VITASA | Undava wa Mfaume Mfaume, Iddy Pialali walipokutana ana kwa ana - 15/03/2023

Спорт

KING OF THE NIGHT: Ni Mfaume Mfaume na Iddy Pialali wakioneshana ‘undava’ na ubabe leo katika viwanja vya Leaders kwenye tukio la kutia saini kwaajili ya ‘kuzichapa’ hapo Septemba 2023.
Ni kuelekea kwenye usiku wa #KingOfTheNight hapo mwezi Septemba mwaka huu.

Пікірлер: 8

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 Жыл бұрын

    Mbwembwe nyingi Mwisho wa Siku Ngumi Mbovu.

  • @baraka12
    @baraka12 Жыл бұрын

    Ulingo utaeleza👊

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu65944 ай бұрын

    Leo nimeflahi mmependeza sana

  • @mgishaavith639
    @mgishaavith639 Жыл бұрын

    🤌🏿

  • @scopy0428
    @scopy0428 Жыл бұрын

    Safari hii kitaeleweka tu Nan ni Nan na Yup ni Zaid

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Жыл бұрын

    Ila ukweli mie nilifatilia pambano nikiwa Mwanza, huyu Iddy pialali nibondia asikwambie mtu, huyu mfaume anapigana kimuhemko, nanimeshatabil pialali atashinda laud ya 5

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb14 күн бұрын

    Mfaume muimba taarabu ulimpiga kichwa

  • @jofuprince2294
    @jofuprince2294 Жыл бұрын

    Mfaume ujui lolote achana na ngumi afu unamtaka mwakinyo atakuvunja

Келесі