Lini Utapita kwangu - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).

Watch,hear the Message and Share "NILIMWITA BWANA" (Gospel Song).
#AbiudMisholi#NilimwitaBwana#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Spotify - open.spotify.com/artist/4ZCBt...
Boomplay - www.boomplay.com/artists/6301...
Mdundo.com - mdundo.com/a/259766
Amazon Music - www.amazon.com/s?k=Abiud+Mish...
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com

Пікірлер: 822

  • @mirriammanda4604
    @mirriammanda46046 ай бұрын

    Pita kwangu BABA 2024 nione mkono wako.😭🙏 Wenye Munaamini kwamba Mungu atafanya njia jamen tujuane

  • @barakamatovu4277

    @barakamatovu4277

    5 ай бұрын

    Amina🙏

  • @user-zu1mh1pp7t

    @user-zu1mh1pp7t

    4 ай бұрын

    Emen

  • @estherkamera4118

    @estherkamera4118

    3 ай бұрын

    Amen

  • @winifridajohn9226

    @winifridajohn9226

    2 ай бұрын

    Amen

  • @silviawayera5362

    @silviawayera5362

    2 ай бұрын

    Amen

  • @shafiiluthermadanganya9206
    @shafiiluthermadanganya9206 Жыл бұрын

    mimi ni muislam walakini nyimbo zako zaniponya kiroho na mwanyazi mungu akujaalie na kheri juu yako naitwa shafii khalifa mussa

  • @sofiahassan7568

    @sofiahassan7568

    Жыл бұрын

    Yesu atakukomboa wakati wake ukifika

  • @amanielie2932

    @amanielie2932

    Жыл бұрын

    Mungu akubariki muchungaji

  • @marianahermes6301

    @marianahermes6301

    Жыл бұрын

    Shafii mpe Yesu maisha Yako Sasa atakushangaza sana katika Yale mambo uliyoyasubiri muda mreffu.

  • @winifrida-nz8tv

    @winifrida-nz8tv

    Жыл бұрын

    Naitwa win yohana nabalikiwa sana nanyimbo zako mungu akubariki sana

  • @eliyasanga6374

    @eliyasanga6374

    11 ай бұрын

    Ongera kaka shafiii

  • @julianamuendo90
    @julianamuendo908 ай бұрын

    Leo mara ya kwanza kusikiza huu wimbo nikiwa mgonjwa mda wa miezi mitatu, ila naamini leo mungu atatenda

  • @frankphelemonpallangyo8645
    @frankphelemonpallangyo86453 ай бұрын

    Leo naomba upite kwangu mwaka 2024 ukawe mwaka wa shuhudaaa

  • @user-qj7hs5wh3i
    @user-qj7hs5wh3i9 ай бұрын

    Naacha comment hii hapa, ili siku moja nirudi na ushuhuda LINI UTAPITA KWA FAMILIA YANGU, GOD your power are limitless ,your grace is sufficient, Nagusa pindo naomba usikie mguso wa kipekee ... Tabu yangu iondoe YESU KRISTO 🙏

  • @johnmenjo7404

    @johnmenjo7404

    Ай бұрын

    Soon my sister

  • @DorrineWeru

    @DorrineWeru

    Ай бұрын

    i dont know how but i feel its closer than ever,keep pushing in prayers dont hesitate in your dream

  • @user-zf8us2rz6o
    @user-zf8us2rz6o2 ай бұрын

    Mungu huu mwaka upite kwangu baba, nimeitwa majina mengi baba, Mungu nisiwe mama wa makaburi bali nilee mtoto 😢😢😢😢

  • @perismueni7462

    @perismueni7462

    Ай бұрын

    May God remember you

  • @ClarisShiaka

    @ClarisShiaka

    Ай бұрын

    God is with you and he hear all your heart desires

  • @JevlineShali

    @JevlineShali

    Ай бұрын

    God ll bless you with the child who ll stay in Jesus name 🙏

  • @user-pc1sw3pp8z

    @user-pc1sw3pp8z

    Ай бұрын

    Kwa Imani mungu atatenda amni tu

  • @mariammaine3876
    @mariammaine3876 Жыл бұрын

    Leo upite kwangu yesuu🙏tabu zimenichosha yesu wang mzigo umenichosha eeeh bwanaa😭🙌

