MCH. RICHARD HANANJA AWAACHA WATU HOI KWA KICHEKO WAKATIKA AKIFUNDISHA KWENYE KONGAMANO LA VIJAN
MNENAJI - MCH. RICHARD HANANJA
TUKIO - KONGAMANO LA VIJANA LA UREJESHO NA UAMSHO (RESTORATION & REVIVAL CONFERENCE)
MAHALI - MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"
TAREHE - JUNI 07.2022
Пікірлер: 88
Biblia iko kichwani hongera sana mchungaji Mungu akubariki, nami nivuviwe huo upako kwa jina la Yesu amen
Titus Ubarikiwe, Mungu atuinulie wengine wengi kama Mch Hananja
Honger san mchungaji una gusa vijana san ujumbe mzuri
Napenda doctor Rose anavyokuwa pamoja na pastor.barikiweni Sana 🙏🙏🙏
Huyu mtumishi anakipawa cha ajabu aisee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
DAAAAAAH!PASTOR ANA MADINI SANA NA UWEZO WA AJABU SANA.BE BLESSED!
MUNGU akubariki sana pastor kwa huduma yako njemaa sanaa na kwa mafunuo makubwa ya mafundisho ya biblia
Yesu naomba karama kama ya huyu Mch anasoma bibilia Kwa kichwa Mungu Mpe maisha marefu Mch karibu karatu
@waridimushy22
Жыл бұрын
Karibu jmn
Mimi naona ushindi kwa imani.. Hallelujah, hallelujah.
Ameeen hallelujah mchungaji
God bless u pastor
Oooohhh my God! The God of Pastor Hananja, I will serve you Ebenezer.
Very inspiring indeed may God bless u
Mwamba imara ubarikiwe pastor.
God bless Apostle T. Mwangi now nmejua the secret ya kubarikiwa kwako ni kuheshimu na kuwatambua God's generals
Muchungaji Mungu akutunze sana baba
Amen sana mtumishi
Umeimeza baba mngu ukubariki sana
Ulijuaje paster
Ameen Ubarikiwe mtumish
Biblia kichwani mungu nijalie kipawa hiki
Barikiwa sana mchungaji tunapona kwa masomo yako.
Hananja Mungu akubariki vifungu vipo kichwani duh!
It good we want to see everyday
I can see my Pastor Apostle T.Mwangi in the service
Hongera zake mchungaji
Mungu apewe sifa, hakika Neno la Mungu limenibariki.sifa na utukufu ni kwa Bwana. Naomba hy neema ya kusoma mstari na kuelewa na kuishi kwa Jina la Yesu. MUNGU MWEMA AKUTUNZE MNO.
@VincentKarithi
Ай бұрын
Ameni
Sema nimekukubali pastor yaan hasa pale unavyotema cheche kusemamistari Bible kwa kichwa bila kufungua ht biblia kweli umekula kitabu mtumishi
Amen Mungu akubaliki sanaa
Neema ikutoshe umenibariki sana asubuhi ya leo
Nilichelewa sana kukujua mtumishi wa Mungu Mungu akutunze baba
I really love this astor
Amina
Ameni Mtumishi.
Kwakweli huyu mchungaji nimmenda bure biblia inasomwa kwa kichwaaa duuuu Mungu kambariki kwel
Namuona pastor t
Emilly Shali: Ameen barikiwa Sana mchungaji
Pastor ubarikiwe xna Bibilia yote imo kichwani daah tupe siri mtumishi
Aminaa
Hatawaacha hoi sana huyo ila ufalme wa mungu unanyakuliwa na wenye nguvu. Sio kuchekeshwa
Hiki kichwa nakielewa sana, kinasoma Biblia pasipo kuifunua physically
@lulu24peter24
Жыл бұрын
😂😂😂😂Amen
Emen barikiwa umeponya moyo wngu
Injili ya moto
Amen ! Amen
Amen
Anaweza kuvunja mbavu mtu
NIMEBARIKIWA SANA KWA BARAKA KENYA
Huyu kwakweli ndiye mtumishi wa Mungu kichwa kimejaa mistari ya Biblia. Hakika Mungu yuko na huyu Mchungaji.
Amen Amen
Ameen
Naombeni namba ya hananja please
🙏🙏🙏
Sanamu lake sijui tutakaaa kwa wapi
Ameeeni
Amenifurahisha sana kuhusu teja aliyeingiza mkono kwenye mfuko wa rais wa mtaa
@geofreykomanya4968
Жыл бұрын
p
Ee umesoma biblia .mtumishi
Good
Nyimbo za zambia
Mzee wa hekima na busara
Mngu nipe kama huu.
MAFUNZO MAZURI
Hallelujah jesu anatangaza mema juu ya familia yangu..kwa jina la jesu.. AMEN
3
Sina maoni
Pastor nipe siri ya kukariri mistari ya biblia dah kila mstari unao kichwani. Hii ni neema ya pekee sana sidhani kama una mpinzani dah!
@bernardmkuffya5171
Жыл бұрын
Jitahidi sana unaposoma bibilia takatifu,uwe unaandika zile AYA ambazo umezipenda,au unahisia nazo na jitahidi kuziongea onapoongelea Mambo ya kidini na wenzio.Then hakikisha unazisoma kila siku.Ubarikiwe sana. Halafu yupo MTU mmoja Ni mkenya msabato,anaitwa Pastor Ndacha muangalie YOTUBE
@slaviousluambano2115
Жыл бұрын
Jifunze kusoma biblia Kila wakati na jitahidi kuyaishi hayo unayoyasoma 😃
@KevinCrala
Жыл бұрын
Daaa mungu akutunze
@darcinmubeza1560
7 ай бұрын
Hana mpinzani
@faustinhommedetatnifasha9669
2 ай бұрын
Fanya bibilia iwe lafiki Yako Fanya ulafiki n'a bibilia
Mungu nipe akili kubwa
Baba mchungaji ana biblia yote kichwani
Ameee kubwa mtumishi
@violetmuchunguzi7556
2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba mchungaji.....
@janesekimweri1620
Жыл бұрын
God bless you pastor
Richard Hananja anavyohubiri anafanya Injili kuonekana nyepesi mno SASA HUBIRI wewe uone Shughuli
🤣🤣🤣🤣
Q😊‐
Amen
Amen
Amen