Mzee aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar (1964) asimulia mambo yalivyokuwa

Msikie Mzee Bakari Juma aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 asimulia mambo yalivyokuwa na kipi kilipelekea mapinduzi hayo matukufu ya Zanzibar.

Пікірлер: 19

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf2 ай бұрын

    Bakora ya mungu iyoo ilokupata

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 Жыл бұрын

    Muongo mkubwa we mzee, tunajua mapinduzi yalifanywa na mamluki kutoka tanganyika waliosafirishwa kwa majahazi wakitokea tanga na bagamoyo.

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi33985 ай бұрын

    Karume mwenyewe anasema hajui chochote kuhusu mapinduzi 😂mzee vichekesho si angelikaa kimya tuu au angewambia wana mapinduzi wenzake wamtie meno kwanza 😊

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Жыл бұрын

    Mzee ameua watu wangapi? Watu wasio na hatia walionewa hasa wasio waswahili.

  • @seifbattawy9455
    @seifbattawy94556 ай бұрын

    Mzee kicheko nimekipenda 😂😂😂

  • @othmanmohamed1975
    @othmanmohamed1975 Жыл бұрын

    kazi nzr sana

  • @mubinsumra6257
    @mubinsumra62574 ай бұрын

    Huyu mzee Jana tu nimepishana nae anaendesha v8 tena namsalimia akanikaushia

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 Жыл бұрын

    Moto unakungojeeni

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh8 ай бұрын

    Lione hata aibu hana allhal akbaru

  • @pandungozi1072
    @pandungozi10727 ай бұрын

    wazee kama hawa musiwahoji kitu wala musiwatie kwenye mambo ya siasa hawajijui wala hawajitambui. wapeni zawadi za misala.tasbihi na misahafu watubie na kurudi kwa mola wa mbingu na ardhi. wahojiwe watu wenye akili zao timamu sio wazee kama hao wasiojielewa wala hawajijui wanasema nini. maneno ya kutunga yasioingia akilini yasio kichwa wala miguu hayo yote aloongea maskini🙈🙏

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 Жыл бұрын

    Kila mmoja na malipo yake kutokana na amali yake.. We chekaaa lakini kama umeua basi utaenda kulia

  • @1964AliK
    @1964AliK Жыл бұрын

    Maneno hayaingii akilini

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa78827 ай бұрын

    Kwa hivyo mzee wangu umewauwa wangapi?

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha41739 ай бұрын

    Utakwenda jibu kwa mola wako

  • @zainulahmed8206
    @zainulahmed8206 Жыл бұрын

    Mh

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n2 ай бұрын

    Muongo mkubwa wewe umeuwa wangapi

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief2 ай бұрын

    Kila cku mapinduzi nani hajui kama hili lilitokea

  • @eddynaeem6708

    @eddynaeem6708

    Ай бұрын

    subiri mzee wezako bado wanakusubiri yako malipo mumeekewa huko

Келесі