MWANAMKE TUMBO LIKO HIVI LAKINI MWANAUME HAONI KABISA BADO UNAMTESA MKEO "PASTOR MGOGO
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZread : Pastor Daniel Mgogo kzread.info/dron/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Пікірлер: 178
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho yako Mungu akuzidishie miaka tele.
Mafundisho yako tunayapokea kwa moyo wote baba,be bless 🙌🙏♥.
Mungu akupe maisha marefu hapa duniani baba Mgogo. Huwa ninakuelewa sana. Barikiwa sana!
@nesterygeho975
Жыл бұрын
MUNGU akuweke zaidi mgogo
@edinakimario9970
10 ай бұрын
@@nesterygeho975 iiiiiiiiiiiiii8iiyuiii
@user-lo4rb1kn9i
2 ай бұрын
Nakushukulu San wanaume wengi wanatabia hiyo kwahiyo wakilekebishe
@JoyceVulimu-jm6zz
Ай бұрын
Good bless u pastor
Barikiwa sana mchungaji kwa kutuelewa sisi wanawake🙏
HERI MAZIWA ULIONYONYA,NA TUMBO LILILOKUZAA.
@annabashasha1409
Жыл бұрын
Kweli Lina heri tumbo lilikubeba mchungaji,Mimi Nina mume kama unayemsema ni katili mno!!
Amina amina Baba napokea mafundisho mazuli
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana kwa mafundisho yenye kubadilisha maisha
Unasema ukweli kbs mtumishi wa Mungu
Ameen unasema kwel mtumishi
thanks pastor Daniel mgogo and God bless you 🙏 🙌. fundisho yako ilo nzuri
wanaume wanakera sana mungu akupe maisha mengi mchungaji najua limefika kwa wanaume
Nakupenda bure paSita mgogo wambie hao
Asante kwa mafundisho mazuri yanajenga
Mungu akulinde pastor
Barikiw pastor kwa mahubir
Asante mchungaji
Aise pastor,,,2namwomba Mung akujalie uwepo wako milele ili elimu hii iwasaidie vizaz vijavyo!!!!!!! Amen!!!!
Ahsante sana kwa kipindi
Be blessed pastor
pastor mafundisho Yako imenijenga sna nimejifundisha maandiko
Thanks pastor kwa mafundisho Yako from kenya 🇰🇪
Amina baba 🙏 🙏. Ningekuwa Na uwezo Ningekualika Burundi. Utusaidie wa maman wengi tunateswa
@kisakalingasugu3294
Жыл бұрын
Balikiwaaa mutumishiii
Wa kukuchukia basi ni kichaa. Maubiri yako yote amazing Sana🔥👌 You're God sent. Na pia ucheshi katika maubiri yako ndio unaleta kuelewa Kwa neno zaidi.#ninapo fungulia KZread kukuskiza huwa natamani kueka screen kubwa Sana ulimwenguni tukutazame sote all over the world you preach facts.
Heri kufanya kazi mimi nilikua napigwa nikiwa mimba nashukuru Mungu niliondoka
@samsonjoseph7320
Жыл бұрын
Juliana....
Waambie baba hawafikirii kila wakati kuwanyanyasa wanawake
Ubarikiwe
We kenyns we love u man of God....be blessed
Congrats pasta napenda mahubiri yko saana
Barikiwa sana baba
Pastor you are the best person congregation yale unaongea ni ukweli tu.
Amen pastor be blessed unatuherimisha sana napenda mafunzo yako from 🇰🇪
@jacklinemomanyi1651
Жыл бұрын
Amen pastor God bless u.
Burundi, paster naseema Amen. Asante
Mchungaji ubarikiwe Sana
Mungu akubariki sana pastor unabariki moyo wangu sana
Continue receiving blessings pastor... Mungu akuonekanie🙏🙏🙏
Amen mungu azidi kuk barik
Ubarikiwe muchungaji ubarikiwe Sana baba
Hatari Sana mgogo
Safi sana
Umenifurahisha sana na maneno yako ya boko haramu
Balikiwa saana mchungaji mgogo nakupata vzuli
Burundi tunabarikiwa namafundisho yako
I swear if you came to kenya wallahi siwezi kosa semina yako
Ni kweli pastor ubarikiwe sana
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
Sema baba wapone
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
Kabisa muungaji ubarikiwe
Amina 🙏🙏🙏 mtume
Good bless you so, much
Nakubari baba
Blessed pastor sana hayo nishayapitia😢
Ubarikiwe sana Mchungaji 👏
Jamani mungu akupe maisha marefu pasta.
Nakupenda sana pasta🙏
Barikiwa Sana past
Kweli nakuunga mkono
Hahaha 🙌🙌🙌🙌🙌🙏barikiwa mchungaji kwa mafunzo
Mungu akuongezeye kipao niko uko Congo bunia
NAKUPENDA sana baba
Mungu akubariki mno mtumishi wa Mungu, yaani wa mama tunakazi .
Very encouraging message 👏 God bless you Ministry 🙏.
Uku drc tunakufwata 5 juu ya 5 Mungu akuongezeye karama
Mungu akubariki Pastor Mgogo Kwa mafundisho mazuri
You're the best pastor God bless you
Nakukubali babayangu
Iyo kweri baba wanaume hawana uruma
Be blessed Man of God
ubarikiwe mchungaj kwa maubiri
I always thank God for blessing me with a committed man 🙏🙏🙏
@jotamonyabenda1316
Жыл бұрын
👏👏👍🙏🙏🙏
Amen
Pastor Mimi nliteswa ,Hadi ujauzito nlikua nao tuboni , after kufanyiwa upasuaji,nlikaa na mtoi siku moja na akaanga, OMG aliaffectiwa na zile strez nlipewa ,na bado drama za kupewa stress nkonazo pia.niombee pastor nataka kuachana Io ndoa kabsa
Nakupendaga sana mungu akuweke sana kwaajili yetu wamama
Hallelujah
Mchungaji nakupenda ila mafundisho yenu yote anaanzia kati tutapata wapi mafundisho anae Anza mwanzo wake mmi Niko hapa Rwanda
Nina penda mafundisho yako pst mungu akupariki
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupata kwa njia saafi
Amina Baba✍✍🙏
Ameni pastor jamani
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana
Be blessed man of God you always bless me
Amen amen
+254 tupo… zidi mchungaji. Baraka tele
Am so blessed with this wonderful lesson
Huyu pastor aparkiwe
Be blessed
Baba nazidi kukubariki hakik
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I love you my all time pst 🙏
Be blessed 😍 😍 😍 😍
Daaaaaah jaman 😭kuna wanaume hawaskii kabisaa ata uweje woi
@edenimmasianase7569
Жыл бұрын
Wee Acha tuu
Unajua kunielimisha mtumishi barikiwa sana🙏🙏🙏
@weathcreationandinspiratio3315
Жыл бұрын
This 🇯🇲 🇰🇪 has 👋 👌 🔥 😍 💯 that you can take
Amen 🙏 ❤️❤️ very true 🤣🤣🤣
God bless you 🙏 ❤
Be blessed pastor 🙏
Mwana mke akiwa na mimba anafaa kufanya kazi kabsa ndio atakuja jifungua salama,
Ukweli Mimi nimembandilika God be with you
Amina 😂❤
Ukweli kabisa