya natamani kupigana japo siyo mwana siansa dah magu jamani zawadi yetu kutoka kwa mungu

  • @mariamsuma3003

    @mariamsuma3003

    3 жыл бұрын

    Acha uchizi wew

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge91655 жыл бұрын

    President of the people by the people from the people,good charisma

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi5 жыл бұрын

    YANI NAOMBA KUSEMA MH.RAIS HAKIKA UTAKUMBUKWA SANA KWA KUWA NA UCHUNGU KWA WAFANYAKAZI WALIO CHINI YAKO. MUNGU AKULINDE.

  • @danitarimo5013
    @danitarimo50135 жыл бұрын

    Safi sanaa Rais wangu

  • @tumainipeter9996
    @tumainipeter99965 жыл бұрын

    Mh rais wetu Kama wakwenda mbinguni bilachangamoto inatakiwa ukimaliza kazi yamungu hionikazi unafananinishwa na musa alietoa wana israel misil nawe ukimaliza kazi utavishwa taji ,,,,,,kilaanae kubali aseme amina kubwa

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja88565 жыл бұрын

    safi sana mkuu, 2020 nakuchagua tena

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko94055 жыл бұрын

    Mungu akubariki,Kwa hili baba Wa nchi

  • @manganamanganamanganamanga7313

    @manganamanganamanganamanga7313

    5 жыл бұрын

    uko sawa rais

  • @abelg2488
    @abelg24885 жыл бұрын

    hakika namekubali kuwa mwanzo sikukuelewa na sasa nimeelewa ule moyo wako kwa taifa la Tanzania. I love you Magufuli. Uendelee kuwa na ongezeko la hekima ya kuiongoza nchi yetu ya Tanzania. All the best sir. I can see Tanzania mpya sasa.

  • @stuwartsosthenes1977
    @stuwartsosthenes19775 жыл бұрын

    vema sana ,wapate chao walichokisotea kwa miaka sitini

  • @smarty1064

    @smarty1064

    5 жыл бұрын

    stuwart Sosthenes ni chao na cha juu pia

  • @oman11oman59
    @oman11oman595 жыл бұрын

    Yani wewe baba nakupenda mpaka keshoooooooooo

  • @fadhilyassin5213
    @fadhilyassin52135 жыл бұрын

    Asante baba...

  • @luganochiwanga4226
    @luganochiwanga42265 жыл бұрын

    Nakupenda snaa rais WANGU yani umeonge point ya maana !!!pesa ni zangu yanini nichukue kidogo kidogo !!mfano hata nikitumia vibaya si zakwangu

  • @lizashagilliard2336

    @lizashagilliard2336

    5 жыл бұрын

    M nazid kupata mkanganyiko juu ya alietoa hoja na kuipitisha na hatimaye rais anaipinga hii hoja🙄

  • @mashakaisinika7434
    @mashakaisinika74345 жыл бұрын

    Inawezekana ukapewa utakatifu kabla hata ya nyerere.

  • @jacksonkyando7869
    @jacksonkyando78695 жыл бұрын

    Hapo Mh. Magu umefanya maamuzi kujali wanyonge, uendelee mpka 2025 uwanyooshe hao mafisadi wanatuonea sana wananchi wako

  • @amarnshaija3769
    @amarnshaija37695 жыл бұрын

    Mh yuko right kabisa tatizo watumishi wake inaonyesha wako gizani

  • @nicethamanonga5855

    @nicethamanonga5855

    4 жыл бұрын

    Umenena watumishi wako gizani

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian3585 жыл бұрын

    Safi sana mkuu

  • @graceenocksamwel9655
    @graceenocksamwel96555 жыл бұрын

    hongera sana

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo10305 жыл бұрын

    KABISA MHESHIMIWA RAIS UMEONGEA JAMBO JEMA SANA . WATU HAWAJALI WENZAO WANAJIJALI WENYEWE KWA SABABU YA UBINAFSI WAO. ASANTE RAIS WANGU UNAJALI WANANCHI WAKO BARIKIWA SANA BABA WEWE RAIS MAGUFULI NI BABA YETU WATANZANIA UNATUJALI SANA.

