Exclusive: BABA MZAZI WA ALI KAMWE AFICHUA/ SIKUPENDA ALI AWE YANGA ALIIKATAA JEZI YA SIMBA UTOTONI

Спорт

#BATTLETV

Пікірлер: 70

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Жыл бұрын

    Wazazi kwanza, vijana acheni mizaha kunbukeni wazazi wenu

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Жыл бұрын

    Hapo ninachokiona ni simba na uyanga

  • @linuskyando4155
    @linuskyando41557 ай бұрын

    TUNAKUSHUKURU BABA KWA KUMZAA MTOTO MWENYE MAPENZI YA DHATI NA YANGA YETU

  • @RoidaAsilia
    @RoidaAsilia7 ай бұрын

    Saw saw baba

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Жыл бұрын

    Yule mtoto hana adabu,kumbe hata kwenye familia yenyewe hayuko vizuri. Huyu mtoto.akajifunze adabu.

  • @ahmedmukolwe43

    @ahmedmukolwe43

    Жыл бұрын

    Stop being an idiot

  • @user-nn5sq8ol4g

    @user-nn5sq8ol4g

    Жыл бұрын

    Wewe pia wako unawakosea ume msikia akimtukana babaake au mama kama una akilii nenda kwenye mahojiano yakwanza ya uyu mzee alichokua alikifanya huko nyuma waandishi wengine wapuzi tu mzee kua makini usilete ushabiki wasimba ali akiwa kwenyekz ilenikaz kama wampenda mwanao bas ungehama yanga lakini hayo unao ulizwa huo wako pia ni ushabiki tu

  • @issaburhani3455
    @issaburhani345510 ай бұрын

    Mhmm hatari yaani mapenzi ya simba na yanga yanasababisha baba na mwana kutokuwa na ukaribu imebaki yule baba yule mtoto. Kiimani Kumdharau Baba/Mama ni matatizo ambayo yanapotokea hujui kuwa hiyo ndiyo sababu. Kwa ufupi haipo sawa mpaka kwa Mungu

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 Жыл бұрын

    "KILA mchezaji wa Yanga mgeni akitua Airport tunamchukuwa".. AHMED ALL

  • @nghomanohosea9251
    @nghomanohosea92514 ай бұрын

    Wewe mzee mwanao hawezi kumfikia ahamedi Ali . Mrudishe shule alajifumze hekima

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g7 ай бұрын

    Mzee nilitaka niseme jambo lakini nimesita usijenielewa vibaya

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын

    Ali kamwe kumbe choko kweli hakuna Cha jemedari Wala nini yeye ni kubwa jinga nimsemaji wa timu ya siasa au timu ya ubwabwa jemedari anaongea ukweli kuusu maandazi wakipewa ubwabwa hata mke wake mwanayanga anamtoa mkewe waroho sana njooni vigwaza Kuna shuuri ya mtoto

  • @user-nn5sq8ol4g

    @user-nn5sq8ol4g

    Жыл бұрын

    Ahamed ally ndio ovyo

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    UTOPOLO MATUNDU YAO YA MKUNDU HAYOOOOOOOOOOO HAYANA MARINDA KWA KUPENDA MTEE 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    ​@@user-nn5sq8ol4gMARINDA HAYOOOOOOOOOOO KWA KUPENDA MTEE 😂😂😂😂😂😂

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Жыл бұрын

    MZEE KAMWE NAKUELEWA SANA.

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    UNGEMUELEWA BILA YA KUULIZWA NGURUWE MLA MIHOGO WEWE.

  • @msafirishabani6701
    @msafirishabani6701 Жыл бұрын

    🎉toto harina adabu hilo

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Жыл бұрын

    Baba kwa nini upate taabu kujibu na wewe si umuulze baba yake na yeye alikuwa mtangazaji ?

  • @issufomabbetto321
    @issufomabbetto321 Жыл бұрын

    kwani mzee kusema ukweli ni tatizo mzeee ni simabasc na yeye aliy ni yanga,sasa tatizo lipo wapi,kwenhe kazi baba anampenda mwanae,na kwenhe ushabiki baba ni simbasc na aliy ni yanga.

  • @linuskyando4155
    @linuskyando41557 ай бұрын

    WANAKUSUMBUA ILI WAMHARIBIE KAZI MWANAO

  • @lawiyorambwiza4100
    @lawiyorambwiza4100 Жыл бұрын

    Mzee ,Simba na Yanga"huweziii ukafanya Simba ety kamwe aiseme Vibayaaaa"@--Hilo jambo halitokaa sawa ...

