KUWAKWAZA WATU KATIKA MAZINGIRA YAO NI DHAMBI | DINI ILIKUJA NA UTAMADUNI
Mchungaji #hananja amefunguka juu ya kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wale Manabii wawili walio wasili nchini wakionekana kuwa na mionekano iliyoleta gumzo na huyu hapa mchungaji Hananjja akitoa maoni yake kulingana na maandiko ya biblia
Пікірлер: 14
Yani baba angu upo vizuri sana
Nampenda xana
Mzee yuko vizur sana,mungu amuweke azd kutupa neno kila siku
Ahsante Mzee!
Kweli mzee wokovu nimatendo
@chapakubwamediahouse
6 ай бұрын
Sure
Wape maneno wasikie
Kabisa ❤❤❤
K
Kibali mot😅
@chapakubwamediahouse
6 ай бұрын
Babuu hataki mchezo amenyooka
Wachungaji vinjunga😊
@chapakubwamediahouse
6 ай бұрын
Wachungaji wanaleta wame trend balaa🤣🤣🤣
mungu mbariki hananja