  • @mch.abiudmisholi

    @mch.abiudmisholi

    Жыл бұрын

    Neema ya Mungu ikuwezeshe na kukupigia

  • @user-op8oh5nq2g

    @user-op8oh5nq2g

    7 ай бұрын

  • @prophetCR

    @prophetCR

    3 ай бұрын

    amen mimi naipokea wakwanza

  • @AnnahWanjala

    @AnnahWanjala

    22 күн бұрын

    Mungu ni Mwaminifu ata tenda

  • @victoriasezi2469
    @victoriasezi2469 Жыл бұрын

    Wimbo huu unapoimbwa nasikia Tu Yesu amepita Kwangu unafungua mahali ambaponilona kuna Giza nakuona mwanga.Mungu wabinguni na amubariki na Amani ya Bwana iwe nanyi Amen 🙏

  • @TatuOmar-wg5hj

    @TatuOmar-wg5hj

    9 ай бұрын

    God bless you

  • @victoriasezi2469

    @victoriasezi2469

    9 ай бұрын

    You too......

  • @Fey-stephen
    @Fey-stephen5 ай бұрын

    Huu wimbo nikama uliimbwa kwa ajili yangu...❤❤❤❤...am too deep in to this encouraging song

  • @DaudNyihwil-ki6rv
    @DaudNyihwil-ki6rv5 ай бұрын

    Mungu azidi kukutu mia

  • @everlyndiya7492
    @everlyndiya7492 Жыл бұрын

    Pita kwangu yesu fungua njia zangu mungu wangu 🙏🙏🙏

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 Жыл бұрын

    Pita kwangu leo yesu wangu unifanyie wepesi katika yote yaliyokua magumu kwangu kwa akili za kibinadamu yakawezekane kwa nguvu za mungu🙏

  • @agathagelard6168
    @agathagelard61682 ай бұрын

    mungu nakuomba uzidi kupita maishani mwangu na kwenye familia yangu🙏🙏

  • @user-pc1sw3pp8z
    @user-pc1sw3pp8zАй бұрын

    Emen mungu nashukul ulipita kwangu na shukul nilipofika nanilipo kua baba utukuzwe mbingun na duniani Emen

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 Жыл бұрын

    Yesu Simama pamoja nami fungua njia zangu Eeeh Yesu wangu

  • @user-jh5zm4bt9t
    @user-jh5zm4bt9tАй бұрын

    Yesu ninataka kugusa pindo lako nimechoka n haya mateso mungu yangu

  • @theaidanny753
    @theaidanny753 Жыл бұрын

    Pastor na ule wa Uje Yesu Naomba utuekee Uku

  • @AnnahWanjala
    @AnnahWanjala22 күн бұрын

    Mungu ume pata kwangu,Nashukuru lakini hili Baba laniumiza naomba nipate amani Mungu wangu

  • @shadrackshango
    @shadrackshango Жыл бұрын

    Abuid MUNGU Asikuache Ktk Utumishi Wako Hakika Kazi Yako Sio Bure MUNGU Akukumbuke Sana Sana Pamoja Na Familia Yako Asiiache Na Hayo Ndiyo Maombi Yangu Kwa MUNGU Ameen.

  • @Christ217Masiko
    @Christ217Masiko Жыл бұрын

    Kwa namna hii, mbingu IPO wazi........ Mungu akubariki sana Mchungaji wetu wa Tanzania yote. Unabariki maisha yangu

  • @nkurunzizafiston-ni5zk
    @nkurunzizafiston-ni5zk9 күн бұрын

    Nimaliziye madeni yangu na ya familia yangu sina amani pita kwangu rafiki mwema maliza sasa aya mashozi

  • @ajuayejohn1269
    @ajuayejohn1269 Жыл бұрын

    Badilisha maisha yangu yesu🙏🙏🙏🙏😭

  • @lydialomnyaki2191
    @lydialomnyaki2191 Жыл бұрын

    Wimbo huu umefanyika baraka sana maishani mwangu, hakika tunahitaji kutembelewa na Mungu

  • @eunicezawadi9844

    @eunicezawadi9844

    Жыл бұрын

    Tabu zimenichosha

  • @christinekitonga4491

    @christinekitonga4491

    Жыл бұрын

    QqQ

  • @arthurmichaeljunior7799

    @arthurmichaeljunior7799

    5 ай бұрын

    Amen 🙏

  • @annamonela2641
    @annamonela26415 күн бұрын

    Ee Mungu naomba upite katika maisha ya familia yangu,uchumi wangu,familia yangu,afya yangu na Shule yangu.Naomba upite kwenye uchumi wangu hii June nitimize yote niliyokuomba Bwana Yesu.Naomba upite kwangu ili nije kutoa ushuhuda hapa.

