WEWE UNASEMA UNAOGOPA KUOA HALAFU UNAKULA KWA WAKE ZA WATU "PASTOR MGOGO

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZread : Pastor Daniel Mgogo kzread.info/dron/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 182

  • @user-jh6vi2ne5h
    @user-jh6vi2ne5h26 күн бұрын

    Barikiwa sawa paster kwa mafundisho mazuri waubiri wangekua namafundisho kama yako tungepona

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Жыл бұрын

    PASTOR MGOGO UNAYO SUMU SAHIHI SANA YA KUWAPA WANAWAKE NA WANAUME. KWA MINAJILI YA UUMBAJI WA FAMILY, mchepuke iko makundi yooote. Ila tunabarikiwa tu MUNGU kwa rehema na sisi viumbe batili kwenye utukufu wa MUNGU sawa na Adam na Hawa kuanzia hapo BAADA tulilaanika MILELE. Tukifa cha moto PIA kinatusubiri kwa BABA.

  • @deniceonyango1572
    @deniceonyango1572Ай бұрын

    Mchungaji hubarikiwe sana...Kwa mafundisho zako ata nikiwa na hasira Kwa nyumba,,,na shtukia na cheka tu.. because of your teaching....may God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @CathbertMalle
    @CathbertMalle13 күн бұрын

    Amina mchungaji wewe ni jembeee la yesu

  • @angeliquenduwimana5476
    @angeliquenduwimana547614 күн бұрын

    Mungu akubariki akujaze nguvu mutumishi

  • @user-gv4jx2fp4u
    @user-gv4jx2fp4u9 күн бұрын

    Nakubaliana nawe pastor Mgogo kuwa KILA MTU HUPENDA KUISHI NA WATU SAHIHI HATA KAMA YEYE SIYO SAHIHI 🙏

  • @JeanAcheniKanaume
    @JeanAcheniKanaume8 күн бұрын

    Asante baba kwa mafundisho

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl9 күн бұрын

    good pastor for pricheng amen

  • @Soni-lt6oi
    @Soni-lt6oiАй бұрын

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa hii mahubiri yananijenga kweli Niko saudia arabia MUNGU akubariki sana pastor

  • @bensonwere
    @bensonwere Жыл бұрын

    Mungu akubariki unagonga ndipo mtumishi wa Mungu

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs6 ай бұрын

    Nimebalikiwa baba amen

  • @SalimNyamawi-sw3kb
    @SalimNyamawi-sw3kb13 күн бұрын

    Amen amen amen

  • @petermulwa9773
    @petermulwa9773 Жыл бұрын

    Always happy with you. Live long to feed us through the word of God. Peter from Mwingi kenya 🇰🇪

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 Жыл бұрын

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu mafundisho mazuri sana

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 Жыл бұрын

    Watching from KSA Jeddah 🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @CaciliaNyakina
    @CaciliaNyakina Жыл бұрын

    Barikiwa sana ninebariwa sana sana mchungaji Mungu akubariki sana

  • @JescaSilas-qo8si
    @JescaSilas-qo8si22 күн бұрын

    God bless you pastor

  • @solomonmsengi6488
    @solomonmsengi64883 ай бұрын

    Ubarikiwe baba angu MUNGU akupe maono zaid baba you're the best ❤❤❤❤

  • @tiagoandreadamo3219
    @tiagoandreadamo321912 күн бұрын

    Watching from Ukraine, amen!

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi76008 күн бұрын

    Amen 🙏

  • @rachelkwizera3537
    @rachelkwizera3537 Жыл бұрын

    Najengwa Sanaaaaa namahubiri yako Mchungaji,, may God bless you

  • @StellaDaud
    @StellaDaud21 күн бұрын

    Yaan baba umenigusa panapo nakupenda sana mafundisho yako yananifundisha sana

  • @StellaDaud
    @StellaDaud21 күн бұрын

    Ubarikiwe sana mtumishi napenda sana mafudisho yako

  • @byelatibazigiza4305
    @byelatibazigiza4305 Жыл бұрын

    Bb nashndwa niandike nn bb unatuweza kwkweri tunune tusinune ukweri utabaki palepale tuna❤ Mungu azidi kkuinua kwa viwango vya juu