  • @elimumwawa8373
    @elimumwawa83735 жыл бұрын

    Safi sana rais

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus62375 жыл бұрын

    Upo sawa

  • @fathermore9772
    @fathermore97725 жыл бұрын

    kumbe mambo mengine watendaji wa serikali wanaamua mambo wenyewe then lawama nikwa raisi

  • @francisalphonce7406

    @francisalphonce7406

    5 жыл бұрын

    father more mungu akuongezee Maisha malefu miaka1000

  • @tareqhilal6750

    @tareqhilal6750

    5 жыл бұрын

    Inashangaza

  • @rajabupetermoses7338
    @rajabupetermoses73385 жыл бұрын

    Asante mkuu

  • @jacobathanas1945

    @jacobathanas1945

    5 жыл бұрын

    tunakuombea kw mungu .Siku zote za maisha yako.tunakupenda sana.hata kipofu anaona.

  • @pigapesa1013
    @pigapesa10135 жыл бұрын

    Good Idea.

  • @estherkivelege8190
    @estherkivelege81905 жыл бұрын

    Dah aisee huyu mzee kusikia kilikuu changu jamani Dah kweli wewe ndo Rais

  • @mtumesamsonyoutube5051
    @mtumesamsonyoutube50515 жыл бұрын

    UKWELI MH. RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI UMEFANYA KITU CHA KIPEKEE SANA HIYO NDIYO BUSARA ONGERA SANA

  • @rosemhagama438

    @rosemhagama438

    5 жыл бұрын

    Fukuza wote bb

  • @venerandomilinga2211

    @venerandomilinga2211

    5 жыл бұрын

    Fomula hiyo haipo popote duniani. Haipo haipo. Duniani kote haipo. Fomula hii huenda inatumiwa na vikundi vya UPATU. Haipo hiyo fomula ya kuzidisha mara 4 ya michango yako haipo. Walioweka ni Makataibu wakuu wa zamani. Siyo wa wakati huu. Ni kosa walifanya makatibu wakuu wa zamani. Haipo duniani kote. Inatumiwa tu na PSPF na LAPF lakini haipo duniani kote.

  • @mbingaheaven9899
    @mbingaheaven98995 жыл бұрын

    Good brain and plan

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja93765 жыл бұрын

    Rais wangu udumu nakuombea

  • @arodiabyanyuma9259
    @arodiabyanyuma92595 жыл бұрын

    Asante mheshimiwa raisi hawa wasomi wako ndio wanaotuangusha sasa acha liwakute wao huko mbele maana wana mishahara mikubwa kuliko ingekuwa sasa wazee wengi wangeumia kwani mishahara yao ni midogo

  • @heusenkibiriti4495

    @heusenkibiriti4495

    5 жыл бұрын

    MOVIE 2018 JUZI SERIKALI: Tumeleta sheria mpya ya mafao ambapo mstaafu atapata 25% ya malipo ya mkupuo na malipo mengine ataendelea kupata kidogokidogo kwa miaka 12. JANA VIJANA WA CCM: Hongera sana Serikali yetu pendwa kwa kuwajali watumishi, hakika hii ni Serikali inayowajali wanyonge.. LEO RAIS: Wastaafu ni watumishi mashujaa, hakuna sababu ya kuwanyonya. Kanuni ya kikokotoo iendelee kutumika ile ile ya zamani..... KESHO VIJANA WA CCM: Hureee! Huyu ni Rais makini na msikivu kwa kuwa anawajali watumishi, amesikiliza kilio chao....

  • @oman11oman59
    @oman11oman595 жыл бұрын

    Yani mzee baba nafasi ulinayo itumie kwa ufasaha atakulipa mungu siku zote jilani yako awezi kusifia maendeleo ya mwenzio

  • @andrewasenga9225
    @andrewasenga92255 жыл бұрын

    MAGUFURI MIMI SI MSTAAFU ILA NAHAPA MBELE YA MUNGU WEWE NI BINADAMU NA SIO MTU KWA HIYO KAULI YA KU IMAGINE NIMEKILI WE NI RAISI BORA SHIDA UPO PEKE YAKO WENGINE WANAIGIZA UBORA WAKO SIO NATURAL

  • @rabielulomi8607

    @rabielulomi8607

    5 жыл бұрын

    Hivi Andrew Easther Bulaya alipokuwa anapiga kelele ulikuwa wapi? Jaribu kuwa fair utabarikiwa.

