Zanzibar uhuru 1963

Пікірлер: 98

  • @zakiakassam5674
    @zakiakassam5674Ай бұрын

    Wameharibu Kiswahili yetu😢

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul2 ай бұрын

    Hii ndio Zanzibar ya mwanzo ambayo yenye upendo haina zulma kama zama za ccm ,,, Zanzibar itarudi kama mwanzo tu inshallah 2025 😭🤲🇸🇦🇸🇦

  • @111dudi

    @111dudi

    Ай бұрын

    Znz haikuwa na mapenzi tangu utawala wa kisultani ulipovaniwa na waingereza. Walikuwa wanauana, kabla ya mapinduzi na baada ya mapinduzi, mashoga ndio kwao, unga, umbra,uhasidi. Wala si nchi iliyotulia. Mashekhe wengi kama sio wote walikimbia kwa sbb ya chuki zilizofanywa na Afroshiraz. Historia iko wazi,

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa48003 жыл бұрын

    karume na Nyerere ni watu wabaya sana wameipoteza furaha ya kweli ya wazanzibar, dhulma hii kamwe aiwezi futika ktk nyoyo za wazanzibar

  • @salumjumaruhaga2513

    @salumjumaruhaga2513

    Жыл бұрын

    Swadakta,karume ,mmalawi , Nyerere mtusi ,wakashirikiana kuwauwa wazanzibari,,

  • @user-ty5cs3eg1r
    @user-ty5cs3eg1r4 ай бұрын

    Inshaallah Allah atairudidha zanzibar kwaushindi mkubwa na wale wote walio ondoka zanzibar basi watarud na furaha inshaallah tufanyen subra na duwa muhimu

  • @111dudi

    @111dudi

    Ай бұрын

    Kwanza watoe neno "mapinduzi" kwa sbb neno hili linakumbusha mauaji makubwa. Pili sherehe ya mapinduzi ifutwe na badala yake washerehekee uhuru na muungano. Nrno "machotara hawatakiwo znz" life. Hao waafrika na washirazi wemyeqe.ji wahamiaji kama waarabu. Washirazi ndio waliokuwa wakiliokuwa watumwa wakubwa. Wazungu na wahindi walikuwa wauza watu wakubwa.

  • @111dudi
    @111dudiАй бұрын

    Uhuru bandia, Nyerere alishindwa kuendesha nchi akatoka kaicha masikini watu wanavaa viatu vya magurudum ya gari, sukari,mchele, unga,mafuta,sabuni kwa mgao na havikutosha.Jarume hali kadhalika mpaka akalishwa shaba

  • @aldaghariaziyz6420
    @aldaghariaziyz64204 жыл бұрын

    mashaaallah daaaaaaa zamani ni rahaaa tungekua mbali sasaa tunakimbia na kutafuta kazi nchi za nje na kukimbia kwe2 na kujiepusha na mabangi

  • @ruaiyatruaiyat691
    @ruaiyatruaiyat6916 жыл бұрын

    Subhanallah watu walikua wanaraha na furaha za kila aina. Mashaallh Zamani l awwal

  • @asiahaji5081
    @asiahaji50814 жыл бұрын

    Subhaanallaah!! Huu ndio uleee wakati ambao Baiskeli yako unaiacha nje kwa muda wa siku saba bila kuikomea na haichukuliwi na mtu . Pesa yako ikipotea na kuokotwa unatafutwa mwenyeo mpaka unakabidhiwa. Leo ipowapi Zanzibar.

  • @swalehemrombo9301

    @swalehemrombo9301

    Жыл бұрын

    Hahahaha.!! Maadili yamepoteaa siku hiziii

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@ladislausngoyinde4384 wewe ndio mjinga, inawezekana ukawa wewe ni miongoni mwa hao wanafanya sasa baiskeli zisiachwe nje,,,,mjinga wewe!!

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@ladislausngoyinde4384 wewe ndio mpumbavu, tena Una upumbavu uliopitiliza,,,,

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@ladislausngoyinde4384 kibaka wewe, utaweza wapi kurudisha fedha,,,,ndio mliotuharibia Zanzibar yetu

  • @salma0000

    @salma0000

    Жыл бұрын

    @@ladislausngoyinde4384 panya road wa Kigoma

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg66794 жыл бұрын

    كأنها هذه أثناء فوز محمد شمتي بالانتخابات في زنجبار سنة 1963م أيام السطان جمشيد بن عبدالله البوسعيدي

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp4 ай бұрын

    Mungu atwalipa karume na nyerere na washirika wao

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg66794 жыл бұрын

    حسبي الله ونعم الوكيل كانت زنجبار من أغنى الدول في ذلك الوقت وكانت منارة لنشر الإسلام و العلم إلا أن الغرب المتآمر ضد الإسلام ابى إلا يدمر زنجبار و يفرق بين الأخوة حتى أصبحت زنجبار اليوم بلد تحت خط الفقر و مسلوبة الارادة و الحرية .