  • @user-xe7xb1ml4h
    @user-xe7xb1ml4h5 ай бұрын

    Nyimbo zako hunijaza sana hata kama mimi ni Muslim bt zinaniinua na kunijenga kiroho.ubarikiwe mchungaji

  • @japhetkipkemboi4738
    @japhetkipkemboi4738 Жыл бұрын

    Lini utapita kwangu me nataka niguze pindo lako yesu 🙏🙏🙏🙏

  • @janekeli5727
    @janekeli57272 ай бұрын

    Zidi kupita kwangu,,thankyou lord for all u r doing in my family,,ur daughter is grateful.

  • @bklanionix9972
    @bklanionix9972 Жыл бұрын

    Lini utapita kwangu...nisamehe dhambi zangu YESU, asante MUNGU MWENYE NGUVU

  • @jesca6057

    @jesca6057

    Жыл бұрын

    pita kwangu Baba

  • @marymutindi3125
    @marymutindi3125 Жыл бұрын

    Lini utapita kwangu....im patiently waiting you Jesus

  • @Judithadhiambo-rv4bv
    @Judithadhiambo-rv4bv2 ай бұрын

    Naomba upite kwangu hii mwaka mungu 😭😭

  • @t.imrema9183
    @t.imrema9183 Жыл бұрын

    Bwana naomba unsaidie nimalze mwendo salama

  • @jacqmorah7865
    @jacqmorah7865 Жыл бұрын

    Kweli hii nyimbo inatia moyo sana mungu akubariki sana mutumishi

  • @richardamswetyjesus8017
    @richardamswetyjesus8017 Жыл бұрын

    Yesu azidi kupitia watoto wake

  • @coolj4086
    @coolj4086 Жыл бұрын

    Bwana yesu asifie watakao soma ujumbe huu miika mbiri irio pita nirikiwa nikiutaza wimbo huu moyo wangu ukiuimba Kwa ndani Kwa yale mambo nilikuwa nikipita Kwa mwangu mambo magumu siwezinikaereza na nilikuwa na imba wimbo nikiuliza mungu nilini utapita

  • @user-oj9sk9ey6e
    @user-oj9sk9ey6e4 ай бұрын

    Mungu wangu ni lini utabita kwangu nabtia magumu tena tunadharauliwa kwa umaskini mungu pita kwangu nije nibadilishe kwetu angalau tuonekane mungu😭😭😭😭😭

  • @godfreykwejah
    @godfreykwejah Жыл бұрын

    Nyimbo hizi huniponya, hunifariji sana na kunitia moyo na kuanza safari upya

  • @mwatumuomari3727
    @mwatumuomari3727 Жыл бұрын

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi wa Bwana wimbo huu kweli unabariki

  • @putgmedia
    @putgmedia Жыл бұрын

    Nashukuru Mungu Kwa ajili ya huu wimbo! Umebariki moyo wangu Sana. Hallelujah. Amen.

  • @felistas2403
    @felistas2403 Жыл бұрын

    Pass me not my God, nice song from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MariamChimbwete-fg2nq
    @MariamChimbwete-fg2nq5 ай бұрын

    Munguakuinue zaidi katika kumtumikia nimemuona mungu kupitia wimbo huu🙏🙏

  • @JeremieIleri
    @JeremieIleri2 ай бұрын

    Naguswa na nyimbo huu ninapenda tuwasiliane nawe, nalwalika inchini congo D.r.c/bunia

  • @janethrobertasanteyesu3234
    @janethrobertasanteyesu3234 Жыл бұрын

    Leo upite kwangu yesu,,,🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ClarisShiaka
    @ClarisShiakaАй бұрын

    Am waiting Yesu upite kwangu huu mwaka ninunulia my kids plot ,that is my heart desires this year, I know you will bless me Amen

  • @elynesaddy9878
    @elynesaddy9878 Жыл бұрын

    Ee yesu mwema kwa maneno kwa matendo au kwa mawazo yangu nakuzuia kupita kwangu natubu dhambi zangu,, pita kwangu pia.