  • @eliaspeter4017

    @eliaspeter4017

    5 жыл бұрын

    Kaka Andrew Asenga uko sahihi hapo wengine ni wanafki tuu na ndio baadhi yao humuangusha Mh our lovely President JPM

  • @kissanzunda8539

    @kissanzunda8539

    5 жыл бұрын

    Utu ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha kufikia mafanikio makubwa Mungu akubariki sana Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania jambo hili lilita mshituko mkubwa sana has a kwa wafanyakaz wengi wakiwemo waalimu asante kwa kuondoa utata huo MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI RAIS WA TANZANIA

  • @edwinemmanuel7877

    @edwinemmanuel7877

    5 жыл бұрын

    Bwana Yesu Kristo wa Nazareth Asifiwe,Iren ulikuwa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA kwanza mshukuru Mungu Soma Zaburi ya 118 yote, Pili Roho Mtakatifu baada ya Ester Bulaya kusema ulisema hii fomula mbaya sana Roho Mtakatifu aliniambia niombe juu yako ili nijue kama in wewe au sio wewe nilichoona kwako Vita yako ilikuwa kubwa maana kuzimu walihakikisha unaikosa hiyo nafasi,kwa hiyo omba Mungu toba ulipo kosea ukishika Sadaka ya Dhambi uliyofanya, Sadaka ya toba na Sadaka ya Shukrani,omba Mungu akupe nafasi nyingine anazo nyingi, ila toa Sadaka ya kiti utakachokalia ofisini kitoke kwa Mungu,toa Sadaka ya ukombozi kuhusu Nyota yako,sura yako,ufahamu wa kushoto na kulia, ubongo wako, akili yako, utosi wako,,tatu tolea Sadaka ya ulinzi afya na nafasi yako, na Sadaka ya kibali kwa Mungu akupe kazi nyingine,NNE toa Sadaka ya Amani ili Yesu Kristo wa Nazareth akupe amani ndani ya moyo wako bila Yesu uwezi, Sadaka hii Soma Mambo ya Walawi 4 :10 Fanya hivi hata kwa familia na ndugu pia, ambatanisha na Sadaka ya ukombozi, shukrani, Sadaka ya ulinzi na Sadaka ya kuzuia vita isiinuke ya we we kutolewa katika kazi bila Mpango wa Mungu na Sadaka ya Visasi na malipizi kwa atakayeinuka kupambana na we we kimwili na kiroho,Swali katika kazi Ulikuwa mwaminifu kumpa Mungu fungu LA kumi? kama ulishindwa omba toba kwa Mungu atakusamehe ukiwa na Sadaka ya Toba Soma Zaburi ya 51 ukiwa na Sadaka mkononi na shukrani kwa Mungu kukusamehe, Omba Mungu akupe kazi nyingine aliyokupangia ila mwambie Mungu akusaidie kutoa Fungi la kumi ndipo Mungu Yesu Kristo wa Nazareth katuhaidi Ulinzi Soma Malaki 3:10-12 mistari IPO katika Bible,usiacha kuomba Mungu akuinulie waombaji ila usiache kuomba na wewe, Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth itulinde na itupe Amani, Sadaka zote hizi weka Madhabahuni pale ambako Biblia ipo katika kanisa unalosali usimpe MTU akupelekee peleka mwenye.

  • @edwinemmanuel7877

    @edwinemmanuel7877

    5 жыл бұрын

    Mungu akupigani

  • @ibzanruheta
    @ibzanruheta5 жыл бұрын

    God blesse you President

  • @aishanelly6682
    @aishanelly66825 жыл бұрын

    Congrats 🎊🍾 p

  • @edwardmalunguja3836
    @edwardmalunguja38365 жыл бұрын

    hekima kwa Rais shukurani kwa wafanya kazi

  • @bakarijumaabdallah9743
    @bakarijumaabdallah97435 жыл бұрын

    God bless

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam47275 жыл бұрын

    Safi sana

  • @kenethluhwago773
    @kenethluhwago7735 жыл бұрын

    Asante bora nichukue changu nikafie mbele

  • @TembeaNaYesu
    @TembeaNaYesu5 жыл бұрын

    2020 haina haja ya kufanya uchaguzi. Ni upotevu wa hela, JPM ni raisi hadi 2050

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu78452 жыл бұрын

    Siwezi kusikiliza hotuba ya cjui Nani zaidi ya mzee magufuli umetangulia mbele za haki lkn bado upo moyoni mwangu