  • @salumjumaruhaga2513

    @salumjumaruhaga2513

    Жыл бұрын

    You have talk the trus,god bles you,

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid78874 жыл бұрын

    Katika kitu ninachokipenda kuona wazanzibar tunafuraha dah roho inaniumasana walipatafuraha kwamasaa kadhaaa kilichowakutu 😭😭😭😭😭 hadi kinasikitisha waowametanguliya ss tulobakiya hatujuwi nilini itarudifuraha waliyoipata wazeee wetu kwamdamfupi iliitawale furahaiyo ktk maishayetu kutoka nchihuru hadi hadikutawaliwa tena 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @najashrk3738

    @najashrk3738

    2 жыл бұрын

    Dah broo chozi limenitoka kumbe tungekuwa mbalisana 😭😭😭😭

  • @omarsaid4702

    @omarsaid4702

    2 жыл бұрын

    Itarudi inshallah kwa uwezo wa Allah

  • @omyguy2002

    @omyguy2002

    Жыл бұрын

    Hadi unatamani kulia ila iko cku in sha Allah itarudi tn zanzibar

  • @massoudalgerey6313

    @massoudalgerey6313

    Жыл бұрын

    😄😄😄

  • @salyali7807
    @salyali78072 ай бұрын

    😭😭😭

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa99362 жыл бұрын

    Mauaji ya Zanzibar Nyerere na karume watawajibika mbele ya ALLAH siku ya hukumu

  • @mohamedmasoud8956
    @mohamedmasoud8956 Жыл бұрын

    Mchangia dhulma hats kwa neno au kufurahikia ataiona jazaa take kesho akhera msifanye mzaha mtajuta siku majuto hayatosaidia m/mungu atuhidi

  • @Visit_zanzibar
    @Visit_zanzibar3 жыл бұрын

    Uhuru wa kweli

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830Ай бұрын

    Kwaheru uhuru kwaheri ukolini kwaeri furaha na amani miongoni mwa jamii yawazanzibar

  • @ally1702
    @ally17024 жыл бұрын

    Alhamdulillah dah iko wapi furaha saiv Zanzibar yetu jamani naombeni mnitajie majina ya wahusika wa hapo mana sijui ata mmoja

  • @ggjjchbj1559
    @ggjjchbj15592 жыл бұрын

    الله على زمان العرب

  • @biramsakh9212
    @biramsakh92124 жыл бұрын

    Uhuru kweli tunauona. Apo hamna wizi wala mijambazi wala mibangi wasta arabu waznz wa zamani. Lkn uhuru tumepata. Mapinduzi daima Alhmdulilah

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    4 жыл бұрын

    Ayoo so mapinduzi y karume n nyerere ndugu

  • @GlobalSouthObserver

    @GlobalSouthObserver

    2 жыл бұрын

    Mapinduzi Daima!!!

  • @mbarakally6419
    @mbarakally6419 Жыл бұрын

    mashaallah wallah ilikuwa raha sna

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 Жыл бұрын

    Hii ndiomaana Zanzibar ilijawa na neema za kila aina. Wanavyuoni wakubwa wakiingia ndani ya nchi hii ya Zanzibar kila aina

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp4 ай бұрын

    Allah awasamehe wazee wetu, awpe kauli thabiti

  • @TeamKRX
    @TeamKRX4 жыл бұрын

    Machozi yanimaeika wengi hapa washatangulia mbele ya haki 😭😭😭😭😭mtihan mzito walah nataman urudi hivi

  • @saidhamad7504

    @saidhamad7504

    4 жыл бұрын

    What a nostalgia😭

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp4 ай бұрын

    Watu walikuwa wakiishi raha mustarehe wakipendana,visirani wakaja wakainakamisha wakawauwa wazee wetu mungu awalipe kama walivyotenda

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid58644 жыл бұрын

    Ilikua raha sana imani na upendo

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa78822 жыл бұрын

    MashaaAllah unakuta watu wote wameva kanzu

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    Sio kila anayevaa kanzu ni mtakatifu,,,,

  • @mbarakally6419
    @mbarakally64192 жыл бұрын

    Mashaallah

  • @HumudSuleiman-ti1kd
    @HumudSuleiman-ti1kd11 ай бұрын

    insha'Allah Allah yupo pamoja na wenye kufanya subra

  • @gangmore9091
    @gangmore90914 жыл бұрын

    Nyerere n karume n walio husika mungu awahukumu kuondoa furaha ya zanzibar mungu awasamehe zambi zao waliozulumiwa roho zao n madhalim nyerere karume jogh Okelo nk🙏😭

  • @sawbaa6332

    @sawbaa6332

    4 жыл бұрын

    Bila nyerere na karume ugekua apa ww

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    4 жыл бұрын

    @@sawbaa6332 picture iyo unaonaje kuna alokosa furaha na maisha yaubaguzi n ziki sasa apo ndio wazanzibar wenyewe so saiv nyerere n karume unaosema wewe na history yko y darasi or ya kusikia kwa watu ndio wameondoa furaha n kuifikisha ilipo zanzibar ilikua n passport yke inamamlaka kamili nyerere chuki n dini y uislam n kujua zanzibar inauchumi kumtia maneno karume afanye mapinduzi kabla yeye kua kiongozi fatilia history ya zanzibar y kweli sio unachangia comment

  • @GlobalSouthObserver

    @GlobalSouthObserver

    2 жыл бұрын

    Mapinduzi Daima!!!