  • @tumainiurio3644

    @tumainiurio3644

    Жыл бұрын

    Hakika yesu ni BWANA

  • @doricusmsimbe4889
    @doricusmsimbe4889 Жыл бұрын

    Leo upite kwangu yesu nakuomba pita katika maisha yangu mungu 👏👏

  • @Simonpepela-tu5lk
    @Simonpepela-tu5lk5 ай бұрын

    nimebarikiwa kupitia kwa huu wimbo

  • @user-yh7hr6mb1v
    @user-yh7hr6mb1v5 ай бұрын

    mjue MUNGU wa kweli akujuaye

  • @BELVINMURUGINJERU
    @BELVINMURUGINJERU Жыл бұрын

    Glory to God, Nilini utapita kwangu Mungu wangu. This year be my year!

  • @janemboya5382
    @janemboya5382 Жыл бұрын

    Mungu wangu pita Kwa maisha yangu nimechoka nakudanganywa kweli

  • @freedomlifeministry2016

    @freedomlifeministry2016

    Жыл бұрын

    Kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utakuwa sawa sawa

  • @elionoramtei4410
    @elionoramtei4410 Жыл бұрын

    2022July 19 Ninaomba Yesu upite kwangu.

  • @malandabetty6121
    @malandabetty6121 Жыл бұрын

    Leo pita kwangu Yesu...nifute machozi yangu..pia Mimi nibariki Yesu..pita kwangu Yesu.

  • @AgustinoMdeke
    @AgustinoMdeke5 ай бұрын

    Pita kwangu mungu wangu mwaka huu ukaniguse kila mahali🙌🙌🙌

  • @khadijangoda6945
    @khadijangoda6945 Жыл бұрын

    eee yesu pita kwangu unipe amani ya maisha

  • @catherinekwagilwa9051
    @catherinekwagilwa9051 Жыл бұрын

    Wimbo wenye kuinua kiwango cha Imani kuu, nami nakiri kupitia wimbo huu Yesu niguse ili niondokane na niliyonayo.....Niguse Yesu usiniache nilivyo

  • @elisianajoseph374
    @elisianajoseph374 Жыл бұрын

    Niguse na mimi mungu naomba upite na kwangu nitembelee na mimi mungu wangu nimechoka haya mateso

  • @EdeniMbuma
    @EdeniMbumaАй бұрын

    Mwenyezi mungu akubariki sana ujumbe unasambazwa ipasavyo

  • @marydimdoy4910
    @marydimdoy49102 ай бұрын

    Lini MUNGU utapita kwangu katika maisha yangu

  • @johnmenjo7404
    @johnmenjo7404Ай бұрын

    I'm blessed watched from Tiktok and turned to watch on KZread who is watching withe from Canada

  • @mch.abiudmisholi

    @mch.abiudmisholi

    Ай бұрын

    Be blessed

  • @faithsiakilo2163
    @faithsiakilo2163 Жыл бұрын

    Mungu lini utapita kwangu??😭😭😭😭😭

  • @mwalimumlangwa2425
    @mwalimumlangwa2425 Жыл бұрын

    Ee YESU KRISTO uliye hai usinipite naomba uninguse nami nipate uponyaji na baraka

  • @umazinada9666
    @umazinada9666 Жыл бұрын

    Hallelujah wimbo huu huwaunani bariki nakunitiya nguvu na moyo mungu akubariki Sana mtumishi wangu mungu eeeh mungu nahitaji nikakuone huu ya maisha yangu

  • @getrudetarimo6021
    @getrudetarimo6021 Жыл бұрын

    Mungu awe pamoja ni sisi wote

  • @hehedjjf3588
    @hehedjjf3588 Жыл бұрын

    Pita kwangu yesu,usiniache pita baba...huu wimbo unanitia moyo sana,,,,,barikiwa sana wewe uliye imba

  • @SjbwvXhbdddhdj-hw3kv
    @SjbwvXhbdddhdj-hw3kv10 ай бұрын

    Mimi nilikuwa nikiwa kwenye matatizo makubwa ila saii nipata nafuu kupitia nyimbo za kuabudu na kusifu kwa jina la yesu kristo ninafunguliwa kwa neema ya Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭☝️ ☝️☝️ itafika kwangu

