BARABARA YA MALAGARASI - UVINZA KUKAMILIKA MACHI 2025, UJENZI WAKE NI WAFIKA ZAIDI YA ASILIMIA 50%

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza mkandarasi STECOL anayejenga barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (Km 51.1) kwa kiwango cha lami kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo ifikapo Machi 28, 2025.
Kasekenya ametoa agizo hilo mkoani Kigoma, Juni 14, 2024 ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza mkandarasi huyo kujipanga na kukamilisha mradi huo kwa wakati kwani mpaka sasa hakuna changamoto yeyote inayokabili mradi huo ikiwemo masuala ya fedha wala vifaa kwa mkandarasi.

Пікірлер: 7

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo81524 күн бұрын

    Hiyo ndio habari tunazo zitaka

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda255424 күн бұрын

    Tumekuwlewa waziri wetu.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw24 күн бұрын

    Hiyo Barabara ni tambalale Ila kumekuwa na makusudi kutokamilika kitu cha ajabu pesa inatoka hivi nini au mchezo wakula Hera bila kazi ni aibu sanaa

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior696124 күн бұрын

    HEE HII BARABARA BADO TU😢

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu733724 күн бұрын

    Habari tunazozipenda ndio hizi

  • @modestwenceslaus9

    @modestwenceslaus9

    24 күн бұрын

    Sahihi kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sadocklundi5216
    @sadocklundi521624 күн бұрын

    😂😂😂

Келесі