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    2 жыл бұрын

    @@GlobalSouthObserver 🤣🤣 mapinduzi daima kweli kaipindua zanzibar atawale badala kufa kaburi lake likawa linaweka kelele 😅

  • @GlobalSouthObserver

    @GlobalSouthObserver

    2 жыл бұрын

    @@gangmore9091 mtu akifa amekufa kaburi halina maana lakini legacy yake ya mapinduzi na muungano bado ipo... mapinduzi Daima!!!!

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Жыл бұрын

    Naamin iko siku zanzibar itasimama tena kwa uwezo wa Alla ccm itakwisha na heshima ya nchi hii itatudi inshallah

  • @Hilali-ff5ul

    @Hilali-ff5ul

    2 ай бұрын

    😢 inshallah Amin

  • @GlobalSouthObserver
    @GlobalSouthObserver2 жыл бұрын

    Usultani hautorudi Africa!!!!

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf4 ай бұрын

    Makafiri waliona uislamu umeimarika zanzibar wakashirikiana na wanafiki kuibomoa zanzibar

  • @ibrahimjuma4806
    @ibrahimjuma4806 Жыл бұрын

    😊

  • @binrashidsalim5667
    @binrashidsalim5667 Жыл бұрын

    Tumepoteza sana Naam allahu kaadiru

  • @aishatamimu1029
    @aishatamimu10294 жыл бұрын

    Mashallah ilikuwa niraha

  • @munirmohamed7070

    @munirmohamed7070

    4 жыл бұрын

    Aisha Tamimu raha gan?

  • @aishatamimu1029

    @aishatamimu1029

    4 жыл бұрын

    Raha ya kupata uhuru kwani weye hujafurahi

  • @haidarsalum9228

    @haidarsalum9228

    3 жыл бұрын

    @@aishatamimu1029 uhuru mbna ulikuwepo..

  • @GlobalSouthObserver

    @GlobalSouthObserver

    2 жыл бұрын

    Mapinduzi Daima!!!!

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis80924 жыл бұрын

    Mhh langu jicho

  • @abdillahijalalkhan2128

    @abdillahijalalkhan2128

    2 жыл бұрын

    Actually the right translation is "no comment!"

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv7 ай бұрын

    Asili yetu ya kiarabu ashraziy wazanzibar hatuisahau

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf5 ай бұрын

    Roho inaniuma kwakweli zanzibar imepoteya

  • @jarsjam8894
    @jarsjam88944 жыл бұрын

    Uko wapi Uhuru waloutaka watu Kila siku wanauliwa, ujambazi, bangi imekuwa chakula cha zanzibar, maradhi mengi, chuki, uharibifu wa wtt hata wazee wanaingiliwa, zamani tukilala milango wazi Vila ya khofu yoyote lkn leo watu wako kwenye jela Tu usiku na mchana. Ndio Uhuru huo?

  • @omarsaid4702
    @omarsaid47022 жыл бұрын

    Ni njama za muingereza ulikuwa ni mji wa kiislam ndio akafanya hila mpaka akaivuruga nchi lakini nayeye mungu ataivuruga nchi yake kama alivyo vuruga nchi za watu yeye pamoja na wamarekani na nato kwa jumla

  • @ahmarkaaby2581
    @ahmarkaaby25814 жыл бұрын

    Maskini jamani

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Жыл бұрын

    Jamsheed bin Abdallah Al Sayyid

  • @salma0000

    @salma0000

    Жыл бұрын

    😊

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa99362 жыл бұрын

    Hapa ndipo Zanzibar ilpokuwa huru huu ndio Uhuru halali wa Zanzibar

  • @fettyabiola1389
    @fettyabiola13892 жыл бұрын

    Too shame to watch and others to see, we were not supported to be this poor at this time, yani unatoka kwenye utajiri unakuwa Masikini na technologies zote izo, nchi zilizo nyuma zote zinang'ara sis mmh , aibu kweli

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын

    Wakati huo unatekeka samaki ,na mthee nazi unaenda kuokota Tu huulizwi na jitu,

  • @zainabkhatib6509
    @zainabkhatib65095 жыл бұрын

    Inasikitisha

  • @hashimshaban4675
    @hashimshaban46752 жыл бұрын

    Video hii huwezi iona TBC

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    Na TBC hawawezi kuweka video za kuutukuza usultan

  • @salma0000

    @salma0000

    Жыл бұрын

    @@jumakapilima7295 usultani upi

  • @Sheba4651

    @Sheba4651

    Ай бұрын

    ​@@jumakapilima7295Wataweka za kumtukuza nyerere babako.