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar906311 ай бұрын

    Ali Kamwe mwenyewe ni wa Simba SC.

  • @kanyeshahigirimana5686

    @kanyeshahigirimana5686

    10 ай бұрын

    Unamsikia mzee kamwe vizuri au madikio yako yana matege ...

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j Жыл бұрын

    Mzee kuwa na hikmaa na kujuwaa wewe ni baba ya familiaa nyumbani

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j Жыл бұрын

    Ndio kocha Nabi alikuwa akiwaambia ulizeeni maswali ya msingii

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j Жыл бұрын

    Watangazaji kuweni na uweledii wa komhoji mtuu umeenda na ya mpiraa unatafuta ya ndani ya5familiaa

  • @user-kx9xn4tw8l
    @user-kx9xn4tw8l Жыл бұрын

    Taanyekundu inaonekani kwa mbali baina yamzazi na mtoto

  • @bundalamabula6264
    @bundalamabula6264 Жыл бұрын

    Bila Ally wasingekutafuta kumbuka hilo

  • @robertndebate5462

    @robertndebate5462

    Жыл бұрын

    Ujumbe umemfikia mzee acha hasira Hao waandishi wanataka kukuchafua na mwanao wewe unaona sifa watakuja kuvikata vipande vya hovyo watavipost

  • @issaburhani3455

    @issaburhani3455

    10 ай бұрын

    Wacha hiyo wewe usisupport tu je kama huyo Mzee asingepata Haki yake Kwa mamaye ingekuaje?

  • @issaburhani3455

    @issaburhani3455

    10 ай бұрын

    Kama siyo mbegu ya huyo Mzee huyo jamaa mngemjulia wapi?

  • @user-op8rf8xo6q
    @user-op8rf8xo6q Жыл бұрын

    Huyu kamwe anarana ya babaake

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j Жыл бұрын

    Mzee zungumza mambo ya mpiraa sio mambo ya familiaa

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Жыл бұрын

    HALAFU NYIE WAANDISHI MNA MAMBO YA KIPUUZI SANA MBONA MNAENDA KUMHOJI MZAZI WA MTU,MKIJUA NI KOLO?

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    ULITAKA AULIZWE BABAKO???

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 Жыл бұрын

    Wa Cuba tushaelewa Mzee anaongea utani wabongo wanachikulia seriously Mzee congolee kwa kuwazuga hao waandazi mwisho umempa mwanao maua Yake yupo vzuri

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын

    😂😂

  • @user-gr9px4pi2w
    @user-gr9px4pi2w7 ай бұрын

    Mzee hizi timu hazina fadhila kwa familia , familia yako ni bora kuliko hizi timu ukiwa kama mzazi unapoongea na vyombo vya habari kuwa makini na matamshi yako vinginevyo wewe ndio ndio utaonekana hamnavyo maana ni mzazi ni mtu mzima

  • @RashidKaoneka-bj8mm
    @RashidKaoneka-bj8mm Жыл бұрын

    Mazee ya kipare

  • @yonaelias5638
    @yonaelias5638 Жыл бұрын

    Kolo ni kolo tu hadi Siri za familia linatoa.!!

  • @user-kx9xn4tw8l

    @user-kx9xn4tw8l

    Жыл бұрын

    Mzee ni mzee bwege wewe

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    SIRI KAMA IPI KAITOWA MPUMBAVU NGURUWE MLA MIHOGO WEWE

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    ​@@user-kx9xn4tw8lBABAKO MZEE BWEGE NA WEWE MWENYEWE

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 Жыл бұрын

    Wazee wanaoongea sana wanawahalibia watoto

  • @GideonChacha-tn5lz

    @GideonChacha-tn5lz

    Жыл бұрын

    Anaharibu nini sas na anasema ukweli

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    HIYO KAULI TU UNAONYESHA KUWA HUNA ADADU MJINGA WEWE

  • @lawiyorambwiza4100
    @lawiyorambwiza4100 Жыл бұрын

    Hahhahahahahaahahha----mzeee ,Kijana yupooo kazini ,mwachee afanye kaziiiii

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    KWANI KAMKAMATA MASHATI??? UTOPOLO WEWE

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын

    Mzee muanche mtoto afanye kazi yake 🔥🔥

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    KWANI KAMKAMATA MASHATI??

