BODABODA WASINGEKUWA NA VIFUA VYA KUTUNZA SIRI NDOA NYINGI ZINGEVUNJIKA "PASTOR MGOGO

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZread : Pastor Daniel Mgogo kzread.info/dron/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 53

  • @evangelistekanopatrickoffi2793
    @evangelistekanopatrickoffi27932 жыл бұрын

    Kwa kweli pastor ubarikiwe sana kabisa . Una kuwa baraka kwangu saana

  • @petromgala1818
    @petromgala18182 жыл бұрын

    Nimekuelewa mtumishi barikiwa sana

  • @joshuahamisi590
    @joshuahamisi5902 жыл бұрын

    Balikiwa sana mtumishi

  • @PhilipOdunga
    @PhilipOdungaАй бұрын

    Amen neno liendelee

  • @zacharynderitu5879
    @zacharynderitu58792 жыл бұрын

    halleluyah mtumishi Kwa Neema zake mungu nimejiunga na hapa Kenya uko louder and clearly

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala99512 жыл бұрын

    Amen, Asante baba kwa chakula cha kiroho

  • @user-nk6qy1me9p
    @user-nk6qy1me9p Жыл бұрын

    Napenda sana mahubili yako

  • @DorcasNaiaka
    @DorcasNaiaka6 күн бұрын

    Thanks pastor for your blessing

  • @bayamitsanze2018
    @bayamitsanze20182 жыл бұрын

    Huwa ananipa uongozi katika nyumba yangu Mungu wa mbinguni akubariki

  • @user-dr1dk1zd1w
    @user-dr1dk1zd1w10 ай бұрын

    Ahsante san mungu akutmie nguvu Kwa kutoa fundisho zuli

  • @roslinekasuma2069
    @roslinekasuma20692 жыл бұрын

    Asante mtumishi kwa mafunzo mazuri. Kenya.

  • @soeurbetty7667
    @soeurbetty76672 жыл бұрын

    Asante sana

  • @marynyambara6735
    @marynyambara67352 жыл бұрын

    Mchugaji hakika ubarikiwe. Sana uliguza moyowagu kwayale mafundisho kuhusu tufikirie peyemungu alitutowa. Mungu akubariki sana tena sana.

  • @edwinngetich5084
    @edwinngetich5084 Жыл бұрын

    Mafundisho yako mtumishi waja tu mungu akubariki sana.

  • @meryngoloka1550
    @meryngoloka15502 жыл бұрын

    Nabarikiwa,na,mafundisho,yako mchungaji

  • @mgemamgema95
    @mgemamgema95 Жыл бұрын

    Ameen

  • @hannanommy302
    @hannanommy3022 жыл бұрын

    Nu kweli kabisa boda boda wanaona mengi mnoo, ila Mungu wetu tupe moyo wa kukujua wewe na kuwa na hofu na wewe 🙏

  • @frola3643
    @frola3643 Жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana mtumishi was mungu

  • @beahjnr1860
    @beahjnr18602 жыл бұрын

    Mafunzo mazuri sana pastor 🙏🙏🙏

  • @salomejuma9627
    @salomejuma96272 жыл бұрын

    Nimependa mahubiri yakoooo pastor mgogo

  • @gabrielilumba7321
    @gabrielilumba73212 жыл бұрын

    Pastuer Mungu akubariki kwa mafunzo mazuri.

  • @mpendaradio2164
    @mpendaradio21642 жыл бұрын

    Baba Mchungaji mafunzo ya hekima haya.

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns1472 жыл бұрын

    Mchungaji niache yaani nilikuwa naletewa nguo mwezi wa tisa naivaa Christmas 😂😂😂😂acha kabisa jogoo wa Christmas sijui ndizi mchele acha kabisa Christmas ya kijijini ni tamu sana jamani

  • @sarahay225
    @sarahay2252 жыл бұрын

    amen Amen papa 🙏

  • @hamismuhile3667

    @hamismuhile3667

    2 жыл бұрын

    Asante sana ubarikiwe mchungaji

  • @stanleychongola137
    @stanleychongola1372 жыл бұрын

    Amen pasta barikiwa sana

  • @gaspanpetro9483
    @gaspanpetro94832 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mchungaji kwa mafundisho yako, kunakitu nimejifunza.

  • @jacrinejohakim2803
    @jacrinejohakim28032 жыл бұрын

    Barikiwa sana

  • @user-wg2qt7nd4f
    @user-wg2qt7nd4f Жыл бұрын

    Nabarikiwa sana mchungaji

  • @philiponjalika5769
    @philiponjalika57692 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana pastor mgogo

  • @lizmwita8337
    @lizmwita833728 күн бұрын

    Ndio mchungaji endelea

  • @mlagz8032
    @mlagz803229 күн бұрын

    😂😂😂 wewe sio living stone ulikuwa wa mia tano na sita 😂😂😂😂 asante sana pastor

  • @wilfredlucas6311
    @wilfredlucas63112 жыл бұрын

    Mchungaji Mungu akubariki tuu

  • @hiesentv7703
    @hiesentv77032 жыл бұрын

    Mchunganji umetuelimisha sana. mungu akubariki sana. Niko Nyeri Kenya

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 Жыл бұрын

    Mgogo unasema ukweli mtupu

  • @humphreychagali5894
    @humphreychagali58942 жыл бұрын

    ujumbe wa uponyaji katika familia

  • @jeremiaephron4222
    @jeremiaephron42222 жыл бұрын

    Amen mtumishi, ubarikiwe sn

  • @mmbondolukanda8298
    @mmbondolukanda82982 жыл бұрын

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @annakbunga8377
    @annakbunga83772 жыл бұрын

    Nawafundisha Sana watoto wng wavumilie kila nyakati zote tutakazo pitia nimebarikiwa Sana mtumishi 🙏🤲

  • @mrsaidi.b7478

    @mrsaidi.b7478

    2 жыл бұрын

    .。fu fu

  • @stanoangelagencies2034
    @stanoangelagencies20342 жыл бұрын

    amen man of God

  • @ruhekacharles
    @ruhekacharles2 жыл бұрын

    Amen

  • @jeanneclaude204
    @jeanneclaude2042 жыл бұрын

    Unamafunzo manzuri kabisa past mngogo

  • @juliusnyakangara-6937
    @juliusnyakangara-6937 Жыл бұрын

    Tx

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena32662 жыл бұрын

    Tufundishe Nasi Tunaokimbia kijijini Tunakuja Dar,,,Kutafutakazi,,,Tunakimbia kulima Tunakutanana Ajira Yakuokota Makopo,,,,Tunakimbia shamba

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 Жыл бұрын

    🙏🙏🙏

  • @saidimgawe6548
    @saidimgawe65482 жыл бұрын

    👏🤝

  • @jailosmwashiuya3858
    @jailosmwashiuya3858 Жыл бұрын

    Sema baba tupone

  • @jescafrances2323
    @jescafrances2323 Жыл бұрын

    Pastre

  • @wangemil8025
    @wangemil80252 жыл бұрын

    Inafaa serikali iwaandalie bodaboda malipo maalum kwa vile wanaokoa ndoa nyingi.

  • @wilfredlucas6311
    @wilfredlucas63112 жыл бұрын

    Mchungaji unaongea ukweli

  • @felicitygakii6916
    @felicitygakii69162 жыл бұрын

    Haha

  • @anamarykasimbazi2788
    @anamarykasimbazi27882 жыл бұрын

    Amen

Келесі