  • @rahabmurengi-bieg8669
    @rahabmurengi-bieg8669 Жыл бұрын

    Baba yetu muumba Mbingu na vyote duniani azidi kukupa maarifa na mahubiri makali ya kutukanya maishani. Vipasue vichwa hivi vigumu mchungaji Daniel Mgogo. Ubarikiwe

  • @herzbournombati5323
    @herzbournombati5323 Жыл бұрын

    Yes mtumishi wa Mungu mafundisho Yako yamebadilisha maisha yangu kabisa ni Bournface from kisii Kenya

  • @grease7635
    @grease7635 Жыл бұрын

    Mungu akuinue utukufu had utukufu hongela Kwa huduma.

  • @wilsonkinyamagoha7792
    @wilsonkinyamagoha7792 Жыл бұрын

    BWANA YESU ASIFIWE, mafundisho mazuri nashukuru sana.Kuna usemi kuwa nilidhani Wife kumbe Knife.

  • @j.bosconzokirantevye7125
    @j.bosconzokirantevye7125 Жыл бұрын

    Amen, Mungu azidi kukubariki Mtumishi wa Mungu !

  • @emerederibrahimu3316
    @emerederibrahimu33166 ай бұрын

    Asante pastor 🙏🙏🙏🙏

  • @harrietmmoji8404
    @harrietmmoji8404 Жыл бұрын

    Following from saudi Arabia 🇸🇦

  • @user-eo8zm3od5y
    @user-eo8zm3od5y4 ай бұрын

    Aksante

  • @EmmanuelBudeba-oh1ul
    @EmmanuelBudeba-oh1ul Жыл бұрын

    Mungu akubariki pastor, unainua mioyo iliyo zimika hakika mungu a kutumie katika msingi huo, by Emmanuel samson

  • @everlynemuthoki268
    @everlynemuthoki268 Жыл бұрын

    Pstr I want to bless you....nieleze vile nitakufikia....niko nchini Kenya Nairobi

  • @user-ns1jw3rl3g
    @user-ns1jw3rl3g9 ай бұрын

    Mungu Anaendelea kukuongezea upako

  • @mwaminikitundu8154
    @mwaminikitundu8154 Жыл бұрын

    Amina baba mungu azidi kukulinda na kukutunza Ili uendelee kutupa mafundixho haya mazur namna hii,

  • @blackbeuty1354
    @blackbeuty1354 Жыл бұрын

    Ubarikiwe na Bwana Yesu.

  • @orestakomba3621
    @orestakomba3621Ай бұрын

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @vinecentpeters7257
    @vinecentpeters7257 Жыл бұрын

    Zidi kubatikiwa .your relentless sermon is blessing to many

  • @ruthakondo9227
    @ruthakondo9227 Жыл бұрын

    Ooo pst,.sijui niseme nini Bali ninasema mungu Alie mbinguni.akutende mema tuu,.nimefundishika.kwa.kweli,mm ni Ruth kutoka Kenya Aamen🙏,

  • @wilmasissamowilmasissamo7529
    @wilmasissamowilmasissamo7529 Жыл бұрын

    Asante mchungaji kwa mafundisho unayotufundisha mungu akubariki

  • @user-sr5hn4bl5d
    @user-sr5hn4bl5d2 ай бұрын

    Mchungaji ubarikiwe sana kwa mafundisho yako

  • @user-lx3bs3iq8t
    @user-lx3bs3iq8t11 ай бұрын

    Yaan nakupenda san pasta mungu abarik kaz ako❤❤❤

  • @estacdkarisa4705
    @estacdkarisa4705 Жыл бұрын

    Hapo umesema pastor barikiwa sana kwa neno nimebarikiwa sana tupe vidonge vyetu kabisaa

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka6340 Жыл бұрын

    Mungu aku jaze roho mutakatifu.