  • @AnnahWanjala

    @AnnahWanjala

    22 күн бұрын

    Ita fika jibe Moyo na tumaini kwake Mungu

  • @douglasnjuguna4185
    @douglasnjuguna4185 Жыл бұрын

    Bwana Yesu naomba upite kwangu

  • @eunicezawadi9844
    @eunicezawadi9844 Жыл бұрын

    LEO upite KWANGU Yesu Tabu zimenichosha 😭😭🛐🛐

  • @laliyamusasilwa-tw9zq
    @laliyamusasilwa-tw9zq5 ай бұрын

    Mungu baba namimi ninguse baba shida ninyingi Simama nasibaba 😭😭😭

  • @user-bs6rb9lo8c
    @user-bs6rb9lo8c3 ай бұрын

    pita kwangu mungu kwa huu mwaka nakuomba mwenyezi mungu

  • @judyjohn6368
    @judyjohn6368 Жыл бұрын

    Nabarikiwa xaan

  • @glorychuwa3664
    @glorychuwa36649 күн бұрын

    Pita kwangu baba nitoe kwa mateso na kunipa kz ya amani na upendo ktk kutafuta riziki ya maisha Yesu wangu😢Nimechoka masimango na kutumikishwa kama mtumwa asiye na haki kama wanadam wengine

  • @sarahgimonge2214
    @sarahgimonge221410 күн бұрын

    Ee, Mungu nimekuona mara nying ukipita kwa wengine naomba namm hii 2024 iwe zamu yangu kupita kwang, nayoyapitia yamenichosha Mungu wangu 😭😭

  • @makenajoy6012
    @makenajoy6012 Жыл бұрын

    lini utapita kwangu ninakata kuguza pendo lako yesu fungua mlango wa ndoa in Jesus name

  • @user-qj9hb5ug2e
    @user-qj9hb5ug2e7 ай бұрын

    Natamani misholi ungekuwa msabato, barikiwa Kwa kaI ya injili

  • @aminatwahiri327
    @aminatwahiri327 Жыл бұрын

    Wimbo wangu pendwa kabisaa

  • @maryalphonce8486
    @maryalphonce8486 Жыл бұрын

    Nimechoka Yesu naomba upite kwangu sasa

  • @denicd084
    @denicd0844 ай бұрын

    Wangap tunasikiliza huu wimbo 2024 . Lini utapita kwangu bwana 😢😢

  • @user-ft2ib1wl3y
    @user-ft2ib1wl3y Жыл бұрын

    God's favour,,pia mh naulza ln😂😂

  • @killakadudu5589
    @killakadudu55893 ай бұрын

    Pita kwangu Pita kwa wazazi wangu Pita kwa wanangu Pita kwa ndugu zangu pia Pita kwa majirani zangu baba Pita kwa mke wangu .mwenyezi

  • @nancyikarede7583

    @nancyikarede7583

    Ай бұрын

    AMEN

  • @joyeuseruyange5881
    @joyeuseruyange5881 Жыл бұрын

    Minataka niguse pindo lako Yesu ili leo upite kwangu. Niguse baba nakufanya wepesi mahali pana ugumu katika maisha yangu. Asante sana kwa wimbo huu mtumishi wa Mungu

  • @tikisaelimafie2269
    @tikisaelimafie2269 Жыл бұрын

    Naomba upite na kwangu YESU

  • @newtonwanyama1846
    @newtonwanyama184611 ай бұрын

    Ninapohuskia huu wimbo napokea Baraka tele 🙏🙏🙏

  • @dorismargarethmgone2658
    @dorismargarethmgone265827 күн бұрын

    Bwana Yesu usinipite nibariki unipitie ee Bwana napitia mazito na uchungu mwingi nateseka baba naomba kibali Bwana usiniache

  • @abigailmaingi4735
    @abigailmaingi4735 Жыл бұрын

    I leave this comment here so that when God will come through for me,this will remind me to give a testimony,LINI UTAPITA KWANGU....my heart is heavy, please remember me God😭😭

  • @saidmusa1537

    @saidmusa1537

    Жыл бұрын

    Amen

  • @emilyamani2016

    @emilyamani2016

    Жыл бұрын

    Maombi haya yawe ya ushidi kwa maisha yangu

  • @emilyamani2016

    @emilyamani2016

    Жыл бұрын

    Madeni ,taabu zote zinaenda kungunzwa na mungu

  • @emilyamani2016

    @emilyamani2016

    Жыл бұрын

    Leo upite kwangu

  • @leosins9002

    @leosins9002

    Жыл бұрын

    nami pia nangojea niguse pindu lake......

