🚨sakata la Aziz ki na Yanga,Kauli ya Eng hers,hawa wanacheza naakil zetu,Aziz ashasain

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 29

  • @daudimichael7338
    @daudimichael733813 күн бұрын

    Aliyemalizia kwa kusema Yanga wanatafuta attention ya kumtambulisha Aziz yupo sahihi.

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje898013 күн бұрын

    Eng Hersi ameona kile mnachokisemea kuhusu Aziz Ki kuondoka inabidi awakubalie mfarijike kuwa anaondoka maana hampati raha kusikia kuwa atakuwepo

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j13 күн бұрын

    Mmejadili mpira vizuri,safi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu12813 күн бұрын

    Matusi fc

  • @jseventz
    @jseventz13 күн бұрын

    mamelody

  • @saidseleman2973
    @saidseleman297313 күн бұрын

    Anamchezea nani

  • @sadih5333
    @sadih533312 күн бұрын

    Wanaendeleza ulimbukeni wao tu hawana jipya, ligi ianze zinunuliwe baadhi ya mechi waendelee kujitekenya.

  • @frankiemissingo1925

    @frankiemissingo1925

    12 күн бұрын

    @SADIL5333.WANUNUA MECHI WANAJULIKANA FRIENDS OF SIMBA,NA MNAJISHUKU CSE NDIYO MTINDO WENU,MNAOKOTA WACHEZAJI HALAFU MNATAKA UBINGWA.

  • @CotaManywele-vg9ti
    @CotaManywele-vg9ti13 күн бұрын

    Jemedar acha ujinga ww mpambavu kila mwenzio apo anakuweka sswa ila uabisha nini? Wewe unachuki na yanga, naapo inakuuma azizi kuchezea yanga, injinia kajbu kiprofesheni,

  • @KATEGILEMABADA
    @KATEGILEMABADA13 күн бұрын

    We Mkalaboko acha ushabiki na kupenda hiyo timu

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu12813 күн бұрын

    Yanga wajanjaaaaa😂😂😂😂😂😂 wanawaumiza watu fulani na wanawaweka sawa watu fulani,wakimtanga ruuu kiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah82513 күн бұрын

    Only tension

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud900413 күн бұрын

    Money talks anything can happen

  • @mussammanga7791
    @mussammanga779113 күн бұрын

    Mwachieni aendezake, atakupotezeeni muda. Kama yeye anaipenda Yanga kwanini aweke vikwanzo hivyo. Hayo ni yale ya Mayele. Siku nyingi aliambiwa wazungumze lkn alisema subirini, kwsbb anajuwa atapata anachokitaka akimaliza mkataba wake.

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul13 күн бұрын

    Atation ampe mama yake aziz mchzj wa kawaida anatamba hphp ndn tena kw kubebwa

  • @marcokaroje8980

    @marcokaroje8980

    12 күн бұрын

    @@Abdul-oc1ul acha makasiriko tunakushauri ucheze wewe nje ya nchi usiyebebwa ila uwabebe utakaowabeba

  • @stephanowahimili4166
    @stephanowahimili416613 күн бұрын

    Acheni upumbavu wewe unasema kasaini miaka miwili wakati kiongozi wa timu anasema ajasaino

  • @robertphilip385

    @robertphilip385

    13 күн бұрын

    Aziz ki Leo anaingia kambini nakutonya Kwa ziri

  • @marcokaroje8980

    @marcokaroje8980

    12 күн бұрын

    @@stephanowahimili4166 umesaini wewe?

  • @abdalla8193
    @abdalla819313 күн бұрын

    Naende

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala738313 күн бұрын

    Ww unae sema kesha sign mbna haijangia kambini

  • @robertphilip385

    @robertphilip385

    13 күн бұрын

    Leo anaingia kambini kenge wewe

  • @mussahoza

    @mussahoza

    13 күн бұрын

    @@robertphilip385 YANGA WATU WA TRICK WEWEEEE

  • @Dopa5115

    @Dopa5115

    13 күн бұрын

    Kwani pacome,chama baka umewaona mazoezi?

  • @robertphilip385

    @robertphilip385

    13 күн бұрын

    @@Dopa5115 tatizo haya majitu ya Simba wanateseka sana na yanga

  • @user-uh7to2kw2z

    @user-uh7to2kw2z

    13 күн бұрын

    ​@@robertphilip385😂atariiiiii

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h13 күн бұрын

    Mbona chama, pacome,aucho nk hawapo kwani hawana mikataba? Kibu hajaondoka jana kwenda misri kwani hana mkataba na simba? Uwe mwerewa na uache matusi na hasira, kwani unaumia nini,?.

  • @hassanabdala7383

    @hassanabdala7383

    13 күн бұрын

    @@user-bt6ep3yb2h nenda kamuulize Harsi alioanzisha mjadala

Келесі