  • @faustinmakotwe1741
    @faustinmakotwe1741 Жыл бұрын

    We do mchugaji wangu pendwa

  • @user-fs9ze8ey7r
    @user-fs9ze8ey7r3 ай бұрын

    Ubarikiwe mchungaji Mungu akubariki sana

  • @augustinomalle7298
    @augustinomalle7298 Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mchg kwa mafundisho

  • @mosesnalianya8195

    @mosesnalianya8195

    Жыл бұрын

    God bless you,,napenda maubiri yako

  • @Fanthasia-gj8cq

    @Fanthasia-gj8cq

    Жыл бұрын

    ❤❤❤

  • @rasoaukhevi4956
    @rasoaukhevi4956 Жыл бұрын

    Watching from Kangemi Nairobi Kenya

  • @dominickemoge1900
    @dominickemoge1900 Жыл бұрын

    Hongera sana mchungaji by dominic kemoge

  • @carolinsam6335
    @carolinsam6335 Жыл бұрын

    Amen watching from Saudi Arabia

  • @user-tm8ez1oz3t
    @user-tm8ez1oz3t4 ай бұрын

    Mungu akubariki baba

  • @victoriakanini7300
    @victoriakanini7300 Жыл бұрын

    Favorite pastor,from Emali 🇰🇪 Thank for blessing me always!!

  • @pascalwanjala7478
    @pascalwanjala7478 Жыл бұрын

    Watching from kajiado kenya

  • @angeliquenduwimana5476
    @angeliquenduwimana547614 күн бұрын

    Akufichuliye namengine

  • @BugaleMbavuFreddy
    @BugaleMbavuFreddy Жыл бұрын

    Muchunga ji ubarikiwe sana kwa mafundisho

  • @ievinejoseph2352
    @ievinejoseph2352 Жыл бұрын

    Napenda sana mahubili yako mchungaji

  • @jololoowe2926
    @jololoowe2926 Жыл бұрын

    Watching from Mombasa Kenya 🇰🇪 Mungu akubariki Pastor 🙏

  • @andreamsemwa7872
    @andreamsemwa7872 Жыл бұрын

    hongera kwa neno pastor daniel mgogo

  • @lucienntautabazi9669
    @lucienntautabazi9669 Жыл бұрын

    Pastor nakufata toka bukavu DRC na barikiwa na mafundisho yako Mungu akubariki

  • @merrylyimo5271
    @merrylyimo5271 Жыл бұрын

    Ubarikiwe mtumish Kwa ukwel kabisa

  • @user-fx7op3sk3e
    @user-fx7op3sk3e Жыл бұрын

    Asante baba

  • @vickykwembe5842
    @vickykwembe5842 Жыл бұрын

    Mtumishi MUNGU akubariki sana

  • @PinoniYohana-sm8kk
    @PinoniYohana-sm8kk Жыл бұрын

    Baba ubarikiwe sana

  • @rachelfadhili6879
    @rachelfadhili6879 Жыл бұрын

    Umbarikiwe mchungaji🙏🙏🙏

  • @dumeprosper2695
    @dumeprosper2695 Жыл бұрын

    Mubarikiwe sana Mucungaji we do love you always

  • @mariamupatric8437
    @mariamupatric8437 Жыл бұрын

    Hiyo ninemaa yabwana thank you Jesus I like you

  • @DeliusRogati-hb8ht
    @DeliusRogati-hb8ht Жыл бұрын

    Asante kwa mafundisho ya kweli Mungu akubaliki

  • @shalletkadzo6100
    @shalletkadzo6100 Жыл бұрын

    Aq asante mchungaji kwa mafundisho mungu akubariki

  • @mugishajosue1794
    @mugishajosue1794 Жыл бұрын

    Watching live from BURUNDI muyinga kobero

  • @fredrickousa8220
    @fredrickousa8220 Жыл бұрын

    Always a blessing listening to you pastor

  • @calvinnyamao3769

    @calvinnyamao3769

    Жыл бұрын

    I really appreciate and love your teachings. Indeed they are of great importance to modern life of Christians. Be blessed so much. Calvin, Kisii -Kenya.

  • @deboranyendwa3815
    @deboranyendwa3815 Жыл бұрын

    Nabarikiwa Sana na mafundisho yako

  • @kazungungala9620
    @kazungungala9620 Жыл бұрын

    May GOD bless you mtumishi.