  • @umawatv6426
    @umawatv64265 жыл бұрын

    Mifuko ya LAPF na PSPF ilikuwa inatumika kikotoo cha 50%. Mfuko wa PPF na NSSF ndiyo ilikuwa inatumia kikotoo cha 25% kwa wastaafu. Lakini watu wanasahau kuwa Mfuko wa PSPF ulikuwa umeshaishiwa pesa kabisa kutokana na ukokotoaji unaochota pesa nyingi kwa wakti mmoja. Mfuko wa PSPF unadai serikalini zaidi ya Trilioni 6 ambazo ni fedha serikali ilipaswa kuulipa Mfuko huo mwaka 1999 wakati Mfuko unaanzishwa mwaka huo. Hadi sasa deni hilo halijalipwa. Mfuko umeishiwa pesa. Wastaafu wengi walikuwa wamekaa muda mrefu bila kulipwa kutokana na kwamba PSPF ilikuwa imeshaishiwa pesa za kuwalipa. Serikali nayo ikaona ili kuokoa wastaafu ichukue fedha za LAPF, PPF na GEPF ziwalipe wastaafu wote wa PSPF. Sasa kuchukua kikokotoo cha PSPF chenye kutafuna fedha nyingi kwa kipindi kifupi Mfuko mpya nao hautaweza kuwalipa wastaafu kwa kikotoo hicho. Mfuko mpya hautaweza kwa sababu kikokotoo hicho ni "Too generous". Hakipo duniani kote.

  • @jumamadule6809
    @jumamadule68095 жыл бұрын

    Rais wetu tunakuombea kwa mungu kila sekunde piga kazi

  • @salumhussen7213
    @salumhussen72135 жыл бұрын

    nakukubali mzee

  • @vincentmuli4283
    @vincentmuli42835 жыл бұрын

    Kama kuna mtu alijaribu kukupa wazo au uling'amua mwenuew kwa hili la maslah ya wafanyakaz mie nakuunha mkono. Maoni yangu naomba usiingizie siasa katika hili. Mungu akusimamie mh. Raisi

  • @richardsoka2400
    @richardsoka24005 жыл бұрын

    Funny enough hata aliyepitisha kikokotoo(Irene) anacheka kwa Rais kusema aliyetayarisha akiambiwa awe kwenye mkumbo huu hatakubali!!! Why green while you are the one who approved and imposed on workers and pensioners such a socialist idea!that you milk the worker even after retirement! Waziri Mkuu alikuwa wapi mpaka tu Rais aone maovu ya iana hii! Kudos Dr Rais Magufuli, you are truly a God fearing leader! We need dynamic leaders and NOT static like the minister, SSRA executive, positioned financial and administrative advisers! Waache uoga na kusema ukweli, Rais anahitaji kuambiwa ukweli else atakuwa na kazi ya kutumbuatumbua tu na ni mpaka lini? Ni sawa na waliohusika na kuingia mikataba ya kihuni na kizembe na kumpuni za Afrika Kusini(South African Airways) na Tanzania Airways Limited enzi hizo au mikataba ya IPTL!!!!! sometimes it is advisable kufukua makaburi ili na wengine waogope, mbona China wanawanyonga wezi kama hawa?

  • @hajjramadhan5640
    @hajjramadhan56405 жыл бұрын

    Uko vizuri

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk63245 жыл бұрын

    Aaaaaa ina maana issue hii Mh. Rais wakati inajadiliwa na mvutano wote ule hukua na taarifa wala malalamiko na kelele zote zile hadi watu wamefikia hata hii na ninaamini vikao vyao vimetumia pesa nyingi sana how come leo mabadiliko ya mvua ya mawe leo? Mmmmh! Kazi kweli kweli. TZ.

  • @unstoppabledewinner7257
    @unstoppabledewinner72575 жыл бұрын

    Mzee baba

Келесі