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын

    Huyu kolo kweli

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    NA WEWE JITOPOLO KWELI NGURUWE MLA MIHOGO WEWE

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 Жыл бұрын

    Mzee unaonekana unakinyongo Sana na mwanao Sema nn endelea na Hao waandishi wa Habari watakusaidia unaulizwa Habari za family na ww unaropoka tu mzee ogopa Sana Hao waandishi muulize mama FEI aliropoka ivyo ivyo pole mzee kunjua roho kwa mtoto wako

  • @hassansalum2572

    @hassansalum2572

    Жыл бұрын

    Kwani baya gani alilosema mzee mbona yuko sawa

  • @ernestsereli8559

    @ernestsereli8559

    Жыл бұрын

    Mzee anaongea point saaana"shida ya watu wa yanga hawajielew"went akil c wawil tu tunajua

  • @Carolina-sm5zt

    @Carolina-sm5zt

    Жыл бұрын

    Hakika umenena kweli, mpila unatugombanisha amwache mwanae afanye kazi hayo mengine hayana tija

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Жыл бұрын

    Hivi ni mtoto wake kweli wa kumzaa?

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    NDIO LAKINI MAMA WA KAMBO KAMHARIBU MTOTO HUYO KAMGEUZA UTOPOLO 😂😂😂😂😂

  • @user-xy8kl9wd2i

    @user-xy8kl9wd2i

    Жыл бұрын

    @@salimmalaka256 duuh kwaiyo huyo baba ana wake wawili

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Жыл бұрын

    ALLY KAMWE NDIO AWE SIMBA NA UJANJA WOTE HUO ? SIMBA WALIMCHANGIA FEISAL AENDE CAS WAKATI HUO HUO KWAO SIMBA WACHEZAJI WAO WAKIWA NA MGOMO BALIDI WA POSHO..LAKINI SIMBA AWAKUWACHANGIA... MPAKA ALIPOLIWEKA WAZI AHAMED ALLY MAANA ILIFANYWA SIRI..HAO NDIO SIMBA BHANA

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    MLIPENI MZUNGU ALIOWAITA NYANI KWANZA HALAFU UONGEE NYANI WEWE NYIE NDIO UTOPOLO WALA MIHOGO 😂😂😂😂

  • @emmanuelamos6686

    @emmanuelamos6686

    Жыл бұрын

    Nashukulu mzee meishoni umejitambuwa kuwa upo kwenye mtego usmkanye mtoto kwakutumia mitandao wanakutege ili uhalibu familiya mtoto akikosa mwite nyumbani kwako.hao wandishi mbona wao haujawaji wanaishije na wazazi wao mengine.umeongea.point walipo kuchanganya padogo Sana ukaAnza kutumia hakili zao itavywi.ongea naneno kidogo yasiwe mengi.utahalibu

  • @emmanuelamos6686

    @emmanuelamos6686

    Жыл бұрын

    Hapo mzee mtoto wakumzaa usiogope kumuita nyumban uspost chochote mtandaoni hata ufanyiwe vibaya punguza jaziba mungu atakubalik

  • @johnurassa3209

    @johnurassa3209

    Жыл бұрын

    Vijana Aminini hii Fanya ufanyavyo upate radhi ya wazazi haijalishi wapoje baada ya Mungu ni wazazi,Imeandikwa waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi ktk nchi upewayo na bwana Mungu wako.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Жыл бұрын

    ALIKUA ANAWAONGEA WAJINGA WALIOZAMIA UBWABWA KAMA JEMEDARI YULE ANAEISEMA YANGA KILA SIKU.

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    Жыл бұрын

    ANA HAKI GANI YA KUONGELEA WENGINE WAKATI YEYE MWENYEWE KA ALIKWA KWANI NYUMBANI KWAKE PALE??? AACHE UJINGA WA KITOPOLO.

  • @linuskyando4155
    @linuskyando41557 ай бұрын

    AHMEDY ALI HAJAPEVUKA?ANAWEZAJE KUSEMA YANGA NI MAITI,HUU SIO UTOTO?????

  • @bundalamabula6264
    @bundalamabula6264 Жыл бұрын

    Halafu mzee unapokuwa na waandishi wa habari kuwa makini wanaweza kukuhalibia familia yako, maswali mengine uyaepuke

  • @mhojamsafiri2273

    @mhojamsafiri2273

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa

Келесі