  • @cresemnzava1470
    @cresemnzava1470 Жыл бұрын

    Bwana Yesu pita kwangu Nina uhitaji Bwana.

  • @siamosha5267
    @siamosha5267Ай бұрын

    Naamini Baba Muumba mbingu na nchii huu Mwaka ni waushindii kwangu ukiwa ndani yangu.. amen Barikiwa mtumishi

  • @janeleina3949
    @janeleina3949 Жыл бұрын

    Yesu Naomba niguse pindo lako siku ya Leo💪💪💪

  • @marypaulo1363
    @marypaulo136320 күн бұрын

    Yesu nataka kugusa pendo lako katika hitaji langu nifanikiwe amen

  • @priscilandandala3149
    @priscilandandala3149 Жыл бұрын

    Pita kwangu yesu unikomboe kwenye mikono ya Giza😭😭🙏

  • @DestinedVictor
    @DestinedVictorАй бұрын

    yesu kwa neema yako tutembelee😢kwa wajane, yatima na wasio na makao kufanye mkao yako baba🙏🙏🙏pita baba utuguze😢😢 for remnants will remain strong 😭

  • @upendodanielchidaka44
    @upendodanielchidaka44 Жыл бұрын

    Leo pita kwangu Yesu oooooh haleluya

  • @bakarimohammed2381
    @bakarimohammed2381 Жыл бұрын

    Mchungaji ubalikiwe huu wimbo wako umenipa falaja sana maana nilikata tamaa sana.nilikua na uvimbe kila nikienda ospitali inaongezeka.kuna siku nilisikia huu wimbo nikaudanlod ndio ukawa wimbo wangu nikaanza kufanya maombe leo nimeenda ospitali kupiga tena nyutrasaund nikakuta uvimbe hamna. Kwa kweli cna cha kusema ila mungu akupe umli mlefu uendelee kunifaliji na nyimbo zako.

  • @Damariskerubo-mv8uw
    @Damariskerubo-mv8uw15 күн бұрын

    Pita kwangu eeh mungu wangu nimechoka na kilio Cha kila mara pita kwangu eeh mungu wangu unanifahamu vizuri Amina.

  • @AnnahWanjala
    @AnnahWanjala22 күн бұрын

    Madeni ya kugamble nikisema nita nunua shamba lakini kila wakati madeni Mungu nime kuja kwako mwenyewe nisaidiyee ni hili jambo MunguuuuuuuuMunguuuuuuuMunguuuuuuuuMunguuuu pita kwangu yesuuuuuuuuuuu nime choka nisaidiye Baba

  • @user-zc2ry1kr9q
    @user-zc2ry1kr9q11 ай бұрын

    Yesu nipe aman kweny ndoa yang

  • @esthermunyao7335
    @esthermunyao7335 Жыл бұрын

    I will be extremely glad and thankful when God will visit me tonight and bring solution to my needs because they have been a burden to me. They have been on my neck for some time...let it be in Mighty Name of Jesus Christ of Nazareth Amen.

  • @danielmutunga6621

    @danielmutunga6621

    9 ай бұрын

    Amen

  • @nancyikarede7583

    @nancyikarede7583

    Ай бұрын

    @@danielmutunga6621 AMEN

  • @rechokiongo3676
    @rechokiongo36767 ай бұрын

    2023 tunaoskilza huu wimbi weka like

  • @bintymohammedy5759
    @bintymohammedy5759Ай бұрын

    Mimi MWISILAMU ila nyimbo zako ua zina niliza sana

  • @user-yx3qd2fb2m

    @user-yx3qd2fb2m

    Ай бұрын

    Kuya nayeye yesu akuinuwejina akuyitwe mukrisru

  • @heathermmboga8301
    @heathermmboga8301 Жыл бұрын

    This song has realy touched me ...am now in a hard situation but i started singing this song and i hope God is going to do something in this situation

  • @marphinealfonce5847
    @marphinealfonce5847 Жыл бұрын

    Lini utapita kwangu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @rebaccaewoi8882
    @rebaccaewoi8882 Жыл бұрын

    Jamanii najengwa sana nauu wimboo🙌🙌🙌 Ameeen