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 Жыл бұрын

    Amen and Amen be blessed, Mtumishi sema tupone

  • @babramwansanguti8817
    @babramwansanguti8817 Жыл бұрын

    Hakika ahsante sana pastor kwa kuelimisha

  • @farajamusic9672
    @farajamusic9672 Жыл бұрын

    Ameen baba

  • @Precious699
    @Precious699 Жыл бұрын

    Always blessings in my life, rose from Kenya

  • @pauloloota688
    @pauloloota688 Жыл бұрын

    Amin aaaaaaa barikiwa

  • @patricklire7703
    @patricklire7703 Жыл бұрын

    May God bless you I Pst Patrick Liremele from Kenyan

  • @lydiakwamboka6985
    @lydiakwamboka6985Ай бұрын

    Ameeeen God bless u mjungaji

  • @87.6fm8
    @87.6fm83 ай бұрын

    Kenya

  • @alfredyemanuel9543
    @alfredyemanuel9543 Жыл бұрын

    Nakuelewa Sana mchungaji.

  • @marthaedward4624
    @marthaedward4624 Жыл бұрын

    Always heating to the point. Pastor/ home boy, proud if you

  • @davidsironka-co1dc
    @davidsironka-co1dc Жыл бұрын

    Thanks pastor May God bless your heart,,,most preacher are after money,,,

  • @mbossokn4949
    @mbossokn4949 Жыл бұрын

    Barikiwa sana pastor

  • @user-iv9yq4nq7d
    @user-iv9yq4nq7d2 ай бұрын

    Amina

  • @jamesmundi3978
    @jamesmundi3978 Жыл бұрын

    Watching from kiambuu county kabete, wakinge market gospel sweet by Pastor Daniel Mgongo from Tz, be blessed.

  • @aishayvonne1540
    @aishayvonne1540 Жыл бұрын

    My favorite pastor I love you so much Dady pastor na mungu azidi kukubariki

  • @mercylynemusundi580

    @mercylynemusundi580

    Жыл бұрын

    Aky nimecheka na ugonjwa wa kifafa

  • @naomikagonya-3192
    @naomikagonya-3192 Жыл бұрын

    Wambie,hawasikii.

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 Жыл бұрын

    From Kenya I have received uncountable blessings from you postor may and may the Lord God continue increasing you spiritually and mentally coz such people are being needed not only in Tanzania but world wide,you speak what God wants you to speak to his people and not from your mind or with an intention to hurt somebody else,so continue education African societies and also the whole world in general

  • @LaCharmanteL

    @LaCharmanteL

    11 ай бұрын

    Amen to that

  • @mlagz8032

    @mlagz8032

    Ай бұрын

    Ukweli mtupu dada.

  • @Nyatibura
    @Nyatibura Жыл бұрын

    Watching from Caldwell USA

  • @frola3643
    @frola3643 Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa huduma ya kimungu

  • @anurufuwiribrodianurufuwir1916

    @anurufuwiribrodianurufuwir1916

    Жыл бұрын

    Mungu akubariki naitwa anurufu wiribrod nimebarikiea Sana mtumishi

  • @okelosamuel3677
    @okelosamuel3677 Жыл бұрын

    Baba mchunganji Asante Sana. Ninatazama hapa Ug.

  • @MasabaLunyilija
    @MasabaLunyilija Жыл бұрын

    mafundisho mazur sana yani

  • @EsterMwita-kn6nw
    @EsterMwita-kn6nw6 ай бұрын

    Waambie baba wapone

  • @justuslubembe7177
    @justuslubembe7177 Жыл бұрын

    You are a blessing pastor

  • @ClaudiaMueni
    @ClaudiaMueni Жыл бұрын

    Be blessed

  • @tysonmwazembe7315
    @tysonmwazembe7315 Жыл бұрын

    shukran sana mchungaji

  • @dadiusoyaro6628
    @dadiusoyaro6628 Жыл бұрын

    the only true servant i know

  • @malachioliverogutu9925
    @malachioliverogutu9925 Жыл бұрын

    True gospel man of God. Listening from Kenya Mombasa

Келесі